Тёмный

AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI (Official Live Video) 

AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Подписаться 118 тыс.
Просмотров 321 тыс.
50% 1

#KILA ULIMI, ni wimbo wa Nne katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Iweni na nia iyo, hiyo
ndani yenu
ambayo (ambayo)
Ilikuwemo pia ndani ya Kristo Yesu ( Kristo Yesu)
Ambaye (ambaye)
Yeye mwanzo (Yeye mwanzo)
Alikuwa Yu na namna ya MUNGU
Naye hakuona
kule kuwa sawa na MUNGU
Kuwa ni kitu
Cha kushikamana nacho
Bali alijifanya
kuwa hana utukufu
Akatwaa namna ya mtumwa
Akawa mfano wa mwanadamu (wa mwanadamu)
huyu YESU (huyu YESU)
Tena alipo onekana
Ana mwili kama mwanadamu
Alijinyenyekeza
Akawa mtii
Hata mauti na mauti ya Msalaba
(Mauti ya Msalaba)
Kwa hiyo tena MUNGU
Alimwadhimisha mno
Akamkirimia jina
Lile lipitalo kila jina
Ili kwa jina la YESU
Kila goti lipigwe
Na kila ulimi ukiri
Na kila ulimi ukiri
Ya kuwa YESU Kristo
Ni Bwana
Kwa utukufu wa MUNGU Baba
Utukufu wa MUNGU Baba
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Elisha Gerlad
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Видеоклипы

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 643   
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Baada ya #KilaUlimi kukiri kuwa Yesu ni Bwana. IJUMAA HII TAR 22/03 TUNA SURPRISE TUMEKUANDALIA KWENYE AUDIO PLATFORMS ZOTE 🔥🔥🔥 -Apple Music -Spotify -Boomplay -Audiomack -Deezer -Amazon Music -Tidal NA ZINGINE NYINGI……….. MUDA NI ULE ULE SAA SABA MCHANA(1300hrs) 😊 Tunapatikana kwa jina moja tu la (AIC Chang’ombe Choir ) kwenye platform zote.
@elishapembese1963
@elishapembese1963 6 месяцев назад
song writter Elisha Gerlad ndio yupi?
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
@@elishapembese1963 0:10 huyu anaeonekana kwenye hiyo dakika
@elishapembese1963
@elishapembese1963 6 месяцев назад
Okay anyecheza piano eeeh?
@elishapembese1963
@elishapembese1963 6 месяцев назад
Hongera yake Sana ....wimbo Una power kubwa na walioimba wameubeba vizuri. Hongereni Sana watumishi I'm inspired alot
@felixmusila4692
@felixmusila4692 6 месяцев назад
Following from Canada and definitely I will follow you on every platform. You such a blessing…
@michaellutonjagospelsinger6611
@michaellutonjagospelsinger6611 6 месяцев назад
Naomba like kwa mpiga keyboard
@EvanceChevensky-oj7de
@EvanceChevensky-oj7de 5 месяцев назад
Oooh yeees🎉🎉🎉💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nyakendajohn1352
@nyakendajohn1352 5 месяцев назад
❤❤❤
@nyakendajohn1352
@nyakendajohn1352 5 месяцев назад
Nzurii mbarikiwe🥰
@musamalaba6401
@musamalaba6401 6 месяцев назад
WIMBO WENYE PUMZI YA MUNGU (TOKA KWENYE MAANDIKO) Wafilipi 2:5-11, 5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; [6]ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; [7]bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; [8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. [9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; [11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA YENU YA UUMBAJI❤
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen mtumishi
@AbigaelKivuyo
@AbigaelKivuyo 6 месяцев назад
Nimebarikiwa sana na huu wimbo 🔥🔥🔥🔥. Kama na ww umebarikiwa gonga like❤
@agnessboaz7349
@agnessboaz7349 6 месяцев назад
MTUNZI NI NANI ? MUNGU AKUBARIKI KOKOTE ULIKO
@meshackmarco152
@meshackmarco152 6 месяцев назад
Hakuna jambo linanipa faraja kama kuona Vijana wadogo wakitoa muda wao kwa ajili ya kuinua jina la Yesu
@raymsanii
@raymsanii 4 месяца назад
