Тёмный

AHMED ALLY APAGAWA NA MATIZI YA STRAIKA LA MAGOLI ATEBA/"KOCHA AMENIAMBIA HUYU SIO MTU WA KAWAIDA" 

Simba SC Tanzania
Подписаться 649 тыс.
Просмотров 79 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@NashamcOnjaonja
@NashamcOnjaonja 2 месяца назад
Mungu naomba utulinde mashabiki na viongozi wetu pamoja na timu yetu Mungu ibaliki simba sc Nguvu moja
@GoodluckyMsakila
@GoodluckyMsakila 2 месяца назад
🦁🦁🦁
@JosephLamau-yq1lx
@JosephLamau-yq1lx 2 месяца назад
Mungu Ibariki Simba mwaka huu Kwa jina la Yesu Naiombea timu . ya Simba Tunaanza na Mungu tutamaliza na Mungu Viongozi, Wachezaji. na Mashabiki tuwe kitu kimoja ushindi wetu Simba nguvu mojaaaaaa ❤❤❤❤
@TytusStanley
@TytusStanley 2 месяца назад
❤❤❤❤
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA 2 месяца назад
Halleluyaah
@robertdavidmkude
@robertdavidmkude 2 месяца назад
Amen
@mariamJacskson
@mariamJacskson 2 месяца назад
Amen
@osbornsadock3776
@osbornsadock3776 2 месяца назад
Amen
@Joicejafet
@Joicejafet 2 месяца назад
Mungu ikumbuke simba yetu tufanye vizur zaidi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@alexlipili9343
@alexlipili9343 2 месяца назад
Daaah, tunahangaika sana na viwanja sijui litaisha lini aiseeeee!!!
@monicajohn9672
@monicajohn9672 2 месяца назад
Nina imani boss karudi, yatakwisha
@jackobosimonjb
@jackobosimonjb 2 месяца назад
Naipenda simba hadi naugua😂
@BubuallyMwakipesile-br8dc
@BubuallyMwakipesile-br8dc 2 месяца назад
Amina amina kwa duwa ndugu yangu Simba nguvu moja
@WendeMposola
@WendeMposola 2 месяца назад
Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@osbornsadock3776
@osbornsadock3776 2 месяца назад
Amen
@charleslucas4365
@charleslucas4365 2 месяца назад
Mungu ibariki simba sport
@iddiramadhan
@iddiramadhan 2 месяца назад
Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@MoshaJackie
@MoshaJackie 2 месяца назад
No 1❤🦁🦁
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 месяца назад
Mungu ibariki simba etu
@rajabuhango7492
@rajabuhango7492 2 месяца назад
Mwaka huuu simba iko pw sana
@NaligiaNzogu
@NaligiaNzogu 2 месяца назад
Dah pich Kal thana❤❤❤❤
@priskalyimo9654
@priskalyimo9654 2 месяца назад
Ifike mahali tuonyeshe ukubwa wa kweli wa Simba yetu ni miaka inaenda siku zinakimbia tutachezea viwanja vya watu mpka lini ifike mahali tuseme basi tupate wetu sasa nas tutambe zaidi
@frankmachimu
@frankmachimu 2 месяца назад
My team🦁🦁🦁
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 2 месяца назад
Mungu tusaidie timu yetu simba iwe bora ikiwezeka tulete kombe la shirikisho kimataifa hapa tanzania
@AnordyChavala
@AnordyChavala 2 месяца назад
❤mungu ibariki Simba, simba nguvu moja
@FatumaMlawa
@FatumaMlawa 2 месяца назад
Mungu aibarik
@hanceraphael5455
@hanceraphael5455 2 месяца назад
One team one dream👏👏👏
@aminaothman8669
@aminaothman8669 2 месяца назад
Simba yetu hatuwezi kuiacha nyuma
@ErickKimario-t6u
@ErickKimario-t6u 2 месяца назад
Mungu atuamshe vyema kesho
