Тёмный

Ali Kiba Ashangaza Watanzania Kila mtu kashangaa baada ya kujua 

Hot Chamber
Подписаться 626 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 фев 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 383   
@Bonnere
@Bonnere 6 лет назад
Kiba he's the legend much respect big bro from Australia here
@marianundwe2720
@marianundwe2720 6 лет назад
anajitambua and he is handsome by nature.... much respect to him #King kibaaaa
@fatumaathuman1745
@fatumaathuman1745 6 лет назад
anajitambua
@nassraramadhans1074
@nassraramadhans1074 6 лет назад
ali kiba ana heshima zake sio hao wapumbavu
@bushiridems
@bushiridems 6 лет назад
Tatizo yake umaskini wake ajitambuwi bali ahana pesa tu.
@dullahmamu9604
@dullahmamu9604 6 лет назад
Bushiri lombe we nawe umenijisahau kweli aya pole
@mudricwhite1038
@mudricwhite1038 6 лет назад
+Bushiri lombe wacha ujinga kuvaa mahirini ni mwanzo w ushoga
@Bogohoney
@Bogohoney 6 лет назад
He,s a legend, Avery wise disciplined musician , aguy of his respect, I owe you my respect Alikiba, much love from kenya
@hannahnashipae3000
@hannahnashipae3000 6 лет назад
Anajitabua, King kiba your the best artist
@hamissmohamed3391
@hamissmohamed3391 6 лет назад
Ally kiba anajitambua yeye mwanaume vipi avae eleni au apige tattoo au avae cheni za ajabu ajabu safi sana kiba
@fathmajivanji5173
@fathmajivanji5173 6 лет назад
Ali kiba is a gentle man n pia anahofu ya Allah...n tena anaridhika alivyo coz anamvuto bila hata ya hivyo vyote.....big up king
@maximillianochampeke9380
@maximillianochampeke9380 6 лет назад
Anajitambua napenda msimamo wake keep it up Ally Kiba
@paulgodwini2910
@paulgodwini2910 6 лет назад
Ukisha kuwa mtu mzima lazima ujitambue alikiba zamani alikua anavaa heleen ila alivyo jitambua akachana navyo msanii bila heleni inawezekana huyuu jamaa namuelewaga sana video zake naangaliaga na mama ,baba ,nawadogozangu pia hanaga yale mambo ya uchi uchi big up king kiba like that
@lukamtakatifu1806
@lukamtakatifu1806 6 лет назад
Paul Godwini
@fabiansam8157
@fabiansam8157 6 лет назад
KWELI
@khadijaally3929
@khadijaally3929 6 лет назад
Nikwasaababu musilamu hafai kufanya vitu hivo ndio ali kiba anataabua dini yake mashllh mungu amzidishie
@mwajumarashid4108
@mwajumarashid4108 6 лет назад
Anajitambua na sio lazima msanii kuchora tatoo au kuvaa mihereni, nakukubali sana king kiba
@halimahashim7828
@halimahashim7828 6 лет назад
anajitambua saaana zats y namkubal mno
@issajibrahim1251
@issajibrahim1251 5 лет назад
achen kkalili
@RemmyWilliams
@RemmyWilliams 6 лет назад
I like him, is pure, mkweri , anajiheshimu na anaheshimu, anafanya kazi yake na hajishauwi kwa uongo mtupu, Kiki ili aonekane wa juu kuliko wote. Nice Person.*****
@faheemhashim2804
@faheemhashim2804 6 лет назад
Ali kiba.. mtoto wa kiislam safi.. na watoto wake wote wapo kwenye dini.. ana tuzo ya kuwa mzazi bora kwenye chuo alichosomea yeye.. Mwanae alishawahi kuja nyumbani kwenye kisomo tulichoandaa pamoja maalim wake na team yao yote. Inshort yupo SIMPLE TU
@ashaally6993
@ashaally6993 6 лет назад
Na hajawahi kufuga rasta kukata nywele kiajabu ajabu wala kupaka rangi kichwani acha nikukumbushe umesahau hilo mtangazaji!! Jibu langu mimi ANAJITAMBUA tena sana
@hotchamber255
@hotchamber255 6 лет назад
Ahsante Asha ..
