Тёмный

LEO TENA YA CLOUDS: MAMA ALIYEKUTANA NA MTOTO WAKE BAADA YA MIAKA 28, BABA ALIKUFA, VILIO VYATAWALA 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 126 тыс.
50% 1

Boniphace alipewa picha na baba yake ya kuweza kumtambua Mama yake ikiwa ni miaka 28 toka waachane na baba yake. Amesema baba yake alipoteza mawasiliano na mama yake miaka na nyuma.

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 370   
@florandomba6822
@florandomba6822 2 года назад
JAPO watazamaji tunalia Sana kwa ajili ya wenzetu ,,,,,,Hiki kipindi hataiweje tunakiombea kiendelee KUDUMU ,,,,na aliyebuni Hiki kipindi mungu amjalie busara zaidi,,,, na maisha marefu zaidi na aendelee kuigusa jamii km hivi,,
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Hakika Ndugu Umenena Vema 🙏🙏🙏
@jamillahmnemwa4913
@jamillahmnemwa4913 Год назад
Nimelia walah
@marymakame241
@marymakame241 Год назад
Dada Geah mambo haya tanatia uchungu sana shaloti.kwako
@NeemaMmbaga-f9n
@NeemaMmbaga-f9n Год назад
🙏🙏
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug 3 месяца назад
Nakia sana sana Hadi macho yameevimba has Clouds hongera sana sana
@gidionsylivester8942
@gidionsylivester8942 2 года назад
Asante Sana clouds tv hakika Leo Tena kipindi Bora , hongera kwa boni ni rafiki yangu tulikuwa wote bukoba katika harakati za kutafuta maisha hakika Mungu Ni mwema🔥🔥🔥❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 года назад
huyu bon maskini kwa muonekano tu anaonekana kapitia maisha magumu sana tu kwa muonekano bt all in all bon usikate tamaa kaka,,mama ndo huyo hongera
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 года назад
Ni kweli
@janemsamati6700
@janemsamati6700 2 года назад
Hakika mambo ya Mungu hayachunguziki , Mungu ni mwema sana familia zimekutana Hongereni sana Leo tena
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 года назад
Masha allah mungu awafanyie wepesi familia zote zilizokutanishwa wakina', gear mwijaku na wezenu' mungu awabariki
@sifasanga7866
@sifasanga7866 Год назад
Mbona imeniliza hii? Daaaaah !! Pole na hongera Boniface. Mungu ni Mwema sana aliruhusu haya uyapitie
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
Kama ulishawai ku follow in love school ndio hii pole sana mama bone kipenzi chako cha kishule shule amefariki muombee dua mwenyezi mungu amsamehe makosa yake huko alipo Amiin...DC salute clouds 🔥🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@priscamchomvu4021
@priscamchomvu4021 2 года назад
Mungu mwema daah Bon umeniliza umeniliza Glory to God
@vincej9275
@vincej9275 2 года назад
Asante sana clouds kwa kazi nzuri. Very beautiful
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Mashallah mnajitahidi kwa kweli mungu awatangulie na awape Riziki yenye khery na nyie
@mauemy4685
@mauemy4685 2 года назад
Nimeipenda familia wanapendana wamemsapoti dada yao
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 2 года назад
Kwa jina naitwa Amina ahaman ,kweli hii Historia imeniza maana imenigusa Hata Mimi nimo miaka mingi nilikua sijuani na ndugu zangu lakini namshukulu mungu kaka yangu alivyokua ametufafuta anetuona alhamdullih
@tricemollel6739
@tricemollel6739 2 года назад
Jamani nimelia kama sina akili nzuri nimeumia sana lakini mungu awabariki sana wote wa leo tena!!
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 2 года назад
Hallelujah 🔊🔊🔊 Dada nashukuru umekutanidhwa na mwanao Boniface
@scolamassao1551
@scolamassao1551 2 года назад
Mungu nimwema
@nenenelly1878
@nenenelly1878 2 года назад
Amina
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 2 года назад
MashaAllah Familia ina upendo sana hii imekuja kumsupport dada yao🌹🌹🌹
@dorothtobias8053
@dorothtobias8053 2 года назад
Hongera Sana MAMA Kumpata mtoto wako.sisi wazazi tunajua unavyokuwa unajisikia na Sasa unavyojisikia. Mshukuru Sana Mungu kwa Hilo.
