Тёмный

KILICHOMPATA KANALI ALI MAHFOUDH NA KUFUKUZWA NCHINI-MAELEZO YA MKEWE BI. NAILA JIDDAWI 

Zanzibar Kamili TV
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar alikuwa Komandoo maarufu sana katika visiwa hivyo na Tanzania kwa ujumla. Alishiriki katika harakati za uhuru kwa nchi nchi za Afrika. Lakini baadae chini ya utawala wa Nyerere, Kanali Mahfoudh alikamatwa baada ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume yeye pamoja na wenyiwe wengine na kuwekwa kizuizini na kisha kuachiwa na kwenda Msumbiji. Aliishi Msumbiji hadi kifo chake. Mkewe Bi Naila Jiddawi, mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar anaelezea kilichotokea na mambo yalivyokuwa. Tazama video hii.

Опубликовано:

 

30 окт 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 171   
@abdishakurothowai4196
@abdishakurothowai4196 2 года назад
A book on the life of Col Ali Mahfudh is urgently needed. This book will shed light on this enigmatic figure in the histories of both Zanzibar and Mozambique. Hiyo kitabu inafaa kuandikwa kwa vile hiyo historia inaweza potea.
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Год назад
Ubaguzi ulikuwepo tusitake kujisahaulisha.Mashuhuda ni wengi
@nassirali8342
@nassirali8342 Год назад
This story must awarded a trophy
@ramakira4822
@ramakira4822 2 года назад
Daaa inauma sana mw mungu akupe afya njema mamaetu🙏🙏🇹🇿😭😭😭
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 23 дня назад
Mashaaalah she is hero power speech,ata Farao Firaun ilikua hivhiv lkn Aliangamia,pole mami
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 года назад
Historia ya kweli.Pole sana Mama.Mie Famlia yangu. İko Kikwajuni Zanzibar.Na Baba kutoka Nairobi Kenya.Wajomba wako Kichwele.
@salahawad553
@salahawad553 Год назад
You are very strong lady Shujaa you deserve respect overall Dada Naila
@pandungozi1072
@pandungozi1072 2 года назад
Allhamdillah Allaah bless you!😭😭😭😭😭😢pole sana bi naila you have haert and you are strong to talk the truth 🙏
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 года назад
Bibi uko vizuri. Zanzibar wabibi bwana utawapenda . Mkiongea ni burudani Mungu awajale umri mrefu diary ya hekima. Mf Mama Karume nk. Mungu awajalie umri mrefu. Hongera mwanahabari waibueni wabibi wengi watupe historia ni diary ya taifa. Good observers.
@AbdullahNoor-e2k
@AbdullahNoor-e2k 10 дней назад
Allah akuifadhi
@KassimUmeya
@KassimUmeya 2 года назад
Alhamdulilah Mashaalwahu Allah Subhana Wataala Akujaalie Kula la Kheri na Hifadhi na Akujaalie Umri mrefu, Inshallah Ameen Yaarabbil Alaamin.You are Eloquent, Straight forward and to the Point in your Explanation.Thank you Mama Nails no Wonder you were the COMMANDER's WIFE.
@hamisholela2403
@hamisholela2403 2 года назад
Good speech
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 года назад
Nyerere ndo alomuuwa Ali Mahfudh, alikuwa katumwa
@happyassan656
@happyassan656 2 года назад
She is a very bright women. I mean lady. MashaAllah.
@omaribabu4962
@omaribabu4962 Год назад
Hongera bi nails kwa kutupa history from raw
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 года назад
Mama andika kitabu cha Kanali cha Ali Mahafudh
@monicawagunda7751
@monicawagunda7751 2 года назад
Mwenyezi Mungu muumba wasamehe, hawajui walitendalo. Mheshimiwa Nalaila Jidawi nakumbuka sana, nakumbuka uligombea kwa tiketi ya NCCR na ulifika Rorya Mume wangu Mussa akanileta kuwa pamoja nawe. Keep on mama.
@mughairy6314
@mughairy6314 Год назад
👏🏼👏🏼👏🏼
@websuperspy
@websuperspy 2 года назад
Na hiyo minyororo alitiwa na huyo Nyerere, kwa hivyo Nyerere ndie adui wa Col Mahfoudh.
