Тёмный

ALLY KAMWE ATEMA CHECHE BAADA YA KUWAFUNGA WABABE WA SIMBA KAIZER CHIEFS/KOMBE TUTALITEMBEZA USIKU 

Mpenja TV
Подписаться 536 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@daudmasare
@daudmasare Месяц назад
Like za Max wekeni hapa
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
Dar Yani sitaki kusikia ALLY anasepa❤❤❤ tuachieni kamwe wetu❤❤❤❤tunataka tutambe nae
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g Месяц назад
Tuachie Ally kamwe wetu ndo kijana mwenzetu tunaenda sawa manara abaki afisa muamasishaji group litapwaya priva Alwatan na Ally kamwe wana machi vzr
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 Месяц назад
Ally usiondoke Yanga. Usitishwe. Uko juu. Jiamini usijipe unyonge, utoto.
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Месяц назад
KUNA WATU WANASEMA KAIZER ALIYEFUNGWA GOLI 4-0 NI KIBONDE JE ALIYE FUNGWA GOLI 5-1 TUMWIITEJE NAOMBENI JIBU😂😂😂😂😂😂😂😂
@leonidangimbwa1526
@leonidangimbwa1526 Месяц назад
Shangaa🙄🙄 wanasema kwwnye ligi ilikuwa nafasi ya 10, Je, wale waliokula 5 walikuwa nafasi ya ngapi? Maneno ya mkosaji
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Месяц назад
Yanga hii kaz ipo msim ujao
@SalomeEmanuelimpalasinge
@SalomeEmanuelimpalasinge Месяц назад
Yanga ni hatari kama unaipenda yanga weka like zako😅🧡💛💚💚💚
@pacifiquemlengwa3886
@pacifiquemlengwa3886 Месяц назад
wote is anaojitafuta tutawakanda, kwaiyo simba ni kama😂kaizer chief
@user-le5ll1xe7b
@user-le5ll1xe7b Месяц назад
Bola asingetualika maana sijui tarehe 8 itakuwaje
@RamadhaniKrjunior
@RamadhaniKrjunior Месяц назад
Aly kamwe unaakili sana tena akili ya biashara leo tutakuja kununua usiku. sanda fc wamelala wote
@neemamollel6972
@neemamollel6972 Месяц назад
Ukweli tunaomba viongozi wetu watuachie Ally wetu manara wamtafutie kitengo
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g Месяц назад
Atunaga jambo dogo 💚💚💛💛💛💚💚💚💚💚💚
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Месяц назад
Wa Oman 🇴🇲 zipo mabela rials 10
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Location
@lukasmnyethi5903
@lukasmnyethi5903 Месяц назад
Wapo nafasi ya ngap kwenye ligi yao
@angelkomba7162
@angelkomba7162 Месяц назад
Kwani kolo alipopigwa 5 alikuwa nafas ya ngap
@UFC_HIGHLIGHT123
@UFC_HIGHLIGHT123 Месяц назад
Mimi nilikuwa napiga hesabu 25000× 45000 plus contena LA wholesalers.. Daaaah football is money 😂😂😂
@SmilingBamboo-jc1rt
@SmilingBamboo-jc1rt Месяц назад
Nakukubali ali kamwe
@HoseaNguge
@HoseaNguge Месяц назад
Ally kamwe ulikuwa mnyonge kumbe ulijua usiku utaachia ngazi kiivo, sisi tunakukubali manara hatumtaki bhn 😢😢😢😢
@jumashedafa
@jumashedafa Месяц назад
Hii jezi ya kijani kali san
@castrocastro9615
@castrocastro9615 Месяц назад
Acha uhuni dogo. Kwani we mara ya mwisho kumfunga Ahly ni lini???? Hadi ujilinganishe na Ahly?
@abubakarnsolo908
@abubakarnsolo908 Месяц назад
Kwaiyo hii ndi inakuwa interview yake ya mwisho daah
@OmaryPinda
@OmaryPinda Месяц назад
nyie simba mlishawi pigwa 4 naawaawa wachov
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Месяц назад
Wewe James kamwe jumanne3
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Месяц назад
Nimekubaliana nawewe, hii ni Gear namba 2, hapo sawa. Tarehe 08/08/2024 tutaangalia tutumie Gear namba gani?
@japhetsilungwe4719
@japhetsilungwe4719 Месяц назад
Where is man ara, let him go don't allow him to come and disturb this young man
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
They can work together though!
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
Mbona makolo walishangilia eti kuifunga timu ya daraja 4 goli 3 wakajiona wanaweeza!!! Kaaa!! Leo wanakula chuma huko
@user-qo6bk1zs8m
@user-qo6bk1zs8m Месяц назад
Kila jambo lenu simba inaonesha simba kweli ni top 5 africa 😅😅😅😅😅nguvu moja
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Xav mtupu
@LoyceMathias
@LoyceMathias Месяц назад
Na hizo Sanda zenu mtaziita anda
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Месяц назад
Mbona nyie mechi zenu hamtangazi mliocheza nao ni daraja la ngapi??
