Тёмный

ALIEKUA MUME WA ISHA MASHAUZI AFUNGUKA KUFUMANIWA/TUMEACHANA NAUMIA KWELI KWELI ANA WIVU SANA 

Carrymastory
Подписаться 482 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

NAUMIA KUACHANA NA ISHA MASHAUZI ANA WIVU SANA #ISHAMASHAUZI #EX #MUMEWAISHA

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 118   
@HalimaOmary-fq5so
@HalimaOmary-fq5so 2 месяца назад
Msamehe mwenzako isha anakupenda.
@MariahMamu
@MariahMamu 2 месяца назад
Akufukuzae hakwambii toka baba jikaze kikazi Mungu atakupa riziki yako
@ruthkiwia9100
@ruthkiwia9100 2 месяца назад
Kupendwa raha sana wew I sha msamehe tuu
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 месяца назад
Wallah huyu ni n wanaume wa shoka😊😊😊
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 2 месяца назад
Vidudu mtu jaman mshachafua Ali ya hewa walipendana tu wenyewe lakin vijuso Sasa nishida 😢😢😢
@rehemambelwa634
@rehemambelwa634 2 месяца назад
Uyu mkaka anajielewa sana na kujitambua pia ni wanaume wachache sana wa hiv , wanawake wengi wanapoteza wanaume sahihi kwa changamoto ndogo sana
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 2 месяца назад
Mbona ww mkaka upo vzr tena muelewa unajitambua, sababu huwezi acha kuongea nawatu na wateja wako sababu yake anakutesa ajili ya esa na maarufu alio nao pia nakushauri kaa kimya usipende kuhojiwa sana, kuna maisha yanakuja na yanapita.
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 месяца назад
Isha isha Isha nakuita mara 3 samehe ndugu yangu wa Musoma
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 месяца назад
Aisha ebu msamehe Tu. Utaachana na wanaume wangapi? Tulia mwanangu bwana. Unajua sisi tunakupenda sana .Amekoma huyu kijana,Amejuta sana. By huku Kusin Mtwara.❤❤❤🎉🎉🎉
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 2 месяца назад
Yaani huyu.mwanaume anajielewa na pia MTU anayekumbika Ihsan NI wachache wanaokumbika kuwa mimefanyiea wema wengi hawapi hivyo mungu akujaalie mke uoe kk yng pia nimempenda anavuoshukuru alhamdulilahi hiyo kubwa kwa mwenyezi mungu
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 2 месяца назад
Utamaliza midia zote tanzania itabidi uende kenyaa
@MwagamboSanga
@MwagamboSanga 2 месяца назад
Aisha samehe huyo msela anakupenda sana duniani hakuna mkamilifi ata ww apo
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Месяц назад
Wewe kuwez😂
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 месяца назад
Ukimuona hapo unaona ni innocent ila wanaume huwa washenz sana
@agnessherman7524
@agnessherman7524 2 месяца назад
Kweli kabisa
@SofiaBudeba
@SofiaBudeba 2 месяца назад
Isha Mona wa baba tamusamuhe mkulya mwenzangu wa msoma chonde nakupenda sana mi Ni shabiki wako namba moja
@anchilaachileus8765
@anchilaachileus8765 2 месяца назад
Mwanaume nimuelewa Sana lakini akuna jambo gumu lolote ambalo MUNGU linamshida.akika watasahameana Mambo mengine yataendelea.mm nawaombea Kwa MUNGU warudiane watengeneze famlya yao👩‍❤️‍👨 🌹🌹♥️♥️.nawapenda Sana ❤❤❤
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 2 месяца назад
Sana huyu kaka kama ndivyo alivyo kutoka moyoni ni mpole anatia huruma km haekti , amsamehe tu
@nyasolugoe8891
@nyasolugoe8891 2 месяца назад
Isha dada yangu mpende huyu mshkaji anakupenda sana, wachache sana Wapo hivyo angekuwa mwanaume mwingine kashakuanika kwa mabaya,,, isha pls mrudie mabango
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 2 месяца назад
Isha msamehe naona anaumia Sana huyu mkwe wetu jamani. Watu wengine wanajua kuharibu hisia za watu, Mie na wasi wasi na yule wa masaki kama wamepanga kuwaharibia mahusiano. Ebu Rudi Kwa Mungu wako Isha.
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 2 месяца назад
Isha nakusihi shetani ana nguvu zake. Hakuna kitu cha ukwwli bwana huyu bwana mkweli kabisaa hayo mambo madogo Sana wapotezee wapige chini wazushi hao.