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 2 года назад
Mungu akusaidie inawezekana hata maisha ya mtoto sio mazuri kabisa
@rechogoda8920
@rechogoda8920 2 года назад
Kwa kweli iki kipindi ni kizuri sana Mungu awabariki sana timu nzima ya kipindi hiki Allah atawalipa Wallah
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 года назад
Mwijaku ana life style ya kijanja sanaaa Big uP brother Kila sehem ana Play kutokana na mazingira 👏👏👏
@isackahmed2563
@isackahmed2563 2 года назад
Ongera sana Homeboy Bon kumuona mama ako❤️
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 2 года назад
Masha Allah Masha Allah ! Wallah dada zg na kakazangu Allah Atawalipa DARAJA la juuu wallah ! Masha Allah nimefurahia sana kipindi chenu ! Hili nijambo lakufurahisha sana wallah ! NANI KAMA MAMA ? ALLAH AWAPE UMRI DD NA KK ZANGU AMIN AMIN
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 2 года назад
Jamani huyu baba Boniface Mungu amlaze mahali pema peponi Glous FM Mungu awabariki sana. Wazazi kama baba Boniface mkiwapata tena hai shirikianeni na serekali yetu tukufu kuwaadabisha. Mtoto amafichwa na akakosa haki zake za msingi. Ndugu zake wanang"aa yeye anahuzuni
@hadijaabbas2192
@hadijaabbas2192 2 года назад
Yani ameonekana mdg kwa wadg zake kimuonekano tu anaonesha alikuwa na maisha magum
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 2 года назад
Nmelia SANA Mimi mnao fanikisha haya Mungu awabarik SANA
@dorisshirima3300
@dorisshirima3300 2 года назад
Nimelia sana jamani. Daaa
@allysaid6742
@allysaid6742 2 года назад
Hongereni Sana Kwa kufanya Jambo zuri Allah awazidishie ILa imenitoa machozi kwakweli imenigusaa
@MosesKaponda-wx5vy
@MosesKaponda-wx5vy 6 месяцев назад
Baraka zizidi kwa krauzi utukufu kwa mungu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Kwakeli nimelia mtu mzima mm..poleni sana sana.
@florameza1028
@florameza1028 2 года назад
Hadi nimelia kazi mnayofanya Leo tena ni nzuri saaana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Wachaga hawana show mbovu nawakubali sana wachaga aisee wanaumoja very strong
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Wizi labda na ujambazi
@florencemuthoni6301
@florencemuthoni6301 2 года назад
I can't hold my tears,,GOD bless you heroes
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 года назад
True sweety even me ooh
@antoniashoo746
@antoniashoo746 2 года назад
Gea Habib mwinjako nawote mlioamua kuandaa kipindiki hiki mungu awazidishie
@shamimkamwele3689
@shamimkamwele3689 2 года назад
Wachanga nimewapenda mungu ni mwema siku zote
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 года назад
Clouds mnafanya kazi nzuri sana. Hongereni mno
@onesmokilufi7082
@onesmokilufi7082 2 года назад
Bony ulimpenda sana baba yako,,usmwache baba yako kumkumbuka japo yupo mbere ya haki,, maana hicho kisa cha mama yako akiwezi kuvumilika😇wamama jamaniiii mhh
@agathaleonard5974
@agathaleonard5974 4 месяца назад
Mungu awabariki Sana clouds kwa kazi kubwa mnayofanya pole na hongera mama boniface
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Год назад
Naomba sana mwenyez Mungu asiniweke mbali na watt wangu hak ntalia sana 😭 mtt unapotezana nae miaka hata nimiachana n mwanaume simpi mwanangu" nakufa nae
@subiratembo3033
@subiratembo3033 Год назад
Nimeliza sana Leo kuona hiki kipindi mungu awabariki
@gladyedwards3097
@gladyedwards3097 2 года назад
Hongera leo tena hongera familia
@beatricethadey2145
@beatricethadey2145 2 года назад
Hongereni sn hichi kipindi mungu awabariki sn.
@edwinmichoro348
@edwinmichoro348 2 года назад
am just happy for you guys may God bless u so much, that some wonderful people and nice people still exist .
@edwinaoduol307
@edwinaoduol307 2 года назад
I have no words, happy for their reunion.🎉🎉🎉🎉🎉
@ashafroholdt7697
@ashafroholdt7697 2 года назад
Daaah BON umeniliza sana, lakini mungu ni mwema ❤❤❤❤
@theophildamfuruki6859
@theophildamfuruki6859 2 года назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri yakuwakutanisha wapendwa walopotezana,Mungu hatawalipa,kwa kazi yenu
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 года назад
Wamefanana na mama jmn nimelia😭😭🙏🙏
@mariammkuyu5906
@mariammkuyu5906 2 года назад
Duuh huruma😭😭😭
@zaitunishaban7976
@zaitunishaban7976 2 года назад
Yaan wamama tunapita mambo magumu!!
