Wabarikiwa aic chang'ombe much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 katika kainisa letu la mochenwa F.P.F.K upendo choir twapenda nyimbo zenu Mungu awabariki sana na familia zenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nabarikiwa zaidi ya sana jinsi mlivo na uimbaji wenu hakika nyie siyo waimbaji wa kutafuta pesa bali ni wahubiri Mungu awabariki zaidi na ainue vipaji zaidi
Hii album iko kiwango cha juu mnoo hasa kwa upande wa melodies na wahusika mnalijua hilo....... mmeweka standard ambayo naamini Mungu atawasaidia kwenda zaidi ya hapo ila kiufupi mmekuwa ni mfano wa kuigwa
I also pray for the same but saa zingine ukiangalia itakuwa vigumu Kwa sababu kazi nzuri ina hutaji muda mzuri na mipangilio but they can be putting for us on you tube nyimbo moja mija
Naipenda sana kwaya hii zaidi baraka niipatapo katika nyimbo mbalimbali sawa wimbo Utu wetu wa ndani wafanywa upya siku kwa siku. Mimi nipo mashariki ya Congo drc BUTEMBO naisalimu pia wenzangu pale mbezi beach haleluya kwaya . ni mimi kambale
Amen barikiwa na utumishi wenu bwana awabariki nami najiskia kujegwa na neno la Mungu na la uzima niweke mbali na uovu wa mwovu Bali niwe chomba cha uzima chako mama
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri, ila nina kaushauri kadogo kwenu watu wa mziki wambie wabadilike kidogo maana biti zinafanana tangu Album ya kwanza mpaka hii changanyeni mapruduza tofauti tofauti, mbarikiwe sana
Kule Karibu na mwisho kuanzia dakika ya 5:30 kuna mtumishi mmoja anabariki anavo cheza vizuri kiubunifu. Kabla hatujapokea yeye alikua Kesha barikiwa na wimbo zamani, camera ilimuona mwishoni, sipati picha mwanzoni! Ubarikiwe kaka.