@baloshimtei7764
@baloshimtei7764 2 года назад
pnknonnomnmnpnonnnppnnknoknnp onpkonoopnknnknpokbkponnkkoi
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 года назад
@@baloshimtei7764 😷🔥
@websuperspy
@websuperspy 2 года назад
Col Mahfoudh alibahatika sana ukilinganisha na Wanamapinduzi wengineo kama Abdullah Kassim Hanga, Jaha Ubwa, Saleh Saadallah, Twala, na wengineo.
@munaaqatar4109
@munaaqatar4109 2 года назад
Pole sana mungu atalipa malipo ni hapahapa duniani watakufa vifo vibaya
@abbiecox1
@abbiecox1 5 месяцев назад
Kifo cha karume atalipa nani! iwapo chake kitalipwa basi ujue hata cha karume atakilipia safi sana
@allykhamis3378
@allykhamis3378 2 года назад
Kwa kweli bi naila unajieleza vizuri sana kwakweli wewe ni ktk hazina kubwa katka Zanzibar
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 Год назад
Pole Shangazi Allah atawalipa
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 года назад
Wanahabari mwigeni huyu mwanahabari mwenzenu aliyemwibua huyu bibi. Tumechoka siasa za uzandiki na unafiki. Hizi ndio story za kujenga ujasiri kwa wajukuu wa taifa hili. Hongera mwana habari. Hongera bibi waambie. Binadamu hana uhakika na analolifanya mwenye uhakika ni Mungu tu. Tukikoseana tuombe radhi tu.. Tujenge taifa la waungwana watu tunaopendana tusahau ya zamani tusibaguane.. Wabibi na wababu tulee taifa la waungwa.
@hajiboma1351
@hajiboma1351 2 года назад
Inshaallah mola atujaalie mushomwema
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 года назад
Safi sana
@alexedward4069
@alexedward4069 2 года назад
History nzuri tatizo msimuliaji anachanganya xana mihogo Na pilau kiswahili kiingereza sasa sijui Ni tumweleweje
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Alex,anatumia elimu yake kujieleza inavostahiki .Ameeleweka vizuri
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 2 года назад
This is History which past events
@kamrudinelias3922
@kamrudinelias3922 2 года назад
Wadhulumati wote watalipa siku la akhera tuuu, duniani Siasa chafu sana la Binadamu.....
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад
Anyere mgundaa,tatii oh, maana yake,nani kanyea shamba, baba oooh
@umbopaday
@umbopaday 2 года назад
Muulize baharia yoyote wa zamani walioshi Maputo au waliopita kuele.kea Africa ya kusini watakuelezea wema wa kanali mahfudh
@abdullaali8102
@abdullaali8102 2 года назад
Ali Sultan who became Minister of Education in the 60s was Chief of Zanzibari Mission in Cairo in the 50s and worked hard to secure Scholarships for Zanzibaris from mostly Eastern Embassies in Egypt. He sent Ali Mahfoudh, Salim Ahmed, Moh'd Ali Foum, etc. to Havana
@abbiecox1
@abbiecox1 5 месяцев назад
but he was in mission to abolish black first dictator of zanzibar late Karume
@nassirali8342
@nassirali8342 Год назад
Story of the year 2022 very sad
@user-zr7on8ys1l
@user-zr7on8ys1l 4 месяца назад
daaaa mam ume pitiy meng san Alhh ata kulip
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 года назад
🤔Mistakes were made but we can start a new leaf of history by discussion, understanding and reconciliation. We can’t avoid or forget the history but we can adjust the situation by forgiving each other. We need to know that the gem can not be polished without friction, nor man perfected without trials. Migongano haitoacha kutokea. Tuvumiliane, tusameheyane kwa kuzungumza. Bila ya mazungumzo hatutofikia makubaliano mazuri kwa maslahi ya wote🤔.
@abdullaali8102
@abdullaali8102 2 года назад
Kawaambie Wapemba waingiliwao majumbani na Masheha na Askari kwa Mabunduki usiku wa Manane kupigwa, kuibiwa Mali zao, kuporwa Simu zao na kulazimishwa watizame dada zao na mama zao na binti zao wakiingiliwa kwa nguvu. Uovu huu unaendelea mpaka kesho
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 года назад
@@abdullaali8102 Mzalendo mimi huwa nachangia maoni kutokana na mada. Sasa kusamehe au kutosamehe hilo ni chaguo la mtu kutokana na yaliyomfika.
