Тёмный

Alichokisema Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mjini Moshi, Kilimanjaro 

The Chanzo
Подписаться 92 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@PenuelDaniel
@PenuelDaniel 5 месяцев назад
Mh.Freeman Mbowe hongera sana kwa ujio wa hotuba za kuinua mioyo ya watanzania.... endelea mbele kuwatia shime wananchi.
@mathayopetro-fx8cj
@mathayopetro-fx8cj 5 месяцев назад
Mungu awabaliki
@johngibson3089
@johngibson3089 5 месяцев назад
Asante MBOWE. 20205 ccm jahazi litazama
@kagombaEnok
@kagombaEnok 5 месяцев назад
Umeongea ukweli mh Mbowe
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 5 месяцев назад
TUVUSHE MWAMBA....IN GOD WE TRUST
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 5 месяцев назад
Hao ndio watanganyika wanao jielewa
@evelina9621
@evelina9621 5 месяцев назад
Ongea.baba.tumechoka.ccm.kudanganya.ahadi.za.uwongo..songeni Mbele.mungu.yupo
@Flaviosafari
@Flaviosafari 5 месяцев назад
Wanaotutia umaskini ni wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Ni sahihi kabisa. Ukisikiliza kwa makini hotuba hizi zina madini mengi sana. Chadema juu juu juu juu zaidi.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 5 месяцев назад
KATIBA MPYA NDO SULUHISHO
@DanielMollel-gl4ys
@DanielMollel-gl4ys 5 месяцев назад
Pigaa spana mwambaaa tunaitaka Tanganyika yetu sasahivi
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 5 месяцев назад
Elimisha zaidi, Watanzania wako gizani.
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 5 месяцев назад
Ccm imeturoga tunajua taifalinaangamia ila cc nimakondooo badotuponao yaani tunanjaa wakitupa eruf 20 naahadi nzuri tunakubari
@CholoNassor-h8r
@CholoNassor-h8r 5 месяцев назад
Tunaongaza kwa viwanda vya pombe😂😂 umeupga mwingi kamanda
@PascleShayo
@PascleShayo 5 месяцев назад
Asante kamanda❤
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 месяцев назад
Rais akijaandamana nae na mawaziri watatembea kilometa nyingi kiliko hizi?
@salmajafari6838
@salmajafari6838 5 месяцев назад
UMEFIKA MUDA WANANCHI TUACHE UNAFIKI, TUUNGE MKONO WATU WANAO TUTETEA KAMA HAWA, WATU WANAJITOA KWA AJILI YETU TUSIWAVINJE MOYO, PEOPLE'S 👍💪💪💪💪
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 5 месяцев назад
Tunamatunda kama parachichi lakini wanafaidika wageni kisa mawaziri awatagazi biashara yetui kweri kunakazi gani hao mawaziri ivi tusemee bado miaka 60 niwajiga bado kweri
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 5 месяцев назад
Niukichaa wabunge 80 wanaogopa majibo wapiga kula laki 500000 wabunge 80000 kweri niukichaa
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 5 месяцев назад
*Wazawa wenye pesa hawajengi viwanda kwa ajili ya vijana wasio na ajira; pesa zao wanazochuma nchini wanalimbikiza nchini Kenya, Afrika Kusini na Dubai!!!!*
@salmajafari6838
@salmajafari6838 5 месяцев назад
Tunataka katiba mpya
@vasselisamrope5728
@vasselisamrope5728 5 месяцев назад
Ok
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 5 месяцев назад
Vocha 1200 sababu atujui mbona kwenye ichi jilani atuoni iyo kitu kupada jamani mungu atusaidie wanachukua 200 kila vocha awatosheki na makato
@victaboy7273
@victaboy7273 5 месяцев назад
Wapi huko vocha 1200
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni 5 месяцев назад
Je hatuna maono au utashi au nini?Hii si laana?
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 4 месяца назад
WEWE MDINI MKUBWA MBAGUZI
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct 5 месяцев назад
Wakat mwngne tuspoteze muda kama noma naiwe NOMA MAKAMANDA
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 5 месяцев назад
Wameingiwa na hofu kubwa inalipa!!!!
