Тёмный
No video :(

Ali Kiba atoa sababu za kutompost Diamond na kumsupport kwenye Tuzo 

Octagraphy
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 332 тыс.
50% 1

XXL interview on Clouds FM with B Dozen

Опубликовано:

 

8 июл 2015

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@nelsonyaanmimipittanakukub4842
Alikiba Ana mashabiki kidgo ila wanafaida kwake sio wote watapenda wachache wataelewa
@shomaryshomary4853
@shomaryshomary4853 8 лет назад
small-minded people never stop reminding us of their achievements however small they are. ali kiba is one of those people.
@davidsmoke2543
@davidsmoke2543 8 лет назад
STILL ALI KIBA NDIO BABA YAO
@maradonacampnou3036
@maradonacampnou3036 4 года назад
Sikweli bro jagu tena
@rashidsalum999
@rashidsalum999 4 года назад
Kweli ww king kiba uko really sana2020
@runnyofficial2808
@runnyofficial2808 7 лет назад
Tanzania mzima akuna msanii wa kufananisha na kiba
@hamiskarimu8740
@hamiskarimu8740 4 года назад
Kivipi yaana kwa uzuri ama kwa kuimba
@amanpetro6820
@amanpetro6820 4 года назад
Unajua nyinyi ndomunachonganixhag unavyo xme hivo mintakata mpaka kexho kwa vigezo vp sasa
@lizshirusupuu8206
@lizshirusupuu8206 6 лет назад
Big up king kiba I like how u have your own principal make use of your talent well
@saidissa5511
@saidissa5511 6 лет назад
mm ndomana nakukubali sana
@marrymary4564
@marrymary4564 8 лет назад
ni kweli Ali kiba ako sawa kabisa .uwezi force mtu afamye chenye roho itaki..tena kila mtu na zs kwaakee
@rosekimaro1930
@rosekimaro1930 9 лет назад
kiba ameongea point sema tu kwa kuwa tayari anaonekana wanamatatizo bac inakuwa hivyo ninachopenda kusema hawa vijana wakae chini wamalize tofauti zao watafika mbali kwa maana wote wana vipaji
@giftymadaraka6676
@giftymadaraka6676 3 года назад
Uko vzur kiba hongera cna bro
@kiambwethedon9537
@kiambwethedon9537 9 лет назад
somo lime eleweka sana kaka.
@bonymsafi7255
@bonymsafi7255 9 лет назад
Hongera xna kiba 4 real
@saidachitechi6677
@saidachitechi6677 8 лет назад
umenene big up bro.nice points.
@zainabbrouwnzaonab3537
@zainabbrouwnzaonab3537 9 лет назад
Kibaaa kaza butiii bbrooo
@lennyomwamba01
@lennyomwamba01 6 лет назад
We love you King 👑
@mohammedkhamis3443
@mohammedkhamis3443 9 лет назад
Jamaa kaongea point ya maana sana,watanzania waache upuuzi wakukosoa ila wafkirie jinsi ya kujiendeleza
@modelegracia8208
@modelegracia8208 9 лет назад
Well said!Alikba ni Gentleman mwenye hekima na busara sana!Anaongea , point kwa kuhesabu sio kuropoka!! kila kitu alichongea hapo!ni clear na wazi!Gentleman with high philosphy!He's Men enough Gentleman,He can do what the haeart wants!!He has the right &freedom!!My side l respect a lot him!na ninamkubali point zake!hata kama mnajaribu kumlinganisha au compare somewhere!!else! Who cares??kajariwa for every thing!No one can remove this gift away from him!!! pakaza!,kashifu, eti kaongea pumba! who cares?? havitamrudisha nyuma!Anasonga mbele!kwangu mie tukana,kashifu ,uwa!!l w ll be proud of him!forever! kwani maneno matupu hayazui i meli kutoa nanga na kupiga mbizi! Yeye hodari tuu!mlie tuu!chuma hicho hakipati kutu!kina ngaa na ku shine kila siku ya Mungu!!
