Тёмный

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - JINA YESU (Official Live Video) 

AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Подписаться 117 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

#JINA YESU ni wimbo wa kumi na moja katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kukusaidia kuisikia sauti ya MUNGU. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Jina YESU ni haki yetu
Dhamana yetu kutoka msalabani
(msalabani)
Tumeamua kuacha vyote tumemfata mwenye uhakika
Hatuna mashaka na maisha yetu
Tuna uhakika na maisha yetu
Neno moja tumeliweka moyoni
Neno hili ndilo msingi wetu wa imani
Tumeamua kukaa na YESU
Tumeamua kuishi maisha safi
Tumegundua hakuna msaada mwingine
Ila ni YESU
Acha awe jibu la maswali yetu yote YESU acha
Acha awe msaada wakati wote wa shida YESU acha
(Tumeamua kuacha vyote tumemfata mwenye uhakika)
Tumeamua kwenda pamoja na MUNGU
Maisha yetu tumeyatoa sadaka kwa MUNGU
Tumemchagua MUNGU kuwa kiongozi wetu kwa kuwa hakuna msaada
Msaada ni MUNGU mwenyewe, mwenyewe,mwenyewe,mwenyewe...
Silaha ya vita maombi..hakuna kingine ni maombi
Uaminifu katika yote ndiyo msaada wetu
Tukifanya ivyo tutalindwa
Na nguvu za MUNGU tutalindwa
Silaha ya vita maombi..hakuna kingine ni maombi
Uaminifu katika yote nakwambia ni msaada wetu.
Mtetezi wetu tunae msaada wetu wakati wote
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima
Hakuna shida wala dhoruba zitakazojitokeza
YESU atakuwa nasiii
Baba atakuwa nasii
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Barthrolomew Magulu
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Joshua Enock (BASS)
Jeremiah Madaha (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@evalynmwende1318
@evalynmwende1318 7 дней назад
Wimbo ulio bora.huyo mpiga vyombo drums nipewe likes zake.
@evalynmwende1318
@evalynmwende1318 7 дней назад
Hizo trumpets...
@hermanShael-vc4ry
@hermanShael-vc4ry 10 дней назад
Daaaaah chang'ombe CVC mnahiburidisha sana mioyo ya watu kurudi kwa Bwana be blessing 💖🙏
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 3 дня назад
Nawapendaga Sana toka Iringa,Mbarikiwe
@jantsjefta8381
@jantsjefta8381 9 дней назад
Mbarikiwe sana wimbo nausikiliza kila siku
@EverlyneMagut
@EverlyneMagut 10 дней назад
Ahsanteni sana...wimbi unaoshika na kuteka mawazo na kufanya ije Kwa njio inayofaa....mara nyingine Mimi ni shimron kutoka Kenya chuo kikuu Cha Nairobi.... Mungu awabariki
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Amen. Thanks. Let the glory be to God. Karibu sana utumike nasi kwa kutuombea.
@EverlyneMagut
@EverlyneMagut 9 дней назад
Thank you very much...im looking forward towards it​@@rachelsenni8919
@emmajmmasuke1497
@emmajmmasuke1497 3 часа назад
Amina saana
@Caleb-m7m
@Caleb-m7m 6 дней назад
Huyo solo ako sawa nipewe jina lake niko kenya big up mko sawa cvc
@Mageta425
@Mageta425 10 дней назад
Neno moja nimeliweka moyoni neno hili ndilo msingi wetu wa imani ❤❤❤
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 4 дня назад
Mungu awabariki sana CVC❤
@hellenrichard187
@hellenrichard187 3 дня назад
Naipenda hii kwaya sana❤
@nicholouskyomo4960
@nicholouskyomo4960 9 дней назад
Kweli kwa yesu kuna huakika.....hakuna mashaka....🥰🤗🙏👌
@unclesammykaniki1184
@unclesammykaniki1184 10 дней назад
#Mungu wetu Yupamoja Nasi Katika vyote tuvifanyavyo Anajibu kila kitu pasipo Mashaka.