@DannyGold1996
@DannyGold1996 2 месяца назад
Huyu jamaa anatakiwa kuwa mwenyekiti wa simba after mangungu
@DicksonAmbilikile
@DicksonAmbilikile 2 месяца назад
Simba nguvu moja daima
@BirinaSakhoo-gr4eo
@BirinaSakhoo-gr4eo 2 месяца назад
Simba nguvu moja
@GraceMhoja-bu3ce
@GraceMhoja-bu3ce 2 месяца назад
manura awezi toka simba
@FelixMiyamini
@FelixMiyamini 2 месяца назад
🔥🔥🔥
@Rich_aunty26
@Rich_aunty26 2 месяца назад
Ubaya ubwela ❤
@taucdulle7460
@taucdulle7460 2 месяца назад
Bora camera hii nzuri khaa
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ ubaya ubwela
@osbornsadock3776
@osbornsadock3776 2 месяца назад
Mungu tusaidie ikawe zam yetu amen
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 2 месяца назад
Mungu ibalik SIMBA SC ✍️ Mabetu &Co
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 2 месяца назад
Dami ya Yesu Kristo iufunike huo uwanja hakuna kitu kibaya kitawqkita wala kukaa katika huo uwanja Mungu akaonekane
@SilasJacob-z6v
@SilasJacob-z6v 2 месяца назад
Magori mengi Kwa timu yangu msitufanyie Yale ya costal fungeni Kila mchezaji awe na kiu ya kupachika magori msimu huu ubingwa naona ukiamuliwa na idadi ya magori
@priskalyimo9654
@priskalyimo9654 2 месяца назад
Kwa tizi la streka kesho Kuna mtu anakufa saba
@PakatJames
@PakatJames 2 месяца назад
Semaji habari? Kwanza kabisa maua kwa Ahmed Ali kwa kueka matumaini hai kwa wanasimba wengi ambao tulisusa hata kuja kwenye mitandao ya kijamii. Pongezi pia viongozi wetu wakuu wa timu hasa Raisi wa heshimu wa simba MO kwa kusisikliza maoni yetu na kuunda timu ambayo ni ya mapambano kusema ukweli. Sasa huu ubaya ubwela usiishie kwenye midomo tu iwe noma hasa nje ndani ya uwanja. Bingwa wa ligi Lazima awe mmoja tu lakini simba tulibweteka na tukajikuta tumepotea. Mambo matatu ya kuzangatia simba tukiyadhibiti basi tutarudi mapema anga zetu. (1) Wachezaji wetu na benchi la ufundi waambiwe mapema tu kwamba kila mechi ya ligi ya simba timu pinzani inakuja kucheza na simba kama fainali kwa sababu tatu kuu (a) Wachezaji wengi kucheza na simba ni nafasi ya kutafuta ajira ndani ya simba na kujitangaza pia kwa timu nyengine kwani mechi za simba zinafuatiliwa ndani na nje ya nchi. (b) Vile vile vilabu kadhaa vinapokea motisha kadhaa zikiwemo pesa taslimu kutoka kwa wapinzani wetu wakuu wa ligi ili wapambane kufa kuhakikisha tunadondosha points. (C) Wachezaji wetu wanapaswa kupewa elimu maalum ili kutokuja kutoka mchezoni kutokana na vitimbi vya Marefaree wetu ambao mara nyingi Yanga amekuwa bingwa kutokana na points kadhaa za wizi kupitia Marefaree licha ya kwamba yanga wana timu bora sasa hakuna ubishi juu ya hilo. (2)Siri ya Yanga ya Gamondi ni Mazoezi ya nguvu muda wote na jiitihada binafsi za mchezaji mmoja mmoja. Yanga kama wanakutana na timu inayocheza teamwork asilimia mia moja basi ni timu 🎉ya kawaida sana. (3)Angalizo ni kwa Wachezaji wa simba kujitunza nje na ndani ya mazingira ya kazi. Ligi ni kukusanya points