@gmwachisnakeeyes5680
@gmwachisnakeeyes5680 7 лет назад
I like your speech King Kiba
@kenrayza
@kenrayza 9 лет назад
simple bro kiba for real
@elsielsee1529
@elsielsee1529 8 лет назад
kiba it's your decision not a must
@mckidagaa966
@mckidagaa966 9 лет назад
Mnao mchukia alikiba hamjui kuwa ndy anajua muziki anasauta yake sio yaku tengeneza daimondi mziki bado sana akasome tena
@mussamalogo5640
@mussamalogo5640 6 лет назад
Saut nzur bila ubunif hawez kwa wcb internationally
@neemaladdy1764
@neemaladdy1764 4 года назад
Kbsa yani
@emmanuelmipata1013
@emmanuelmipata1013 5 лет назад
ninapo msikiliza kng kiba kuna vitu najifuza
@manallove1
@manallove1 8 лет назад
Nyi wote hapa ni mafala tu...i support u alikiba dont force yourself into somthing that you dont want to do!mbona yeye diamond asipost/hajawai kupost zako?usijishushe sababu ya mtu.Even me i cant post diamonds pics or latests songs wakati in reality mimi ni #teamkiba au siwezi post pic zako ilhali in reality mm ni #teamdiamond.KILA MTU NA MZIGO WAKE bas!!
@martinsbernabentadolaberna3530
Vizuri sana kiba kwa kujibu vizuri kwan daimond nani
@teenboy8880
@teenboy8880 4 года назад
Nimemsikiza Sana King of bongo music. I salute you
@celinemak4486
@celinemak4486 9 лет назад
Mbona mnajianika vile mna wivu,,,,riziki mugu kampa yeye alikiba,diamond mie nawe mwenzangu,ukiwa na machungu heri kimia mbona mna wivu tele,bravo alikiba,bravo diamond mmoja na kazi yake.kama hakuenda south Africa,waumwa wapi??yakuuhusu vipi.dunia ndogo tupendane ndugu zanguni eeeee
@mohamedyahaya5916
@mohamedyahaya5916 6 лет назад
kwer kabisa
@inobahati2360
@inobahati2360 5 лет назад
Naku baliiii brodh KING UK vzr
@user-gm8of3pp9b
@user-gm8of3pp9b Год назад
oh good my brother❤❤🥰🥰🥰🥰🇨🇩💯🌹📞❤️❣️🏆
@ndigaian6090
@ndigaian6090 8 лет назад
nachoweza kusema kukuhusu wewe kiba tu ujisushu Mungu aakuinue angalia mondi sana utaona tofauti ya maongezi yako
@jfourchapembe4347
@jfourchapembe4347 8 лет назад
alicho ongea kwa mtu mwenye akiri timamu ataelewa vizuri sana ila nyie mashabiki wa diamond acheni kumkosoa jamaa huo ni upuuzi tu mbona hajampondea diamond amkeni mnasababisha wasani wasipatane
@adampowell3560
@adampowell3560 9 лет назад
Sikilizeni muelewe ndio mjue kwa nini kawaongelea hao akina Beckham. Kaongelea point ya msingi lakini mna akili finyu. Ikiwa yeye hakupostiwa yeye aposti vya nini? Ushabiki mwingine ! Mfanyiwe ninyi lakini ninyi kufanyia wenzenu mnabania. Msikurupuke kama mnafukuzwa. Ovyoooooo. Asiyejua maana usimpe maana.
@brianswai5004
@brianswai5004 8 лет назад
wewe huna hata akili
@jossymjuba5158
@jossymjuba5158 8 лет назад
+Brian Swai ana akili babako
@shabanikugwile8934
@shabanikugwile8934 4 года назад
@@brianswai5004 kaongea point xhoboka uxhobokew!!!!
@hamiskarimu8740
@hamiskarimu8740 4 года назад
Nakubali mzee wangu
@ungaemedi6240
@ungaemedi6240 9 лет назад
hacheni Aseme yakwake Kwanini matusi hivyo
@saidsalumu8472
@saidsalumu8472 9 лет назад
Alikiba namkubali sana
@shomaryshomary4853
@shomaryshomary4853 8 лет назад
that's a problem of arrogant people. they always think high of themselves absent reason. ali kiba should know that things are not simple as he would want them to be. things are tough and if he continues with that self-decieving mentality of him being superior he will fall and crush into pieces.