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 2 месяца назад
Ona Isha aliyepiga haya Wala hamtaki mbona hajamchukuwa Milango imepangwa wakuachishe na mkwe hawataki huyu bwana muungwana
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Msamehe tafadhali huyonimume anakupenda
@HemediBakari-e5o
@HemediBakari-e5o 2 месяца назад
Mwanamke wivu ndio anakupenda kakaangu ukiona mwanamke hakufali au hana wivu na jua hakupenda huyoo
@OmanAl-s9l
@OmanAl-s9l 2 месяца назад
Pole CN kaka ila kikubwa mi namuomba tu da Isha mm ni mdau WK sana msamehe CN Aisha mengine yaendelee
@kidecompanies2443
@kidecompanies2443 2 месяца назад
Alooh...hivi kumbe hiki kizazi cha wanaume kama hawa bado kipo...assee nahisi hii ndo itakua species' ya mwisho...baada ya apa akitatokea tena...
@railatikiungi9211
@railatikiungi9211 2 месяца назад
Dada Isha kiukweli ata wewe unakoseaga naamini ivyo naamini fukilia then ludi kwa kaka uyu utawaacha wangapi ata me ni mwanamke nakuonba dada angu plz
@Marjeby
@Marjeby 2 месяца назад
Daaah aiseee taifa letu linateketea sna Bongo vijana kama hawa wamekuwa wengi sana wallah. Kijana mdogo anakuwa mpumbavu kiasi hichi ana deal na vitu hata yeye mwenyewe havijui
@RoseStephano-ir5hw
@RoseStephano-ir5hw 2 месяца назад
Dada Aisha nikuombe tuu dada yangu unisamehe huyo kaka kiukweli anakupenda Sana na tambua wapo wanawake wanaopenda kuona watu ndoa zao zinavunjika, kaka ni mpole Sana na anaupendo Sana na wewe ,tambua kuwa hakuna mwanaume anaeweza kuona amekosea akaomba msamaa, so brother anakupenda Kaa chini utafakari, huyo bwana anakupenda,
@kibouttv7148
@kibouttv7148 2 месяца назад
Umesema kweli kabisa
@mussaelias3535
@mussaelias3535 2 месяца назад
Hawa wanawake ambao waliishazoea kujiongoza wenyewe ni ngumu sana kuwa control
@Keyjop
@Keyjop 2 месяца назад
Baado hamjasema😅
@RIZIKIMHAGAMA
@RIZIKIMHAGAMA 2 месяца назад
Babu uhapo umesema siongezi neno
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Месяц назад
Wacha upumbavu dada yko pia anajikojoza mwenyewe😢
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Sio kweli hii ni Kiki tu. Juzi tu hapa walikuwa Dodoma au sijui moro ile. Leo ndio hivi? Aisha ebu msamehe tu isiwe kama wengine wale.
@LeahJuma-c6o
@LeahJuma-c6o 2 месяца назад
Jamani mungu ajalie. Penzi lenu lirudi inshalla
@AsiaSaid-tq4yw
@AsiaSaid-tq4yw 2 месяца назад
Pole kaka isha msamehe balwana
@AshaAli-rl5rk
@AshaAli-rl5rk Месяц назад
Mdogo wangu jikaze huyu hakutaki utapata mwengine uje kuyasahau yote.
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 2 месяца назад
Jamani kweli kaka amependa 😢😢😢😢 Isha msamehe
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 2 месяца назад
Yaani KIKI za wa bongo ..mmejua kutucheza
@zainabsabas1807
@zainabsabas1807 2 месяца назад
Mume mlioana lini bwana mbona mnapenda kufanya haramu kuwa halali 😂😂😂😂😂
@mahadiMkwanda
@mahadiMkwanda 2 месяца назад
Had
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 2 месяца назад
Duuuuu kweli kupenda NI ujinga Sana
@janetkemunto2065
@janetkemunto2065 2 месяца назад
No sound
@righitkileo
@righitkileo 2 месяца назад
Mmh,!mmh! Aisee Munqu niepushe na mambo kama haya.Nishike Adabu na heshima.alonigunza Mama yanqu.Hata nimpende vip mtu sitaki Maisha ya mtandaoni.Ni upumbavu
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 2 месяца назад
Acha ujinga wewe ni mwanaume jiamin na uko poa tu wanawake wapo .kikubwa tafuta pesa na uoe mke mwingine mtulivu .cio huyo ugonvi kidogo visa .khaa
@ZuhuraMohamed-q2f
@ZuhuraMohamed-q2f 2 месяца назад
Kama umegundua kuwa nae anapata tabu piga ukimya kaza kiume sio yeye bwana ni mungu ndie kakushika mkono ye kakutangaza to na hayo ndio matatizo yetu binaadam pambana kwa sababu we ujamkataa ila ye ni kielele chake ushamuomba ila ataki sasa ufayeje
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 2 месяца назад
Kwan huyu sindo aliesema hawezi kukumbuka chochote kwa ISHA imekuaje aseme ameumia duuh vijana wa hovyo sana qcha unafik mr. Mabango
@ZuhuraMohamed-q2f
@ZuhuraMohamed-q2f 2 месяца назад
