Тёмный

DIVA Afunguka 'ALIKIBA Alitaka Tufunge NDOA/Sikuwa TAYARI/TULIPENDANA SANA" 

Rick Media
Подписаться 874 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Kwa mara ya kwanza Mtangazaji wa Wasafi Fm Diva The Bawse amefunguka kuhusu mahusiano yake na Alikiba yalivyoyeyuka baada ya kugundua kuwa Alikiba hajaachana na mke wake kama alivyomwambia
..........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Alikiba #DivaTheBawse

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 4 месяца назад
Masha'allah tabaarakallaah diva ni mzuri mzuri mzuri sana this is beauty beauty beauty queen queen beutiful queen beautiful queen queen beutiful queen khuub suuurat khuub suuurat khuub suuurat bohot bohot bohot khuub suuurat khuub suuurat
@glorycheyo1081
@glorycheyo1081 5 месяцев назад
Diva namuelew sana diva nimke jamani na anaupendo na wote wanapendana MUNGU AWASAIDIE
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 4 месяца назад
Aameen yarabbi
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 5 месяцев назад
ILA DIVA WANGU. NI MREMBOOO❤❤❤❤❤
@evenasubo3117
@evenasubo3117 5 месяцев назад
Jamani huyu dada anatatizo💔💔🙆🙆daaa
@3Dshoez
@3Dshoez 5 месяцев назад
Ulikuwa side chick kwa Ali ,end of story,weee amina alivyo mzuriiiii
@user-ee9my3ye2o
@user-ee9my3ye2o 5 месяцев назад
Huyu hawezi hata kumkaribia mke wa Kiba. Huyu hawara kasuku ataongea upuuzi wake anapoteza muda tu. Mwanamke mwenye akili asingeongelea yote hayo. Binadamu yeyote mwenye aibu hawezi kujisifu eti mzuri wa sura na sauti. Asingekuwa anaongea hiki kizungu chake cha kijinga. Ati Ali "Kiberrrr"
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 5 месяцев назад
Huyu ni delulu without solulu
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 5 месяцев назад
Diva…. Ach kutudanganya wewe Ally hawezi kua alitaka kukuoa ww 😂😂😂
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 месяцев назад
Mnakataa???😂😂
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 5 месяцев назад
Hakuna kitu kibaya kama binadamu kuelezea machafu yake yakiyopita ,ni sawa na kujiwekea vikwazo Kwa watu ambao pengine walikuwa wanania ya kufunga ndoa na wewe ,lkn Kwa mwendo huu no unakosea sana japo wewe unahisi kuwa unamuumiza mtalaka wako,DIVA kiukweli your rong
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Kweli jamani huyu dada mbona kama kalewa?
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 месяцев назад
Mi navojua couple iliyokuwa nzuriii ya Alikiba ni yeye na kidoti
@NiceJoram-pl7vf
@NiceJoram-pl7vf 5 месяцев назад
For sure nasio hizi drama za bi kigagula😂😂😂
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 месяцев назад
@@NiceJoram-pl7vf nakwambia we acha tu so kwa vingereza ivi😂😂😂
@NiceJoram-pl7vf
@NiceJoram-pl7vf 5 месяцев назад
🤣🤣🤣😂😂😂
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 месяцев назад
@@NiceJoram-pl7vf 😂😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Kumbe Ally alishapita kwa kidoti
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 5 месяцев назад
Huyu mtangazaji anatakaga kujiweka kwa diva, anajishobokesha sana. Anajifanya sana kumpondea Abdul, mshamba sana.
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 5 месяцев назад
Kwanini ali kiba kila siku kwenye mahojiano yenu hamna mahojiano mengine wasenge nyinyi
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 5 месяцев назад
Kumbe Ally alishakulana na Diva??duh😂😂😂😂😂😂
@achilles8813
@achilles8813 5 месяцев назад
We @user-uj5wg9mm2t haujui😂
@FreeGod368
@FreeGod368 5 месяцев назад
​​@@achilles8813😂😂😂uvotag username nmechekaaaaaa
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 3 месяца назад
Nimechoka 😂
@beauty2239
@beauty2239 5 месяцев назад
Ila huyu dada nyie kaaah anapenda kuwaelezea watu aliokuwa Nao kweny mahusiano sasa maswala ya alikiba SS ya nn
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Sipendi mtu anayezungumzia watu aliokuwa nao kimahusiano, unavyomtaja Ali wakati yupo kwa mkewe unadhani sifa
