Тёмный

FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE 

Bongo Touch
Подписаться 736 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@user-wh3sl6cl6l
@user-wh3sl6cl6l 2 месяца назад
Sule mche Allah shekh Dunia itakuangamiza Nawatu msiyafanyie kazi maneno ya sule Kutumia jini kupata Mali ni shiriki na uchawi mcheni Allah
@user-ps7ej3ep4e
@user-ps7ej3ep4e 2 месяца назад
Wallah unautia aibu uislam muogope mungu hio ni shirki
@user-kj2xh6bt5y
@user-kj2xh6bt5y 2 месяца назад
sheee Yuko sawa sawa munguu kupe maisha marefuu
@user-zh6xn8jr2c
@user-zh6xn8jr2c 2 месяца назад
Majini n'a mwanadamu, ni ushirikina sana.
@musanike3079
@musanike3079 2 месяца назад
Dr. Sule Mabruk💯👍
@IssaMuhibu-nc8ji
@IssaMuhibu-nc8ji Месяц назад
Waislaam tuache tamaa za kidunia huyo kw sas yup kidunia zaid siyo kidini dr sule acha kupotosha umma mche allah
@MinaNillan
@MinaNillan 2 месяца назад
Mashaallah
@YeremiaKuyangwa
@YeremiaKuyangwa 2 месяца назад
Mungu asimame mwenyewe Kwaakili zetu hatuwez
@user-zh6xn8jr2c
@user-zh6xn8jr2c 2 месяца назад
Hakuna mahusiyano ya majini n'a mwanadamu.
@nurufidel-lp6wj
@nurufidel-lp6wj 2 месяца назад
Kweli kbs
@muhammadkhamis9396
@muhammadkhamis9396 2 месяца назад
Muogope mungu kwa kunyoa style
@yahayaisrael6510
@yahayaisrael6510 2 месяца назад
Uyo anaitaji kuelimishwa msameh bule
@PastorPhilipMbaabu.
@PastorPhilipMbaabu. Месяц назад
Hiyo ring ni ya kijini. Sana sana Shariffu.
@ochuMay05
@ochuMay05 2 месяца назад
Unapozungumzia Dini na imani za watu ni vitu viwili tofauti kwani sio Waislamu wote au Wakristo wote wenye imani hizo kwani kuna wengine wanatambua uwepo wa hao viumbe kulingana na maandiko kutoka katika vitabu vya Dini. Lakini kwenye suala la kuyatumia ni matakwa ya mtu binafsi kulingana na anavyoamini yeye na sio wote kwamba tuna imani hizo bila kujali ni wa Dini gani au Dhehebu gani.. Kwa hiyo nikushauri usiwe unapenda kuhukumu watu wengi kwa kosa la mtu mmoja na usiponielewa hapo hauwezi kuelewa tena na utakuwa na upungufu wa akili..
@ratohabi6459
@ratohabi6459 Месяц назад
Why, kwa nini serikali isi walazimishe watu wanao tajirishwa na jini kulipa taxes?? Kama wengine wote wanaolipwa na sources za aina yoyote? Serikali zetu naona zimelala😅
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 месяца назад
Jino kwa jino hakuna injili Mwizi kukatwa mkono hakuna kwenye injili Kumwona Mungu kiroho ni sauti au nguvu zake
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 2 месяца назад
dr sule umezingua sana maana hiyo habari ya kutumia majini umekanyaga kanyaga tuu ukasonga mbele,sema tuu ungesoma dini ila habari za falsafa na kuuza dawa za nguvu za kiume haitoshi
@RadjiNimpano-bl9xz
@RadjiNimpano-bl9xz 2 месяца назад
Baba Sule Anakupa directly
@AyanIbrahim-qq9dp
@AyanIbrahim-qq9dp 2 месяца назад
Uwonlugo
@HamisJMB
@HamisJMB 2 месяца назад
Kumtegemea majini huo ni ujinga na ushirikia na hakuna zambi kubwa kama shirki watu weng san wanpenda kupindisha maneno ya dini kwa matmanio yao binafs hile khofu ya kumwogopa mungu imetoweka tena 😢
@user-lt2qh5dj1b
@user-lt2qh5dj1b 2 месяца назад
Izo dini unazoziongelea niwanani wali tuletea siwazungu nawaslam?