Hayo mambo ya kuingiliana kwenye cm sio kwanini umpe simu yako aimiliki kama yake jupenda gani na kama ushamuomba msamaha ataki uwoni kama alikua anakutafutia sababu kwakua unampenda hata yeye wote wanaomtongoza anasema embu jaribu kuwa kimya mungu atakusimamia me binafs sijaona kosa lako sns ni kitu cha kawaida sana kwa wanadam me sipendi kudili na cm. Ya mwanaume yani kama ndio hivyo atamalizs wanaume anajisikia muache aende akampate huyo wa peke ake kama atatokea ujinga to
@Mwanamkesahihi01
@Mwanamkesahihi01 2 месяца назад
Hii ni Kiki ya Kumtambulisha Huyu kaka Hakuna Ugomvi hapo
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 месяца назад
Huyu dada ni mzuri lkn Hana nyota ya ndoa kabisa kwani unaeka vipuli kila mahali hata kama ulikua mzuri bt muonekano waonaekana kama danguro too 😮
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Mwanamke anajitahid kw mwanammewake kwadhati anamaumivu makali mno unapomuumiza ,naanapenda umuheshimu km anavokuheshim ,lijueni hilo mnaopata hizonafas
@florayoram9563
@florayoram9563 2 месяца назад
😢😢
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 2 месяца назад
Achana na intaviu lipe Ili jambo muda
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 месяца назад
Mapenzi ya dhati sio kama mihogo Kila mtu ataipata...!
@ashaali7154
@ashaali7154 2 месяца назад
Achana na mitandao kijana unazidi kuharibu eti "mwanamke wangu" lugha gani hiyo ama kweli ushamba mzigo.
@christadominick6759
@christadominick6759 2 месяца назад
Inawezekana wewe ndo hujui dear, sasa kuna ubaya gani mtu kumuita mkewe "my woman" maana huyo kuisema kwa Kiswahili labda ndo alipokuchanganya ww🥰
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 месяца назад
Ni nzur sana kukumbuka isani😢😢😢
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Mpe muda atakaa sawa mtaludiana tu...kama hatokusamehe basi muache aende ila atakukumbuka na ataludi kwako tu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Apo tatizo ni husda kaka ...navijicho iyo ndo sababu
@zureashomari2408
@zureashomari2408 2 месяца назад
Tutaelewa tu .....kijicho is real noma sana
@AshaAli-rl5rk
@AshaAli-rl5rk Месяц назад
Najuwa uzito wa penzi lkn piga moyo konde mpende anakupenda.
@NeemaMweta
@NeemaMweta 2 месяца назад
Hamnaa kusamehe
@ZawadMussa-sd1od
@ZawadMussa-sd1od 2 месяца назад
We kaka jinga kwel Kila media inakuoji uchoki wew au unataka kujulikana acha kujicholesha sasa au
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 месяца назад
Anafuta fame
@syliviakente9460
@syliviakente9460 2 месяца назад
Uelewa shida
@HemediBakari-e5o
@HemediBakari-e5o 2 месяца назад
Kakaangu kumbuka mlipo toka et je kifano ungekuowa je inamaana msinge rudiana au
@OmanOman-ty6ef
@OmanOman-ty6ef 2 месяца назад
Mzowea vyakunyonga vyakuchinja huviwezi
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Ndy madhara ya mapenzi hadharani bado Esha Buheti litamkuta jambo Dida lishamkuta Isha nae ndy huyo yule aliyeathirika nae tayar mapenzi chali yaani mnafanya peke yenu ndy mnapendana kumbe kuna watu wanaumia 😂😂 😂😂
@Yusuphsharph
@Yusuphsharph 2 месяца назад
Nili kaa kinya niki tafakari isha mpaka anamtangaza mabango alikua tayar kasha panga kua stamuacha vp na hakua na mpango nae halafu alimtambulisha ili kaka abaki na kumbukumbu ya tukio
@BibieMakame
@BibieMakame 2 месяца назад
Mmh pole kaka anza maisha mapya acha kulialia mitandaoni unatia aibu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 месяца назад
Vijana wapuuzi puuzi kisa viubwabwa vya bure mtoto mdogo unaacha Kua na mahusiano ya maana unafata mijanamke mizee
@MohammedSaleh-t5h
@MohammedSaleh-t5h 2 месяца назад
Wivu tuu​@@fahadfaraj6474
@evodiussebastian4964
@evodiussebastian4964 2 месяца назад
Hawa kiki tu msitupotezee muda
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 месяца назад
😂😂😂😅Khaa mapenzi ya mtandaoni 😅
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 2 месяца назад
mapenzi sio chai
@Salma-zc1ec
@Salma-zc1ec 2 месяца назад
Kk zitawauwa
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 2 месяца назад
Samehaneni jmn mlipendezana sana jmn
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 месяца назад
Chezea msosi wa ishamashauzi😂😂😂😂utamiss vingi kaka
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 2 месяца назад
😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 месяца назад
😂😂😂
@Jafreez
@Jafreez 2 месяца назад
😂😂😂Kweli!!