@sabinaomary3480
@sabinaomary3480 6 лет назад
nakupenda sana
@mahmoudalmeida804
@mahmoudalmeida804 9 лет назад
Big up kiba
@kitaleparick8698
@kitaleparick8698 8 лет назад
kaka wewe noma tu
@tenplusmediatz9828
@tenplusmediatz9828 9 лет назад
Nice interview man
@officialnatsam
@officialnatsam 9 лет назад
Chillah Prince we ndo umeongea kitu cha maana kuwa kinachotakiwa kwa kiba kuwa na #wivuWaMaendeleo na sio beef maana hapa kwetu beef hailipi sio kama Uganda ambapo ukiwa na beef na msanii mwenzako siku ya shindano kila mtu anaweza kupewa mamia ya mamilioni na sio huku kushindwa kusupportiana kisa tu beef. #Kiba and #Diamond you need to change ila nyie watu me nawapenda wote kwani kunakuwa na ushindani mzuri ambao unafanya kuwepo kwa nyimbo good.
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 лет назад
Kaka safi sana
@davidjohn9538
@davidjohn9538 9 лет назад
beckham anawakilisha usa? hahaa
@justinkibonge8426
@justinkibonge8426 5 лет назад
kingkiba
@rahmayusuf6482
@rahmayusuf6482 3 года назад
Big up bro
@pascalkabange4479
@pascalkabange4479 8 лет назад
Ali kiba napenda saana muziki zako sana! Na iko powa
@andreamadeha145
@andreamadeha145 3 года назад
Kweli kabisa
@youngpozze3431
@youngpozze3431 5 лет назад
na ndomaana we ni king
@sheluizonola7782
@sheluizonola7782 6 лет назад
kiba yuko juu ila diamond yuko juu zaidi ana mondi ananyota Kali sana hawawezi kulingana jamani ukitaka kujua uhalisia was maisha ya mwanadamu nyoosha kiganja chako kitazame upate ukweli wa maisha maisha yetu.
@husseinc
@husseinc 8 лет назад
Waposti mabwana zako sony
@alyxxxhamad3016
@alyxxxhamad3016 8 лет назад
asantasasa
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 года назад
Noma sana
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 8 лет назад
congrats umetoka far encrgng!
@jumasekilanga7648
@jumasekilanga7648 4 года назад
Sault
@marlyncamden
@marlyncamden 9 лет назад
Beckham katoka England anawakilisha England even though anaishi US
@judymakundi8910
@judymakundi8910 7 лет назад
Yani unailazimisha yanga imposti simba! itaanzaje kwa mfano
@sophieaden5367
@sophieaden5367 5 лет назад
David Beckham, United States?
@maisarahabibu9221
@maisarahabibu9221 5 лет назад
Alikiba unatisha
@lydianyanjera3263
@lydianyanjera3263 4 года назад
Safi sana king kiba
@fadhilaramadhan3211
@fadhilaramadhan3211 9 лет назад
Ali kiba weee fata lako kwani sio watu wote watakupenda.
@pizzoforel2451
@pizzoforel2451 5 лет назад
Huyu mduanzi angalia haya maneno anavyo yachanganya yeye kamsapoti nani aliyetoka
@johngavile5106
@johngavile5106 5 лет назад
Nice
@nakshmsonya4660
@nakshmsonya4660 6 лет назад
alikiba fanya kolabo na diamond itakuwa vzr sna
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 4 года назад
Naksh msonya atakae partispert ni diamond kwa hyo Kiba ataruzi ndomana kwa hyo kwa wasanii wachanga watateseka Sana allykiba anaakil zake kaka anaona kuliko wewe unavyo ona
@ramadhansaid6016
@ramadhansaid6016 4 года назад
barida king Wang nakuamini
@brianswai5004
@brianswai5004 8 лет назад
hana akili huyu
@michaelpaulo9298
@michaelpaulo9298 5 лет назад
Wewe unasema hana akili sasa wewe ndio huna akili
@ndeshijoseph3199
@ndeshijoseph3199 9 лет назад
Ali kiba fanya yako no one gives a crap about you...wewe fanya yako na diamond afanye yake..una majivuno mno..kula jeuri yako!!!
@husnaibrahim8127
@husnaibrahim8127 7 лет назад
mbona
@aziztz6161
@aziztz6161 6 лет назад
mnajifanya mnajua kila kitu sana mamae
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 8 лет назад
kiba live ur lyf ad do ur staffs mengine baadaye hii kulinganisha mastars ndo beef ya kila kitu welcome kenya na ukitaka uishi ! kila na umaarufu wake sio story na beef kiasi tokana na hata personal lyf ya mtu!