Mnaoshinda kuandika hapa ati rudini kwa AIC ya zamani naomba niwaambie mna shida, na sio kwa ubaya but that is very hypocritical of you to even say in the first place🙄Growth is inevitable, hata wewe hivi ulivyo si basi ungekosa kugrow ubaki ulivyo kuwa baada ya kuzaliwa? If you dont want to support this great ministry ni sawa, but kuongea maneno yasiyo na msingi ni vibaya sana! Again I repeat, Growth is Inevitable!!! Good song fam, beautiful dance for God, beautiful dressing, beautiful singing, band top notch, I love this new AIC and I look forward even to better and best pieces to come❣❣❣❣❣🤝🏽
@rich-lr8tq
@rich-lr8tq 3 месяца назад
0 seconds ago as much as i know AIC huwa haina limitations katika uimbaji, so you are very correct
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 2 месяца назад
Some people are just rigid and resistant to change. As if the Bible illustrates how Christian music should be done. Change is inevitable
@jerrysonjulius7106
@jerrysonjulius7106 2 месяца назад
Acha watu watoe maoni yao,, kila mtu ako na haki ya kutoa maoni yake mm naona zamani walikuwa sawa kuliko sasa
@marrypius576
@marrypius576 2 месяца назад
​@@jerrysonjulius7106mbona wew ujabaki kama zamani 😂😂😂
@alicedickson5538
@alicedickson5538 2 месяца назад
Well said my dear umemaliza yoote
@brightonisaack1722
@brightonisaack1722 6 месяцев назад
Yeleuwiiiii🔥🔥🙌🙌Huu wimbo hauchoshi jamani🔥 TUJUANE TUNAORUDIA RUDIA😀🙌🙌🙌
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen
@paultimotheo5200
@paultimotheo5200 6 месяцев назад
KWAYA NAMBA MOJA TANZANIA🙌🙌🙌
@victoriansolo3842
@victoriansolo3842 6 месяцев назад
Mungu awabariki sana watumishi hawa❤
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 6 месяцев назад
Kwaya kongwe yenye ubora wakileo hata katika umri wake wa muda mrefu...kazi nzuri hongereni AIC KAZI MWAIFANYA MTALIPWA KWA KIPIMO CHENU
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@amoserasto8001
@amoserasto8001 6 месяцев назад
Mungu awainue na awatunze kwa Kazi nzuri kama Hii, Wimbo mzuri na Waimbaji wote wameimba vizuri Sana sana, I like it❤❤❤
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@joshuajustustz
@joshuajustustz 6 месяцев назад
CVC ft ZORAVO TOGETHER. MY GOD BLESS YOU ALL🎉🎉🎉. Kazi yenu ni njema. ❤❤❤
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@NdutiThomas
@NdutiThomas 6 месяцев назад
Mbarikiwe sana, nataman kuona Wimbo wa Masoro wenu wa siku zote, wakiimba pamoja, nitabarikiwe sana✊​@@AICTChangombeChoir_
@JoshyKaji
@JoshyKaji 6 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Asante sana YESU, upendo ulionipenda nimeuona na waajabu nakutisha sanaaa
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 6 месяцев назад
Ameen
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 6 месяцев назад
Inaleta raha kuona vijana wengi wanamtukuza mungu wetu mmbarikiwe sanaaa
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 6 месяцев назад
Ameen Ameen
@phylisobayo319
@phylisobayo319 6 месяцев назад
Kudos to the drummer and everyone. This is powerful 👏 🙌 👌
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@NeemaMartine-v9o
@NeemaMartine-v9o 6 месяцев назад
Duuuuuuu nihatar nilijua moyo do wimb pekee nilio upend kumbe bad kuna nyimbo bhan Hii ni hatar san hongera san san
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Baaaado baaado 😅
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen Utukufu kwa Mungu
@freedriwa7050
@freedriwa7050 6 месяцев назад
I can only imagine how Heaven is going to be..🔥🔥
@tusekileiseme2639
@tusekileiseme2639 6 месяцев назад
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana CVC kwa kazi nzuri. Mungu azidi kuwabariki.
