Тёмный
No video :(

ALIKIBA amwaga BURUDANI mbele ya PROFESSOR JAY/TAZAMA alivyofurahi AWAIMBISHA WAGENI na VIONGOZI 

Rick Media
Подписаться 865 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Опубликовано:

 

9 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 8 месяцев назад
Waooh Ali kiba Mungu akupe heri wewe ndio mfalme wa mziki.asante kwa unyenyekevu wako kwa jamii Mungu akuweke maisha marefu wewe prof Jay
@bama9271
@bama9271 8 месяцев назад
Ndo huwa mnaambiwa nyiye mapresenta kuwa alikiba huwa avimbi na MTU wa watu na mwenye huruma,sasa hao wenu wa kimataifa wako wapi katika shida ya mwenzao msanii tena legend kama prof Jay? Wa tz acheni unafiki
@magiehermess9949
@magiehermess9949 8 месяцев назад
Aonyeshe yake aliyotoa,amechangisha tuu watu
@user-ww5nm5ck2e
@user-ww5nm5ck2e 8 месяцев назад
​@@magiehermess9949amechanga kiba ndip akachangisha
@maireshsaid1628
@maireshsaid1628 8 месяцев назад
​@@magiehermess9949yeye alikiba katoa ml 5
@Jux_the_barber-tc6bx
@Jux_the_barber-tc6bx 8 месяцев назад
​@@magiehermess9949Wee uko wapi alietoa wa kwanza hapo ni AliKiba....Alitoa millioni Tsh30 .....Tena hii fikra ya Professor Jay Foundation alikua mstari wa mbele.....So kabla hujasema kitu peleleza kwanza ujue ukweli
@righitkileo
@righitkileo 8 месяцев назад
Nakupendaqa sana Ally ,Hunaqa makuu .munqu akupe maisha marefu.❤❤❤❤❤
@user-ny5ug4qo6c
@user-ny5ug4qo6c 8 месяцев назад
Mungu akulinde bro.mwanadamu Ni utu.bac Huo ndio utu.
@khadija5761
@khadija5761 8 месяцев назад
Mashaallah Mashaallah 🎉🎉🎉🎉 upendo ndo huu mpaka peponi l nshaallah
@westonyjob1747
@westonyjob1747 8 месяцев назад
King of bongo fleva in Tz
@nassorhamadi5738
@nassorhamadi5738 8 месяцев назад
King kama king
@nerryabel7512
@nerryabel7512 8 месяцев назад
Hongera sanaa Ally,my self nakukubali mnoo👏👏👏
@EdgarMjanja-ul3ur
@EdgarMjanja-ul3ur 8 месяцев назад
Ila kiba bwana
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 8 месяцев назад
Nice Ali Kiba 👌 😊
@miriamamiri641
@miriamamiri641 8 месяцев назад
Yupo vizur allikiba mwenyenzi mungu akupe maisha marefu bro uko poa na watu hauna muda wakijisikia bro bigp
@elhadjbakar7060
@elhadjbakar7060 8 месяцев назад
Mungu azidi kukulinda kiba na ampe nguvu professor
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 месяцев назад
Ilove you ❤ nice song
@user-ej2nh8dv2q
@user-ej2nh8dv2q 8 месяцев назад
King himself
@nadinendagwaruka3383
@nadinendagwaruka3383 8 месяцев назад
Mashallah Ally Kiba
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 8 месяцев назад
Msanii anayejitambua..sana..huyu jamaaaa..king mwenye mziki wake...ana..makuu..na ..kila kitu anacho..mziki anaujua..ela ipo..utu..upo kama nyimbo yake 🙏🙏🙏🙏🙏
@kennedymatiko6830
@kennedymatiko6830 8 месяцев назад
Kingkiba
@jinsiyakutengezavijora8909
@jinsiyakutengezavijora8909 8 месяцев назад
Mungu ambariki sana afanyie wepes kwakila anachokitaka
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 8 месяцев назад
Msanii wa kuigwa hajatoboa pua,hana matatuu wala jatoboa masikio…ni mfano wa kuigwa ni msanii anayeona kesho yake
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 8 месяцев назад
The only king in Africa... Hana majigambo wala ushamba hana bodyguard wala ukwaju a naamini mungu ndio mlinzi pekeee wakumlinda yy❤🎉🎉🎉
@kapeamohamed2750
@kapeamohamed2750 8 месяцев назад
Mfalme wetu
@khamisdaruwesh8950
@khamisdaruwesh8950 8 месяцев назад
Hingera sana king kiba je zoez bado endelea kwenye kuchangia❤❤❤❤
