Poleni sana marafiki zetu wa Tanzania🇹🇿 nzima. Hapa Kenya 🇰🇪 pia tumepata pigo kubwa kuwachwa na ndugu yetu Marco. Pole kwa familia. Tuko pamoja wakati huu mgumu🙏
Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu Marco Joseph Bukuru. Tunayo matumaini kuwa ijapo amepumzika, tutaweza kuonana tena kwenye ujio wa pili wa ukombozi.
Makiwa ndugu zetu kutoka Tanzania, tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi kifupi tumejaliwa kuwa na Ndugu Marco Duniani. Kwa mazuri na mabaya tumuishie Maulana. Safiri Salama Marco
Pole sana, tena sana mjane na watoto wa Marco, nduguze na wana Zabron singers. Nina jambo nanyi pia, hata nyie, kwanini hamkumpekeka Aga Khan hospitali kisumu baada kujuzwa ana ugonjwa wa moyo....ila huko kuna wataalamu wa moyo???? Hiyo safari yooote😭😭😭😭 Mungu awasamehe tuuu
@@user-np3fe2sl8d Hata huko Tz kuna madaktari mashuhuri. Lakini kutoka Kisumu kwa barabara hadi Tz katikati kupandishwa ndege mpaka Dar, mda ilipotezwa. Kisumu-Nairobi ni karibu, pengine Maisha ingeogolewa.
Mbona wakamrudisha all the way to Tanzania?..if he was already in Kenya' why didnt they rush him to Kenyatta national hospital or even nairobi hospital? this brother could have survived' the people who were with him failed!..may God rest his soul in peace
Poleni sana ndugu na jamaa za Marco,,,,kusimulia kisa chungu kama hiki kinahitaji ujasiri mkuu,,, Mungu azidi kukutia nguvu kaka,awafariji katika wakati huu mgumu.
Poleni sana ndg zetu wana familia ya Zabroni singers kwa kumpoteza mpendwa wetu Marco Mungu wa mbinguni awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P Marco
Million 17 mmetoa na bado haikuweza kusaidia kuokoa maisha yake, hivi kama msingekuwa na hiyo 17M hii operation isingefanyika? Najaribu kuwaza tu kama binadamu, hivi kwa wale wa maisha ya chini masikini ahueni yao inatoka wapi?? mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi sana aisee Mungu atuhurumie Sana maisha haya
Wasingemfanyia na huenda asingekufa mapema hivyo,,Sema walifanya haraka Kwa sababu pesa ipo,,wangempumzisha mgonjwa alichoka sana safari zote hizo duh ata hivyo Mungu Bado alikuwa upande wake Sana,,nawaza mengi ila yanachanganya,,Apumzike tu Kwa Amani.
@@magrethdaniel95daniel61 hii operation hata Agakhan ya Nairobi ingeweza kufanyika tena very successful, hiyo bleeding tunayoambiwa ilisababishwa na nn sasa kama kila kitu kilikuwa intact.. why bleeding??
I wish he was treated in kenya,devil is a liar,aliwafumba macho.May God comfort you .To zabron family,be close to the widow.May God comfort you all and gives you strength
Poleni sana Zabron Singers naomba Mungu azidi kuwafunulia tu najua kuna mapungufu mliyoyafanya katika kazi ya Mungu. Mungu wetu ametupatia SDA kazi ya kuipeleka nyakati hizi za mwisho kupitia ujumbe wa malaika watatu. Hivyo kuna mambo aliyotuonyesha ya kufanya katika maisha hasa ulaji na unywaji na pia kaonyesha mimea ya kutumia kama Tiba za asili. Tafuteni kitabu cha Selected message Vol. 2 cha dada Ellen.G.White mkisome mtaona alichokisema.
Nenda salama kijana wetu Mungu akupokee ktk waja wake watakatifu. Na akusamehe dhambi zako zote. Kwa sababu tunajua Kuwa ss wanadamu tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe hivyo kz yetu kubwa ni kuomba toba tu. Poleni zabron singers hakika Mungu mnayemtumikia hatawaacha pweke. Alituahidi.
Hata Mimi limeniumiza sana. Poleni sana Zabron singer, pole kwa bibi yake na watoto, pole kwa familia na jamaa wote. Kenya tunawapa pole zetu watanzania
Poleni sana kwa yaliyotokea pia mimi nina uchungu mwingi sana kwa kumpoteza mcha Mungu kama huyo lakini tunaomba mungu atutie nguvu na atutulize juu imekuwa ngumu kuamini haya,,,,mungu awatie nguvu zaidi familia yake😭
I wish they could have done second chance akunywe dawa kwanza they monitor him kwanza 😢Am still in shock that he no anymore na tulikuwa na yeye TikTok the other day.Rip poleni kwa family
Poleni sana kwa msiba. Ila watu wanaongea saaaana kuhusu kifo cha mpendwa huyu. Mimi nasihi kwa kuwa kila mtu anaongea anavyojua au kutaka ni vema tuache maana yanazua na kuzaa mengi ambayo hayana lolote la kubadili hali halisi iliyopo. Kipindi hiki kitumiwe kufariji wafiwa hususan mkewe na watoto. Basi! Watizedi ni watu wa story zisizoisha.