@publicrelations4600
@publicrelations4600 2 месяца назад
Majini yakupe pesa huo ni ushirikina
@YamunguKamata
@YamunguKamata 2 месяца назад
Wapo tembea ujifunze
@sulekhan7119
@sulekhan7119 2 месяца назад
Wewe mwenyewe hiyo rzki unayo pata nijini wako AmBAR utaskia nyota yako
@publicrelations4600
@publicrelations4600 2 месяца назад
@@YamunguKamata sijakataa uwepo wa majini
@publicrelations4600
@publicrelations4600 2 месяца назад
@@sulekhan7119 ushirikina huo
@annageorge43
@annageorge43 Месяц назад
Huo ni uongo. Majini yapo lakini SI kama unavyo elezea. Majini hayawezi kukupa pesa abadan.
@israelthomas8621
@israelthomas8621 2 месяца назад
Acha kuwadanganya watu bwana sule. Wewe ni mchawi 😅😅
@yahayaisrael6510
@yahayaisrael6510 2 месяца назад
Mchawi mwenyewe
@user-mk6vm8ub2u
@user-mk6vm8ub2u Месяц назад
Siku zote kwamungu hakunamashinda ila someni mandiko mutakua pamoja na mungu.
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 2 месяца назад
Majini ni ma agent wa shetani Basi ukiwa na uhusiano na majini yaani wewe umekuwa karibu na shetani bila wewe kujuwa
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 2 месяца назад
Hakuna toba KWA MTU anayekaribia kufa
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 2 месяца назад
dini za kiganga
@user-lg1lq8cp1c
@user-lg1lq8cp1c 2 месяца назад
Nawew kukupata hewni lin nazani Nina mengi ya kuogea na wew
@abuuhassani497
@abuuhassani497 Месяц назад
5.90 QURAN
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 месяца назад
Hapa Ndo Najua Uislamu Wanafundisha Mambo ya nguvu za giza tu
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un 2 месяца назад
Mwamposa anawainua viwete na vipofu mbona bdo hadi leo haujaenda
@rogerssimon9517
@rogerssimon9517 2 месяца назад
Amina mwana wa mungu
@user-ie3eh4nn3f
@user-ie3eh4nn3f 2 месяца назад
Naomba namba za doctor sule plz
@shepherd1x84
@shepherd1x84 2 месяца назад
Mfuga majiiniii
@fasilkais5669
@fasilkais5669 2 месяца назад
Kuruani nishifaa Kwa waumini)( inawezaje kumponya asiie kuwa muuminiii na akapona)( mwenye kuruani yake kasema niponyo Kwa muumini
@derrickomukaya4216
@derrickomukaya4216 Месяц назад
Amevaa Pete ya jini😮
@HamisJMB
@HamisJMB 2 месяца назад
kilichokuwa bora kwetu sisi ni tutfute elim ndo kila kitu hakuna mta atakubabaisha katika dini tusiwe kma upepo unafata
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 2 месяца назад
Ukitumia jini kupata hela ,ukifa motoni na hilo jini lako motoni kwasababu wote ni washirikina
@HamzaMakame-vm2tm
@HamzaMakame-vm2tm Месяц назад
Anakupa mazali rafik yko
@MuhindoNdovyaVicky
@MuhindoNdovyaVicky 2 месяца назад
Tunaeza kuungana naomwao kwa njia ipi
@user-sn7gy6cd5q
@user-sn7gy6cd5q 2 месяца назад
Huyujamaa uislam wake wa ujanja ujanja
@zachaeousmithea9488
@zachaeousmithea9488 2 месяца назад
Hi Dr sulle, just interested to have you number.