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 года назад
Vipi wtu wasamehe hawa kubwa samahani balikilasiku unasikia mapiduzi yaheshima .ikwa iwekamavo kitu yakwaza yakuodosha jina mapiduzi nakuta samahani twedeble.
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 года назад
Vipi wtu wasamehe hawa kubwa samahani balikilasiku unasikia mapiduzi yaheshima .ikwa iwekamavo kitu yakwaza yakuodosha jina mapiduzi nakuta samahani twedeble.
@user-ig6pg6oz9i
@user-ig6pg6oz9i 2 месяца назад
Story nimeipenda nampenda maafurdhi comando wa ukweri stori taaaaaaaaaaaaamuuuuu kuliko
@abdullaali8102
@abdullaali8102 2 года назад
Professor Abdulrahman M. Babu, was the Secretary General of MCF (Movement for Colonial Freedom) in the 50s in London; and the Chairman was Fenner Brockway a Labour Party Member of Parliament from Slough Bucks.
@111dudi
@111dudi 2 года назад
Pole sana mama. Mazungumzo ya mama huyu hayana mpangilio kimuda (chronological order) tukafaham ujumbe wake ni nini. Anadai alikuwa mke wa canal, lakini kasema aliishi Kuwait,mara Marekani,mara England,mara Znz. Canal alifia Mozambique. Kama anadai alikuwa anamjua Nyerere kwanini asidai hotel yake. Ninavojua mimi, waliofungiwa bara walisalimika ,waliofungiwa znz waliuliwa (mahojiano na Aman Than). Kasema walifungwa miakan10,kuna mtu kamkosoa kuwa ni miaka 7.ipi ni sahihi? Kaniacha njiapanda
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 года назад
Bi Naila siyo anadai kuwa alikuwa mke wa Kanali. Ni kweli ni mke wa Kanali wa ndoa hasa na wamezaa watoto. Ulisema anadai ni kama unampora cheo chake cha mke. Hayo mengine ulisoma ni sawa.
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 2 года назад
Take positive and leave negative
@mahfudhmahfudh9195
@mahfudhmahfudh9195 2 года назад
So what is your point unasema hakumjua Kanal na hajamjua Mwalimu nyerere ??? Na kama kakosea 7 - 10 or 6 years in the time done in prison so ??? So what are you trying to justify that MUONGO OR WHAT ???
@aflizy3067
@aflizy3067 2 года назад
Nawewe unadai nin@?
@111dudi
@111dudi 2 года назад
@@aflizy3067 ni maoni sidai chochote, labda muulize huyo mama anadai nini?
@hajiboma1351
@hajiboma1351 2 года назад
Ahste mama jidawi roho mbaya inawasumbua
@saidahmed9688
@saidahmed9688 2 года назад
story
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 2 года назад
Wanamapinduzi watambuliwe zaidi kwa kuung’oa usultani, kuna vibaraka wengi walijitojeza baadae.
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
Mbona habari hizi ni za upande mmoja. Ni vema zingejibiwa na upande unaolalamikiwa.
@kassimame3526
@kassimame3526 2 года назад
mama andika kitabu kabla mudawako haujafika nakuomba mama
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 года назад
Wanaadam ni wamoja wote ilamungu alipanga kila watu na sehemu yao.na mambo ubadilika pia waarab walisafiri umbali mkubwa sana kuitafuta neema maana huko pia ilikuwa hali tete wakati huo na baadae neema imekuja arabuni alhamdulillah.sasa msitambiane kwa mipango ya mungu ukakuta waarabuni tena wakarudi huku neema itapogeuka huku africa.yt ni sawa tu ila ukifika ugenini ht ukiishi miaka100 usije ukajisahau na kuhalalisha ni kwako haiwezekani.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Bahiya,una agenda yako nyuma ya pazia.Watu ambao mababa na mababu wamezaliwa hapo,iweje wasijinasibu kuwa wao sio kwao? Unamaana wale wenzetu waliochukuliwa kama watumwa na kupelekwa marekani,vizazi vyao visijinasibu kuwa Marekani ni kwao?
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 2 месяца назад
Why pumbavu ?