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 5 месяцев назад
Kilimanjaro ndo eneo pekee nchi hii kuomba uhuru wake yenyewe Ni watu wenye akili sana. Ccm ni cancer ya taifa hebu tuiondoe
@WilliamTemba
@WilliamTemba 5 месяцев назад
Hii ni nchi ya kamari vyombi vingi ni kamari tuu
@geey7893
@geey7893 5 месяцев назад
Mwenda Zake ni Baba yako na yule kaka Yako aliekufa.
@WilliamTemba
@WilliamTemba 5 месяцев назад
Kima cha chini 100penshen zanzibari sh 150000 bara sh 100000 kea nini?
@OltrutiNduleenyi-fi5hi
@OltrutiNduleenyi-fi5hi 5 месяцев назад
Umenena mkit
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 4 месяца назад
NIKAWAIDA HATA NYERERE ALINYANG'ANYA MALI ZA WATU HATA WEWE MWEHU HUNA LOLOTE
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 5 месяцев назад
Piga spana.Tumesanda tunataka Tnganyika yetu sasaivyi
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 месяцев назад
WATANZANIA KUOMBEA TAIFA MSIOMBE KIZAMANI OMBENI KIUPYA TUWE TAIFA JIPYA LENYE HAKI MTU AWAEYOTE ASIEPENDA HAKI ASIWE SAWA KWENYE NAFASI ALIOTAKA KIMABAVU KWA KUIBA KURA AU UCHAGUZI APATE MAPIGO MAKUU HATA ASIWE NA HIO NAFASI
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 5 месяцев назад
Wazanzibar rudini kwenu hatukubali serekali moja kwa sababu ya wazanzibari wachache walioko Tanganyika
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 5 месяцев назад
Hata wazanzibar hawataki serikali Moja wanataka serikali tatu ila mabwana zenu ma ccm ndio wanataka serikali Moja na suala la kusema wazanzibar warudi kwao hata nyinyi mmejaa kule zanzibar kama kumbi kumbi wachonga madafu wote kule shamba ni nyinyi tena wanawake na pia zanzibar kulikuwa hakuna wamachinga Sasa wamejaa na ni wabara kwa hiyo suala sio wazanzibar kurudi kwao suala vunjeni muungano
@SimonKipuyo
@SimonKipuyo 24 дня назад
Pambana kamanda tuko nyuma yako
@mteulebalama7650
@mteulebalama7650 5 месяцев назад
Umeeleweka mkuu
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 5 месяцев назад
Mzalendo aliyeiba uchaguzi mzima 2020.
@stewardnkinda9552
@stewardnkinda9552 5 месяцев назад
Taifa lime logwa na ccm tumechoka Sasa duu 😅😅😅
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 5 месяцев назад
Wako usangu wanarima mpunga huko ivikweri wanakosea wazanzibari twende na paspoti kweri tusemee yote au tuache
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 5 месяцев назад
Nchi imeamka
@salummohamed2689
@salummohamed2689 5 месяцев назад
Mwenyekiti tunakuelewa, hatukuwa na wasomi viwanda vikuwepo, kwa sasa tuna wasomi wanakimbilia siasa uchwara na woga wa kupeleka nchi kwenye maendeleo. Kwanini tusimkumbuke mkoloni aliyemwachia Baba wa Taifa akili ya kuanzisha viwanda mlivyoviua kwa ulafi.
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 5 месяцев назад
Mhe. Mbowe kama kweli wewe kidume vunjeni muungano hata sisi wazanzibar hatuutaki muungano kama sisi wazanzibar tunawatawala vunjeni muungano Leo huyo rais wa zanzibar ni boya tu Hana maana yote na kila kitu cha zanzibar kimetiwa kwenye muungano vunjeni muungano hata sisi tumechoka na muungano huo kwanza hauna ridhaa ya wazanzibar vunjeni vunjeni vunjeni muungano Leo kabla ya kesho
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 5 месяцев назад
20000 unayopewa ni kodi yako.
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 5 месяцев назад
Sisi hatukua na shida ya muungano ndio maana hutkutoa zanziba wala hatukua nyinyi mliua kila chenu vunjeni sasa kabla ya kesho wazanzibari rudini kwenu waachieni nchi yao pa kukaa tunapo tena hatupamalizi na Tanganyika pia tumenunua makurunge ni mali yetu zanziba tuna uwezo kuliko Tanganyika, Wataanganyika ndio wanaotutia umasikini rudini wazanzibar tuje tuinue magorofa yetu
@victaboy7273
@victaboy7273 5 месяцев назад
😂😂😂😂,unachekesha
@DeogratiusMushi
@DeogratiusMushi 5 месяцев назад
Watu tue
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 5 месяцев назад
Nchi inaongozwa na mambumbu, tunamhitaji kuingia msituni, tulirudi she nchi kwa wazalendo. Rais Samia umekujackuuza rasilimali zetu, huna sera za kiuchumi. Go awaycto your mother land Zanzibar.
