Tid ndo msanii ninaeweza kumskiliza all day ana energy na vibe za kutosha And the guy anastahili kipindi chake binasfi atapata audience wa kutosha And tid ameongea point kubwa sana kuliko uyo salama sk jamaa anaupeo mdogo sana leo ndo nimemjua duh🤣
Naangalia nikiwa Qatar 🇶🇦 big up sana TID TOP IN DAR nakuelewa sana kaka nikiwa Mombasa kenya 🇰🇪 001 songs zako nikisikiliza Songs zakitambo ndio songs old is gold
Alafu nyinyi kila mtu mara naangalia nikiwa Qatar mara nikiwa London mara nikiwa Nairobi mara nikiwa Joburg, sasa nakuambieni Mimi naangalia nikiwa Tandahimba nyambafu zenu
Mumeanzaaaaa nyie na mabrokeni yenu hayo ndo nchi maana nchi haitoboi Kwa kukalilii lugha za watu Kwa Nini msichati lugha zenu? A mitanzania banana keroooookerooooooo kingereza Tanzania nimetoka engrandy juzi sijasikia kiswahili popoteee makenge nyie lugha yetu ndo mpango mzimaaaa
Bongo fleva is not even identified 🤔 by sound, at least ben pol pia anaimba bongo fleva ila singeli haiwezi toboa international afu tid wimbo wako ni zeze tu? Huna wimbo wingine?
Salam kachekecha kaona hapa tid ata mmaliza ki aina msanii wake wacha aingie mwenyewe by the way Salam anajua ila kuhusu bongo fleva msanii wake ndio alio uwa bongo fleva saa kaja na wimbo siulewi ila watu wameupenda lakini kama angeimba wimbo huo huo underground hamna ambae angeuskiza