@issakhamis6474
@issakhamis6474 2 года назад
Wamezoea kudhulum hawo
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 года назад
Ali Mahfudh kafanya makosa lakini alikua akiamin socialists namipago mini yakuodosha hiyo serkali alipaga nanigekua hazikuchuliwa Zanzibar Tazania. Basi igekuabali kwa namna alivo ogonaz Ali Mahfudh.
@kalla4alex146
@kalla4alex146 2 года назад
Kwahiyo ulikuwa unasemaje ww maana history Yako haituelewi
@mamohamed1252
@mamohamed1252 Месяц назад
Bi Naila alikuwa mke wa Kanali Mahfoudh. Anajikomba kujiita mke wake kwani Walishaachana na Mahfoudh akaowa Msumbiji. Huko ameacha mtoto mmoja wakike.
@kidodim21
@kidodim21 2 года назад
Jee makosa ya Nani juu ya maelezo yote haya ? Jee juu ya maelezo yote Jee upande wa pili hauna hoja kupinga maelezo haya ? Au kuna sababu gani kushindwa kutoa majibu ya maelezo yote ya Naila Jidawi ?
@websuperspy
@websuperspy 2 года назад
Nimeshangazwa sana kusikia watu kama Bavuai wanapongezwa baada ya kuuwa watu wasiyokuwa na hatia, na sio kwa kusingiziwa bali kwa ushahidi madhubuti. La Haula Wala Kuwata Ila Billah
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
Na hao waliouwa wenzao Na wao Mungu ameshawachukuwa wanakiona cha moto Kwa ukatili waliofanyia wenzao ,walifikiri wataishi milele
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
Hata Uarabuni weusi wanateswa na kuuawa kule. Na wauaji hupewa heshima. Hii ni Dunia imejaa mambo mengi ya maajabu
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
@@wazomyakinifu2301 Kwanini hamupendi kutaja wazungu Na matokeo Kila kukicha yanaoneshwa ya kuuwa watu wenye asili ya Africa Kwa mfano mauaji ya George floyd wa marekani , halafu munakaa Na kuwasingizia waarabu Na kuwasemea vibaya,then Hao hao ndio wanatusaidia
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
@@rastafare878 Walau wazungu wakiua weusi hata wazungu wenzao huandamana kulaani. Lakini ngoja waarabu waue ktk hizo nchi zao. Hakuna mwarabu wa kuandamana kulaani unyama huo.
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
@@wazomyakinifu2301 ndio tutajie hilo tukio la mtu kuuliwa huko arabuni , Na nini huyo aliyeuliwa Na kauliwa Nani , mumezoea kupaka matope nchi za kiarabu labda ni kwasababu ya udini hao hao ndio wanaokusaidieni Na misaada yao munaipokea mbiombio,
@joycekingu1530
@joycekingu1530 2 года назад
Its so painful . Life has made you tough. We need to follow your example. Its hard without God. Mama kama hujaandika kitabu tafadhali fanya hivyo haraka sana. Ni hazina ya historia ya Tanzania na Africa. Mungu akutie nguvu.
@obillaezra6205
@obillaezra6205 2 года назад
Duh” Historia ya Zanzibar na vuguvugu zote ndani ya Zanzibar inabidi ipitiwe upya kuna mengi hayaelezwi Ndo maana mkanganyiko bado ni Mkubwa” Watoa Mchango ndani ya Zanzibar wengi hawazungumzwi”
@maryammuses6586
@maryammuses6586 2 года назад
Hakuna chakuelewa.Tunajuwa walochukuwa mabunduki wakatesa watu hata kuwauwa maranyengine
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 2 года назад
Mbona msimuliaji yupo gizani haonekani?
@happyassan656
@happyassan656 2 года назад
I think Bi Naillah unapaswa kuandika kitabu.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 5 месяцев назад
Yawezekana waliouawa walikuwa wasaliti.
