Тёмный
No video :(

AHADI ZA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Pastor Sunbella Kyando
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Kuna eneo ambalo Mungu amekuitia.Na siku zote tambua kuwa hilo eneo tayari kuna ambao wanalikalia tayari.Wakati Mungu amewapa Waisraeli Kanaani,nchi hii haikuwa tupu,kuna ambao walikuwa wanaishi humo tayari.
Baada ya Musa kutuma wapelelezi kumi na mbili,kumi waliona namna ambavyo hawawezi kuwapiga na kuwafukuza wale wakaao katika nchi ya Kanaani,na wawili tu ndio waliona ushindi katikati ya changamoto.Unapotaka kuingia Mungu alipokuahidia kuwa makini unasikiliza taarifa gani kutoka kwa hao waliokutangulia kufika huko.Kwa kuwa tu wengi wamekwambia hakufai,waliopo hapo tayari wana majina makubwa, haina maana kuwa huwezi kuingia.
Wanaweza wakawepo lakini Mungu kawaondolea uvuli uliokuwa juu yao.Sio kweli kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Shikilia Neno na Ahadi Mungu aliyokwambia,Yeye aliyesema ataitimiza.
#PastorSunbella#

Опубликовано:

 

26 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@bukuruphilibert8658
@bukuruphilibert8658 2 года назад
Huuu ndio ukiristo sasa watu wanafunguliwa kupitia neno lake sio porojo za pokea without reading the word of God
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 месяцев назад
Amen amen amen
@NeemaMgaya-ez9un
@NeemaMgaya-ez9un 5 месяцев назад
Amina
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 Год назад
Hallelujah
@jemaaloyce8096
@jemaaloyce8096 Год назад
Amen
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@petronilangula3525
@petronilangula3525 2 года назад
Amen Amen Amen. My word..I want n pray to enter canan before others, that Grace I tap in Jesus Name.
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 года назад
Uvuli wako Mungu ukae Nami skuzote katika yote niyafanyao.
@joshuanziku5736
@joshuanziku5736 2 года назад
Amina Baba angu, Ninamshukuru Mungu kwa ajiri Yako Baba angu
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 2 года назад
Amen napokea
@bettermkyando372
@bettermkyando372 2 года назад
Mtumish nabarikiwa namahubili yako mungu akubarik
@christinamwakitalima4267
@christinamwakitalima4267 3 года назад
Ameen 🙏🙏🙏🙏
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 года назад
Very true man of God 🙏 may God help us in the name of Jesus
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 года назад
Napokea neema hii kwa jina la Yesu
@winnyrocha190
@winnyrocha190 2 года назад
Amen Amen ...Am ready Lord send me
@sameerasameera1789
@sameerasameera1789 2 года назад
Ooh my God i feel fire I recieve the grace
@epifaniaamasi486
@epifaniaamasi486 2 года назад
AMEN
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏
@irenesteven8106
@irenesteven8106 2 года назад
Am ready...... May your will be done my HEAVENLY FATHER.
@joycengatunga6140
@joycengatunga6140 2 года назад
Ameen
@angelngoye4910
@angelngoye4910 2 года назад
Mahubiri yako yanagusa maisha yangu mchungaji🙏
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 3 года назад
Amen 🙏
@masterkey536
@masterkey536 2 года назад
Safiiii
@BENJAMINKatembo-h4l
@BENJAMINKatembo-h4l 16 дней назад
Naomba namba ya sanmbella niko kenye
@mwaumark4372
@mwaumark4372 2 года назад
Hii sermon yote inaitwaje?? Nimejaribu kuitafta na sijaiona
@agnessdeodatus1677
@agnessdeodatus1677 2 года назад
Kanisa linapatikana wapi?? nipo Dar es salaam''kigamboni
@cecyaghabu3211
@cecyaghabu3211 2 года назад
Lipo Sinza Mori, karibua na ofisi za Tamwa... Linaitwa Reality of Christ.... ROC
@Neema-nx1qk
@Neema-nx1qk Год назад
Amina
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 2 года назад
Amen
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 2 года назад
Amen napokea
@aronemakanyaga7284
@aronemakanyaga7284 2 года назад
Amen
@govinsonlugano9226
@govinsonlugano9226 2 года назад
Amen
Далее
JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
34:04
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 8 млн
NDOTO KATIKA UHALISIA (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:16
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
VITA VYA KIROHO
33:13
Просмотров 7 тыс.
IMANI NA UFAHAMU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:10:24
Просмотров 8 тыс.
GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:31
Просмотров 13 тыс.
GOD'S WAYS (NJIA ZA MUNGU) - Pastor Sunbella
1:00:48
Просмотров 18 тыс.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 8 млн