Тёмный
No video :(

Aina (3) za Tractor, Bora na nafuu zaidi kwa wakulima wadogo 

RUBABA TV
Подписаться 55 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Endelea kua nasi kujifunza Mengi
Download audio ya mafunzo ya ufugaji wa Nguruwe kuanzia episode ya kwanza 1-10 au sikiliza online.👇
mdundo.com/a/1...
_________________________________
Playlist zetu mbalimbali
SHAMBADARASA
Jifunze Mengi kuhusu kilimo na ufugaji Bora👇
• SHAMBA DARASA
UFUGAJI WA MENDE
Jifunze kwa kina Kuhusu ufugaji wa mende👇
• UFUGAJI WA MENDE
UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA
jifunze ufugaji wa Nguruwe kibiashara👇
• UFUGAJI WA NGURUWE KIB...
UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KIBIASHARA👇
• UFUGAJI WA KUKU WA ASI...
MAFUNZO YA UJASILIAMARI 👇
• MAFUNZO YA UJASILIAMALI
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
#ShambaDarasa #Tractor
________________________________
For Business & Enquires
Website: tanzanianakili...
Email: rubabaimani@gmail.com
Instagram: @RubabaMedia
Phone: +255764148221

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Ninayo NEW HOLLAND TT 75, ni trekta nzuri , ina nguvu , Nilinunua mpya kabisa mwaka 2018 kwa Tshs 49,000,000 trekta tu Jembe nilinunua brand ya Brazil kwa Tshs 8,500,000 /- Kabla sijanunua trekta nilifanya utafiti makini kwa muda mrefu nikafanya maamuzi ya kununua Brand hii ya NEW HOLLAND .
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Good
@mathayona9289
@mathayona9289 4 года назад
Je kuna utofauti na hizi zingine Kama john deer, marsely Ferguson, na zingine??
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@mathayona9289 Kwenye kila brand ya trekta ina utofauti na nyingine , siwezi kueleza kwautaalamu maana mie si mtaalamu , ila kuna trekta unaweza nenda nayo shamba ila haina nguvu ya kusukuma jembe kwenye baadhi ya udongo , kuna ambayo inaua vifaa mara kwa mara mara umevunja kifaa hiki mara kile , Kuna ambayo muda wa service uko karibu karibu sana n.k n.k Kwa yote niliyoyaeleza bado NEW HOLLAND is the best .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@mathayona9289 Tofauti nyingine ambayo ni KUBWA zaidi ni kuhusu SPARE , New Holland spare zake ni nyingi kwa maagent unaweza kupata popote karibu na shamba , Lakini kuna trekta ukinunua ikiharibika kifaa chochote basi spare wanauza wenyewe tu , ukivunja kifaa ukiwaendea wanakwambia bei ya kifaa ambayo unaweza kupark trekta , maana wanajua utanunua tu , huna ujanja . New Holland spare zake unapata popote karibu na wewe , na kwa bei nafuu .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@mathayona9289 Kwa ubora mimi kwa upembuzi wangu ambao sio wa kitaalamu zaidi , ni wa mnunuzi tu ya 1 ,John deer 2 . New Holland 3 .Mahindra 4 .Marsey Ferguson zinafuata nyingi nyingi nyinginezo . Trekta zipo za Brand nyingi sana hapa Tanzania kwa sasa . Katika ubora wa namba nilioupa zingatia swala la upatikanaji spare .
@pilimlyomi7505
@pilimlyomi7505 10 месяцев назад
Nataka kujua kazi za shambani zinazofanywa na trekta
@rachelsisiu4026
@rachelsisiu4026 5 месяцев назад
Bei
@janetndeanasiambene3975
@janetndeanasiambene3975 Год назад
Asante
@annastaziarenatus8046
@annastaziarenatus8046 8 месяцев назад
2:09 bei sh ngapi
@isayajonh7363
@isayajonh7363 Год назад
Mnakopesha
@esterchamwela-uu5xy
@esterchamwela-uu5xy Год назад
Trecta ya Kubota ni beigani
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 2 года назад
Naomba mawasiano yako
@RubabaTv
@RubabaTv 2 года назад
0764148221
@janetndeanasiambene3975
@janetndeanasiambene3975 Год назад
John Deere inatamkwa (dia)
@citygraphics6670
@citygraphics6670 4 месяца назад
watanzania,
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 года назад
Tuletee na planter za mpunga
@JustinLaizer-oj7wd
@JustinLaizer-oj7wd Год назад
Je ukitaka trekta unalipia kwanza shilingi ngapi
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 Год назад
Naomba namba yako ya sim
@RubabaTv
@RubabaTv Год назад
0764148221
@JustinLaizer-oj7wd
@JustinLaizer-oj7wd Год назад
Na namba zenu tunapataje kwa mawasiliano zaidi
@RubabaTv
@RubabaTv Год назад
Whatsup 0764148221
@adamusalimu4018
@adamusalimu4018 Год назад
Mnapatikanaje? Nahitaji mawasiliano
@RubabaTv
@RubabaTv Год назад
Wasiliana nasi 0764 148 221
Далее
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 199 тыс.
BASIC..How to drive a tractor
3:25
Просмотров 48 тыс.
FURUSA MPYA KWA WAFUGAJI MKOANI KAGERA
5:10
Просмотров 4 тыс.