@huseninduya2557
@huseninduya2557 6 лет назад
Asha Ally kwa sasa kapaka lakini
@ashaally6993
@ashaally6993 6 лет назад
Huseni Nduya kalazimika kupaka rangi nyekundu kuendana na moto anayosifia kinywaji ili ifanane lakini hawezi kaa nayo muda utaona wewe mwenyewe
@georgebt9545
@georgebt9545 6 лет назад
Asha Ally nikweli
@mejumaabaraza8020
@mejumaabaraza8020 6 лет назад
Aishimu jina lake coz nijina la imamu Ali bin abu twalib sio hao waume wake wanao shobokea duni yy anajuwa duni na akhera endelea ivyo hivyo Ali na mungu atakuongoza kwa kazi zko ishaallah penda ww sana
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 6 лет назад
Alikiba anajitambua Sana na ni muislam haifai kujichora tatu wala kutoboa pua wala rasta so alikiba big up
@maryamammar1702
@maryamammar1702 6 лет назад
Anajielewa vyema 😍kwa sababu hivyo vitu baadae vinakujutia kweli
@Pamela_Anzoa
@Pamela_Anzoa 6 лет назад
King 🤴 Kiba tunakupenda sana. U still remain our king on matter what!!!
@laurentboniphace921
@laurentboniphace921 6 лет назад
Huyu ni msanii anae jitambua na namwombea kwa mwenyezi mungu azidi kuwa hivyo hivyo na jua Ally kiba anahofu na mungu anapenda sana dini
@inocentimaramso5537
@inocentimaramso5537 6 лет назад
dah timu pasua kichwa nice Ally kiba
@jeilanathuman9447
@jeilanathuman9447 6 лет назад
Laurent Boniphace Ndio kabisa uko sawa sana
@ndayishimiyefarida9556
@ndayishimiyefarida9556 6 лет назад
King kibaaa we ni sta wapendwa nawatu wengi usije ukatuangusha tunaamini unajitambuwa saana na unajieshimu sana bila ca team wewe ndo ungekuwa Simba ya tz ile mbaya
@dullahmamu9604
@dullahmamu9604 6 лет назад
Anajiamini sn tn u r de best king big up MashaAllah
@hamishamis9905
@hamishamis9905 6 лет назад
Huyu ndie mwanaume anajielewa ahsante king kiba uko sawa m2 mzima...
@hamisihaji9640
@hamisihaji9640 6 лет назад
Anajielewa na anajuwa dini arusu ayo mambow
@yussufyussuf6591
@yussufyussuf6591 6 лет назад
Ni muungwana
@peterjohn5562
@peterjohn5562 6 лет назад
Allex lusumo: kwakimaadili ndosawa nainapendeza lakin lakin uckutendo mashalt kapewana freemason
@tingij2218
@tingij2218 6 лет назад
Peter Joh hujitambui ww nae
@selemanyusuph5790
@selemanyusuph5790 6 лет назад
Anajitambua sana, yuko vizuri
@khadijaabeid8012
@khadijaabeid8012 6 лет назад
mashaallah Ali kiba anajitambua sana kwa mtazamo wangu
@rahimalewe3518
@rahimalewe3518 6 лет назад
Yy ni muislam na anapenda dini yake yuwafanya yote lkn ajua kesho akhera atakutana mola wake
@reginaamoo6530
@reginaamoo6530 6 лет назад
To have tattoo is nothing so Ali ako sawa vile alivo # love you sweetie Kiba 💝💝💝💝
@hansboylipaga3286
@hansboylipaga3286 6 лет назад
Kwanza mnajua maana ya dini au mnalopoka tuu mnakufuru mana mtu anaimba muziki alafu kumbukeni uwo muziki anaoimba alama tosha ambayo aifutiki ata kama ataacha mana muziki wake bado utapigwa tuu hapo chakusema kwamba binadamu hatufanan kitabia mm napenda iki ww unapenda kile lkn wote hao innalillah wainalillah rajioun wataacha muziki lkn muziki auaachi.
