Тёмный

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - UKUU NI WAKO (Official Live Video) 

AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Подписаться 117 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

#,UKUU NI WAKO ni wimbo wa kumi katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kukusaidia kuisikia sauti ya MUNGU. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Eeh BWANA Ukuu ni wako
na uweza, na utukufu
na kushinda na enzi
maana vitu vyote
vilivyomo mbinguni na duniani
ni vyako, ufalme ni wako
Eeh BWANA
(Nawe umetukuka, u-mkuu juu ya vitu vyote)
Utajiri na heshima
vyatoka kwako wewe MUNGU
nawe watawala juu ya vyote
Tena mkononi mwako
mnakuwatukuza
na kuwawezesha wote
Lazima, Lazima,Lazima
(Tukutukuze BWANA,Tukusifu BWANA, Tukuabudu)
Nami katika unyofu wangu wa moyo
nimeyatoa haya yote
kwa hiari yangu mwenyewe
Nitakusifu BWANA
Nitakuinua YAWEH
Sadaka yangu kwako BWANA
Ni kukutumikia wewe
Ninajua nitapata mengi kwako
(Uzima utakuwa sehemu yangu BWANA)
Ninajua nitapata vingi kwako
(Baraka zitakuwa sehemu yangu BWANA)
Lazima, Lazima,Lazima
(Tukutukuze BWANA,Tukusifu BWANA, Tukuabudu)
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Barthrolomew Magulu
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Nestory Ntogwa(BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 26 дней назад
Naomba likes kwa Ukuu wake Mungu
@magambaniofficial300
@magambaniofficial300 26 дней назад
Nidhani nitakuwa wa kwanza ku coment...😂😂
@daudbarnaba5634
@daudbarnaba5634 26 дней назад
Mimi wa kwanza 😂😂😂 nipeni like zangu jomoni!!!
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 23 дня назад
Kuna jambo kubwa la kujifunza kutoka kwenye choir hii kwani nimefuatilia nyimbo zao muda mrefu sana wako serious kumtumikia Mungu hongereni sana hakika mpangilio kwenye wimbo huu ni mzuri sana Mungu awajalie mfike viwango vikubwa zaidi nawapenda sana.
@EddyMwangwale
@EddyMwangwale 26 дней назад
Saxophone Sasa you make Moore enjoyable
@dicksonjacob4592
@dicksonjacob4592 26 дней назад
I like the combination of the last leaders "lazima lazima....."
@gideongeneration.4999
@gideongeneration.4999 26 дней назад
Nasubili huu wimbo kwa hamu kubwa Sana. mbona unakawia ndugu zangu!?
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 26 дней назад
Ukuu ni wako Bwana
@nimrodtitus9950
@nimrodtitus9950 26 дней назад
Mama Diana ❤
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 23 дня назад
Mzidi kubarikiwa sana watumishi wa MUNGU tunawapenda mnoo kristo azidi kuwatunza na kuwainua siku hata siku hakika MUNGU ni mwenye uweza 🙌🙌🙌🙌
@thesyisazu7323
@thesyisazu7323 25 дней назад
Lazima lazima
@eliasmateko4462
@eliasmateko4462 26 дней назад
Blessed be the name of God 🙏🙏🙏🙏🙏
@EnzohAmoh
@EnzohAmoh 26 дней назад
Blessing upon blessing
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo 26 дней назад
Naupenda Sana
@FrolaJustine-g1r
@FrolaJustine-g1r 26 дней назад
Mungu aendelee kuwatia moyo katika kazi yake ❤❤
@mbonigabajeandamour9638
@mbonigabajeandamour9638 24 дня назад
My God bless you AIC chang'ombe Choir We love you so much end welcome in Rwanda Kigali City
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 26 дней назад
Safi sana CVC ....... kazi viwango vya juu kabisa
@richardnorman5179
@richardnorman5179 19 дней назад
Hongera kutoka Kenya
@Brightonychristopher
@Brightonychristopher 20 дней назад
Amen
@markpaulsilvester9637
@markpaulsilvester9637 26 дней назад
Alifika huku lini waah the quality is superb. God bless you CVC
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 26 дней назад