@JohnImmah
@JohnImmah 6 месяцев назад
This is super ❤❤..... Aic chang'ombe mna kiti chenu pamoja na Wazee 24 Kwenye kiti Cha enzi MUNGU awabarikii hii nimeipenda Sanaa everything is well ❤️‍🩹❤️‍🩹
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾 Glory to God
@merumount5988
@merumount5988 6 месяцев назад
Mubarikiwe watumishi wa Mungu..Utukufu kwake Mungu Mkuu sana...! Nidhamu ya juu sana, mavazi, vitendo, upigaji vyombo..real wonderful!!
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾 Utukufu kwa Mungu
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 6 месяцев назад
Jamari kwayesu ni raha sanaaaa kila ulimi na ukiri kua yesu kristu ni bwanaaaaaaaa🎉❤❤❤❤🎉haleyuaaaa hosaaanaa
@pst.stanleynnko5821
@pst.stanleynnko5821 6 месяцев назад
Jamani Yesu amejibu maombi yangu natamani kuendelea kuwaona CVC kwenye ivi viwango zaidi na zaidi. Yamekuwa maombi yangu yamuda mrefu Asante Yesu wewe unajibu😭😭
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 месяцев назад
Amen. Barikiwa sana kutuombea na tunaomba uendelee kutuombea sana.
@JuniorKim-gj9lp
@JuniorKim-gj9lp 5 месяцев назад
MUNGU akubariki
@ayubumani4613
@ayubumani4613 6 месяцев назад
Elohimu , Moyo , Kila ulimi Nipo kwa karibu sana Zinaimba kwenye system yangu ya spika nne mziki mzuri Ujumbe mzuri Uchezaji sasa dah na enjoy Aic Chang'ombe nina nyimbo zenu nyingi za tangu kipindi hicho cha Haleluya Mwimbieni bwana wimbo mpya sifa zake zivume katika kusanyiko ....... Jamani Vocal sasa dah Acha niishie hapa❤
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 6 месяцев назад
Ubarikiwe. endelea kuwa hewani zipo na nyingine nyingi zinakuja. Julisha na wengine Nao wazidi Kubarikiwa
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 6 месяцев назад
Mpiga keyboard ainuliwe sana kwa kazi nzuri na kuonesha ushirikiano wa kucheza,kamshahara kaongezwe please 😂😂😂
@quenlameck2835
@quenlameck2835 6 месяцев назад
Zoravo's voice ni manukato❤❤
@zachariamabina2923
@zachariamabina2923 6 месяцев назад
Basst apewe Maua yake na yude dada mwenye nguo ya kijani dahh anajua wengine tuna wajua wako on 🔥🔥🔥 hii Ni Kali kushinda zote
@manmaking7717
@manmaking7717 6 месяцев назад
Mnaokumbuka wimbo wa Halleluya mwimbieni Bwana Wimbo mpya wapiiiiii!
@johncharlessingano8551
@johncharlessingano8551 6 месяцев назад
Bethel GOSPEL SINGERS. TUNAWAPONGEZA CVC KWA KAZI NZURI
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 6 месяцев назад
Ameen
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 месяцев назад
Amen
@thomaslukubi7299
@thomaslukubi7299 6 месяцев назад
What a combination CVC +Zoravo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sabunifeleshi7563
@sabunifeleshi7563 6 месяцев назад
Mungu ni mwema , injili lazima ipelekwe kwa mataifa Yesu Kristo alituachia maangizo
@josueuwimana1444
@josueuwimana1444 6 месяцев назад
yusu mwana wa Mungu upewe sifa zote Baba unasistahili milele
@zachariamabina2923
@zachariamabina2923 6 месяцев назад
Tuna angalia kila muda
@jamesandulile1894
@jamesandulile1894 6 месяцев назад
Very Very Powerful Message, Trust me, kuna Nguvu inatembea na huu wimbo
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@JuniorKim-gj9lp
@JuniorKim-gj9lp 5 месяцев назад
Amen
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 6 месяцев назад
Zoravooooooooo.......oyooooh.......hongereni Chang,ombe Aic.......hubiriniiiiii
@bethuelnatembeya5342
@bethuelnatembeya5342 6 месяцев назад
Kwa yesu kuna raha
@lourdeslida1457
@lourdeslida1457 6 месяцев назад
Na kila ulimi ukiri ya kuwa Yesu kristo ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba🙌🙌🙌
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@janemoraa9997
@janemoraa9997 6 месяцев назад
Hongereni Soloists na CVC kwa kazi njema. Keep Glorifying the Lord!