@MonicaMonica-up1zr
@MonicaMonica-up1zr 6 лет назад
wakenya twapenda Ali juu ya hio ukomavu wa akili.we lv him so mch he is real model of grown up men
@sheimaaabdallahsheimaaabda8200
The real Muslim Kama hamjui juweni.. nakupenda bure Ali kiba unajutambua Sana
@happinessmataluma1948
@happinessmataluma1948 6 лет назад
huyu ndie rijar bwana ao wavaa helen na wapaka piko ni ma biarus tu wanashindana na wanawake kutafuta urembo
@edwinsombi175
@edwinsombi175 6 лет назад
Anajiamini, anajitosheleza, hana hofu ya maisha.
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 6 лет назад
Anajitambuwa sio ushamba washamba nawale wanao koa kujijuwa ali maoni yangu haya usijaribu kujiharibu maumbile yako allaah kakuumba vizuri atakae kupenda akupende kamaulivo halafu iyo ndo stayli nzuri walochorawote wameka kama jini kisirani hawajijuwi kama wanatisha nadini inakataza kuchora tatu ujumbe naomba umfiye ali kiba original
@Busia254
@Busia254 6 лет назад
Ali kiba ni mcha Mungu.Mwislamu halisi
@abdulrazakimwamino36
@abdulrazakimwamino36 6 лет назад
Ali anajitambua sana king kiba forever
@tumasaleh4236
@tumasaleh4236 6 лет назад
Big up king kibaaa unajiamin unajikuba ndo maana vitu vya kishamba hunaga abari navyo
@ditrickdickson907
@ditrickdickson907 6 лет назад
Kinacho wadanganya weng ni mtu kufanya mambo kama ayo ndo ujaja la asha! Alkaba anajitanbua
@user-cf4lt4sc2q
@user-cf4lt4sc2q 6 лет назад
Nampenda. Kama. Alivyo. Usitombowe. Puaa. Wala. Usichore. Tatuu wala. Usije. Fikiria. Kutomboa. Puwaa. Fikiria. Kupanuwa mziki wako. Na. Mungu. Atakusaidia. Ufike. Mbali zaidi ya. Hapo ulipo. Na. Penda nyimbo. Zako. Nizuri. Dana. Kazi. Njema. Alikiba. One love. Alikiba. ❤🙏🙏. AMINA. From Kenya.
@geofreymsemwa2760
@geofreymsemwa2760 6 лет назад
anajitambu kuwa yeye ni mwanaume , halis , wengine mashoga hasa wanao jipamba ivo
@venistehakizimana6450
@venistehakizimana6450 6 лет назад
Is the best anajitambua
@yohanamgengelemafwili3976
@yohanamgengelemafwili3976 6 лет назад
Anajitambua ndo haigi,na vitu vingine wanavaa wakiwa na sababu,so yuko tofauti na wengine na c ushamba
@florahsospeter8503
@florahsospeter8503 6 лет назад
geofrey msemwa, alikuwa akivaa ndyo Ila alikuwa akibandika lakini hakuwahi kutoboa maskio rafiki angu
@abdulrazaqayubu894
@abdulrazaqayubu894 6 лет назад
Ana akili timamu yule siyo wa kuiga kama wengine madaftar ndo yanachorwa siyo mwili
@mwanashazinga9538
@mwanashazinga9538 6 лет назад
huko na hofu na mungu wake yuwajua anacho fanya na dunia nimapito tu bigup kkangu
@sadygreener9240
@sadygreener9240 6 лет назад
Hahaha! Ni maamuzi tu ya mtu, ye' kaamua hivyo na si ushamba wala ujinga na hata waliochora tattoo pia nao wanajitambua!
@mvbahamas7866
@mvbahamas7866 6 лет назад
Haijaandikwa mahali eti ni lazima ukiwa msanii utoboe,pia,masikio,uvae ushanga wa kila sina au upake nywele Tangu au pia kwa kushuka ndo eti uitwe msanii Bora..Wengi wamefanya hayo lakini ni Bora wasanii tu...Ali Kiba anajitambua ndo manake twampenda jinsi alivyo manake pia kazi zake Nzuri Sana..nadhani wale wakutoboa na kuweka tattoo mingi ndo washamba!!
