Aaamen amen Bwana Alie kuita aliweka maono Toka ya kinabii WA BIBILIA na Nina IMANI ulicho kuimba kitakuwa HUKUM KWA Kila AMBAE amesikia Wala asifanyie KAZI Kila MAJIRA AMBAYO Bwana aliweka UJUMBE kwanyakati FRANI MUNGU ALIKUWA anajenga ushahidi KWA KIZAZI HIKO WAPO WALIO SIKIA na kubadilika WAPO WALIO ONA maburudisho ila tu kwako ushamaliza endelea MBELE sana mtumishi nakuombea sana we nichaguo kwakizazi HIKI KATIKA waimbaji wainjili Bwana AZIDI kukupa mafunuo yanyakati HIZI MAANA Bwana ameweka upanga kinywani MWAKO kwasauti yako yakipekeee
Lakini na wee rose umeludi nyuma kwa vipambo vimini kusapoti watu wametumwa kuhalibu wana wa Mungu kufanya nawo zaburi1;1-3 acha kujichanganya na dunia Mungu agusaidie usiwe mkosa mbingu
@@flm1530 ...Jihadhari na wokovu wako mwenyewe badala ya kuuliza maswali ya kijinga. Umeona mienendo ya Kifarisayo ndani yake au unadhihirisha tabia yako?
Kwakweli dada Rose mwanzo alikuwa amesonga mbele aslimia Mia lakini leo ninayo maswali nawe dadaangu Rose agalia sana usije kumtukuza mungu hivi na mwishowe ukose mbingu juu ya kuupenda ulimwengu na mapambo yake
Da Rose, yale maono ulioyatoa dhidi ya diamond baada ya diamond kunukuu mistali ya bibilia juu ya kumtumikia yesu, JE YALE MAONO UNAYAOMBEA ILI YATIMIE AMA ILIISHIA PALE STEJINI?
Ameni Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Kila sikio lisikie neno ambalo roho anena na Kila mwenye mwili Mungu atusaidie kizazi Cha ukaidi Cha nyoka
Umebarikiwa kuwaliko wote... Asante sana kwa kazi unayoendelea kufanya mtumishi... nobody like you.... weka yote wazi yanayofanyika sirini. Ni wewe uliyeteuliwa ni kwa ajili ya nyakati hizi, uweze kuwafungua wengi. WAFIRAJI, na WALAWITI hawatauridhi ufalme wa Mungu. Ujumbe huu uwafikie wote na wamuone Mungu wasikuone wewe. Mungu aturehemu na vizazi vyetu.... tuko miisho ya dunia Bwana, na Mungu wetu naomba neema yako na iwe juu ya mtumishi na uzidi kuimarisha kazi ya mikono yake. Mungu wa tumaini, umjaze mtumishi furaha yote na Amani anapokutumainia na kujikabidhi kikamilifu kwa kazi yako. Mungu awatawanye maadui na miiniko yoyote maishani mwako. Uso wa Bwana uende nawe mtumishi. AMINA.
Mbaka lini Yesu utaacha watu kwenye mateso Basi fanya urudi utuchukue. 🎧. MAJALIBU yamepamba moto yamefanya warudi Nyuma wengine. 🔥. Mungu atusaidie TUISHI katika NJIA yake daima. ⛪
Amina. Mbona huyu papa ajifiche kwa kivuli cha Yesu kristo? Asimame tu kama mpinga kristo ili walio wa Mungu na kupofushwa na mafundisho yake wajitenge kws sasa. Hizi njia mbili za utawala anazozitumia, zifike mwisho kwa jina la Yesu kristo. Na ajue mpanda farasi wawili hupasuka msamba.
Je te conseille d'arrêter de commenter comme ça, lorsque tu continueras , tu seras maudit parce que lui il prêche la vérité, quel est ton problème, s'il y a un serviteur qui dit la vérité, moi je le choisis il est le premier. ( français ) Nakushauri acha kucomment hivyo hata ukiendelea utalaaniwa maana anahubiri ukweli una shida gani,kama kuna mtumishi anaongea ukweli namchagua yeye niwa kwanza katika nyakati hizi tulizo nazo wachache sana ambao wana sema ukweli, ( kiswahili ) I advise you to stop commenting like that if you continue, you will be cursed because he preaches the truth, what is your problem, if there is a servant who speaks the truth, I choose him to be the first one in these times we have, very few are the ones who tell the truth, stop commenting because you are very wrong. ( anglais )