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@felixmusila4692
@felixmusila4692 6 месяцев назад
From Canada we are blessed.
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾 Be Blessed
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 месяцев назад
Amen
@joellumala3206
@joellumala3206 6 месяцев назад
Pasaka hii #Kila_Ulimi Utakili! Blessed morning.,
@eliasmateko4462
@eliasmateko4462 6 месяцев назад
Blessed be the name of God We finalize March in the abundance of blessings from my favourite choir Ameeeeenn
@JacksonLazaro-mm3qs
@JacksonLazaro-mm3qs 6 месяцев назад
❤❤Naipenda Sana yule mama mwembamba mweusi mwenye sauty Nyoro yupo wapi???2024
@jerrymadaha9895
@jerrymadaha9895 6 месяцев назад
Tafuta wimbo unaitwa Mwokozi utamuona
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Yupo
@Godfrey-yd5yq
@Godfrey-yd5yq Месяц назад
Huy drams ni moto mwingineeeeee kabisaaaaaa asifananishweeee na mtu yeyyoteeeeee Na sifa zimludie yeye alieko juu
@justuskiptoo3395
@justuskiptoo3395 6 месяцев назад
Another One: Ambaye Yeye Mwanzo😊😊!
@JamesFrankMwidunda
@JamesFrankMwidunda 6 месяцев назад
Sitaionea haya injili ya Mungu, maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu......
@rebekajilo
@rebekajilo 6 месяцев назад
my favorite choir be blessed
@princessanne1270
@princessanne1270 6 месяцев назад
ZORAVO NA MFELO WHAT A COLLABO🔥🔥🔥
@eliemwandaza2483
@eliemwandaza2483 6 месяцев назад
Huu wimbo Una nguvu Mbarikiwe wa tumishi kwa kumuinuwa Yesu kwa namna ya kipekee
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@dorcastesha423
@dorcastesha423 5 месяцев назад
hii nyimbo nyie tena hcho kipengele cha ''kwahyo tena Mungu alimwadhimisha mno akimkirimia jina jina lipitalo kila jina ili kwa hilo jina kila goti lipigwe na kila ulimi ukiri'' 🙌🙌🙌 ur the best u guyz😘😘
@agnessboaz7349
@agnessboaz7349 6 месяцев назад
Namuona bonge grace mtoto wa mama tunda la roho buzuluga choir hongereni sana kwa huduma wimbo mzuri❤
@mwlkimath
@mwlkimath 6 месяцев назад
Glory to God Hakika CVC Mungu awakuze zaidi na zaidi Mungu azidi kuongezeka kwenu Daima na nyie mpungue Uso wa Mungu uende nanyi Daima MSIGOMBANE NJIANI
@NicholasKanzi
@NicholasKanzi 6 месяцев назад
May God bless u,karibu kenya
@NicholasKanzi
@NicholasKanzi 6 месяцев назад
Very soon tutabarikiwa pamoja
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen Asante sana
@NicholasKanzi
@NicholasKanzi 6 месяцев назад
Nimebarikiwa sana
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 месяцев назад
Assnte
@milkakasebele1088
@milkakasebele1088 6 месяцев назад
Huu wimb ni moto mung awabariki Zaid na zaid
@joshuamwakatobe3988
@joshuamwakatobe3988 6 месяцев назад
Aiseee Mungu anainuliwa
@Loudlovealways
@Loudlovealways 6 месяцев назад
Sauti ya Zoravo Ina UPAKO saana🙇🏾‍♂️😫🙌🏼
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Sana 🙌🏾
@juntwakabete1664
@juntwakabete1664 6 месяцев назад
Zoravo ft mfello🔥🔥
@lilianjumba3298
@lilianjumba3298 6 месяцев назад
Naomba mje huku kwetu Kenya thika AP chapel mtufunze tufike hapo
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 6 месяцев назад
Tunashukuru kwa mwaliko. Tuzidi kuombeana na kuna siku Mungu atafungua njia tutafika. Mubarikiwe
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾 Kwa neema ya Mungu tutafika
@gitiganiibrahimdanhi7692
@gitiganiibrahimdanhi7692 6 месяцев назад
Mubarikiwe Sana Watumishi wa Jehovah 🙏🙏🙏
@noelshipella2689
@noelshipella2689 6 месяцев назад
This is the gospel song
@CareenDenis
@CareenDenis 6 месяцев назад
May God bless you family in Jesus Christ
@sheilapande9024
@sheilapande9024 6 месяцев назад
The feeling of a choir and a modern touch. This very beautiful
@barakachiboni3973
@barakachiboni3973 6 месяцев назад
Daah kwa kweli nimesisimuka hatari
@amoserasto8001
@amoserasto8001 6 месяцев назад
Huyo dada aliyeimba Wimbo wa Moyo pamoja Mfello kwenye Pasaka mnikumbushe Nitakuwa na Zawadi yenu.. Naomba nimjue jina huyo dada aliyeimba Moyo ananibariki Mno🙏🙏😇
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 6 месяцев назад
Adelina
@benjaminsamwel5059
@benjaminsamwel5059 6 месяцев назад
Zoravo your blessed voice, and U bless us
@jamesjohn2601
@jamesjohn2601 6 месяцев назад
mbarikiwe sana.