Na mimi najiuliza huku editor wa video hii ni yuleyule au wamebadilisha ....... maana quality iko juu sana kuliko zilizotangulia
@markpaulsilvester9637
@markpaulsilvester9637 26 дней назад
@@masalugusessa3702 nadhani wamebadilisha maana hii ni safi sana
@rosemarygerald4617
@rosemarygerald4617 9 дней назад
Safi sana Joel Mungu azidi kuwatumia kwa kazi yake
@aziramartine252
@aziramartine252 26 дней назад
The duets were perfect❤️ and amazing
@mariamuna4789
@mariamuna4789 26 дней назад
God bless you CVC🔥🔥🔥
@wuodsokia4512
@wuodsokia4512 26 дней назад
Waoooh!!!!!!!
@josephngei4072
@josephngei4072 26 дней назад
My favorite song as I walk around
@annmutindi1157
@annmutindi1157 26 дней назад
Lazima kumutukuza bwana God bless listening from syokimau kenya.
@carolmutai7248
@carolmutai7248 17 дней назад
Nice song. Next time try to do videos from different geographical places like before especially for this song that talks about God's mighty power in His marvellous creation. Watching from Kenya. Welcome to Bomet County , Tenwek one day one time. Nawapenda sana CVC.
@annamariamakula3853
@annamariamakula3853 14 дней назад
@carolmutai7248. Hiyo ilikuwa live recording nadhani wakati ibada ikiendelea
@josephmwambene4210
@josephmwambene4210 26 дней назад
Kazi nzur watumishi wa Mungu #UKUU WAKO MUNGU
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 25 дней назад
Amen kwaya yangu pendwa
@thesyisazu7323
@thesyisazu7323 25 дней назад
Sifa umurudiriye Mungu
@elishacker
@elishacker 26 дней назад
❤❤❤❤
@wigilyacncheyojr461
@wigilyacncheyojr461 26 дней назад
mungu awabariki sana
@wesleyokemwa278
@wesleyokemwa278 26 дней назад
So powerful song my the lord gives you the strength of worship, and gives you more time to worship
@Danielemasa
@Danielemasa 25 дней назад
Muna juwa kuukosha moyo wangu
@monicagamade9290
@monicagamade9290 26 дней назад
Glory to God! Kazi njema, saxophonist good job!
@isackobadiah484
@isackobadiah484 22 дня назад
Kila Nikiangalia Huu Wimbo Unavyoanza Nakumbuka Wimbo wa MWOKOZI.
@Regnard999
@Regnard999 26 дней назад
Glorious praise and worship❤❤🎉🎉🎉
@yohanadaniel7030
@yohanadaniel7030 26 дней назад
E BWANA UKUU NI WAKO
@Iamodanka
@Iamodanka 26 дней назад
Amina
@samwelchristopher
@samwelchristopher 26 дней назад
❤🔥🔥💞
@NeemaMussa-x1f
@NeemaMussa-x1f 25 дней назад
@joycebujiku2747
@joycebujiku2747 26 дней назад
❤👏
@rosemaryalbert1154
@rosemaryalbert1154 26 дней назад
🎉🎉
@felixjunior4772
@felixjunior4772 26 дней назад
Anointing anointing anointing
@Nandyboy2
@Nandyboy2 26 дней назад
I wish
@charlesstenson8776
@charlesstenson8776 26 дней назад
🎉
@ambwenejobbin4463
@ambwenejobbin4463 26 дней назад
Martha Njashi wa Msodoka
@wallacekatini3424
@wallacekatini3424 12 дней назад
Wale wamama watatu wa wapi jaman?
@MarcellaRomero-vs4zv
@MarcellaRomero-vs4zv 11 дней назад
Brown William Jones Shirley Johnson Scott
@SinganoclassicSingano
@SinganoclassicSingano 24 дня назад
Mbona hamna mvuto jamani Yani kwaya inakua kama band hebu imbeni kama kwaya mnabana pua sana imbeni kama mwanzo
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo 26 дней назад
Lazima lazima
@ElizabethMichael-e2q
@ElizabethMichael-e2q 26 дней назад
Amina
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 25 дней назад
❤❤❤❤
@LucyMussa-ld4ej
@LucyMussa-ld4ej 26 дней назад
❤❤❤
@tegemlowe1144
@tegemlowe1144 26 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤
@boazkitela6960
@boazkitela6960 26 дней назад
❤❤❤❤❤
@VivianMadahana
@VivianMadahana 26 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@paulseneda
@paulseneda 26 дней назад
❤❤
Далее
Nimeziona Baraka za Bwana
13:49
Просмотров 27 тыс.