@beneyamuliri1877
@beneyamuliri1877 2 года назад
Waaah only mountains will never meet wish one day Will also meet my dad of all this 33yrs siku moja itafika now i believe
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Год назад
Kafanana na Mama Bwana.
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 года назад
Mm pia nina miaka 38 cjawai muona babangu yuko moshi mchaga anaitwa nathaniel nilikua nimekata tamaa cna haja ya kumtafuta lkn naona nikianza mchakato
@upendomlay357
@upendomlay357 2 года назад
Sasa msiende kutambika kwenye makaburi ila nendeni kwa mungu alie hai a liyewakutanisha mkamshukuru nae atawafanyia wepesi wa maisha na kushikamana kama familia.mbarikiwe sana.
@joyceoberlin3576
@joyceoberlin3576 2 года назад
Wew ujasikia wanaenda kutoa shukurani kanisani au
@enockmaige8936
@enockmaige8936 3 месяца назад
Amina
@dorothnayombe5199
@dorothnayombe5199 2 года назад
Wow thank you so much 4 good job.
@elizabethjames2384
@elizabethjames2384 2 года назад
Mbarikiwe sana kipindi hiki kizuri sana Ila nimejikuta nalia machozi. Pia familia hiyo inaupendo mungu awabariki sana.
@asharajab5366
@asharajab5366 2 года назад
Kumbe sikuwa peke yangu niliyelia kwa kuangalia hicho kilicholetwa
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Asante mwijaku na timu mzima mungu anawaona 🙏🙏
@fatemafatemamubarak3965
@fatemafatemamubarak3965 2 года назад
Hongera mama happy usimtowe mwanao kutesa kwa zamu sasa zamu yako wewe wao waweze wana nini wewe ushindwe una nini boni usirudi tena bukoba mama ndie huyo
@EustaceRimoy-sg6lc
@EustaceRimoy-sg6lc 3 месяца назад
Jaman born amepitia pole piah kwa kumpoteza baba mungu Leo amempa faraja kumkutanisha na mama he born to win😘
@nasiapullumber34
@nasiapullumber34 2 года назад
Mwijaku shikamooo hi ndio kazi nzuri unayo yakiwa kufanya
@amandamakinda850
@amandamakinda850 2 года назад
Jamani haya maumivu nikajua niyangu tu mm mwenyew nilitelekezwanikiwa kwabibi nikiwana umri wa miez tisa mpk leo nawatt wawili simjui mama 😭😭😭😭😭nimelia sana jamni dunia hiiiiii mmmmmmm mungu atusaidie
@puritykariuki4256
@puritykariuki4256 Год назад
Am already in tears 😢shukrani kwa mungu
@happynessmafuru8939
@happynessmafuru8939 2 года назад
Familia ina upendo sana
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 года назад
What a good story! Clouds you are super human!
@raiyansaid5836
@raiyansaid5836 2 года назад
Jaman nimeumia km mzazi
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 2 года назад
Nimerudi tena. Watanzania tujaribu kuheshimu tamaduni za makabila yetu Kilimanjaro hatufichiwi watoto mlijue hilo
@shamirachanga1887
@shamirachanga1887 2 года назад
Hongera Mungunmkubwa kiukweli
@happymau2809
@happymau2809 Год назад
Mungu awabariki
@zawaditamari9752
@zawaditamari9752 2 года назад
Nimelia kwa sauti miye😭😭😭😭😭
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 2 года назад
Dahhh,,, jamani kupoteza mtoto sio rahisi jamani maumivu ni makali sana na hayavumiliki Allah awape afya njema nimefurahi mnoo Wallah
@agnaskanyai3381
@agnaskanyai3381 2 года назад
Have cry for the moment its awesome jamani nobody can b like mom
@miriamsimtenda5780
@miriamsimtenda5780 2 года назад
Nimejikuta nalia hongereni sana
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 2 года назад
Ukisikia machozi ya fraha ndo haya🥰
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 9 месяцев назад
Mama umejieleza vizuri pole Sana .
