Тёмный

#AfyaKona 

Mwananchi Digital
Подписаться 984 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

Wataalamu wanaonya kuwa hata afya ya mwili mzima inakua inaathiriwa na afya ya kinywa na meno.
Daktari wa kinywa na meno kutoka Hospitali ya Aga Khan, Masaki, Winfred Mgaya anasema mtu ambaye hana meno mazuri, hushindwa kula vizuri na afya yake inadorora hivyo kuna umuhimu mkubwa wa afya ya kinywa na meno.
Anasema upande wa kutunza afya ya kinywa na meno kuna suala kubwa la usafi wa kinywa na meno wa kila siku angalau mara mbili kwa siku ingawaje hushauriwa kila baada ya kula lakini angalau mara mbili kwa siku.

Опубликовано:

 

20 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@user-vk3fj8do1e
@user-vk3fj8do1e 4 месяца назад
Ghalama ni sh ngap
@AzilaazyAlly-is9xu
@AzilaazyAlly-is9xu 9 месяцев назад
Kunyosha meno shingapi
@francesframa4150
@francesframa4150 2 года назад
💪💪💪
Далее
МЕГА ФОКУС С КАЛЬКУЛЯТОРОМ
00:33
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 379 тыс.
IJUWE NGUVU YA BAMIA
4:02
Просмотров 291 тыс.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58