@ochuboyofficial205
@ochuboyofficial205 6 лет назад
Ni heshima pia haina maana ukiwa msanii lazma utoboe pua au uchore tattoo mwilini Big up sana #king kiba and keep it
@juliethtarimo3826
@juliethtarimo3826 6 лет назад
Huyo ndio king kiba: nampa hongera kwa kuwa anajitambua
@uwezopower7551
@uwezopower7551 2 года назад
Anajielewa sana Ali Kiba pia ni msanii mkubwa sana hapo Tanzania 🇹🇿 namkubali sana pia nami namuinga huyu kakangu..
@georgebt9545
@georgebt9545 6 лет назад
Tatoo siyo kumaanisha kwamba ni mshamba au sio mshamba ... Na kujipamba sana siyo kujuwa kuhimba ama kupendeza sana ..... Kujitobowa puwa sizani kama inatakiwa kwa mwanaume😉kutobowa puwa ni ushoga...😄😄so anyways ali kiba ni mtu au msanii anaye jiheshimu na anajitambuwa.
@idayakey6886
@idayakey6886 6 лет назад
Ally kiba anajitabua do mana napenda anaheshima sana acha akinadomo
@mohdrahbi6953
@mohdrahbi6953 6 лет назад
Idaya Key ali kiba ni mtoto waki isilamu ajitambuwa nini ana fanya hapendi kuwa rembukeni kama maisha ya ki sasa mwenzake kava mpaka msaraba dimond
@gracesangaboloko5414
@gracesangaboloko5414 6 лет назад
Mohd Rahbi jamani Shule nayo yamuhimu angalia vizuri umeandika nini?
@mejumaabaraza8020
@mejumaabaraza8020 6 лет назад
Idaya Key aty akina domo umenichekesha sana
@muftimaley9948
@muftimaley9948 6 лет назад
Kiba ni mtoto WA muslamu afai kuji chora wala kukata nywele vibaya
@zabronkitta2670
@zabronkitta2670 6 лет назад
Anajitambua
@reginalaurent5175
@reginalaurent5175 6 лет назад
Anijijuelewa hana tofaut na ben paul
@litmasnicko4344
@litmasnicko4344 6 лет назад
haahahahaa aisee kweli habebeki
@mashallahoman6355
@mashallahoman6355 6 лет назад
alima anajitabua sana kwani kujichora akuna mahana yoyote nibora hivio anapedeza atambere yamolawake
@lacktheboy6688
@lacktheboy6688 6 лет назад
Anajitambua anajua anachokifanya huwa hakulupuki kwaKilea anachokiona wasanii wengine wamefanya na yeye akifanye nakubali sana king kiba
@christopherbona6407
@christopherbona6407 6 лет назад
Ali ni kipenzi cha watu hawezi fanya ovyo ili ulimwengu uanze kumshangaaa.
@k5molisi913
@k5molisi913 6 лет назад
Nisawa kuibadilisha samaki kuwa mujusi uwexi hata sikumoja
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Yes nimtu poa hana makuu wala maujiko nimnyamwezi kivyake namuelewa sana nimtu fresh
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 лет назад
Ndio maana alipo tupo tu namkubali na anjielewe kinoma na yupo vizuri#king kiba ubarikiwe na usibadilike.