@saidmohd2665
@saidmohd2665 2 месяца назад
SONGI SONGI ABONGISA..🤣🤣🤣
@mariyamh1857
@mariyamh1857 2 месяца назад
Wasiwasi wako uislam hauna shida yoyote mana hauja amrisha kufuga majini
@mim9607
@mim9607 2 месяца назад
Mchawi nini
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 месяца назад
Wewe usimame na mapdre
@DianzGerad
@DianzGerad Месяц назад
Doctor nataka number yako ya simu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 месяца назад
Biblia hsijawahi sema kuna MTU aliwahi muona mungu
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 месяца назад
HAIFAI MWANADAMU KUTUMIA JINI LIMPE MALI AU KUMLINDA ANGALIA AYA HIZI KTK SURATUL JINNI SURA YA 72 اللَّهِ كَذِبًا Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 месяца назад
HAPA MAJINI YENYEWE YANAWAAMBIA WANADAMU WASITAFUTE ULINZI KWA MAJINI KWA NI DHAMBI KUFANYA HIVYO اللَّهِ كَذِبًا Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.
@paulojohn5504
@paulojohn5504 2 месяца назад
MKIAMBIWA MNAFUNGA MJINI AMTAKI
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 2 месяца назад
🤐🤐🤐🤐🤐😒😒😒
@LinetAkoth-ue5zz
@LinetAkoth-ue5zz Месяц назад
Hello nataka kukutana na wewe please
@ramadhanrashid1040
@ramadhanrashid1040 Месяц назад
Unataka kukutana na mchawi. Akusaidie na Nini.
@RASHIDMWAZAMU-ih7yv
@RASHIDMWAZAMU-ih7yv 2 месяца назад
Ustadhi tangu sakata la harmonize amekuwa maarufu sana.in other words tunasema anatembelea upepo wa harmonize saivi
@user-dj7bs7si1v
@user-dj7bs7si1v 2 месяца назад
Me sijaona tofauti yake na Rajab Kahari isipokuwa mmoja amedhihirika na mwengine anadhihirika taratibu taratibu.
@user-dj7bs7si1v
@user-dj7bs7si1v 2 месяца назад
Me sijaona tofauti yake na Rajab Kahari isipokuwa mmoja amedhihirika na mwengine anadhihirika taratibu taratibu.
@user-dj7bs7si1v
@user-dj7bs7si1v 2 месяца назад
Me sijaona tofauti yake na Rajab Kahari isipokuwa mmoja amedhihirika na mwengine anadhihirika taratibu taratibu.
@Fikiri-k9d
@Fikiri-k9d 2 месяца назад
Kumbuka pia majini ni waislamu
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 2 месяца назад
Elimu Yako ndogo
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 2 месяца назад
Qrn 72 1 hd 14​@@fahadsaid9616
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h 2 месяца назад
Kum,,,a huyu
@ochuMay05
@ochuMay05 2 месяца назад
Na niwakukumbushe kuwa hata Vitabu vya Dini vinatueleza ya kwamba Mungu aliumba Binadamu na Majini ili wamuabudu yeye kwahiyo Majini wapo wema ambao ni wacha Mungu na wapo wabaya vilevile kama tulivyo Binaadamu wapo Binadamu wema na wabaya kwa kuwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja..
@rogerssimon9517
@rogerssimon9517 2 месяца назад
Huko ni kupotea majini kabla ya kutupwa waliitwa malaika lakini baada ya uasi hawana uhusiano na mungu hata kidogo, ndio maana aliyetoka mbinguni yesu alikuwa akikutana na mtu mwenye majini yalikuwa yanaomba msamaha majini wanasubili hukumu yao ya moto wa milele pamoja na wanaoshirikiana nao.