luxury inakuja baadae. Ukiangalia mechi na coastal union backline yetu iliruhusu goalkeeper wetu kufikiwa kirahisi na hata mechi Yanga backline yetu ilichemsha hii inatupa kumbukumbu za machungu kutoka simba iliyopita. Nadhani kusiwe na kigugumizi sasa cha kumueka benchi beki ambae ni muendelezo wa matatizo kunako backline yetu. Lioneli Ateba mtu wa kweli kocha ana mawinga na midfielders wa kutosha sasa itakuwa busara kwake kumsimika Ateba kuwa namba tisa halisi wa kukaa pale kwenye box kuna mpira au hakuna mpira ili ashibe confidence kwani simba tunahitaji hiyo aina ya mshambuliaji.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
HUU UWANJA KMC WATUUZIE TU SIMBA FEDHA TUNAZO ❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@suleimaniamadi1441
@suleimaniamadi1441 2 месяца назад
Kule buchu vp
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
@@suleimaniamadi1441 SIMBA TUNA FEDHA MPAKA ZNZ TUAJENGA TU PESA ZETU NA WALA HATURINGI
@shabanramadhani1500
@shabanramadhani1500 2 месяца назад
NgUvu Mojaa 🔥🔥
@goramatz9488
@goramatz9488 2 месяца назад
GORAMA WAS HERE🔥🔥
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 2 месяца назад
Munguawa linde wachezaji wetu
@CosmasCharles-rf3dy
@CosmasCharles-rf3dy 2 месяца назад
Hivii simbaa haiwezi kujenga uwanjaa kama wa kmc kwa ajili ya ligi
@nashonmwaihojo2914
@nashonmwaihojo2914 2 месяца назад
Simba jengeni uwanja hatuwezi kujiita wakubwa kwenye Lenk za Africa hatuja uwanja hii n aibu
@Bashirusalum
@Bashirusalum 2 месяца назад
Wewe inter Milan na ac Milan pia hawana uwanja wote wanashea kiwanja kimoja ni swala la muda tu
@ShabaniAlly-oz9te
@ShabaniAlly-oz9te 2 месяца назад
maku wewe
@flova7022
@flova7022 2 месяца назад
​@@Bashirusalumsansiro big yes
@chriskiwali6355
@chriskiwali6355 2 месяца назад
Aly ahali2 hana uwanja simba ingekuwa na uwanja ila selikali aitaki hizi timu ziwe nauwanja
@alexchikoko9369
@alexchikoko9369 2 месяца назад
Ni njema sana semaji ukiwa unatumia maneno kama " kutumia nafasi" na sio kusema kuchukua nafasi.
@YussufBuji25
@YussufBuji25 2 месяца назад
Mashabiki wa Simba sindio waling'oa viti Benjamin Mkapa?
@LiisaMaisha-is1hi
@LiisaMaisha-is1hi 2 месяца назад
Lunyasii jengeni uwanja aibu kukodikodi viwanja.ssc sihami iwe jua iwe mvua.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 месяца назад
😂😂😂niko hapa wa mwenge
@mtanojuma3809
@mtanojuma3809 2 месяца назад
timu ina collaboration kama muziki 😂😂😂
@lukiaanatory4598
@lukiaanatory4598 2 месяца назад
Mungu ibaliki timu yanga pendwa
@MsafiriKebu
@MsafiriKebu 2 месяца назад
Simba NguvuMoja
@saydkassim5742
@saydkassim5742 2 месяца назад
Ivi kwl simba inashindwa kutengeneza kiwanja jpo km icho hivi vilabu vyetu sijui vinakwma wapi
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 2 месяца назад
Simba haina uwezo wakufunga magoli zaidi ya mawili kwasababu wachezaji hawajitumi
@yunusmhenga1397
@yunusmhenga1397 2 месяца назад