@khatibabass3106
@khatibabass3106 2 года назад
Mm hatakama utaniambia mapinduzi yalikua dhuluma na mauaji sawa lkn tukija kwenye waarabu na ubaguzi nijambo ambalo hata sasa yapo ,we ukiwa mweusi hata Leo nenda tu ukafanye negotiations na hao watu ndio utajua
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 года назад
Kwa hiyo na sasa CCM inavyowabagua katika kazi nao wale waarabu? Kila taasisi Zanzibar zimejaa "Waafrika" na ndo hao wanawakomesheni kuwabagua kila uchao. Kama huna gwanda la kijani huna ajira. Seif Idd mweusi tiiiii lakini alowafanyia Wazanzibari ana mabaya kuliko Mwarabu. Acheni ujinga fungueni macho nalishwa kasumba tu. Waarabu si malaika lkn chuki na sifa mbaya zinazidishwa na wazungu pia. Utasema wao wazungu wasafi kumbe watumwa wamejaa kwao. Ulaya na Marekani ubaguzi wa hali ya juu. Huko Tanganyika nako ndo wanaeneza sumu kuhusu waarabu. Utasema Wazungu ndo wa maana kumbe waliwatia minyororo shingoni. Wake up, open your mind. Mapinduzi ni dhulma yaliuwa watu Period. Hakuna cha kuyapamba. Mwarabu akiua na mwafrika akiua wote ni wahalifu na washenzi. Wala si kwamba mauwaji ya mwafrika ndo matamu kuliko ya mwarabu
@khatibabass3106
@khatibabass3106 2 года назад
@@malikajohnson8897 soma historia za nchi za kiarabu utaona mapinduzi yalivyo sababisha mauaji ya wao kwa wao soma Oman ,misri ,saudia ,aljeria utaona kwamba sio Zanzibar tu waarabu waliuliwa hata kwao ni. Asili yao kupinduana kwa kumwaga damu nakubaliana na we we hata wazungu niwashenzi tu na kwaufupi MTU mweupe popote alipo anamuona MTU mweusi mbwa, nyani, au MTU wa laana huo ndio ukweli
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 года назад
@@khatibabass3106 ndo nasema huyo mtu mweusi naye si msafi. Congo, hapa Tanzania na nchi za Afrika tunauwana wenyewe kwa wenyewe kwa uchu wa madaraka. Ninachosema kuwa hakuna msafi. Weusi kama Sefu nao wanauwa Weusi wenzao. Sisi Waafrika huwa tunanyooshea watu vidole na sisi tunafanya hayohayo. Uhalifu na mauwaji yanafanywa na kila asili. Waarabu unaowasema, Wazungu na hata sisi Waafrika. Tusijifanye wasafi
@hamisibura7781
@hamisibura7781 2 года назад
@@malikajohnson8897 wanaoua wachache wanafadhiliwa na Waarabu au Wazungu,hiyo mbona iko wazi.
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 года назад
@@hamisibura7781 Basi ukikubali kuuwa nduguyo kwa kushawishiwa na mgeni ujue wewe una tatizo. Kama wanakubali basi inaonyesha nafsi zao si wasafi. Hawana tofauti na hao unaosema wanawafadhili wauwe
@alijuma7882
@alijuma7882 2 года назад
Bi naila naona mambo yamemchanganya Anatuchanganyia kireno na kiingereza Hadithi za mapinduzi ni za mwamba ngoma huvutia upandewe ukweli unafichwa There are more questions than reliable answers
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 2 года назад
Wewe unazungumza kizungu na kiswahili unajua kwanini huzungumzi kiswahili?
@mombasa7
@mombasa7 2 года назад
Ukidhulumu Uta Dhulimiwa...
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 7 месяцев назад
Bibi general chief cheo gani jeshini?
@fatmamohammed4821
@fatmamohammed4821 2 года назад
Wacheni kumuingilia anavyo ongea kwani humjui kiengereza nyie anaishi ungereza amezowea hivyo na kiswahili nilugha alitoka nayo Zanzibar shida nini sasa wivu tu
@user-fq3qh6nz3z
@user-fq3qh6nz3z 7 месяцев назад
Liveee
@alimohd8427
@alimohd8427 2 года назад
Kwa kua wewe hujuwi kiingereza nini?
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 2 года назад
Nyerere si adui mahfudh tu yeye alikua ni adui ya waislam
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 2 года назад
Karume kenge asili yake ni Mnyasa wa kutoka Malawi
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Год назад
Karume ni shujaa wa Africa
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
Sasa km anataka kuongea Kiingereza si aende tu kule BBC!?
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 года назад
Inamaana kiengereza alokizungumza ni kikubwa na kinakukera kuliko dhulma, mauwaji, ubakaji, manyanyaso na vipigo tulovipata waislamu na wazanzibari? Damn
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
@@mohamedturanardan8871 Sijakuelewa unaongelea udini au Uzanzibari ?