@auntymother1507
@auntymother1507 6 лет назад
Ana jitambua na kujiamini.. Safi sana kiba
@rachellebahati6510
@rachellebahati6510 6 лет назад
Yeye mzuri kwanini ajilembe.tena anafahamu ukweli wa dini
@shuualgheithy4741
@shuualgheithy4741 6 лет назад
Ally anajielewa sana yy ninani na anatakiwa afanye nini ktk Music ndio mana hafanyi hayo yupo Sawa na anafata maadili yetu namkubali sana na mungu amsuru asije akashawishika mbeleni
@salmaobed2708
@salmaobed2708 6 лет назад
Kiba anijitambua !na wala sio ushamba! Washamba hao watoboa pua kama mabinti hawamwogopi hata mwenyezi MUNGU wao!😀😀😁
@zuuchidy4858
@zuuchidy4858 6 лет назад
Anajitambuwa kiba big up
@ramadhansembuche3457
@ramadhansembuche3457 6 лет назад
Yupo sawa king anajitambua na jielewa maana wengine awajieliwi
@augustinopius2802
@augustinopius2802 6 лет назад
mwanaume halisi anaejitambua Kama mm namkubari Sana king kiba
@mamougary3240
@mamougary3240 6 лет назад
He is a very respectful man that all big up bro
@davidkalinga7457
@davidkalinga7457 6 лет назад
Brother namkubar sana na ANAJIELEWA sanaaa
@aystv5998
@aystv5998 6 лет назад
Ali Kiba yeye ni muislam. Anajitambua. Unaona hakutaka kuoa wenda uchi. Kujionesha kwenye mitamdao. Hata huyo zari hukaa uchi na huyo anaemuoneya wivu. M. Mungu akujalieni Ali Kiba msikilizane na mkeo mahasidi asiwasikilize. Wambea wasije kwako
@yusufkaisi8291
@yusufkaisi8291 6 лет назад
Muislam safi huyo,god bless u bro
@yaksabdi5940
@yaksabdi5940 6 лет назад
Anajitambua kwa vile yee ni 👑
@mohamedrajabumohamed2855
@mohamedrajabumohamed2855 6 лет назад
Yanialikiba achatu nimotomwingine wengine wana igatu jaribu kumuuliza mtu heleni kwamwana ume zina saidia nn au mana yake hajui anaigatu
@TTG38
@TTG38 6 лет назад
Ali ni mzuri tu sana ,hana kiherehere
@jastobless870
@jastobless870 6 лет назад
alikiba anajitambua en this guy God anambless kisiri king kiba go with that pase ao wengine ni moto ya karatasi tu watazimwa hivi karibu
@mohamedrajabu524
@mohamedrajabu524 6 лет назад
Jamaa namuelewa sana mwanaume kutoboa masikio napua una unajishusha hadhi nakushawishi ushoga kama kwetu Tanzania hakuna wanashawishiuje
@TwalibSWahad
@TwalibSWahad 6 лет назад
Sio siri, sijawahi ku comment chochote katika mitandao ya kijamii kuhusiana maswala yoyote tangu nijiunge na mitandao hii, hii ndio Mara yangu ya kwanza kuandika comment yangu, huwa naangalia na kusoma tu na kuacha mambo kama yalivyo lkn kwa jambo hili LA Ally Kiba kwa kweli ni lazima tu niseme cha moyoni, Ally Kiba Sio unajitambua tu Bali pia unajielewa na unajua unachokifanya na kwanini unafanya na kwann mengine hufanyi, natambua katika hayo pia unapambana na changamoto kubwa sana za kiushindani lkn nikuombe usikate tamaa, simamia katika misimamo yako hiyo hiyo kwa sababu unasimama katika mambo mazuri.Big Up King Kiba ! And Keep it up! Kuwa star wa kiume sio lazima kujifananisha na mwanamke.
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 лет назад
Twalib S. Wahad ameacha bro kawa mkubwa sasa lakini hereni amevaa sana tu tena masikio yote mawili lakini big up kwa sasa ameacha
@vanessamuseu877
@vanessamuseu877 6 лет назад
Love you alikiba
@mochannel7876
@mochannel7876 6 лет назад
Alli kiba nimtu anaejitambua
@misalabafaida3168
@misalabafaida3168 6 лет назад
Ni kule kujitambua tu na sio kila kitu uige mambo mengine huwa Ni njinga * alikiba for real yaaaaaah*
@jchangetz1114
@jchangetz1114 6 лет назад
Hahahahah kibaaaaa mm nimeanza kukufatilia kitambo sana ushavaa sana tu heren kaka waambie wa siyo kujua au walioanza kukujua hiv karibuni
@malindoedwin2004
@malindoedwin2004 6 лет назад
Bro anajielewa halafu xo kila msanii et ndo uvae helen or uchore tatoo nop
@hajumbambaraka4060
@hajumbambaraka4060 6 лет назад
Anajielewa kiba
@emeldajoseph9033
@emeldajoseph9033 6 лет назад
big up san kibaa
@officialirfantz8745
@officialirfantz8745 6 лет назад
Ally kiba anajitambua...... kuvaa heleni me naona kama ni ushamba tu au wanaiga kwa watu wengine lakini me namuomba aendelee hivyohivyo
@zawadiannar4801
@zawadiannar4801 6 лет назад
Ni mtu anajiamini aliy kiba hongeraa
@selinalucus8318
@selinalucus8318 6 лет назад
king kiba anajitambua 👑👑👑👑
@biusherrajab2055
@biusherrajab2055 6 лет назад
Si ushamba yuwajielewaa alfu a true Muslim haifnyi ujinga huo...