@carolynekhabamba1460
@carolynekhabamba1460 9 лет назад
Umeishaaa umebaki wivu tuuuuu utakufa kisa wivuuuuu Diamond yule yuazidi kuendelea... Macmuga ulijiimbia mwenyewe yamekufika na hata south africa hukuenda halooooooo
@mwanaidialimwayoyo1423
@mwanaidialimwayoyo1423 9 лет назад
Kila mmoja atakufa bibie,usijitoe ufahamu kwa public na usiseme kitu ambacho una uhakika,Kanye mbele usitujazie inzi sie.
@mwajumamapunda624
@mwajumamapunda624 9 лет назад
Acha uzalendo ww kiba kwanza kujielezea ajui fanyeni kazi msogeze mziki wa tanzania ufike mbali acha uzalendo ume ulizwa swali lingine una jibu vingine
@charlesmakunga7946
@charlesmakunga7946 9 лет назад
umetisha bdozen
@abdallahmomba1899
@abdallahmomba1899 7 лет назад
Mnatuzingua ninyi amna bifu lolote iyo michezo tu mnatuekitia
@mwaafricahalisi6446
@mwaafricahalisi6446 4 года назад
Jamaaa kaongea vizuri sema tz bado ni taifa moja LA Ajabu
@abushehesekavumo4702
@abushehesekavumo4702 4 года назад
Kazi ipo
@iqramiqram5406
@iqramiqram5406 4 года назад
Suti bila kipimo yani hatari🤗🤗
@mohamedabdallah3719
@mohamedabdallah3719 4 года назад
ALI kiba msanii bora Tz hakuna Zaidi yake
@veronicakamnde1170
@veronicakamnde1170 6 лет назад
nakupnda unapambana wala huna makuu bro
@chillahprince3127
@chillahprince3127 9 лет назад
Punguza kujua ili ujuzwe zaidi usishindane na daimond tazama ulipoteleza ili usimame vizuri ,kuwa na wivu wa kimaendeleo utafika mbali mlijuana zamani jifanye mjinga mambo yako yatanyooka.
@saintbuzwagi3759
@saintbuzwagi3759 8 лет назад
+Chillah Prince In nature Ali kiba hawezi mwangukia wala kumshobokea diamond sababu ni mdogo wake kisanaa. Hatakama Ali kiba atafeli vp atawaangukia wengine. Diamond nikama mpinzani wake mkubwa. Lakini ukweli ni kwamba zama za kiba zishapita
@leilamoses172
@leilamoses172 4 года назад
Mi nakpendagaaa tuuuu broo
@zuhurambonde7599
@zuhurambonde7599 4 года назад
Nyie wote watanzania wote wanamuziki acheni chuki,wivu,ubinafsi itapendeza sana.
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 9 лет назад
Roho mbaya haijengi kiba badilika
@shabanikugwile8934
@shabanikugwile8934 4 года назад
Kuna ck ulishawah kuomba ugali akakunyima???
@farajakisinda976
@farajakisinda976 7 лет назад
unanikosha mie kichuya wangu king languvu haaaaaaaahh wanakutapikia hatareee naposti zao xaxa bado wataharishaaaaaaaaaaa,,
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 7 лет назад
He david beckham anawakilisha united states jamaa kilaza
@ailethalexisonlinetz9587
@ailethalexisonlinetz9587 6 лет назад
brains ngaugula acha usenge kwaio we umeona ilo tuuuu
@mwanamwinyimohamed505
@mwanamwinyimohamed505 5 лет назад
Hata ww kilaza jina la mtu halianzi kwa herufi ndogo
@leilayzer11
@leilayzer11 5 лет назад
Hahah mna mambo nyie kwamba na yeye kilaza jina la mtu halianzii na herufi ndogo.
@saidrashid1230
@saidrashid1230 9 лет назад
Daah ilo swali meshindwa kujibu " POLE"
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 7 лет назад
hahahaaaaaa, khah david beckam whatt???????
@witnessmushi9797
@witnessmushi9797 9 лет назад
mmmmh
@emmanuelshemweta3012
@emmanuelshemweta3012 8 лет назад
jibu swali brother ukizunguka mbuyu at the end utachora ZERO As Tanzanians, we must support each other.