@user-MRTSLONLINE
@user-MRTSLONLINE 2 месяца назад
Kama unamkubali doctor sule gonga like hapa
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 2 месяца назад
sema tuu dr sule ungosoma vizuri uisilaam ingekua bora kwako ila ukiendelea kuegemea kwenye experience na akili zako utaudhalilisha tuu uisiilaam hata kwenye mijadala hata maswali madogo madogo yatakua yanakushinda,pia sijui ni kwa nini umenyoa قزع kama lengo ni kusimamia dini ni lazima kusoma na kujipamba na tabia nzuri
@marobaraka
@marobaraka 2 месяца назад
Sasa tukiwaambia waislam mnafuga majini mnakataa vp???
@ShekheMbaraka
@ShekheMbaraka 2 месяца назад
Hakuna Muislam anaefuga majini ni yy huyo sule ndie mshirikina anafuga hayo majini
@marobaraka
@marobaraka 2 месяца назад
@@ShekheMbaraka bas waislam mnashirikiana na majini Kwan si umsikilize huyo sule tena na tena
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 2 месяца назад
​@ShekheMbaraka Kwahiyo Sule ni wa Dini gani?
@marobaraka
@marobaraka 2 месяца назад
@@DININIKRISTO muslim
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 2 месяца назад
Asante
@profs.a5412
@profs.a5412 2 месяца назад
Watu pekee wenye elimu ya majini duniani ni wachawi na waislamu 😅😅 bila shaka ni watu wa baba mmoja
@muddyleader4458
@muddyleader4458 2 месяца назад
Yaap! Wote ni viumbe wa Mungu! Upo sahihi!
@israelthomas8621
@israelthomas8621 2 месяца назад
Exactly 😅😅
@abdallahsalem8499
@abdallahsalem8499 2 месяца назад
Waislamu wana elimu ya majini kwasababu wametajwa kwenye quran,
@profs.a5412
@profs.a5412 2 месяца назад
@@abdallahsalem8499 Na ni ndugu wa hao mashetani, Sasa wataponaje kwenda jehanam??😂
@ochuMay05
@ochuMay05 2 месяца назад
Unapozungumzia Dini na imani za watu ni vitu viwili tofauti kwani sio Waislamu wote au Wakristo wote wenye imani hizo kwani kuna wengine wanatambua uwepo wa hao viumbe kulingana na maandiko kutoka katika vitabu vya Dini. Lakini kwenye suala la kuyatumia ni matakwa ya mtu binafsi kulingana na anavyoamini yeye na sio wote kwamba tuna imani hizo bila kujali ni wa Dini gani au Dhehebu gani.. Kwa hiyo nikushauri usiwe unapenda kuhukumu watu wengi kwa kosa la mtu mmoja na usiponielewa hapo hauwezi kuelewa tena na utakuwa na upungufu wa akili..
@user-ml7jz5rf3n
@user-ml7jz5rf3n 2 месяца назад
hiki ndicho kinanifanya niwe na mashaka na kuufata uislamu
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g 2 месяца назад
Sio kila muislamu yupo sawa fwata uislamu sahihi usiseme kwa kuwa fulani anaiba au Uganga ukaacha uislamu Duniani kuna wema na wabaya
@user-rq9hb7hl3g
@user-rq9hb7hl3g 2 месяца назад
Sio kila muislamu anafuata uislamu, usome uislamu uuelewe.
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 2 месяца назад
Kunatofauti kati ya muislamu na uislamu so fuata uislamu na sio waislamu
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 2 месяца назад
Ndugu yangu usiuache ukristo
@musanike3079
@musanike3079 2 месяца назад
Ipi?
@marobaraka
@marobaraka 2 месяца назад
Quran 64:2 - Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda. Sasa Mungu kaumba makafiri na waumini 😂😂😂😂. Makafr wanashda gan na wameumbwa makafr.
@saidisaidi2310
@saidisaidi2310 2 месяца назад
Hawa mashekhe watiba maranyingi huishia kwenye uganga sasa hapa nikama unatuhamasisha tutumie majin muogope Allah sule kaburin hakuna camera wacha kutafuta cfa
@rogerssimon9517
@rogerssimon9517 2 месяца назад
Huyu ni mganga wa kienyeji
Далее
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29