Wacheni kucomment ufala wa kushaout wanavurugu hawa ndo manguli wa sanaa nawanajuana wanafanya utani mzr wa upendo na kusopotiana lkn uwezi amini wasanii wa sasa hawanaga utani kama huu ila hawa wako very happy with them lov u guys
Nmepitia. Comment robo 3 watu wanacomment Juu ya TID ILA MKAE MJUE NIWAZI WASANII WA ZAMANI WANAPENDANA wasasahivi Uwez kuwaweka wakafanya Matani kihvyo Zaman raha sana
TID ana mkwala eti ' kuanzia sasa naomba tuongee English ' hafu ye ndo akamuuliza baba levo ' when was the first time when you and me meet ' ... ye mwenyewe English inamsumbua hafu analeta mashauzi kujifanya anaielewa sana ng'eli