@sultansallah4509
@sultansallah4509 2 года назад
@@wazomyakinifu2301 mm kinachonipa moyo ni kwamba hta wafanye vp visiwa havingoki vikaenda dodoma.. yuko wa nyerere
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
@@sultansallah4509 Wow!! Na pale moyo ukang'oka? !!
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
@@wazomyakinifu2301 nyinyi hamuelewi eti maana akili zenu zimeshatiwa unga wa muhogo ,kwani wale wasanii wa bongo wakihojiwa wanavyojitia kuongea kiengereza Huwa wanaongea Na BBC au Na watanganyika wenzenu
@abdullaali8102
@abdullaali8102 2 года назад
We are the original people and we have every reason to stand up in the tallest mountains to proclaim who we are.” “We are beautiful, intelligent, sophisticated, highly adaptable and totally indestructible people - the Africans.” “Any other race that would have gone through what we’ve been subjected to would have been extinct and that’s the truth." Arikana Chihombori-Quao
@muzdalifatomar9712
@muzdalifatomar9712 2 года назад
Uibaguzi. Ulikuwapo. Wacha. Uongo. Kulikuwa. Na. Skuli. Za. Waarabu. Wahindi. Na. Wangazija. Na. Mji. Mkongwe. Waswahili. Walikuwa. Hawaruhusiwi. Kwenda. Isipokuwa. Watumishi b wa. Waarabu. Na. Wahindi na. Skuli. Za. Waafrika. Ilikuwa. Ngambo. Na. Kidongo. Chekundu.
@muzdalifatomar9712
@muzdalifatomar9712 2 года назад
Tumepewa. Historia. Hata. Bado. Vyama. Vingi. Kwanini. Waafrika. Hawakusoma.
@muzdalifatomar9712
@muzdalifatomar9712 2 года назад
Historia. Inaeleza. Kuwa. Waarabu. Hapa. Sio. Pao. Nyie. Ndio. Mliowanyanganya. Wazee. Wetu. Ardhi. Zao. Kwa. Kutumia. Hadaa.
@muzdalifatomar9712
@muzdalifatomar9712 2 года назад
Iangalie. Oman. Iliko. Na. Visiwa. Vya. Unguja. Inakuwaje. Hebu. Tujiulizeni.
@abdullaali8102
@abdullaali8102 2 года назад
@@muzdalifatomar9712 Elimu yaondoa UMASIKINI, Maradhi, UJINGA, Njaa, toka 1964 Muungano umewaletea neema tupu Watanzania hassa visiwani na kuwaondolea majanga yote haya; tuwashukuru Karume na Nyerere
@hj9522
@hj9522 Год назад
You have to have the courage to say that the revolution in Zanzibar was a mistake. Is the Zanzibar of today a better place than it was before Jan 11, 1964? It is sad to see the Zanzibar of today. The original culture which was a unique blend of all who were there then has been replaced by a deplorable one. Yes, it was not a perfect situation before but it was a million times better than the slavery to the tourism dollar, the intolerable version of Islam and the generally unsafe conditions that exist today. Zanzibaris need to be honest in admitting the truth.
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
It so normal for those who enjoy the 'system' to think things were alright and everybody was happy!
@suleimanomar4693
@suleimanomar4693 2 года назад
ongea kiswahili au unasoma kitabu unatafsiri
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 года назад
Hujalazimishwa kusikiliza
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 года назад
Inamaana kiengereza alokizungumza ni kikubwa na kinakukera kuliko dhulma, mauwaji, ubakaji, manyanyaso na vipigo tulovipata waislamu na wazanzibari? Damn
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
@@mohamedturanardan8871 Kwani wewe umelazimishwa kumsoma mchangiaji kwenye ukurasa wake?
@sultansallah4509
@sultansallah4509 2 года назад
@@wazomyakinifu2301 waambie wizara ya elumu masomo.yote yasimwe kwa.kiswahili
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 года назад
@@sultansallah4509 Duhh upo sahihi maana hata Kiswahili chako tu ni mgogoro tupu😁😂😂😂😂
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 2 года назад
Unataka nini sasa. Pumbavu kwa huko OMAN fungua na joto
Далее
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 56 тыс.
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume 2016
1:01:16
Просмотров 32 тыс.
13. Mapinduzi Zanzibar
13:04
Просмотров 38 тыс.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
Просмотров 20 тыс.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
Просмотров 46 тыс.