Alhamdulillah Allah atadhihirisha zaidi ukweli zaidi tukiacha kudanganywa kwa jina la waarabu ni tatizo kwa Zanzibar kumbe waingereza walikuwa na ajenda ya uislamu pamoja na Afro Shirazi party kuidammir zanzibar ni Tamaa ya watu wachache
Assalam alaikum warahmatu Llah nashkuru sana kwa kupata mtu wa kutueleza ukweli kuhusu historia nahisi ipo haja ya sisi kufuatilia kwa unayosema kwa mfano watu wanoambiwa walitesa waafrika na kuwafagilisha kwa maziwa waliacha nini kwa wazanzibar lakini jee hao walotupa hio propaganda hawana watu weusi nchi zao ambao waliwapeleka kwa mikwaju na kuwaforce Vile vile tuangalie kabla ya uhuru Zanzibar ilikua ni taifa gani na baada ya uhuru imefika wapi? Ni hayo tu kwa mchango wangu . Assalam alaikum warahmatu Llah