HII HALI ILINITOKEA SAA SITA SITA USIKU NIKIWA NIMELALA.Maumivu yalikua makali sanaaa.Hili tatizo la moyo lilinipata usiku nikahisi nakufa ilikua ghafla kama ivo nikaamka nikapiga magoti nikaanza kusali na baadae ukapoa kdg nikaamka asubuhi bado naskia maumivu makali na kama moyo unavuja dam. Kesho yake nikawa siwez kkutembea haraka maana ulikua unapata maumivu makali sana ikawa natembea polepole sana na kukaa kila baada ya hatua tatu hadi tano.Moyo ukidunda mpka nje unaskia sauti kama uwe unachapa kofi dogo maji Ile sauti inayoskika. Mpaka leo sijenda hospital sababu ya uchumi ila naendelea vizuri Ile Hali imepoa. Naomba Mungu anilinde zaidi maana na ndoto za kufanya makubwa na kusaidia sana wenzangu. NAAMINI MUNGU ATANILINDA. REST IN PARADISE BROTHER.
Language of body: Before starting the treatment, we must also know the language of our body, that is, the meaning of signals it gives. Pain or Murmur in heart indicates that the heart requires total rest. The best way is to remain in bed for 24 to 74 hours and take treatment on Brain, pituitary, pineal, Mental nerves, Head Nerves & Heart Matibabu ni rahisi na hayahitaji operesheni kama utapata dr anayejua kushughulika na nerves, ila solar plexus ni muhimu pia kucorrect
Poleni familia nzima ya zabron kwa kuondokewa kwa mpendwa mwanakwaya. Nahisi kuwa madaktari walikosea mahali katika upasuaji wa ndugu yetu. Lakini Mungu anajua yote haya. Rip mpendwa..kutoka kenya..
Kaka marco angechangiwa tu hata km hayo yangetokea huko kwenye ndege huyo kaka ni kipenzi cha wengi karibia nchi nzima na nje ya nchi wanamjua wasingemuachaa aabike 😭😭
Umeambiwa asingeweza kukaa kwa ndege kwa masaaa 9 embu tuheshimu professional za watu pia muelewe Madr ili asafirishwe nje inabidi waandaliwe report wataonekana vipi
Mungu anampango wa kila mmoja wetu nikidhani mungu alitaka impate akiwa nyumbani maana wangempeleka hospitali nzuri hapa kenya na wakenya wangejitolea kuchanga lakini nae mungu alikuwa na mipango yake
😢nikisikia kuamsha moyo najiwazia mimi madactari husumbuka saba kuuamsha nikipoteza fahamu😢ninamshangaa Mungu kuishi hadi 😢na ni tukio sio la maramoja😢,Asante yesu kwa neema ya uhai
Poleni sana family na wanakwaya wenzake Zabron Singers Mungu awatie nguvu sana kwani Marco ameniuma 😭😭sana Mungu amyie nguvu mke wake na watoto. Bwana alitoa na Bwana ametia jina lake lihimidiwe🙏
Nmeumizwa sana sana ila Sina Cha kufanya pole kwa wote MUNGU atupe faraja ktk kipindi hiki kigumu Cha majonzi.Tumwombee pumziko la heri na la milele MUNGU ampumzishe mpendwa wetu mahala pema peponi Amina.
Hata wasio wahi kumfahamu marco baada ya mauti wamemfahamu mungu azidi kukuangazia nuru huko ulipo marco naamin miongoni mwa wanao roho ya marco imepandwa na mungu ndani yake na itaendeleza pale alipoishia marco aaaamein
Poleni sana mungu awape nguvu. Mungu ndie anaejua siku ya kufa ya kila mmoja wetu. Ni uzuni sana but we thank God for the gift of his life. May his soul rest in peace
Mimi namliilia Mungu kwa yule aliyewaza kunzisha kulipia huduma za Afya. Ndio aliechochea vifo vingi vya masikini na wanyonge Tanzania 🇹🇿. Nakufanya wenye nazo, wawe na nafasi kubwa ya kupona katika magonjwa. Kwasababu wao wana uwezo wa kulipia huduma za Afya.
Langu nitaishi kukumbuka kimbao chake ambacho tuliishi kuinga na binamu yangu,,ni wewe....usemao akuna kalamu Wala wino unaoweza elezea jinsi ulivyo ...naamini yupo Kwa mungu muugwana ambaye nilitazamia kumuona najutia Mimi tu apa mjini embu Kenya.
Kulingana na maelezo ya madaktari, hapa kuna fiche! Watu hugongwa na gari au kupata anjali na miili yao kuharibika sana na hiyo haijalishi maana kuna mortuary za kisasa. Mbona wakaharahakisha apelekwe nyumbani haraka kiasi hicho kana kwamba hawana mortuary? Kumbukeni biashara ya figo jameni inaendelezwa jameni. Hapo familia ilichezwa! These doctors must have been covering up something. Halafu taarifa zingine zilisema the same doctors removed the heart battery before time and that is how he died. There must be something here.
