Тёмный

TAZAMA TREKTA ILIVYOZAMA KWENYE MTO DEREVA AKAPAMBANA NAKUITOA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 86 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 года назад
Mh namkumbuka Na mdogo wangu jaman trecta ilimuua Mungu ailaze roho yake mahar pema pepon
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
Saiv Serikali pesa inatoa ila wizara zinapiga tu RIP Magufuli 😭
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Serikali ya Samia inafuatilia sana matumizi ya pesa... Kama wapigaji wapo, ni wachache... Na mradi wa daraja hili umeanza kwa miaka minne lakini mpaka sasa haujakamilika! Mama Samia hajatimiza hata mwaka mmoja tu akiwa madarakani! Je, wapigaji wameanza leo au walikuwepo hata Enzi za Magu?
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
@@j.c.maxima816 hata akitimiza miaka kama hakna atakachofanya huyo Swala
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 года назад
Hahaha 😂 Samia Hana mpango na nchi yupo marekani,😂🤣
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 2 года назад
Me sirudi tena huko!! Au nimesikia vibaya jamani!
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 2 года назад
Contractor s wanaochelewesha ujenzi wawe wanatozwa fine kwa kuharibu Vyombo na muda wa wananchi Kwa sababu ya Uzembe wao. Hata kama ni TARURA walipe fidia kwa wananchi ndio watajua maana ya kumaliza projects Kwa wakati.
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
Nikitoka huku Turkey nitaenda kutembelea kaburi na shuujaa Wetu Magufuli
@itwaaky75
@itwaaky75 2 года назад
Miaka 4 halijakamilika na yeye alikuwepo
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
@@itwaaky75 Ila alikamilisha mangap?
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Wenye chuki wtakujibu kunya ila Magufuli alitenda memo mno mnyonge mnyongeni lkn haki tumpeniii
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Wapigaji walikuwepo hata Enzi zile. Watz tuwe Wazalendo... Tunajichelewesha wenyewe... Hii ni aibu... Nchi si ya Rais pekee yake... Kila mmoja awajibike katika kujenga Taifa letu...
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 года назад
Kwaufupi Hayo Ýooote Tuyaonayo Niukosefu Subra Namaarifa Sahihi Yamatumizi Yavyombo
@elibarikimiage6204
@elibarikimiage6204 2 года назад
Viongozi wanaangalia 2 wako kimya rais yupo na safari zake mradi akope pesa anawapa mafisadi rais hana muda wa kufuatilia shughuli za nchi yake yupo bize kufuatilia nchi za watu (R.I.P. MAGUFULI )
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Hizi hela zilisha tolewa enzi za magufuli. Ila walipo ona magufuli hayupo tena wakasema asante ibilisi
@rajafatmahramadhan6940
@rajafatmahramadhan6940 2 года назад
@@bjzee1981 🤣🤣 Eti Asante Ibilisi
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Usimfanye Magufuli km Mungu mtu yy mwenyewe alikuwa mwizi
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 года назад
Hiyo chuma ya pili yenye tela ni Massey figuson mwingireza huyo chuma Cha pia hicho
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
Hiyoo chuma sehem ambayoo itakwama bas wew usitie mguu aisee
@shellasalum1443
@shellasalum1443 2 года назад
Mi sirudiii tena misri naenda caanan
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
Huyu wa pili wa massay ferguson dahhh ni hatari!!! Ni ndogo lkn ina nguvu kubwa sana!!!
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 года назад
Tairi bado halijawa flat
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
Izoo chuma zinaa 4wheel Kali saanaa kama ya Tdi
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 года назад
😭 Bei kwa mkulima ndogo Sana hata operating cost hairudi 😭
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 года назад
Ndo show zetu izo uku mbaral mkoa wa Mbeya
@patrickbilago5513
@patrickbilago5513 2 года назад
Mbona hakuna jipya
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
Napenda mambo ya kilimo, natamani siku 1 nije kumiliki bonge la shamba, pole dereva hadi uruma.
@bznznbznjznz1147
@bznznbznjznz1147 2 года назад
Naomba no yako hata mm napenda kilimo tunaweza kufanya jambo kwa pamoja
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
@@bznznbznjznz1147 nijurishe muda nikupe ukisha ipata nifute.
