Тёмный

ALI KAMWE azungumza MAZITO wanaomuita CHAMA MZEE/"AZIZ KI na HAMISA ni WAPENZI?.... 

Rick Media
Подписаться 892 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@MARYCHARLES-p6m
@MARYCHARLES-p6m 2 месяца назад
Ally,mwamini mungu utafika unapopataka achana na midomo ya watu 🎉🎉🎉🎉 yako baba.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 2 месяца назад
😢😢hawa waandishi inabidi waende shule hawajui namna ya kutengeneza maswali ni aibu
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 2 месяца назад
Hpo mwisho umemalzaje Ally 😂 mwanamke yeyte ambae ana hema 😂😂 daah
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 2 месяца назад
Kamwe big up
@vedastusmlavumba1158
@vedastusmlavumba1158 2 месяца назад
Ally Kamwe bravo!!! In mtu na nusu
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 2 месяца назад
Mashaallah M/Mungu akujaalie Kheir kwenye Maisha yk Inshaallah
@SaidCannal
@SaidCannal 2 месяца назад
Ally Kamwe ni kijana bora sana katika kazi yake ya msemaji yanga, na yanga imeongoza wapenzi wengi kwa kuwepo Ally Kamwe , kazi hii tunahitaji vijana
@AshaNchira
@AshaNchira 2 месяца назад
Muhuni huyo yanga ni timu kubwa hawezi kisenelea yeye aende steji shoo na Kwa Nini Hana mke Kwa hiyo aliye kamwe ni kimada huyo anaifedheesha yanga.
@bollywoodentertainment8081
@bollywoodentertainment8081 2 месяца назад
​@@AshaNchirawew kolo kama inauma chomoa ukimbie usije ukajinyea 🖕🖕
@zionhill_music6321
@zionhill_music6321 2 месяца назад
Utu Uzima Dawa 😂😂
@hassanharith2443
@hassanharith2443 2 месяца назад
Mwinjaku ni jinga kibwa sana hapa Tanzania hata dini hairuhusu kuruhusu kuingiza mke katika jambo lolote amemdhalilisha mkewe
@vedastusmlavumba1158
@vedastusmlavumba1158 2 месяца назад
Kamwe ni mtu na nusu
@hassanharith2443
@hassanharith2443 2 месяца назад
Wewe ni hodara na unakipaji sio kama manara
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
lakini upunguze na zarau na uache kuisemea na simba
@veronicaluvanda2880
@veronicaluvanda2880 2 месяца назад
Kwani waliyoanza kuwa chama ni mzee akiwa Simba ni kina nani
Далее
USO KWA USO MWIJAKU NA ALIY KAMWE WAKUTANA
4:31
Просмотров 2,3 тыс.