Тёмный

ALI KAMWE ATANGAZA RASMI AZIZ KI ANAONDOKA/AMEPATA OFA ULAYA/CHAMA ATATUSAIDIA NA BALEKE 

Scope Media
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 105 тыс.
50% 1

#alikamwe #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yangatv #azizki #yanga #yangaleo #yangasc

Спорт

Опубликовано:

 

8 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@carolinambalamwezi4216
@carolinambalamwezi4216 19 дней назад
Azizi ki bado yupo sana tuliosoma cuba tunajua namna Rais Engineer alivyoweka tesheni kuwavuluga makoloo ni vile Harmonize huwa anafanya
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 18 дней назад
Hauwezi kua uzembe wa vioongozi club ina bajeti ya kufanya usajili kama amepata pesa nyingi ulaya acha aende tu mimi sishangai namwombea
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 19 дней назад
Azizi K hata mwakani haondoki yupo mpaka 2026
@DANIELMAYUNGA-bm4mp
@DANIELMAYUNGA-bm4mp 18 дней назад
Haijaisha mpaka iishe mie najua kiii master yupo sanaa jangwani
@mombasa0076
@mombasa0076 18 дней назад
TUACHE UDAKU NA TUSUBIRI HABARI ZA KUAMINIKA.❤
@LinnahRaphael
@LinnahRaphael 18 дней назад
aziz ki akitaka kuondoka aondoke tu yanga tuache kung'ang'ania mchezaji huenda hatafanya vizuri msimu ujao
@herrymsagati3270
@herrymsagati3270 19 дней назад
aziz ki bado mchezaji wa yanga acheni woga
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 19 дней назад
Hivyo hukumbuki Mayele Ilikuwa hivi hivi,mi naona kama imeisha hiyo.
@francisjustus-zc8se
@francisjustus-zc8se 19 дней назад
Sio mbaya ndo maana ya soka acha akatafute marisho sehem nyingine
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 18 дней назад
Mimi nilikua naomba gwede angebaki hata kama azizi akiondoka hakuna shida timu bado ni nzuri yanga bingwa tena
@PendoJacob-t3r
@PendoJacob-t3r 19 дней назад
Yanga ni kubwa kuliko Aziz Ki
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 19 дней назад
myie mnafikiri watapataje ela bila kuwafanya mazombi ili waongeze ela
@Elihurumamathew
@Elihurumamathew 19 дней назад
Yanga wakiondoka gsm na hersi saidi hapo ndipo yanga tutayumba ila siyo mchezaji nyinyi hangaikeni na wakina debora mpagama wachezaji waliofeli kwenye timu zilizomaliza nafasi ya 13 nahao waliotoka kwenye timu zilizoshuka daraja mwisho wa msimu tukutane tuone nani bingwa nani atamaliza nafasi ya 4 kushuka maana bingwa yanga nafasi ya 2 azam wanaofwatia hapo hatujui
@marcobulili4341
@marcobulili4341 19 дней назад
Je wenzetu MO akiondoka itakuaje!? Kolo wameugua ujinga kwa MO
@daudimichael7338
@daudimichael7338 19 дней назад
Comments zenu mngezitoa kwenye Yanga TV, huyu scope atazipeleka wapi? Kwanza mshamba tu, heading yake na habari yenyewe hata havifanani.
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy 18 дней назад
Acha ukuma wewe kahaba mchovu kuma nini wewe
@kelvinbinemungu3939
@kelvinbinemungu3939 18 дней назад
Kwan yanga haiwez kucheza bila Aziz ki??
@KindambaMtunje
@KindambaMtunje 18 дней назад
Mtaisoma naomba mwaka huu
@MikidadiNyangi
@MikidadiNyangi 19 дней назад
Azizi k anapenda hela sio yanga vip wewe acha ushamba asiende ulaya abaki kuwa masikin yanga
@costantinemgalle1910
@costantinemgalle1910 18 дней назад
Wanahabari wavichochoroni! Tena hata aibu hamna! Kichwa cha habari hakihusiani na content iliyopo. Mnafikiri huu ni ujanja lakini, kwanza mnachafua uwanahabari, afu pia yani mnajiharibia kazi. Siku nyingine ukiona Scope Media piga chini tu....mnawafanya hadhira yenu kama vile mambumbu ivi.....