@IsackPaulo-k8q
@IsackPaulo-k8q 7 дней назад
Mko vzuri sana aisee 🙏🙏🙏
@naomilotti1882
@naomilotti1882 9 дней назад
Nawapendaa mpk naumwaa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@susumakomanya9762
@susumakomanya9762 10 дней назад
Wimbo ni mzuri sana mbarikiwe,nina maoni kidogo..nyimbo wanazokua wameanzisha wanawake zinakua zimetulia vizuri,mfano hii na ile ya Msikilize roho,lkn wanazoanzisha wanaume zinakua na kelele nyingi sana,jaribuni kuliangalia hilo na kulifanyia kazi. Asanteni
@erickkitila405
@erickkitila405 10 дней назад
Tatizo vijana mambo mengi wanatakiwa wawaelekeze vizuri misingi ya kwanya
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Noted and thanks.
@victorelias518
@victorelias518 10 дней назад
Jmnii nipen like nami
@sam_wa_nduthi254
@sam_wa_nduthi254 10 дней назад
Wapi shangwe ya jina YESU
@Regnard999
@Regnard999 10 дней назад
Bassist 🔥🔥🔥🔥❤❤❤,, unanibariki sana tangu MSIKILIZE ROHO❤❤
@AdelinaGasto
@AdelinaGasto 10 дней назад
Acha awe jibu la maswali yetu yote yesu achaaaa❤
@victoriajulius7495
@victoriajulius7495 4 дня назад
Mnaniburudisha sana😊
@isackobadiah484
@isackobadiah484 10 дней назад
Mungu Aendelee Kuwabariki Kwa Nyimbo Zenu Nzurii 🙏🙏
@GadlordKiwango
@GadlordKiwango 10 дней назад
THE NAME OF JESUS IS SO SWEET 🤗WAITING FOR IT ..,
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 8 дней назад
🎉
@shadrackandfamily5057
@shadrackandfamily5057 5 дней назад
Amina.
@iyaamoding8945
@iyaamoding8945 8 дней назад
❤❤❤❤❤ Amen Amen
@mwasimakenge5752
@mwasimakenge5752 10 дней назад
Sound musicians (wapigajji wote) Big up sana! Malaika wa sifa kutoka kwenye ufalme Mungu wakashuke na kupiga nyuzi pamojja nanyi. Hakika wapigaji mmeubariki moyo wa Kristo Yesu aliye muanzilishi wa sifa!
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Amina. Jina la BWANA libarikiwe na sifa zote zimrudie yeye tu. Endelea kuiombea kazi ya BWANA.
@MikeWilliam-nf3lk
@MikeWilliam-nf3lk 10 дней назад
Tunasubiriiiiii 🔥
@danmbizo3472
@danmbizo3472 5 дней назад
God bless 🙏
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 10 дней назад
Achieeeeeeem mgoma tunausubiriiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 10 дней назад
Nawapenda sana kristo azidi kuwainua kwa kweli Yesu ni jina kuu kristo awazidishe shana
@KusekwaSalome
@KusekwaSalome 10 дней назад
Hakika Yesu anajibu Amen
@mwasimakenge5752
@mwasimakenge5752 10 дней назад
Amen and amen
@DanTubez-id
@DanTubez-id 9 дней назад
i love this team
@AdmiringHot-AirBalloons-id1os
@AdmiringHot-AirBalloons-id1os 10 дней назад
Nawakubali sn ndg zangu mungu awabariki sn
@bettykageza1964
@bettykageza1964 5 дней назад
Waoooooh
@mwasimakenge5752
@mwasimakenge5752 10 дней назад
Wapigaji fire fire!! Sololist Big up! FIRE!
@julietmoonka183
@julietmoonka183 10 дней назад
Dada yupo vizuri mno kwenye live performance, confidence 💯 Mungu amuinue viwango vya juu
@jacksonkalaki2402
@jacksonkalaki2402 10 дней назад
Really kwa live performance anajua yuko powa sana anajua kumiliki jukwaa na
@Regnard999
@Regnard999 10 дней назад
RAHA SANA AIC CHANG'OMBE. TUNABARIKIWA SANA❤❤❤❤
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 10 дней назад
My Choir Nawapenda saana CVC ❤❤❤
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Amen. Thanks and be blessed.