@MungaiEveMediaOfficial
@MungaiEveMediaOfficial 9 лет назад
Ndo maana diamond kasema tumechoka na makelele yao, waambie waende walete tuzo kama za Mama....
@hamdanal-habsy745
@hamdanal-habsy745 5 лет назад
ameiba jina la wa2 🤗 Ye baba co yakooooo
@jimmydizle2924
@jimmydizle2924 9 лет назад
Mmmmmm
@mussamalogo5640
@mussamalogo5640 6 лет назад
Hata uspomsuport ila humwez diamond kwanza ni internationally
@rashidahmed8071
@rashidahmed8071 4 года назад
Vaa buti la jeje utoke kimziki kunguni ww
@aziadarajab4446
@aziadarajab4446 9 лет назад
Sasa Kiba mi cjaelewa David Beckham anawakilishaje United States wakati ni muingereza! 😕😕😕
@mwanaidialimwayoyo1423
@mwanaidialimwayoyo1423 9 лет назад
Sster backham ka taja coz ni miongoni mwa wildwide sasa alikiba ni mmoja wapo na diamond akupost na pia kajieleza kuwa akumpostia sasa ulimi hauna mfupa si binadamu so usishangae.
@internushkaal-adawy1465
@internushkaal-adawy1465 9 лет назад
WE MNAFIKI KWANZA HAUTAENDELEA SABABU UNACHUKI MUNGU HAKUPI NG'OOO
@glowrymassawe0713
@glowrymassawe0713 9 лет назад
+mwanaidally we ndo msemaji wa kiba nn
@benbrown7360
@benbrown7360 6 лет назад
Mimi nimsanii wa music naimba nalapu napia naalubamu mojo katika hii alubamu nimelekod ngoma mbili ila sjui nianzie WAP naomba sapoti yenu napia natafuta mzamin kama unataka kunisapot coment kama una taka kunizami pg sm 0744584029 au 0756592906 tafazali uschukue naba kwamatumiz mabaya chukua namba kwamalengo
@elishaalex6695
@elishaalex6695 8 лет назад
wejamaa mpuzi kweli yann backam ana iwakilisha U.S badala ya UK poleyako mwenzioooo domo huyooo weutabaki na upuz wako
@danielbenjamin4859
@danielbenjamin4859 6 лет назад
elisha alex we nang kwel
@wilsonuhenge894
@wilsonuhenge894 4 года назад
Huyo ni fungu la kukosa aka timu majungu
@conlardmbatina9588
@conlardmbatina9588 9 лет назад
dude if English is not your mother tongue language please don't force it, ur an artist kwann unaongea kiswahili kama unongea slaying? try to be yourself bro ...
@arnoldyanthony1733
@arnoldyanthony1733 8 лет назад
Shida yakiba anaigaaaaaa saaana
@theodorycharles6384
@theodorycharles6384 4 года назад
Ameiganini mbona wewe haujielewi
@selijosergio8210
@selijosergio8210 9 лет назад
huna lolote ww utaendelea kusubir xana na umri ndo huo ushakutupa mkono acha platinum atambe ce tutampgia kula 4rever
@makangangereza2522
@makangangereza2522 9 лет назад
Huyu msanii mbona haeleweki, Labda hajui kiswahili kama vipi mulize ajibu kwa ngeriiiiiii
@jackiemelabu8037
@jackiemelabu8037 2 года назад
X
@josephmwangomo9404
@josephmwangomo9404 6 лет назад
huyu jamaa bwn anabifu hrf cyo mzalendo kbx
Далее
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
Просмотров 1 млн
Nabii Mswahili: Kuniita chipukizi ni kunitusi
4:33
Просмотров 343 тыс.
OnAIR: Alikiba na Ommy Dimpoz walivyoulizana maswali
10:39
Ali Kiba kajibu kwanini huwa haendi kwenye Tuzo
9:36
Просмотров 162 тыс.
ALIKIBA: WCB NZIMA NAMKUBALI MSANII HUYU, SIO DIAMOND!
12:58
ALIKIBA AKIZUNGUMZA KUHUSU BIFU LAO NA  DIAMOND.
4:59
Просмотров 102 тыс.