@shabbirbharmal7876
@shabbirbharmal7876 19 дней назад
Kama aziz ki kweli anaondoka asiondoke😢
@marcobulili4341
@marcobulili4341 19 дней назад
Guede alianza kuingia kwenye mfumo wa Gamond na alianza kuwa mwepesi kiwanjani alichangamka! Kwa vile nmpira basi imekuwa. Ila Baleke ndiyo lkn namuonaga kolo sana yule afu duka
@JohnsoniNyaulingo-lj9qc
@JohnsoniNyaulingo-lj9qc 18 дней назад
Guede imekuwaje mbon jamaaa anafunga saan mechi chache kmzid mpk kibu
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 18 дней назад
Nyie mashabi wenzangu mwacheni aende anakoona panamfaa yanga ni kubwa na bado tu atimu nzuri acheni kulala mika kwasababu hata mkisema mlazimishe hawezi mpira ni biashara achenj nayeye akajaribu kama mayele tumpe mau yake tumwombee akafanye vizuri huko aendako tuache lawama jamani
@JosephChalle-y1c
@JosephChalle-y1c 19 дней назад
Viongozi wawe wakwel nasiokujizimisha dat
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 18 дней назад
Gwede abaki jamani please
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t 18 дней назад
Utopolo chukueni baleke NY is ndio dampo la Simba okoteni tu
@IsabelaElasto
@IsabelaElasto 18 дней назад
Wasenge mlichokiandika namlichokisema tofauti
@stevensosipita
@stevensosipita 19 дней назад
GUEDE ILIKUWA TUMVUTIE MUDA NI BONGE LA STRAIKA LAKINI YANGU MACHO
@aishakhamis714
@aishakhamis714 19 дней назад
Mimi yanga usajili wa baleke kwangu sio mzuri bola geede
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 19 дней назад
Hamia Simba hauwezi kumpangia Gamondi nani wa kumsajili kwani ww unatoa hela
@user-em2sd9tm1n
@user-em2sd9tm1n 19 дней назад
Wewe bora bareke
@user-fe6bf3td2q
@user-fe6bf3td2q 19 дней назад
haondoki ni drama tu zinachezeshwa maana hawana habari za kuongelewa tofauti na jambo la chama ambalo limezima, ki aziz kasaini jangwani kwa kandarasi ya miaka miwili, hamna lolote tunadanganywa kama watoto
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 19 дней назад
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Huo ni uzwazwa wa kizamani.
@martinkabazo8412
@martinkabazo8412 19 дней назад
Atawavuluga vyula cmba miaka 30 hatuchukui
@SumiziBalungula
@SumiziBalungula 19 дней назад
Ameondoka we siunaona Aly alivyopoa
@ChenjeTz-z7o
@ChenjeTz-z7o 19 дней назад
Nyie mmezingua kam mmemtoa ki aziz
@JoshuaMgeni-f2c
@JoshuaMgeni-f2c 19 дней назад
Baada ya Manisha Kuna aisha mengine
@abdisalim7900
@abdisalim7900 18 дней назад
Wanasimba mashabiki makini na bora ndani ya Bara la Afrika msiingie kwenye Propaganda za Aziz Ki,hz ni propaganda za Utopolo za kujitekenya na kucheka wenyewe.Achaneni kabisa na hy habari hakuna mnaingizwa nyinyi tu ktk vita bandia ya maneno
@adelinapesha6556
@adelinapesha6556 19 дней назад
KAMA KWELI YANGA ITAMUACHIA AZIZ KI, BASI YANGA HAINA MALENGO NA HAINA MPANGO NZURI WA KUCHEZA CLUB BINGWA AFRIKA. KWANI HIYO B. 1.3 YANGA IMESHINDWA KUTOA KUMBAKIZA AZIZ KI? SI BORA KUPUNGUZA WACHEZA UKAMBAKIZA AZIZ KII. KUONDOKA KWA AZIZ KUNAWEZA KUBADILISHA KABISA MFUMO. NI MAONI YANGU TU!!!