@kelvinjoshua5072
@kelvinjoshua5072 9 дней назад
🔥🔥🔥
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 10 дней назад
Hatuna Mashaka na Maisha yetu kabisa
@ElishaZebedayo-cy4ox
@ElishaZebedayo-cy4ox 10 дней назад
Cvc Bwana aendelee kuwainua juu zaidi hakika kazi yenu sio bure
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Sifa na utukufu kwa BWANA
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 10 дней назад
Ameeen
@guardianprince001
@guardianprince001 10 дней назад
Kiukweli nawatambua sana tokea Elohim nimekua nikifatilia kazi zenyu mbarikiwe sana ❤❤❤❤much love from KENYA ❤❤❤
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Amen. Jina la BWANA libarikiwe
@GabrielPaul-tq4kk
@GabrielPaul-tq4kk 9 дней назад
Nyimbo ni nzuri, hakikisheni hamtoki katika uwepo wa Mungu wakati wote.
@MathiasMaurus
@MathiasMaurus 10 дней назад
Amen...tunasubili
@benmutinda4990
@benmutinda4990 7 дней назад
Mungu ainuliwe na kwa choir na waimbaji mmbarikiwe
@EvansIcon
@EvansIcon 10 дней назад
Hot 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josephngei4072
@josephngei4072 10 дней назад
Wololooo Cvc New Release finally 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mnanibariki zaidi ata mkija Nairobi 🇰🇪 hii ndio niliskiza live.. perfect God bless you more and more from your number 1 fan 🇰🇪 Joseph Ngei Junior
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 10 дней назад
Amen. Thanks and be blessed. Continue praying for us. Glory and honour be to God.
@user-bn1rz3dk4q
@user-bn1rz3dk4q 10 дней назад
shangwe na vigelele kwa wimbo pendwa
@wigilyacncheyojr461
@wigilyacncheyojr461 9 дней назад
mung awatumie katika huduma yake amen🎉
@boazphillip4019
@boazphillip4019 9 дней назад
Wimbo mzuri sana watumishi wa Mungu,
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 10 дней назад
Tumeamua kuacha vyote kwa ajili ya Bwana.
@samwelchristopher
@samwelchristopher 10 дней назад
❤❤❤❤
@claudinandonde3835
@claudinandonde3835 10 дней назад
Nawapenda sana munaimba vizuri Ila mujikaze muache mapambo, wapendwa katika Kristo.
@TitosAnderson-mv1li
@TitosAnderson-mv1li 7 дней назад
Cvc kunakipind ni kama tulipotea tunajua ni mapenz ya MUNGU nasasa tumesimama upya ni mapenz ya MUNGU ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉sanaa mnazidi kuimarika siku hadi siku 🙏🙏🙏🙏
@EliaIvan
@EliaIvan 6 дней назад
Ni kweli kabisa baada ya kuachia Albamu ya JiWE mlipotea kabisa tunamshukuru Mungu kwakuwa mmerudisa Heshima yenu tenaa mmesimama kwa Nguvu zaidi ya Mwanzo Nawapenda sanaa ❤❤❤
@munanie
@munanie 10 дней назад
Amen...🎉
@mosesmbeke6137
@mosesmbeke6137 10 дней назад
NGOMA TAMU SANA,HONGERENI SANA PIA HONGERA ANKO MAGE MAANA SOLO NI NDEFU ILA UMEKOMAA NAYO VIZURI KWA UBORA WAKE,BARIKIWA
@juliuswisalah9183
@juliuswisalah9183 9 дней назад
I love this song 🎵 May God bless you for the wonderful work. Mungu atakuwa na mimi daima.
@HazinNgoy-fr6cz
@HazinNgoy-fr6cz 10 дней назад
Amina 🎉🎉🎉🎉🎉
@JoelMeshack-ei1wk
@JoelMeshack-ei1wk 10 дней назад
Nawakubalisana na nyimbo zenu
@user-ui5kx5iz9o
@user-ui5kx5iz9o 10 дней назад
Mungu azidi kuwainua ndugu zangu nawapenda sana❤❤
@EmmanuelThomas-e1l
@EmmanuelThomas-e1l 10 дней назад
Tumeamua kuacha vyote tumemfata mwenye uhakika🙌🔥
@sam_wa_nduthi254
@sam_wa_nduthi254 10 дней назад
And finally the count down
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 10 дней назад
🎉🎉
@CharlesShija-f1v
@CharlesShija-f1v 10 дней назад
Naona dada yangu kanenepa sana aisee
@joannyogosei3315
@joannyogosei3315 10 дней назад
❤🔥
@paulseneda
@paulseneda 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@dorcasmanda1793
@dorcasmanda1793 10 дней назад
Wimborne mzuri wapendwa Keep it up.