@annajoseph6892
@annajoseph6892 6 лет назад
Ni mtu ambae anajiheshim na kujitambua love king kiba
@dayanaally5385
@dayanaally5385 6 лет назад
Alikiba kalelewa kimaadili Bwana hawezi kuweka upuuzi huo ila tu misema atoe hiyorang yanywele kwani hivohivo nanywele zake tunampenda
@rashidymateka7706
@rashidymateka7706 6 лет назад
Anajitambua kuvaa heleni sio ustaa.
@jumannemfaume1166
@jumannemfaume1166 6 лет назад
Namkubali san kng kiba kwa7bu anajielewa
@omaryhammad8243
@omaryhammad8243 6 лет назад
motto Wa kiume uwaga anaga mapambo mwilini mapambo wanaho mama zetu
@ahmeddarus8492
@ahmeddarus8492 6 лет назад
Anajitambua sana tu... Huyo ndo msanii na pia mwanamme halisi
@mohamedrajabumohamed2855
@mohamedrajabumohamed2855 6 лет назад
Alikiba nimnya anajitambua nampenda Mimi kama shabikiyake mwanaume unatoboaje pua namasikio niku saport ushoga uje nakwetu kwamana hayo nimambo yawazungu
@deusikingsoffswax3293
@deusikingsoffswax3293 6 лет назад
Alikiba anaakili njingi ndo maana havay helen kwanza mimi siwapend wanaovaa helen
@assumanimlondani4182
@assumanimlondani4182 6 лет назад
Alikiba ni mtu mwenye anajielewa, na kujitambuwa .
@mwandiadam5490
@mwandiadam5490 6 лет назад
anaweza akawa #MSUYKA akifanya hayo jibu langu #TusiforceTufanane
@MUJWAUORIGINAL
@MUJWAUORIGINAL 6 лет назад
Ni Kwamba anajua maksudio ya kuumbwa kwake
@haikamosha7640
@haikamosha7640 6 лет назад
anajitambua
@christinamawanja6799
@christinamawanja6799 6 лет назад
King Kiba anajielewa, anajitambua na anajua nn anafanya hakoseagi huyu m2.
@yousriyaally3871
@yousriyaally3871 6 лет назад
Anajitambua sana tuu kwani yote ni haramu kuimba ataacha lakiini memgine laana kubwa kutoka kwa allah
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 лет назад
Uyo ndie king
@emanuelmhagama8193
@emanuelmhagama8193 6 лет назад
sio kwamba hapend kuvaa heren na chen chen,, ni ubahili tu mwenzie diamond ananunua chen za mpaka za mil15, iyo kwa kiba bora akanunue mchele wa ndan
@josephineconslater2198
@josephineconslater2198 6 лет назад
Ali n MTU na heshima zake..na kuheshimu dini
@chaukurusenior7070
@chaukurusenior7070 6 лет назад
sio ushamba ila anajua anacho kifanya
@marriammarango7532
@marriammarango7532 6 лет назад
Alikiba kipenzi cha watu anajielewa sikama hao wengine malibukeni 2
@mrmrs4762
@mrmrs4762 6 лет назад
Anajitambua sana kaka yangu panda sana
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 6 лет назад
asnte somo maana sisi majina ya A huwa shida sana
@babondo
@babondo 6 лет назад
Ali kiba hana heshimu dini yake,, hinavyo sema hata kama hiko maarufu hawezi fanya hivyo . ALEXIS RAMEY
@oscarkambona9298
@oscarkambona9298 6 лет назад
Alikiba ni m2 anayejitambua
Далее
Frank Now VS Then Edit 🥵| #brawlstars #shorts
00:18
How to win a argument
9:28
Просмотров 318 тыс.