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
Northern, zone wapambanaji sana, watu wa shughuli kubwa.. wengine wanauza visiwa vyao.....
@dicksonnghwenzi283
@dicksonnghwenzi283 2 года назад
Duuu Kaz kwelikweli
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 года назад
Hilo tractor halina nguvu kbs nunueni Massey fugason mbona mwingine kapita kirahisi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
Daaa, yataka Moyo🙆😢
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 2 года назад
Hii Clip atumiwe Rais Samia aone jinsi watu wake walivyokuwa Wazembe kazini. Kama ni hela hakuna waseme lakini sio kusumbua watu kiasi hiki
@TheNdaki
@TheNdaki 2 года назад
Watu wanapambana sana, hali io mtihani hata kupiga kazi
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Hili daraja limeanza kwa miaka 4, lakini bado halijakamilika... Samia amekaa madarakani kwa miaka mingapi sasa? Mbona upigaji ulikuwepo hata Enzi za Magu?! Huu mradi ni thibitisho tosha kuonesha hili... Acheni kuilaumu Serikali ya Samia, Wapigaji imewakuta, lakini imefuatilia sana... Kila mtu awajibike, tunajenga Nchi yetu, tusijikwamishe sisi wenyewe...
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 2 года назад
Nakweli mnateseka sana wakulima ata mimi nshateseka sana
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 года назад
Chuma za pori kwa pori hizo baba😄
@shedrackmwandry2309
@shedrackmwandry2309 2 года назад
Sirudi tena misri naenda kanani😂😂🙌
@mussahancy6591
@mussahancy6591 2 года назад
Ila nilipambana sana,lilitaka kuniletea upuuzi
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 года назад
Pia nunuenni tractor za 4willdrive ndio nzuri huko porini
@OscarBosco-up5td
@OscarBosco-up5td 11 месяцев назад
Zinaitwaje
@ludobudege1662
@ludobudege1662 2 года назад
Raisi kutwa kupaa uraya nchi inadoda magufuli tunamkumbuka kweli
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 года назад
Raisi Hana kosa Bali kosa ni la usalama was taifa ndy wanampangia safari
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Comments za kijinga kabisa... Rais anafanya kazi nzuri na kubwa... Ninyi endeleeni kujihujumu wenyewe na kuponda vya kwenu... Samia atakamilisha mihura yake miwili kwa heshima na maisha yake ya baadaye yatakuwa mazuri sana, yy na familia yake! Lakini ninyi na vizazi vyenu mtabaki kuozea kwenye umasikini huo mliojisababishia wenyewe... Shame on you!
@enockbk
@enockbk 2 года назад
Kwani huyu ana endesha tractor minguu tupu bola viatu
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 2 года назад
Mnyama Fiat umekatisha kama Aina Akili nzuri
@paskalinaawaki4398
@paskalinaawaki4398 2 года назад
Ngoja nirudi toka ufaransa kwanza😀😀😀
@itwaaky75
@itwaaky75 2 года назад
Daraja limeanza kujengwa miaka mi4 magufuli akiwepo 2018
@nivardkomba216
@nivardkomba216 2 года назад
Mbunge wao sijui anaona kinachoendelea hapo!?
@emmanuelmwaikimba8215
@emmanuelmwaikimba8215 2 года назад
Ni wapi hapo
@Bayothomusic
@Bayothomusic 2 года назад
Hi watu wa Mungu. Naomba sana support this gospel artist Vaileth. Bonyeza link hii kusikiliza nyimbo yake ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4NJlyOmIlk4.html
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 года назад
Ili iweje sasa?
@kulwasamwel4037
@kulwasamwel4037 2 года назад
Hatali
@heritier5119
@heritier5119 6 месяцев назад
Afunge chain akicheza litamponda
@sikuchachekazikubwa5603
@sikuchachekazikubwa5603 2 года назад
Halafu hao wanaojenga barabara wamekaa tu hapo na magreda bila kusaidia!!!
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 года назад
Akishindwa kutumia hata lock diff
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
Iyoo ya pili 4wheel hainaa sijui inapambanajee na visikii shambanii
@darasahuru6819
@darasahuru6819 2 года назад
Waandishi mjitafakari, mmeshindwa kuwapata watu wa serikali muwaulize kwa nini ujenzi upo slow?
