Azam Media Limited yazindua vifaa vipya vya uzalishaji na urushaji matangazo uliofanyika hii leo Uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza kampuni ya Azam Media kwa hatua hiyo.
29 авг 2024