Eeeeee mungu wangu nisaidie kuwafungua watoto wangu David n'a Danny wanalewa sana wakipata tu pesa hâta ni iko kidogo wana kwenda ku pombe n'a kufuta bangii bwana yesus muokozi n'a muongozi wetu waokowe awaa wa toto wangu sina Amani naishi kwa watu basii nakutumania yesu muweza yote