Tusije kujichanganya mbeleni tukachagua kiwanja Cha nyumban kule mikoani tumalize ligi hapo hapo
@audifoncegratian1866
@audifoncegratian1866 2 месяца назад
Jamni tunitahidi nass tupate uwanja timu yetu ni kongwe sana inahitaji uwanja wake
@luturinakivaria6565
@luturinakivaria6565 2 месяца назад
Semaji wetu tunaomba ubalance maneno msimu huu, maana unatuponza pindi team inavyofanya vibaya, tunashindwa kuongea. Punguza tambo kidogo
@gwamakaalleny5611
@gwamakaalleny5611 2 месяца назад
Simba tuanze na MUNGU na tu ta maliza na MUNGU. Ameni
@dativajohn9428
@dativajohn9428 2 месяца назад
Ubaya ubwelaaaaa
@DottoRenatus-kc5ny
@DottoRenatus-kc5ny 2 месяца назад
Punguza midomo msemaji mkwala ulituambia mpira ukijatu waaa Leo hii Yako wape uchawi upo watafelishwa sana hao washambuliaji wako wa waaa😅😂😂😂
@eliahnjavike4827
@eliahnjavike4827 2 месяца назад
Simba jengeni uwanja wenu,hii ni aibu
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Simba mnafeli wapi?mnasajil sana ila ufungaji hasa bado sana
@eliaezlom
@eliaezlom 2 месяца назад
Ubaya, ubwelaaaaaaa
@Amos-z7z
@Amos-z7z 2 месяца назад
Oyeeeeee ubaya ubwela mbelekwambele
@Johns.r.nMollel
@Johns.r.nMollel 2 месяца назад
Mkuwe mnapost video kila siku kwasababu yanga wameetuacha RU-vid kuwa na wafuasi wengi
@SubiraMoshi-vl4dv
@SubiraMoshi-vl4dv 2 месяца назад
Acha ushamba sio uwanja wa kmc huo ni uwanja wa serikali.we hata uwe na pesa huwezi shindana rasilimali na serikali..
@FaridsalehBinsadun
@FaridsalehBinsadun 2 месяца назад
tujenge uwanja wakati kutowa alf kumi kuingia uwanjani alafu mnataka uwanja mnafikili uwanja unajengwa kwa mdomo
@AmiriJuma-xt6rh
@AmiriJuma-xt6rh 2 месяца назад
Simba nguvu moja ubaya ubwela vijanaa fanyeni. Kweli maneno nje ni mingi
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 месяца назад
Simba kwa nn hamjengi kiwanja???
@AzariaBiseko
@AzariaBiseko 2 месяца назад
Timu inakoraboresheni ka muziki
@drallan6879
@drallan6879 2 месяца назад
7000???
@ThadeiHuppa
@ThadeiHuppa 2 месяца назад
Ni shwaaa shwaaa 😂😂😂😂
@oscarkilangi1187
@oscarkilangi1187 2 месяца назад
Timu Kama Simba jamani inacheza uwanja wa watu elfu 6/7 jamani ni aibu.
@PaulMaduhu-xu7rn
@PaulMaduhu-xu7rn 2 месяца назад
Mtoeni matola hapo ndo inafanya vzr timu ye2 mtoeni
@tanacksheyo7380
@tanacksheyo7380 2 месяца назад
Kila kitu kipyaaa
@voisaclassic1866
@voisaclassic1866 2 месяца назад
Ifike muda tumalizie uwanja wetu bunju kule kwani shida nini kama hela hamna semeni tuchangie tumechoka kuhama hama asee
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 месяца назад
Simba na yanga mbona aibu kubwa jamani hadi Leo hamna viwanja duh!
@zakayomawalla1085
@zakayomawalla1085 2 месяца назад
Tuache ushirikina tuchezee viwanja vyeny viwango vya Azam!
@luismchayano4796
@luismchayano4796 2 месяца назад
Kwanini uwanja wetu wa Mo Arena haukamiliki?kila siku sisi ni watumwa wa Viwanja! Ninaomba fanyieni kazi uwanja wetu,kuna kipindi tulichanga fedha za kujenga ukuta wa uwanja imefikia wapi?