@suzielomyan4565
@suzielomyan4565 6 месяцев назад
best choir ever ❤
@bahatkisam8367
@bahatkisam8367 6 месяцев назад
❤❤❤ When words fails, let worship speaks
@andrewmatheka9749
@andrewmatheka9749 6 месяцев назад
Watching from Kenya ,my all time favorite choir...be blessed Aic changombe..yesu kristo ni bwaaana
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
🙏🏾
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 месяцев назад
Amen
@petermhinga70
@petermhinga70 6 месяцев назад
Leo wa 12 like zangu jmn
@elizabethyusuph9221
@elizabethyusuph9221 6 месяцев назад
Asante Yesu kwa kunifia msalabani...ninakiri kuwa wewe ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu 🙏
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 6 месяцев назад
Aisee nyimbo zinamafuta ya roho mtakatifu aisee mnafanya kweli kristo awainue sana
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@victoriansolo3842
@victoriansolo3842 6 месяцев назад
Amina
@NdiseProtasy
@NdiseProtasy 6 месяцев назад
Mungu Abariki mbegu mnayoipanda Kwake, Mungu awape Baraka mpate Hitaji la mioyo Yenu Mfanikiwe wote mjikite kwake2❤❤❤🎉Nawapenda sana
@innogmsuya_minister4953
@innogmsuya_minister4953 6 месяцев назад
Mfeloooo 🔥🔥🔥🔥🔥
@amankajuna5064
@amankajuna5064 6 дней назад
Bwana Yesu ainuliwe. Chang’ombe AIC kilicho ndani yenu Mungu azidi kujidhihirisha kwenu
@ferdinandmathias-to2tf
@ferdinandmathias-to2tf 14 дней назад
Huu wimbo gharama yake ni kubwa siwezi kuwalipa AIC chang'ombe jinsi nilivyofunuliwa juu ya maisha yangu kupitia huu wimbo ni mambo makubwa sana,hope nitavuka kwa utukufu wa Mungu Baba🙌🙌
@Behindsomeone
@Behindsomeone 6 месяцев назад
Nice song hongereni sana AIC chang'ombe
@happymako-mb7is
@happymako-mb7is 6 месяцев назад
Waiting 👌
@davidkisalimwala9458
@davidkisalimwala9458 6 месяцев назад
Tamu sana maneno mateule ya kumsifu Mungu...................................................naupenda mno
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Be Blessed ❤️
@mwanjokaully4904
@mwanjokaully4904 6 месяцев назад
kuna huyo mwamba ameimba kama joellwaga 😅🙌
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 6 месяцев назад
Safii sanaa. Bonge la songii....very good... MUNGU azidi kuwainua
@scayoscayo3998
@scayoscayo3998 6 месяцев назад
The music director of this song is something else-Bwana ambariki mnoo, Watumishi wa Wa Mungu ni hakika mmeugusa moyo wa kristo Kwa nyimbo hii- the complete masterpiece! Amazing Amazing!!