@clementselestine5308
@clementselestine5308 2 года назад
Tyre chakavu ford iko poa
@frans_dede
@frans_dede 2 года назад
mfuatiliaj wa haya madudu alikuw Magufuli huyu mama hajui chochote ila chaajabu ikfka 2025 utashangaa majinga yanampigia kura na anapta tena kwa kishindo cha ajabu
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 года назад
nadudu yapo ya kutosha na hayaishi haswa kina mama wenzangu wanaodanganyiwa vikanga vya njano na vitishert ndo wanaotidinganya mambo, kitu kingine haohao wanaojifanya ngazi ya juu ndo wapitishaji wa rais wamtakao sasa unafikili tutafanyaje? ila mie huwa nachukuwa cardi ya kura tu mengine wasiniulize
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Wakati wa Mwendazake haya madudu hayakuwepo? Ujenzi wa daraja hili umeanza kwa miaka miine, na bado haujakamilika... Enzi za nani hizo ? Acheni unafiki...
@heritier5119
@heritier5119 6 месяцев назад
Afunge chain
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 2 года назад
Yani uku mvua zikinyesha ataa usafir ni shida hatuna viongozi kabisa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Kwa serikali ya huyo sasa eh tutaona mengi
@itwaaky75
@itwaaky75 2 года назад
Amesema miaka mi4 haijakamilika, huyo magufuli si alikuwepo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
@@itwaaky75 nchi hii cha msingi upate milo mitatu na mahali pa kuishi hayo mengine hayana ulazima😂😂
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 года назад
Ibeni hzo nondo.
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 года назад
Anachotaka kufia nini jamani mbona hatari
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
Wanaume wa shughuli hao, ukiacha hapo kwa mkondo wa maji, huko mvua inanyesha... ofisi ya mtu hiyo
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 2 года назад
Weka nayakutolea
@shedracksteven3183
@shedracksteven3183 2 года назад
Ni mkoa gan iv uku?
@greenfoodfashion262
@greenfoodfashion262 2 года назад
Imelazimu kufungua disc zote kulipunguzia uzito
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 года назад
Hapo disc zimetolewa kwasababu tractor inaponyanuka mbele disc zinachimba kwa hiyo Ni vigumu kutoka
@ramadhanrajabu6772
@ramadhanrajabu6772 2 года назад
Aise uyu mtangazaji wa arusha wa milard ayo hamnakitu apo hanaga habari zaidi za watu na matrekta kama ivo
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 года назад
hizo tairi za nyuma zimeisha na ndio maana anaangaika hapo
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Madaja gani. Sasahivi vifaa vya ujenzi vinauzwa na mafundi Hakuna mfuatiliaji. Anakuta cement na nondo zinauzwa mtaani Kama karanga na wananchi wajinga wana nunua kwa bei chee. Bila kujali wao ndio watakao athirika
@leonardpaul600
@leonardpaul600 2 года назад
Aliingiaje?
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 2 года назад
Huyo anataka kupita
@hichayasin7244
@hichayasin7244 2 года назад
DU!WANAVIJIJI TUNATESEKA TUNALIPA KODI LAKINI HATUONI MATUNDA YA KODI ZETU TUNA SIKIA DAR ESALAMU KILA KITU SIJUI WOTE TUHAMIE MIJINI?!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Ww sio mfuatiliaji, pengine hauna bando la kutosha! Barabara ngapi zinazojengwa vijijini sasa? Madaraja mangapi yanayojengwa mikoani leo? Vituo vya afya vingapi vinavyojengwa Nchi nzima? Miradi ya maji mingapi inaosambaa Tanzania nzima? Madarasa mangapi yamekamilika siku za nyuma Nchini kote? Niishie hapo tu! Labda ww ni kipofu, maana huoni au hutaki kuona ?! Nchi yako imejengwa, ndugu ! Ungekuwa mzalendo, ungejivunia hilo!
@benjaminahadi5926
@benjaminahadi5926 2 года назад
Usitizame filamu iyi ukiwa na watoto wadogo 🤭ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KFawskkVrXM.html
@geniuspromax780
@geniuspromax780 2 года назад
Zijue Siri za kwenye Ulinzi wa Marais wa Nchi. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-vqPUUr5gWHA.html #UziSession #ExecutiveProtecton
Далее
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн