Kuzba pengo siovbaya kwanza unakua unamuonekano mzury pia inakusaidia kukifanyia chakula dajeshen vzury kabla yakifka tumbon mm hpo namsapot meja kunta
Mtangazi ombea sana,eti kubadilisha mwili nikathani ni kabadilisha Kama bobrisk was Nigeria kumbe ni jini tu,hata Mimi na shida la jino,jino language moja lilitoka nikila kagumu.
Yaani mpaka ameingia karuhusiwa,hapo nje kuna walinzi,office iko na taratibu zake ,,huwezi ingia hivi hivi sehemu ya mtu na camera,hapo pia wanafanyia matangazo biashara yao
Mungu hakumuuba na pengo ingekuwa mwanya Sawa mungu alimuumba vízuri alhamdulilah baada ya ajali ndo akapata pengo jamani nyie pengo sio zuri Ata ungekuwa wewe
Hata Mimi nilipendezewa xana na huko pengo haki na kwa upande wangu ama kwa mtazamo wa kaki pengo lilikupendeza,hadi tulikuwa tuna shindana na jamaa yangu nipengo,hapa na ni mwanya,lkn kwa xaxa umependeza zaidi kakangu