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 месяца назад
Mpnz ya mtandaon sio km.hakutaki basi sio rixk asikupelekeshe banaa
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 2 месяца назад
Vijana tafteni pesa watot wazri tuishi vizri😂 la sivyo mtalia lia sana mitandaoni
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Kumbee wanaume limbukeni wa mapenzi mpoo bado
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 месяца назад
Ww ujawai kupenda siku ukijuwa maana ya kupenda ndo utaelewa
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
@@zaidihussein4311 namungu asinijalie ndugu yangu maana dunia hii hakuna muwaminifu pande zote mbili mm napenda maisha yangu tu
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 2 месяца назад
Awa sio wanataqa qutoa nyimbo nyieeeeeee jmn naumia mimi mwenzenu niliipenda hii kapo
@azharrtxj8773
@azharrtxj8773 2 месяца назад
Mi mbona naona kma ivyo
@UpendoJames-m5r
@UpendoJames-m5r 2 месяца назад
Hawa wanatoa nyimbo ndy 😂😂 isha Si Kuna video ameshashot so naona ni promo tu ​@@azharrtxj8773
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
😂😂😂😂
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 2 месяца назад
Ni kiki hiyo kama barnaba na yammi
@sygtamks1643
@sygtamks1643 Месяц назад
Nyimbo ishatoka ngoja tuone sasa😂😊
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 месяца назад
Waongo
@AdamJuma-g9e
@AdamJuma-g9e 2 месяца назад
Wakomeshe Malaya wabovu wasijua kuoga wakatakata msamee kaka kakosa
@ShirfaDigubike
@ShirfaDigubike 2 месяца назад
Alisha.tambulisha wengi
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 месяца назад
Kiki hii mhh nipo.pale nimekaa nawatch😂 ni.kiki
@MnyamaniTatu
@MnyamaniTatu 2 месяца назад
Wasameane
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 2 месяца назад
Huyo isha na wewe una shika sm ya nini ya mpenzi wako , wewe si SOMO? mmmm! MASONO wa mjini ni hawa sioni km ni jambo ngumu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 месяца назад
Huyu ni mume or mario😂😂😂😂😂, mbona kila media
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Basi sawa
@dullah-f7p
@dullah-f7p 2 месяца назад
isha mashauzi ni jike la simba humuwezi ww ni mbwa koko
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 2 месяца назад
Mwanaume Alilewa Sifa
@bingwaabdallah5011
@bingwaabdallah5011 2 месяца назад
Huna lolote pumbavu sana,,mwanamke kakuzidi miaka kibao tafuta mwanamke wa saizi yako Aisha kamaliza wewe ndio kwanza unaanza ,,ttzo chapati za bule
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 2 месяца назад
Shetani mnamsingizia tu 😂😂😂
@halimaabubakar6702
@halimaabubakar6702 2 месяца назад
Mwana kulitafuta mwana kulipata 😂😂
@DeniceMramba
@DeniceMramba 2 месяца назад
Aisha kungwi anafundisha msamaha uvumilivu mabango ajachti huyo na anakupnda kweli siyobwanaume wte wanaomba msamaha siyo zombi huyu kajiipua huy utakaa upate kama hyo
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 2 месяца назад
Kiki hawajaachana
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 2 месяца назад
Chezea misosi ya bure
@otaibonny8835
@otaibonny8835 2 месяца назад
Kibenten 😂😂😂
@lulurubby2235
@lulurubby2235 2 месяца назад
Akina jlo wenye pesa hawakai kwenye ndoa itakua hawa makahaba waimbaji kwenye bar viongio buku 5 😮
@zenajustus5731
@zenajustus5731 2 месяца назад
Video ya sio levo yako imebuma,wanaipigia promo hamna kuachana hapo.
@sanaf8367
@sanaf8367 2 месяца назад
Acheni maigizo nyie munaboa
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 2 месяца назад
New song 😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 2 месяца назад
Apo umemusi musosi hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 😂🤣
@RuweidaMacool
@RuweidaMacool 2 месяца назад
Kiki
@KulwaMbeko
@KulwaMbeko 2 месяца назад
Kiki
Далее
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
LIVE# NILIACHA CHUO NA KUKIMBILIA BIASHARA YA GENGE !
15:19