]Bibilia[ Ilitoka Kwa #Nabii# Yupi + ^MUNGU^ YUPI❓Jibu Hilo Kwanza; Kwasababu #Yesu~Nabii Isa [Alayhi S'Salaam]# Hakupewa ]Bibilia[, Haijui ]Bibilia[ Wala Hakuwaachia Wanafunzi Wake Kitabu Cha ]Bibilia[. Na Kwanini ]Bibilia[ Halisi Iandikwe Kwa Lugha Ya ]Kigiriki[ Wakati #Yesu~Isa [Alayhi S'Salaam]# Hakuongea ]Kigiriki[ Wala Hakutumwa ]Kwao[(]magiriki[)❓