Utata gani wa kifo huyo alikuwa mtumishi wa Mungu msilazimishe kuonekana Kuna kitu pokeeni msiba huo Marco Amelala msitengeneze vurugu kwenye familia Kaka unajua
Na washangaa hawa waja wa Mungu. Yaani sijui wanatarajia binaadamu aishi milele? Yaani wanasahau kuwa kila kilicho na roho siku moja kitakufa tu. Asife mtu ila ameuwawa.
Nimefuatilia safari ya ugonjwa na mauti ya Marco. Binafsi nilimpenda sana. Kwanza Mungu alimhifadhi na akaishi na shinda kubwa ya moyo hata akatumika miaka kadhaa. Pili, nawashuku hao matabibu waliozuia asipelekwe India. Walitaka credit kama wangefaulu kutibu mtu maarufu. Garama sio shinda yao. Tungechanga Africa mashariki pamoja na Rais wa Kenya. Sote tuwe pole😢😢😢
Poleni Sana familiya ya Zaburoni singaers kwa kuondokewe na mpendwa wenu mungu awafariji tutammiss Sana bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe poleni San wapendwa safari ameimaliza samala
Bora wangempeleka nairobi kuliko kurudi tz Dah kifo kinanguvu Ni mapema mno kibinadamu Ila Mungu amekupenda zaidi Zabron hukumfikiria mkeo na watto wako ukainuka tena 😢😢😢😢
naye mtangazaji mbona unahoji vitu ambavyo havina maana ,umepewa ushirikiano toka mwanzo kuhusu mgonjwa mpaka umauti ulipomfika,sasa unaanza kuuliza mambo ya kwaya ,huoni kuwa sio muda wake kuongelea hayo,ndio maana huwa mnaonekana kama hamna uhakika na taaluma zenu, maana mtu ni kama haujui ni swali lipi linatakiwa kuulizwa
Sayansi hujitahidi sana kueleza na kufafanua mambo ila nilichokitambua ni kwamba Shetani alipanga kuiangamiza kwaya nzima ya Zablon Singers kupitia ajali wakati Marko anaendesha gari! Shetani aliposhindwa akaamua kupita na nguzo muhimu ya kwaya! Kwa ufupi ni kwamba ifikie watumishi kama hawa wawe wepesi kuwasiliana na wanamaombi (maombi ya kivita). Kwa jina la Yesu Kristo na Nguvu ya Roho Mtakatifu hilo pepo la mauti liondoke na likome kuranda randa kwenye familia, kwaya na familia / ukoo huo! Mungu baba wa Mwokozi wetu Yesu <a href="#" class="seekto" data-time="343">5:43</a> , awalinde na awashibishe umri Zablon singers na watumishi wake wengine.
Nawashauri ndugu wote mpime moyo, yawezekana ni ugonjwa wa familia mmeridhi,maana mara nyingi ni ugonjwa wa kuridhi pia,iki mkijuwa mapema itakuwa raisi kujitunza.
@@mugapro ukishapima mapema ikaonekana unashida ya moyo,watakwambia ni shida gani na Lina ukubwa gani,maana matatizo ya magonjwa ya moyo ni mengi na yanatofautiana. 1. Watakuelekeza namna ya mfumo wa maisha uishije,Nini ufanye na Nini husifanye ikiwemo vyakula pia,hata kama hutakuwa na tatizo Kwa muda huo 2. Ikaonekana unashida,maana yake utaanza au utafanyiwa matibabu mapema,kuliko kutibiwa shida ikishakuwa kwenye Hali mbaya 3. Unaweza ukapewa dawa za kutumia maisha yako yote kama ilivyo Kwa WAISHIO na virusi vya ukimwi na kuishi muda mrefu, kutegemea na shida yako 4. Kupima afya mara Kwa mara inasaidia sana kujuwa afya yako,ili kujikinga na magonjwa kama HUNA,kupata huduma mapema na hata kusogeza maisha pia Kwa kutumia dawa endapo utakuwa na shida. 5. Kikubwa kwenye magonjwa ya moyo visababishi vipo vingi MFANO Kurithi toka Kwa wazazi Unywaji wa pombe uliopitiliza Uvutaji wa sigara Uhafifu wa kufanya mazoezi ya MWILI Ulaji wa vyakula vyenye mafuta sana Mawazo yaliyopitikiza NA VINGINE VINGIVINGI Kwa hiyo nikujitahidi kuviepuka hivyo visababishi. Mbarikiwe🙏🙏
😂😂 usiwape watu hofu bana.. madaktari hao bingwa wameenda kufanya operation wameshachangwanywa na solar plexus zikiwa haziki center kwenye vipimo hata vya x-Ray moyo utaonekana mpana, ila body language pia imewachenga.. Language of body: Before starting the treatment, we must also know the language of our body, that is, the meaning of signals it gives. Pain or Murmur in heart indicates that the heart requires total rest. The best way is to remain in bed for 24 to 74 hours and take treatment on Brain, pituitary, pineal, Mental nerves, Head Nerves & Heart. Madaktari bingwa bado darasa linawahusu