@nurumohamed2682
@nurumohamed2682 5 месяцев назад
HIZI NI KELELE TUU,,, ENDELEA KUTEMBEA TUU
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 5 месяцев назад
Ukichanjwa bila shaka damu yako itakuwa ya kijanii
@TwahaShehe
@TwahaShehe 5 месяцев назад
Acha ujinga ww ndio nyie vibaraka wa ccm
@patrinraura1397
@patrinraura1397 5 месяцев назад
Mhe.Mbowe. Shutuma ulizoelekeza kwa Hayati DR Magufuli ambaye alikuwa Rais wa wote angekuwa yuko hai yote angeyajibu Baadhi ya Watanzania WAZALENDO tunajua KAZI nyingi alizozifanya Hayati kwa mfano ZAWADI aliyotuachia ya Bwawa la Nyerere nk. Alikuwa na mapungufu yake km binadamu au Kiongozi yeyote. Tunaomba Tumwache." ROHO YAKE IPUMZIKE KWA AMANI AMINA"
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 5 месяцев назад
Apunzike sisi hatupunziki yeye anapunzikaje
@leonardgalila3032
@leonardgalila3032 5 месяцев назад
Ebu muacheni JPM utaharibu Ladha ya hotuba yako huyo Mzee alikuwa ni next level kazikazini ndo wabaguzi no. moja hata uhuru walitaka wa kwao TU in short usimguse huyo Mzee mwache apumzike
@stewardnkinda9552
@stewardnkinda9552 5 месяцев назад
Aliuwa democrasia kwenye taifa hii, tuna sibitisha ubinadamu wake
@AugustinoPeter-rn9bn
@AugustinoPeter-rn9bn 5 месяцев назад
Sawa kabisa wengi waliuwawa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 месяцев назад
SIASA ZA CDM ZIMEPITWA NA WAKATI HAWANA HOJA ZA MSINGI KAMA ZAMANI
@salummohamed2689
@salummohamed2689 5 месяцев назад
Ommy James hujitambui, sielewi elimu yako ni darasa lipi au ngumbaru ya zamani!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 месяцев назад
@@salummohamed2689 salum ile madrasa yane
@geey7893
@geey7893 5 месяцев назад
Huyu mwenyewe anawaza kuwaondoa wenzie madarakani wakati naye anapaswa Aondolewe Uenyekiti Kwa Bunduki. Levi la Uenyekiti hili bwabwa
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 5 месяцев назад
Nyoko, mbwa wa blue. Wewe
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 5 месяцев назад
Should mamako😅
@geey7893
@geey7893 5 месяцев назад
@@simonmwasile4377 anamtomba mama Yako nn? Mbona umesimamisha kisimi😆
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 5 месяцев назад
Kwa Marehemu Magufuri hapo sikuungi mkono Alikuwa mzalendo kuliko hata wewe
@stewardnkinda9552
@stewardnkinda9552 5 месяцев назад
Aliuwa demokilasia kwenye nchi hii na kuiba mchakato yote ya uchaguz yote miwili na hili Lita endelea kuwa galimu ccm
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 5 месяцев назад
Kachimbe bas kokoto kwenye uwanja unaonyewa na pipi na bundi wa chato kule pumbav kabisa uzalendo wa damu za watoto wa watu alowauwa afu usi sahau anafaili milembe mliweka rais kichaa uzalendo uzalendo.UZALENDO MY ASSS
@AlexPetro-z1e
@AlexPetro-z1e 5 месяцев назад
Mungu akubaliki
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 5 месяцев назад
Ccm imeturoga tunajua taifalinaangamia ila cc nimakondooo badotuponao yaani tunanjaa wakitupa eruf 20 naahadi nzuri tunakubari
Далее
MWABUKUSI ACHAFUA HALI YA HEWA MKOA WA KILIMANJARO
16:19
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 528 тыс.
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37