Тёмный

Al Shabaab yauwa wanachama wake wasaliti 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 695 тыс.
50% 1

.
Mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabaab nchini Somalia kutoka kwa jeshi la kdf yamewapelekea wanamgambo hao kuwawinda wanamgambo wenza wanaoshukiwa kutoa taarifa kwa majeshi ya amisom.
Katika kile taarifa ya ujasusi imetaja kuwa Al Shabaab kujisafisha, kundi hilo limewaua wanamgambo wake wanaoshukiwa kwa vyombo vya usalama wakiwemo wa Kenya walioshawishiwa kujiunga na taarifa hiyo.
Haya yanajiri huku shambulizi la hivi punde zaidi likipelekea vifo vya makamanda wawili wa kundi hilo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya

Опубликовано:

 

8 апр 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@markawange4542
@markawange4542 5 лет назад
good job
@charlescharles6664
@charlescharles6664 3 года назад
Hatari sana
@joshuaabely4426
@joshuaabely4426 3 года назад
Wah
@Hsn1224
@Hsn1224 4 года назад
world newscaster Writes that Kenyan army hideling by grass during alshashaab attacks in lamu military base the weapon and army promotion videos can't come with heroic but it natural
@ephraimomudaki3866
@ephraimomudaki3866 5 лет назад
best army in Kenya
@noorabdihashim8204
@noorabdihashim8204 3 года назад
!! Pp1qqqq@ ip$)
@erickimanthi2619
@erickimanthi2619 6 лет назад
On my way to Somalia.
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 5 лет назад
😂
@changkuothdeng5059
@changkuothdeng5059 5 лет назад
😂😂😂😂
@castolupasa9605
@castolupasa9605 5 лет назад
Eric Kimanthi pw
@castolupasa9605
@castolupasa9605 5 лет назад
Eric Kimanthi v
@user-qr2gj3jp9l
@user-qr2gj3jp9l 4 года назад
Bless
@peninahruth2870
@peninahruth2870 2 года назад
A good move onyo kwa wenye wanajiunga nawanaojiandaa kujiunga wajue muishowe itakuja kugaweuka kusaliti wakenya wenzao....mungu halali anatazama tu
@malemidundo5760
@malemidundo5760 4 года назад
huku ukimiliki hata pangatu ulishachunguzwa huko vifaa wanapata wap
@vincentkoech4221
@vincentkoech4221 2 года назад
pray for the best men in Kenya 😍🙏🙏🙏
@sahilrai3012
@sahilrai3012 Год назад
😂😉
@LG-xh1hm
@LG-xh1hm 5 лет назад
Vifaa hivyo wanavipata wapi??? Watusamehe kbsa
@salumuramadhani1530
@salumuramadhani1530 3 года назад
hi
@salimnuhseif7791
@salimnuhseif7791 4 года назад
Iliwaache kujiunga na magaidi wa alshabaab
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 5 лет назад
Yaani what makes them to join Alshabaab haswa😵
@yusufumohamed4454
@yusufumohamed4454 5 лет назад
Winrose Iminza they are promised 100000000 virgin girls in the after life 😂😂😂😂😂😂😂
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 5 лет назад
@@yusufumohamed4454 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yasminadan5339
@yasminadan5339 5 лет назад
Winrose Iminza they are jobless
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 5 лет назад
@@yasminadan5339 naked Truth 👍
@allymkwabi7658
@allymkwabi7658 5 лет назад
Winrose Iminza 9
@allyabeid4188
@allyabeid4188 4 года назад
Uwongo jeshi lakenya wanakufa kama kuku mbona hamuelezi acheni propaganda
@gutenzeifa6859
@gutenzeifa6859 3 года назад
Very true aki
@gasiparukasi3498
@gasiparukasi3498 3 года назад
Mh
@kiyianjoseph3053
@kiyianjoseph3053 3 года назад
Hi
@farahabdikadir5539
@farahabdikadir5539 2 года назад
Hi
@user-dj8pz5ip7q
@user-dj8pz5ip7q 3 месяца назад
Na bado tutawauwa mpaka tuwamalize makufarr nyinyi
@thevasco7544
@thevasco7544 7 лет назад
let them face their wage
@silamwantengule7772
@silamwantengule7772 5 лет назад
Duuu nishida
@safinaadam9048
@safinaadam9048 5 лет назад
taiga staas Tanzania
@safinaadam9048
@safinaadam9048 5 лет назад
Tanzanian
@sahilrai3012
@sahilrai3012 Год назад
Kidf yani kids 🤣
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 3 года назад
Kwani hawa alshabab wapo wangapi hata wasumbuwe watu wanafika ata 300 vijitu vya kuuwa tu
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 3 года назад
Nenda kaauwe wewe
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 3 года назад
We unawajua alshabab ni akina nani
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 3 года назад
Tuende mimi na wewe huwezi ukae kimya
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 3 года назад
Nikae kimya mimi wewe ndo wa kukaa kimya ucejua nini ulitendalo mmarekani kasalimu amri atumia pesa kuwapeleka wa Africa wakenya sku zote wanauliwa uko
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 3 года назад
Na ukienda ndo utawajua wangapi Kama hujui idadi yake ndipo utakapoelewa
Далее
Despicable Me Fart Blaster
00:51
Просмотров 8 млн
Kulbiyow: Ukweli ni upi?
2:16
Просмотров 131 тыс.
Kenyan Christians flee fearing Al Shabaab jihadists
6:00
Police IG Japhet Koome resigns
1:39
Просмотров 136 тыс.
Medani ya Vita Part 2
3:07
Просмотров 276 тыс.
Somalia Back Story: Central Sector
5:19
Просмотров 485 тыс.
Medani Ya Vita
4:26
Просмотров 573 тыс.