@josephgalandu128
@josephgalandu128 19 дней назад
Aliyesema AxizikAondoka ni Enginiaer au wewe???
@godfreydidas2575
@godfreydidas2575 19 дней назад
Unatafta kiki kptia simba 2mexhakuxanukia wa kuzimia
@mekushop
@mekushop 19 дней назад
Ni kweli Azizi kii anaondoka
@IssaTamba-qh1gi
@IssaTamba-qh1gi 19 дней назад
Tunatengeneza content
@GidionAlex-p5w
@GidionAlex-p5w 19 дней назад
Kama Aziz ki ameondoka yanga daaa
@dullahtz7129
@dullahtz7129 19 дней назад
Dampo fc 😂😂😂 mnawachukuwa kwa mbwembwe mnawaacha kwa matatizo wakiwa simba ni wazee wakija kwenu wanakuwa vijana hahahaha 😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 19 дней назад
Azizi ki amesaini Yanga
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 19 дней назад
Mwachen aende simba
@daudlubugwa4696
@daudlubugwa4696 19 дней назад
Km azizi k km ameondoka niuzembe wa viongozi hapo
@akidajulius1581
@akidajulius1581 19 дней назад
Sio uzembe jaman watu walimpenda sna, lkn mda mweingine hawa wachezaji wa kigeni wakiona wamemliza msimu kwa mafanikio wana leta dau kubwa sna ambalo hata kama ww ndio bos lazima uwangalie malambili, nini utaenda kukipata baada yahilo , mtu anataka bilioni 1,ndio asaini na mshahala kila mwezi milion 60,hiyo hela mtu mmoja kweli? Kwani anacheza pekeyake pale uwanjani? Je hawa wengine watajionaje, msilaumu viongozi mda mwingine nawao wanashindwa lakufanya,
@makingongosha6738
@makingongosha6738 19 дней назад
Boya
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 19 дней назад
Aziz ki nan mwache aende
@OswardMandikilo
@OswardMandikilo 19 дней назад
Mtakoma na bado
@amosrumbeli4081
@amosrumbeli4081 19 дней назад
Ki is red
@user-fe6bf3td2q
@user-fe6bf3td2q 19 дней назад
mnakusanya hela kijanja
@user-wi9bp4uo4j
@user-wi9bp4uo4j 19 дней назад
Siku ukimiliki akili utatusumbua sana
@user-hu2vo1jm8o
@user-hu2vo1jm8o 19 дней назад
namna yakujiunga tuelekeze
@bashirukajembe4165
@bashirukajembe4165 19 дней назад
Kwakumtoa gwede kiukweli wamechemsha
@daudlubugwa4696
@daudlubugwa4696 19 дней назад
Mmebolonga hapo mmeferi hamuna chenu
@errydeo8865
@errydeo8865 19 дней назад
Umelipa card yako ? Umeisaidiaje club yako?
@mwanangusana
@mwanangusana 19 дней назад
😂😂😂😂 jifunze kuandika
@selemaniramadhani218
@selemaniramadhani218 19 дней назад
Kama huna D mbili huwezi kuelewa hapo
@Dulajuma
@Dulajuma 19 дней назад
Mwamba asiondoke
@user-zi3iu3es5i
@user-zi3iu3es5i 19 дней назад
Nonsense
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 19 дней назад
Mmemtoa Guede jamani KWELI mnamleta Baleke daaah pia kama Azizi akiondoka yanga viongozi mtakuwa mmefanya UZEMBE mkubwa sana ila pia namtabiria shekhan Ibrahim kufanya vizuri msimu ujao apewe tu nafasi
@nsajigwamwakalinga3591
@nsajigwamwakalinga3591 19 дней назад
Wewe baleke ni Bora kuliko guede
@irenejameskijoyee5380
@irenejameskijoyee5380 19 дней назад
Wamefanya uzembe gani?? Mpira ni biashara acha propaganda
@mwanangusana
@mwanangusana 19 дней назад
Baleke sio Guede
@user-nz2rw7sj9i
@user-nz2rw7sj9i 19 дней назад
Huwezi Fanya biashara na mtu ambaye TAYARI amesha maliza mkataba wake! Walikuwa wapi wasimshawishi akaongeza mkataba mapema!​@@irenejameskijoyee5380
