Тёмный

ISHA MASHAUZI AFUNGUKA ALIVYOMFUMANIA MPENZI WAKE/SIWEZI KURUDIANA NAE NAHITAJI MWINGINE/SHILOLE.... 

Carrymastory
Подписаться 483 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@ruthimnale2325
@ruthimnale2325 2 месяца назад
Safi sana isha wanaume hawjielewi kwa nini akuchiti ina maana wewe kwake si kitu anakuwa kuku mchakuwa jalalani huo uchafu mama liwe fundisho kwa wanaume kama yeye achana naye tena wako wengi mpaka wazee wanadangwa kila leo wampoteza mwelekeo
@JumaZuber-nc4gn
@JumaZuber-nc4gn 2 месяца назад
Pole san mapito tu hayo yataisha mm nakukubali sana isha lakini uliimba nimpe nani huyo hakujua thamani ❤
@JulianaBanali
@JulianaBanali 2 месяца назад
Nimekupenda unabusara ushaur wang hawa watt watakusumbua
@mahirmahir4304
@mahirmahir4304 2 месяца назад
Unajuwa hata mm niko na mke wangu anaitwa Aisha hawa wanawivu sana zaidi ya sana kiukweli huyo mabango avumilie kwanza mpk huyo Dada Amalize joto lake la roho
@mussaelias3535
@mussaelias3535 2 месяца назад
Hawezi kukaa na mwanamume ogopa sana mwanamke ambaye amexowea kujimiliki mwenyewe
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 2 месяца назад
Mie tangunday 1 unamtambilisha nilijua Isha umebugi maana uso Wake ulionesha amefata jina kwako,Kama mume wa diva.ila ndio mapenzi upofu,by the way wewe ni levo flani hivi za juu yule sio levo zako Yani ni umejiabisha Sana kua na yule usirudie Isha pole mwaya
@pauloegbert515
@pauloegbert515 2 месяца назад
Eeh mambo
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Bas usimlaumu kaka wa watu wewe ndio hukujitasumini kuna vitu vimepunguwa kwako
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Malaya tu wewe dada ushapata mtuu unatakia sababu ya kumuwacha
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 месяца назад
Hivi umri huo uluonao dada Isha mashauzi,bdo tu unataka kyjiweka hadharani kwamahusiano.Kwann usingeendelea kuyaficha mkamalizana kimya kimya ,badala yke ukaweka kwenye mitandao.Jmn mwoneni lulu,mwoneni rose ndauka ,hta anti ezekieli,nyie wakubwa waxima kwann mue namapenzi yamitxndao jmn
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Bas usimlaumu kaka wa watu wewe ndio hukujitasumini kuna vitu vimepunguwa kwako
Далее
LIVE# NILIACHA CHUO NA KUKIMBILIA BIASHARA YA GENGE !
15:19