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@catherinemuisyo7619
@catherinemuisyo7619 5 месяцев назад
Amen and Amen 🙏🙏🙏
@happydenis
@happydenis 9 дней назад
Huuu wimbo unanibariki Sana napenda kuisikiliza kila siku big up Sana AIC chang'ombe wakiwa na Kaka etu zoravo mbarikiwe sana 🙏
@IssackMfelo
@IssackMfelo 6 месяцев назад
Watu tunapokea baraka kupitia nyimbo
@ExaudyMassawe
@ExaudyMassawe 6 месяцев назад
MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI AWABARIKI SANA SANA SANA AICT CHANG'OMBE, ZORAVO MUNGU AZIDI KUKUPAKA MAFUTA MABICHI
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@EstherFredrick-d7d
@EstherFredrick-d7d 6 месяцев назад
Mbarikiwe wote kila msikiapo habari njema ya ufalme wa Mungu aishie milele na milele🙏
@AbednegoTemba
@AbednegoTemba 6 месяцев назад
ELISHA GERALD POPOTE ULIPO HONGERA KWA UANDISHI MZURI.... THIS SONG IS A Jam
@EradiusReuben-fn1db
@EradiusReuben-fn1db 6 месяцев назад
Mungu azidi kuwafanya watumishi wakee 🙏🙏🙏Dada aliye solo MOYO kiukwelii yuko ndani ya uwepoo
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@faithchibululu1892
@faithchibululu1892 6 месяцев назад
Wimbo mzuri saana barikiweni watumishi
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@ananemaemanuel8751
@ananemaemanuel8751 6 месяцев назад
Mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi kwaajili ya utukufu wake ❤
@AllenWilliam-b4z
@AllenWilliam-b4z 6 месяцев назад
Wimbo huu ni baraka🔥🔥🥳🙌🏽
@eurickjoely5209
@eurickjoely5209 Месяц назад
This song will never fade up
@eliasleonard2598
@eliasleonard2598 6 месяцев назад
Oya mfello unajua unajua tena bro 🔥🔥🔥umenikosha sana kuanzia kwenye MOYO hadi KILA ULIMI UTAKILI🔥🔥🔥 hii combo ya mfello na zoravo ni 🔥🔥
@ntahomvukiyevincent9245
@ntahomvukiyevincent9245 6 месяцев назад
Jameni tupeni muda ndio huuu:' Kila ulimi'.Burundi nawapenda saaaaana
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 6 месяцев назад
Ndo unakuja endelea kusubiri. julisha na wengine wapate hii Neema. Tunashukuru
@Dr_Gifted
@Dr_Gifted 6 месяцев назад
Kenya twasubiri. You never fail
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 6 месяцев назад
subira yavuta heri. Jiandae
@graysonlameck1317
@graysonlameck1317 6 месяцев назад
AIC’s Tone + Modern Gospel Live recording 👌👌👌👌💯🔥🔥🔥
@johnnehemiah-iw9jg
@johnnehemiah-iw9jg 6 месяцев назад
NA BARIKIWA SAWANAA MUNGU. AKUMBUKE KILA HATUA ❤
@chigutamaureenmjeni
@chigutamaureenmjeni 6 месяцев назад
Amen mbarikiwe sana❤
@sospeterjuma9723
@sospeterjuma9723 6 месяцев назад
Mbalikiwe sana 🙏🙏
@joshuanyakoe9856
@joshuanyakoe9856 6 месяцев назад
Just beautiful and thrilling production. What a worship!!!!! God and the entire heaven is happy for you CVC
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾 Glory to God
@monicahwarimumucheru-hakan4356
@monicahwarimumucheru-hakan4356 6 месяцев назад
Eeeeeeeuuuu eeeeuuuuuu ! Eeeeeeeeu ! Nakosa maneno nimebarikiwa! Zorazo is taking the leadership role :)❤na intro inaslap kweli kweli
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 6 месяцев назад
Amen 🙏🏾
@BarakaZakayo-w9y
@BarakaZakayo-w9y 11 дней назад
Yesu Anarudi kila Goti lita pigwa kila ulimi utakiri😭😭
@teddymabula3371
@teddymabula3371 6 месяцев назад
Hatari na nusu❤❤❤..... Hongereni sana na utukufu kwa Mungu
Далее
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MOYO (Official Live Video)
10:08
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 452 тыс.
POLI - Котик (Official music video)
2:04
Просмотров 589 тыс.
Светлая полоса
3:52
Просмотров 127 тыс.
Сигма Бой (Preview)
0:30
Просмотров 556 тыс.