@khalidakambi3754
@khalidakambi3754 2 года назад
Bon muonekano wke tu inaonesha kakulia ktk mazingira magumu
@isaremohamed8939
@isaremohamed8939 2 года назад
Nimeliaa sanaa leoooo
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
Kipindi chako kwa kweli ni kizuri Sanaa, na ni muhimu Sanaa. Ubarikiwe.
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Haya Ni Zaidi Ya Maumivu 😭😭😭 Hakika M/Mungu Ashukuriwe Saana Na Awabariki Saana Wanaleo Tena🙏🙏🙏
@mwanaimamsangi971
@mwanaimamsangi971 2 года назад
Hiki kipindi kinaniliza jamani
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 года назад
Sana jamani
@SunnaSaidi
@SunnaSaidi Год назад
❤❤❤ nawapenda sana claods
@antoniashoo746
@antoniashoo746 2 года назад
Nimekupenda Hilo gauni lako gea
@fatemafatemamubarak3965
@fatemafatemamubarak3965 2 года назад
Hongera mwanamke mwezetu kwakuunganishwa na mtoto wake boni baba ako ulikuwa uwaweke kikao kwenye uko uwambie kwamba baba ako akupeleke kwa mama ako kama wengepuuza ungeenda kwa mwenyeki kama hajakubali ungeenda kumshitaki baba ako baba kama huyu engenipata mimi engeijuwa siku alotahiriwa baba ake maana tungetoka na kisakina cha polisi na mmbwa wa polisi engenipeleka mpaka kilimanjaro
@suzanjohn954
@suzanjohn954 2 года назад
Kwakweli mungu azidi kuwabariki nimeumia hadi machozi
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 года назад
Hongereni sana Clouds
@roseshonyera9929
@roseshonyera9929 8 месяцев назад
Mbarikiwe sana Clouds
@esthermramba9395
@esthermramba9395 2 года назад
Masha Allah Mungu ni mwema siku zote
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 2 года назад
Nawapa hongera sana Kwa kipind chenu lla mfanye japon mara mbili Kwa mwaka
@princesshappy1161
@princesshappy1161 2 года назад
Kipindi kizuri sana Mungu awabariki sana
@esthermushi3455
@esthermushi3455 Год назад
Kwa kweli inaumiza sana mtito kutenganishwa na wazazi wake
@rebeccmushymushy4841
@rebeccmushymushy4841 2 года назад
Kak karibu nyumbani.kaka tunakungoja
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 2 года назад
Inauma sana kiukweli
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Masha allaah familia kubwa hongeren sana
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 года назад
Ma shaa Allah
@njuka3515
@njuka3515 3 месяца назад
Tunaomba wakifanya party dar waturushie tuone Miriam from Dubai ❤
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 Год назад
Hii hatari jamani nimeliya mpaka kichwa kinaniuma haya Mambo yamenitokeya mimi mwenye nakumbuka Sana
@dizzomontana7219
@dizzomontana7219 3 месяца назад
Daaah mungu awabariki sana clouds
@princesshappy1161
@princesshappy1161 2 года назад
Yooo Mungu awabariki kwa kweli!
@reahpaulo5043
@reahpaulo5043 2 года назад
Mungu bariki kipindi hiki kidum wabarki pia waongozaj wakipindi hiki uwajalie afya njema mama nabon mmejua kuniliza jama
@nazaherimramba8586
@nazaherimramba8586 2 года назад
Inauma sana jmn
@AliceNiyongere-s6k
@AliceNiyongere-s6k Год назад
Nukuri narize cane yaani nimelia sana
@afamefunaokeke6966
@afamefunaokeke6966 2 года назад
hadi raha kwel mungu ni mkuu..
@aishamohamed1210
@aishamohamed1210 2 года назад
Jaman nalia kwahuzun huku furaha mungu awabariki sanaaaa
@asmasalumu
@asmasalumu 3 месяца назад
Allah awasimamie katika kipindi hiki jaman Mimi mume wangu hata hamjui baba ake mtusaidie jamani
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Bon amefanana na mama yake❤❤
@phorahmahaza638
@phorahmahaza638 2 года назад
😢 Daaah inauma Sana hakika mungu ni mwema
@charlessilwimba4770
@charlessilwimba4770 2 года назад
Born umenilizaaa
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 2 года назад
Moshi kumenoga ninyama tu mpaka laha
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 3 месяца назад
Kinahuzunisha hichi kipindi lakini kizuri❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@Amina-ue1tf
@Amina-ue1tf 2 года назад
Nimeishia kulia tu eee Mwenyezi Mungu nisikie haja ya moyo wangu.
Далее
Учёные из Тринидад и Тобаго
00:23