@francisjustus-zc8se
@francisjustus-zc8se 19 дней назад
Ww nawe n bangi viongoz wana kosa gana hapo akati mchezaji mwenyewe ndo anachagua
@francisjustus-zc8se
@francisjustus-zc8se 19 дней назад
Washabiki tunaferi sana kwan utamng,ang,ania mchezaji mmoja mbaka lini hakati mpira ni biashara mwaka jana hakua na msim mzuri na tukatoboa kwahiyo mchezajia hakipata marisho mengine muache aende tu
@happysanga6846
@happysanga6846 19 дней назад
Yanga acheni kutuweka loho juu kama Aziz mmeshindwa kumsajilj semen acheni kujing'atang'ata
@BensonBenjamin-dl7lb
@BensonBenjamin-dl7lb 19 дней назад
Ally kamwe tunamtaka aziz kiii
@NoelKiwike-wc8wh
@NoelKiwike-wc8wh 19 дней назад
Ombaomba fc
@GervasKhalfan
@GervasKhalfan 19 дней назад
Leo sitaki kukomenti chochote ila ngoja nihesabu 1-1000 nipumzishe kichwa 01,02,03,04,05,06,07,08,09,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32,33,34,35,36,37,38,39,40,41,42,43,44,45,46,47,48,49,50,51,52,53,54,55,56,57,58,59,60,61,62,63,64,65,66,67,68,69,70,71,72,73,74,75,76,77,78,79,80,81,82,83,84,85,86,87,88,89,90,91,92,93,94,95,96,97,98,99,100,101,102,103,104,105,106,107,108,109,110,111,112,113,114,115,116,117,118,119,120,121,122,123,124,125,126,127,128,129,130,131,132,133,134,135,136,137,138,139,140,141,142,143,144,145,146,147,148,149,150,151,152,153,154,155,156,157,158,159,160,161,162,163,164,165,166,167,168,169,170,171,172,173,174,175,176,177,178,179,180,181,182,183,184,185,186,187,188,189,190,191,192,193,194,195,196,197,198,199,200,201,202,203,204,205,206,207,208,209,210,211,212,213,214,215,216,217,218,219,220,221,222,223,224,225,226,227,228,229,230,231,232,233,234,235,236,237,238,239,240,241,242,243,244,245,246,247,248,249,250,251,252,253,254,255,256,257,258,259,260,261,262,263,264,265,266,267,268,269,270,271,272,273,274,275,276,277,278,279,280,281,282,283,284,285,286,287,288,289,290,291,292,293,294,295,296,297,298,299,300,301,302,303,304,305,306,307,308,309,310,311,312,313,134,315,316,317,318,319,320,321,322,323,324,325,326,327,328,329,330,331,332,333,334,335,336,337,338,339,340,341,342,343,344,345,346,347,348,349,350,351,352,353,354,355,356,357,358,359,360,361,362,363,364,365,366,367,368,369,370,371,372,373,374,375,376,377,378,379,380,381,382,383,384,385,386,387,388,389,390,391,392,393,394,395,396,397,398,399,400,401,402,403,404,405,406,407,408,409,410,411,412,413,415,416,417,418,419,420,421,422,423,424,425,426,427,428,429,430,431,432,433,434,435,436,437,438,439,440,441,442,443,444,445,446,447,448,439,450,451,452,453,454,455,456,457,458,459,460,461,462,463,464,465,466,467,468,469,470,471,472,473,474,575,476,477,478,479,480,481,482,483,484,485,486,487,488,489,490,491,492,493,494,495,496,497,498,499,500,501,502,503,504,505,506,507,508,509,510,511,512,513,514,515,516,517,518,519,520,521,522,523,524,525,526,527,528,529,530,531,532,533,534,535,536,537,538,539,540,541,542,543,544,545,546,547,548,549,550,551,552,553,554,555,556,557,558,559,560,561,562,563,564,565,566,567,568,569,570,571,572,573,574,575,576,577,578,579,580,581,582,583,584,585,586,587,588,589,590,591,592,593,594,595,596,597,598,599,600,601,602,603,604,605,