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo 2 месяца назад
Ahmed Ally tunawaomba sana mjihadhari sana na huyo Manula kiwango chake limeporomoka vibaya sana sisi wanachama mashabiki na wapenzi Tunasema hatumtaki asipangwe kabisa ktk mchezo wowote wa ligi ya mwaka huu,
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 2 месяца назад
Acha fujo
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 2 месяца назад
Simba jengeni uwanja wenu.. Achana na kukodi viwanja vya timu ndogo kama KMC
@Nakawunguevelyne
@Nakawunguevelyne 2 месяца назад
❤❤❤😂😂
@farajithabiti8359
@farajithabiti8359 2 месяца назад
Daah Nganga😂
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 месяца назад
Kwanini sio Benjamin kwa mkapa
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 2 месяца назад
Tujenge uwanja wetu Bunju
@BensonYona
@BensonYona 2 месяца назад
Kiingilio hamjasema ni shingapi
@issabakari5016
@issabakari5016 2 месяца назад
Nauriza jee unataa kwajiri zamechi zausiku
@JohnJohn-fs8ex
@JohnJohn-fs8ex 2 месяца назад
Huo ni uwanja wa umma, umejengwa kutokana na kodi tunazolipa Manispaa hivyo ni uwanja wa wote kama ulivyo uwanja wa Uhuru na uwanja wa Mkapa
@RaniahCharlesImma
@RaniahCharlesImma 2 месяца назад
Ubaya umwelaaaaa
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 месяца назад
Ila tujenge viwanja vitu jaman
@HusseinHizza
@HusseinHizza 2 месяца назад
Yang wamejenga kwan
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 2 месяца назад
Aibu aibu nyie mnao dadadekj nyani haoni
@kiselyamasunga746
@kiselyamasunga746 2 месяца назад
Mhhy
@Officialwizzosun
@Officialwizzosun 2 месяца назад
Ubàya ubwela
@AnordyChavala
@AnordyChavala 2 месяца назад
👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺 ubaya ubwela
@SamwelJohn-w9f
@SamwelJohn-w9f 2 месяца назад
Jeng wako
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 2 месяца назад
Aibu aibu aibu. Kwa ukongwe WA Simba mnasifia uwanja WA watoto wenu KMC? Shame on you guys.
@Rich_aunty26
@Rich_aunty26 2 месяца назад
Ili jinga😂
@StanleyMhagama-t3w
@StanleyMhagama-t3w 2 месяца назад
Utopolo uwanja wenu uko wapi
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 месяца назад
Wanjaaa wa manispaa ya kinondoni serenading ndio imejengaaa hizo nikodiiii zetu hizo Acha unbeatable wako
@renatusmsengezi2249
@renatusmsengezi2249 2 месяца назад
Sema timu zetu sababu hata yanga wamechagua uwanja huu kama wanyumbani
@Immahjr
@Immahjr 2 месяца назад
Huo ni uwanja wa manispaa mbna al ahly, Ac Milan, inter Milan, mwiko nyuma hawana uwanja wao ni wakubwa
@MeshackKyando-y4n
@MeshackKyando-y4n 2 месяца назад
Unaongea upupu
@drallan6879
@drallan6879 2 месяца назад
Kama uwanja ni mdogo hamuoni Kama hamtutendei haki wapenzi due limited number ya wate watezamaji?please angalieni the I'll conceived idea ;why tusitumie uwanja WA shamba la Bibi? economically mmechemka mno ;watazamaji 70000?huo ni utoto!
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 месяца назад
Elf kumi nyingi acha usenge haya maisha unayaona
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 месяца назад
Sasa mashabiki tunalalamika elfu 10 ni kubwa je vilabu vyetu vitapandaje kiuchumi?
@emmanuelsabato885
@emmanuelsabato885 2 месяца назад
usenge unaujua?
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 2 месяца назад
Simba huwez kutoboa huu msimu hat kwa kuomba roho zote za nguvu hutoboi
@hanceraphael5455
@hanceraphael5455 2 месяца назад
One team one dream👏👏👏
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 362 тыс.
USO KWA USO MWIJAKU NA ALIY KAMWE WAKUTANA
4:31
Просмотров 2,3 тыс.