@user-yt5wl6bi4i
@user-yt5wl6bi4i 7 месяцев назад
Hongera sana king wangu❤🎉
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 8 месяцев назад
Mtt alielewa kwa maadili na ofu ya mungu na akaleleka masha Allah na hongera kwa mamake na babake marehemu mungu amrehemu kuzimu aliko ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 месяцев назад
KING 👑 AND LEGEND NIGA JAY BLESS 👏👏👏🔥🔥🔥
@neemadaud312
@neemadaud312 8 месяцев назад
Huyu dogo nampenda sana
@victoriamlay6271
@victoriamlay6271 8 месяцев назад
Hongera Kiba hunaga kiki mungu akupe maisha marefu
@masaweiddi2278
@masaweiddi2278 8 месяцев назад
Huyo ndo boss wa mziki hapa bongo asante sana
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 8 месяцев назад
Respect to the king big up bro
@user-mt5ow4oy9l
@user-mt5ow4oy9l 8 месяцев назад
Nakubal bloo kba
@khadija5761
@khadija5761 8 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 8 месяцев назад
Best artist of ALL tym
@ashnaom2270
@ashnaom2270 8 месяцев назад
KILa laher mfike malengo , wanaume wakwel husapotiana❤
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 8 месяцев назад
Onli One King kiba.
@user-mt5ow4oy9l
@user-mt5ow4oy9l 8 месяцев назад
Alkiba we ndo kng hapa bongo ila wazaz wako washukulu sana wamekulea bloo una nizam sana naupendo bloo fanya kaz bloo unajuwaaaa
@nyoniscaffoldcompany3338
@nyoniscaffoldcompany3338 8 месяцев назад
Ukiwa msanii mkubwa ndo hiv unatakiwa uwe na tabia za kikubwa kama hiv hongera Ally salehe
@KaliEmmanuel-iy7hf
@KaliEmmanuel-iy7hf 8 месяцев назад
Nakukubari sana mwamba
@yusterchesco8818
@yusterchesco8818 8 месяцев назад
Ninacho jua mm hakuna binadam asiye na mapungufu so hata km wanamsema kwa mabaya huyu mwamba mi binafsi namuona Yuko poa sana na nimfano wa kuigwa barikiwa sana Ally kiba
@javanmathias5578
@javanmathias5578 8 месяцев назад
Msanii wa heshima
@SaumAsha
@SaumAsha 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤
@nickmkude7571
@nickmkude7571 8 месяцев назад
Alikiba kawatoa wengi sana kimaisha uyu jamaa hapendi kumsaidia mtu akajitangaza mara nyingi waliosaidiwa na kiba ndio utangaza mfano mzuri danzer trainer
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 8 месяцев назад
Hapa ndo huwa anazidiwa diamond na king kiba ally ni mtu wa watu sana
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 8 месяцев назад
Jay kafanya collabo na mond na harmonize, lkn alikiba ndo huyo anapambana nae kwny foundation, wale wengine hawapo, Kuna kitu najitunza Kwa wasanii wa bongo
@sheruajafari1676
@sheruajafari1676 8 месяцев назад
Safi king kiba
@user-vj8pk8lq8g
@user-vj8pk8lq8g 8 месяцев назад
Nimesikiya kaiba Kirundi awo nimesikiya vibaya ungejuwa gisi Wa rundi wanakupenda alikiba
@Roqua-hs3qf
@Roqua-hs3qf 8 месяцев назад
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@allycomm1553
@allycomm1553 8 месяцев назад
wasanii wa tz hawana ubunifu kabisa jambo linahusu linahusian n prof J alaf wanaimba nyimb z mapenz
@magiehermess9949
@magiehermess9949 8 месяцев назад
Nimeona akichangisha wengine ila yake binafsi ametoa how much??
@gracebenjamin5392
@gracebenjamin5392 8 месяцев назад
namkubali xana jamaa anaweza pia mtu wa wat
@EdgarMjanja-ul3ur
@EdgarMjanja-ul3ur 8 месяцев назад
Ila kiba bwana
@user-cy2cw7tl7t
@user-cy2cw7tl7t 8 месяцев назад
King himself
Далее
Получили тысячи $$ на "старье".
20:10
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 1,4 млн
Получили тысячи $$ на "старье".
20:10