607,608,609,610,611,612,613,614,615,616,617,618,619,620,621,622,623,624,625,626,627,628,629,630,631,632,633,634,635,636,637,638,639,640,641,642,643,644,645,646,647,648,649,650,651,652,653,654,655,656,657,658,659,660,661,662,663,664,665,666,667,668,669,670,671,672,673,674,675,676,677,678,679,680,681,682,683,684,685,686,687,688,689,690,691,692,693,694,695,696,697,698,699,700,701,702,703,704,705,706,707,708,709,710,711,712,713,714,715,716,717,718,719,720,721,722,723,724,725,726,727,728,729,730,731,732,733,734,735,736,738,739,740,741,742,743,744,745,746,747,748,749,750,751,752,753,754,755,756,757,758,759,760,761,762,763,764,765,766,767,768,769,780,781,782,783,784,785,788,789,790,791,792,793,794,795,796,797,798,799,800,801,802,803,804,805,806,807,808,809,810,811,812,813,814,815,816,817,818,819,820,821,822,823,824,825,826,827,828,829,830,831,832,833,834,835,836,837,838,839,840,841,842,843,844,845,846,847,848,849,850,851,852,853,854,854,855,856,857,858,859,860,861,862,863,864,865,866,867,868,869,870,871,872,873,874,875,876,877,878,879,880,881,882,883,884,885,886,887,888,889,890,891,892,893,894,895,896,897,898,899,900,901,902,903,904,905,906,907,908,909,910,911,912,913,914,915,916,917,918,919,920,921,922,923,924,925,926,927,928,929,930,931,932,933,934,935,936,937,938,939,940,941,942,943,944,945,946,947,948,949,950,951,952,953,954,955,956,957,958,959,960,961,962,963,964,965,966,967,968,969,970,971,972,973,974,975,976,977,978,979,980,981,982,983,984,985,986,987,988,989,990,991,992,993,994,995,996,997,998,999,1000
@user-em2sd9tm1n
@user-em2sd9tm1n 19 дней назад
Oya umekunywa pombe gani imekufanya uhesabu 1 hadi 1000
@SurprisedMacawBird-qh7dg
@SurprisedMacawBird-qh7dg 18 дней назад
Joseph guede alikuwa mchezaji mzuri
@user-nz2rw7sj9i
@user-nz2rw7sj9i 19 дней назад
Azizi Ki akiondoka ni uzembe wa viongozi kwakweli kwani Mwenyewe anaipenda Yanga na muda wote amekuwa akiipambania timu .
@mimiraia2531
@mimiraia2531 18 дней назад
Kama hawa wezi kulipa hela anayotaka, wafanyeje?? Cristian Ronaldo aliondoka Man U kwenda Real Madrid, unadhani Man U walitaka!
@LoveVoice-c6t
@LoveVoice-c6t 19 дней назад
Munatuona bwabwa pira nyie Aziz Aziz kaa kaondoka simuseme fatuma nyie
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 19 дней назад
😂😂
@ChenjeTz-z7o
@ChenjeTz-z7o 19 дней назад
Nyie mmezingua kweli kam mmemtoa aziz ki
@hamidmussa838
@hamidmussa838 19 дней назад
Ahmed Ali Juu!
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 19 дней назад
Haondoki mbona hajaongea kitu kuhusu aziz na nyie acheni uongo
@JohnsoniNyaulingo-lj9qc
@JohnsoniNyaulingo-lj9qc 18 дней назад
Unamleta libalek la nin halafu kwanin mnang'ang'ania mchezaji akitoka simb si tunamchukua me spend
@GidionAlex-p5w
@GidionAlex-p5w 19 дней назад
Kama Aziz ki ameondoka yanga daaa
@errydeo8865
@errydeo8865 19 дней назад
Kwani Aziz hakuikuta Yanga!? Hivi watu akili zenu zikoje? MAYELE hakuondoka, Fei hakuondoka? Wachezaji wote huja na kuondoka! Akiondoka ni fursa ya kuja mwingine KUENI KIAKILI!! ALIYEKWAMBIA ATAFIA YANGA NANI? AENDE!
Далее
Messi & Garnacho💔🇦🇷
0:18
Просмотров 9 млн
Big Difference 🥶
0:42
Просмотров 6 млн