Тёмный

EXCLUSIVE: MJUE FREEMAN MBOWE MWENYEKITI na MWANASIASA wa CHADEMA/ELIMU/MKE/WATOTO na KESI ya UGAIDI 

SAN TZ MEDIA
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

#freemanmbowe #chadema #ccm #free #dullysantz #santzmedia #wasafimedia #manara #cloudsmedia #simulizinasauti #history
EMBU KIFUATILIE KISA HIKI KWANZA ALAFU NJOO KWENYE COMMENT TUANDIKIE MAONI YAKO
• MAKALA ZA VIONGOZI🥂

Развлечения

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
SIMULIZI ZETU HUWA ZINATOKA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA WIKI " HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO LA SUBSCRIBE KISHA UMEGUSA ALAMA YA KENGELE ILI USIPITWE NA SIMULIZI YEYOTE KWETU
@christianchando7041
@christianchando7041 7 часов назад
Ongeza bidii, unarukaruka sana. Najua kwenye simulizi huwezi kutaja vitu vyote ili story isiwe ndefu sana. Lakini mambo muhimu hutakiwi kuacha. Mfano:- Mbowe aliwahi kugombea urais 2005 hujaeleza 2. Mbowe alizaliwa 1961 halafu wakati chadema inaanzishwa 1993 Mbowe alikuwa na miaka 19. Je hii ni sawa? 3.ukimaliza form six inatakiwa ujiunge na jeshi kisha ufanye kazi miaka 20 ndipo uombe kujiunga na chuo kikuu. Kama ni hivyo mbowe alisoma chuo kikuu akiwa na umri gani,
@MwitaTv
@MwitaTv 2 месяца назад
Wewe ni Mtangazaji mzuri sana
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Thenks 🤝
@user-bf1jd9nl3v
@user-bf1jd9nl3v 12 часов назад
Duuh kumbe mama yake mbowe alikuwa mrembo sana
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉 na msichokijuwa huyu ndo aliyenifanya niipende CHADEMA mwaka 2005 na hadi leo mm ni Kamanda halisi wa CHADEMA na siwezi badirika.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Good kamanda
@user-yi8pe8zz1t
@user-yi8pe8zz1t 5 дней назад
Similiar Na tundu lisu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 10 дней назад
Historia nzuri ila panga kwa tarehe na matukio.ili usiruke ruke. Hongera kwa kujitahidi .
@danielbachuta157
@danielbachuta157 9 дней назад
Miaka 19 ni 1980.. ungesema 29
@drjbmsige4098
@drjbmsige4098 10 дней назад
Mbowe alikuwa na miaka 31 wakati chadema inaanzishwa
@Wastara001
@Wastara001 3 дня назад
Very poor narrator. Don't take sides. Eleza history kama easter tv wanavyoeleza.
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i 2 месяца назад
Hujui chochote! Gavana Bank kuu baada ya Edwin Mtei ni Charles Nyirabu! hitoria ya uongo na mapungufu mengi!
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 2 месяца назад
Bilikana Mbowe alikuwa miaka mingi sana alikuwa halipi kodi nchi usiseme kaonewa ni sheria
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Kama utakuwa umetufuatilia Vizuri si dhanii kama kunasehemu tumefikili au kuhisi Ameonewa!!!?
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 месяца назад
Kama halikuwa halipii huo ni uzembe wa wakusanya kodi
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 месяца назад
Kwa hiyo kama alikuwa halipi jibu ni kubomoa?..tumia akiri angalau za kwendea chooni
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 2 месяца назад
@@JackKanyigo kwani nyumba ni yake
@HappyKitindi
@HappyKitindi Месяц назад
​@@mfalmekaitaba2425wazembe? 😂😂😂😂
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 месяца назад
NI JASIRI HUYO FREEMAN AIKAELI MBOWE
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Ni Mfano wa Kuigwa
@ashabushiri4610
@ashabushiri4610 2 месяца назад
Ongera
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
👍
@georgefesto8455
@georgefesto8455 2 месяца назад
Kilicho mtajirisha sana ni biashara haramu ya pembe za ndovu na madawa ya kulevya kama mirungi na bangi.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
🤔😂😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 18 дней назад
Matako wewe
@felixmsale9244
@felixmsale9244 2 месяца назад
Bro simulizi yko haina mtiririko unaoleweka unarukaruka !!!!!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 25 дней назад
Wann sasa naye huyu?
@charlesluanda9161
@charlesluanda9161 Месяц назад
Yaani mtu azaliwe mwaka 1961 halafu mwaka 1993 awe na miaka 19! Mbona Math is Mathing 😂😂😂😂
@christianchando7041
@christianchando7041 7 часов назад
Wakati huohuo alipomaliza form six alisubiri miaka 20 ndipo akaomba kujiunga na chuo kikuu. Ina maana mpaka chadema inaanzishwa 1993 mbowe alikuwa bado anasoma😂😂😂😂
@deusntobi6682
@deusntobi6682 2 месяца назад
Miaka 19 duh!!
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
🤔
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h 2 месяца назад
Anatafuta haki tabani? anatafutia tumbo lake na watu wake
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h 2 месяца назад
Nadhani umesahau kutaja walipotuibia pesa za kigeni wakati wakiwa watumishi wa uma bank kuu ya Tanzania wakaiunguza gavana mtei nimrodi mkono mbowe
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 месяца назад
Ndie mfanya siasa pekeeee nchini hapa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Kiukweli
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y 2 месяца назад
Mboe achia ngazi sasa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Mmh😥😥
@stanslausshayo7104
@stanslausshayo7104 2 месяца назад
wewe ni ccm
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
Why
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Wanschama wake wamemchoka haiwezekani awe yeye kila siku na kuhusu klub ya bilcanas ilikuwa inaendeshwa na Baba yake na ilikuwa nightclub na ilikuwa mali ya Nhc yeye alikuwa mrithi tu aondoke tu wamemchoka kwanini analazimisha uongozi aondoke tu
@Santzmedia
@Santzmedia 2 месяца назад
@Margarethpolepole , Wewe NI Mtanzania wa kweli lakini jaribu kufuatilia ukweli wa mtu ,na usije ukalishwa sumu kuhusu mtu kwakuaminishwa kitu then ukamchukia mtu
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 месяца назад
Umefanya research au unaharisha tu
Далее
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 1,7 млн
Тренировки в KFC😂😂😂🥊
0:11
Просмотров 5 млн