@hezbonkainanga5046
@hezbonkainanga5046 10 дней назад
Kazi safii mno...mungu awabariki
@michelumba2944
@michelumba2944 9 дней назад
❤❤❤❤❤❤mu tiye piya lyrics swahili tuna wa omba
@FelisterMedson-gr5ur
@FelisterMedson-gr5ur 10 дней назад
Amen amen
@simonmakau2451
@simonmakau2451 10 дней назад
amazing ministry.
@kwandikwa8733
@kwandikwa8733 10 дней назад
Amen
@chazbaba
@chazbaba 10 дней назад
Top❤
@marybipa-hn7md
@marybipa-hn7md 10 дней назад
🔥🔥🙌🙌
@josephfungwa5719
@josephfungwa5719 10 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@mwasimakenge5752
@mwasimakenge5752 10 дней назад
CVC choir now you are back at home! And this is your original tone, where your spiritual Star is! Maintain this. You lost this taste for a so long! And be blessed. Many congratulations!
@Regnard999
@Regnard999 10 дней назад
I second you
@victorlespicus6884
@victorlespicus6884 10 дней назад
Noma❤
@NgussaElisha
@NgussaElisha 10 дней назад
Jitahidin basi kutafuta location nyingine tofauti na humo kwenye mataa sura hazionekani vizuri
@sospeterjuma9723
@sospeterjuma9723 2 дня назад
Albam lini wa pendwa??
@DanfordJohan-zd1cg
@DanfordJohan-zd1cg 10 дней назад
Nyimbo nzuriii sana ila mmeimba vibayaa sana kelele nyingi maneno hayasikiki,
@jamesbavo
@jamesbavo 10 дней назад
Hiyo sio kazi ya kwaya sasa
@raphaelntambi6404
@raphaelntambi6404 10 дней назад
Acheni hizo hate comments mnakatisha tamaa wenzenu mbona sisi tumesikia kwann usiangalie namna nzuri ya kushauri na hapa sio mahali pake unaweza sababisha na wengine wasibarikiwe Kuna waimbaji wengi na nyimbo zilizotulia ukihisi hii Ina makelele nenda ukasikilize zilizotulia watu wanatumia gharama nyingi na muda wao kuandaa huduma hizi acheni kukatisha watu tamaa
@DanfordJohan-zd1cg
@DanfordJohan-zd1cg 10 дней назад
@@raphaelntambi6404 hayo ni mawazo yangu naww unaweza kuchangia yakoo.
@DanfordJohan-zd1cg
@DanfordJohan-zd1cg 9 дней назад
@@raphaelntambi6404 mawazo yangu hayo hata ww unaweza kuchangia yakwako
@jantsjefta8381
@jantsjefta8381 9 дней назад
Kwan ww unamatatizo gan huu wimbo una makelele gan au we masikio yako ndo yameumbwa na makelele tumia busara
@MathewAnthony-uq2xr
@MathewAnthony-uq2xr 10 дней назад
😢😢😢😢
@mwasimakenge5752
@mwasimakenge5752 10 дней назад
However, photographing is not clear, we cannot see your faces clearly men of God. But May the Lord Jesus answer His Holy Name upon your your Ministry.
@braynassary1429
@braynassary1429 10 дней назад
You have commented wisely, stay blessed
@Bandugu-b5p
@Bandugu-b5p 9 дней назад
Wapi vigelegele Kwa YESU
@salomemhalule5213
@salomemhalule5213 10 дней назад
❤❤❤
@mpekeomtandalatv2909
@mpekeomtandalatv2909 10 дней назад
🔥🔥🔥
@RuthElia-b1m
@RuthElia-b1m 10 дней назад
❤❤❤❤
Далее
Paul Clement Ft Bella Kombo ( Nafasi Official Video )
8:30
Chukwu Oma (feat. Rehema Simfukwe)
11:33
Просмотров 8 тыс.
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
Просмотров 987 тыс.
Dr Tumi - WAKUABUDIWA
10:01
Просмотров 186 тыс.