@marystambuli8045
@marystambuli8045 Месяц назад
Kennedy Msonda wapi?
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Месяц назад
Nenda kwenye vyanzo vya habar vya tim utapata majibu
@NasanNyungu
@NasanNyungu Месяц назад
hatli sana
@HeliethJustine
@HeliethJustine Месяц назад
Timu yenyewe ilimaliza nafasi ya 10
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Месяц назад
Mbona kolo kamaliza nafasi ya tatu na alikula Kono la nyani?😂😂😂😂😂
@rahelnamonde
@rahelnamonde Месяц назад
Wew ulikuw nafac y ngap ukala tano
@hawajohn749
@hawajohn749 Месяц назад
Hata kama nafasi ya 10 lkn uwanjani si mmewaona? Jamaa siyo wa mchezo
@user-rh2cu6id1y
@user-rh2cu6id1y Месяц назад
Huyo wa 5 ni kibonden na bonde kazi yake unaifaham unamwagia2 ulichopanda
@user-vu5td9dw4f
@user-vu5td9dw4f Месяц назад
Kimbe nawewe unaisemea timu yako ukiwa tz??
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
MMEKUTANA NA VIBONDE KEIZA CHEF
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Месяц назад
Kibonde kaizer kala nne na kibonde wewe ulikula kono nani bora hapo 😂😂😂😂😂😂
@ManirambonaBashiri
@ManirambonaBashiri Месяц назад
5 Fc ndio bora
@user-gy5fo6zv6w
@user-gy5fo6zv6w Месяц назад
Huyo wa nyuma mbona kanuna ivo
@NasanNyungu
@NasanNyungu Месяц назад
kama ni mbovu ww ulikula gap?
@LoyceMathias
@LoyceMathias Месяц назад
😅😅😅😅
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
huna mvuto mwongo
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Месяц назад
Ilayanga 😂😂😂
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
Tarehe 8 subiri vijana wakuvishe sanda
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada Месяц назад
Subiri nawe tuje tukuvishe his sandals yenu
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
@@dr.allyahmada ile sanda ni kwaajili yenu. Na ile kaizer ni mizoga kwasasa hawana maajabu nafasi ya 10 kwenye ligue we subiri vijana tukukande
@HenryNdaigaTanzania
@HenryNdaigaTanzania Месяц назад
Kazi ipo tarehe 8
@user-kr2zi7du7y
@user-kr2zi7du7y Месяц назад
Derby aitabiriki tusiende na matokeo
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Месяц назад
Ss yanga hatuamn kweny maneno mpira nimchezo wawaz tumewekeza haswaaa
@ChristopherSwenya
@ChristopherSwenya Месяц назад
Yaan yanga mamb yen yakitt kitt
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Месяц назад
Weee yanakuhusu nini? Nyinyi mambo yenu ni ya kikubwa ndo maana mnacheza na timu za kikubwa 😂😂😂😂
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
Kaizer nafasi ya kumi ligue ya south afrika bado wanajitafuta
@AyubuJuma-df4pn
@AyubuJuma-df4pn Месяц назад
Kwani yanga haijitafuti?
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
@@AyubuJuma-df4pn yanga haijitafuti na kama unajua mpira nazan unaelewa na kama shabik andazi uwezi kuelewa
@AyubuJuma-df4pn
@AyubuJuma-df4pn Месяц назад
@@MkaliZuberi-rt3gb majibu ni tareha 8 ndio tutaiona Tim mbovu
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
@@AyubuJuma-df4pnhilo ndilo jibu la mwanasoka
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Месяц назад
We kolo fuatilia mulipopigwa 4g na Kaizer walikuwa katika nafasi ya ngapi katika ligi?
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Месяц назад
Endeleeni kujiamini na hao wachovu miaka Tisa hawajawahi chukua ubingwa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Месяц назад
Shida nn Bro we 3 ulifunga team ipo Daraja gani?
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Месяц назад
Wewe kolo miaka mitatu haulijui kombe na ulikula tano mbona wao hawajasema?😂😂😂😂
@ismailsputta4420
@ismailsputta4420 Месяц назад
Nyie mliochukua ubingwa Mara nne mfululizo waliwatomba vinne ndani ya hio hoo miaka Tisa ambao bado wanajitafuta na yangu nakutomba bao tano
@williamkajala8005
@williamkajala8005 Месяц назад
Nasikia Wanatumia Dawa za kusisimua Misuli kama ni kweli wamekwishaa
@MelisaWilfred
@MelisaWilfred Месяц назад
Ally kamwe Hana hata furaha
@alitante4279
@alitante4279 Месяц назад
Acha mbwebwe ali simba kamwe kunja kunja usepee mwenye timu yke manara kakufukuzaa 😅😅😅😅
Далее
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 52 млн
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 2,9 млн
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
11:28
KAIZER CHIEFS VS YOUNG AFRICANS ALL GOALS HIGHLIGHTS
11:48
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MCHOME, ANASEMA SINA AKILI?
20:24
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 52 млн