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Anaona sifa sana kusema alitembea na Ally
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 месяцев назад
Ninyi wasenge kweli kwanini asiongelee historia yake? Dhambi ipi kaifanya?
@user-ck9xk4xh1h
@user-ck9xk4xh1h 5 месяцев назад
​@@judyngowi391sasa unavyoelezea vitu vyako vya ndani ili iweje kwa Kuna mtu ambaye hana matatizo
@user-pn9eb3oo3z
@user-pn9eb3oo3z 5 месяцев назад
Bora alikiba hajakuoa maana unapenda kuweka vityuu public😢
@TeresiaChrisant
@TeresiaChrisant 5 месяцев назад
amna mke apo
@irenlihenga8031
@irenlihenga8031 5 месяцев назад
Daaaaaah huyu MWANAMKE😢😢😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Huna KOOO
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 5 месяцев назад
Kama kweri alikiba Ali lala na huyu mdada alijichanganya sana
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 месяцев назад
Diva umependeza, dear you are beautiful
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 месяцев назад
Mke wa Sheikh huyu jama !!¡ Astargahfuru Allah .
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
Sio mke wa shehee mzee wa mganga wa kienyeji
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 5 месяцев назад
What Ali kiba alikua boyfriend ya uyu Dada ?
@alineolivia2392
@alineolivia2392 26 дней назад
I’m seeing Diva leaving wasafi to Crown tv😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 5 месяцев назад
Kumbe wewe unaona wivu mbona unajieleza kama ulikuwa na mume wa watu, unafikiri Amina akiskia uchafu huu atafanyaje ? Ali, Ali, Ali bado unamtamani au ?
@TeresiaChrisant
@TeresiaChrisant 5 месяцев назад
Ila ally kiba ilikuaje ukamkula mwanamke jeuri kama uyu
@khadijamansoor7415
@khadijamansoor7415 5 месяцев назад
Diva nakupenda sana
@kellyclassic7515
@kellyclassic7515 5 месяцев назад
Mi pia sema kuna muda ananikwaza
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 месяцев назад
Yaani amekaa kama tahairaaa huyu bint naakicheka kama zimefyatuka
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Kama kalewa hivi
@itNeza
@itNeza 5 месяцев назад
Wnawake Wa hizi siku Ni uchafu mtupu, Skia Mwanamke Anajitapa eti Nilikuwa na Ali Wakati ana Wanawake ( Huu si uchafu mtupu ?) hadi leo Kinatoka na kila mtu. 🤔
@salimNdendya
@salimNdendya 4 месяца назад
Oy diva njoo clown fm chapu huko ulipo unachelewa
@JumaNyoni-ob6ul
@JumaNyoni-ob6ul 5 месяцев назад
Ali alikuwa na joketi kabla hakaoa tunakumbuka
@swalhawerema57
@swalhawerema57 5 месяцев назад
Toka uitwe kigagulo na kiba ulifyeka mdomo naona sas wamchokonoa tena ..shukuru kiba now yupo kwenye mfungo😂😂kitakukuta kitu
@elizabethmasitsa6537
@elizabethmasitsa6537 5 месяцев назад
😂😂😂 sema ashukuru sana maana kiba akempa jina lingine tena😂😂
@busnaoman9981
@busnaoman9981 5 месяцев назад
​@@elizabethmasitsa6537😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 месяцев назад
Yaani leo Adui mkubwaaa wa DIAMOND anampa Diamond mauwa yake?? Daah siamini😂😂😂
@DakorTrony
@DakorTrony 4 месяца назад
Wabongo kazi ni mapenzi. Yaani hivi hamna kazi bali mapenzi tuu?
@allymtunge5530
@allymtunge5530 5 месяцев назад
Mwana mke kachukuliwa na mgangaa, adaolewaje na kiba
@3Dshoez
@3Dshoez 5 месяцев назад
😅😅😅 sijui na cheka nn
@hemedynyuki4389
@hemedynyuki4389 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂Kweli kaamua kuja kwa kiba eti ebu Rudi uchafuni hko
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 5 месяцев назад
Hiii intaview niyajana au Rick umeamua kubanfisha niyamuda maana Hawa siwameacha na diva na abdull
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 5 месяцев назад
Kwahio ameachwa na mganga au hajaachwa..?
@sijaminijambo1859
@sijaminijambo1859 5 месяцев назад
Hafaaaaiiiii
@JumaNyoni-ob6ul
@JumaNyoni-ob6ul 5 месяцев назад
Heshimu privacy zako
@nyakahodenis1473
@nyakahodenis1473 5 месяцев назад
Mtandazaji punguza story
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 5 месяцев назад
Mimi niulizwe na mtu hivi kuhusu mwanaume mwingine alafu nijielezee hivi niwaambie tu ndugu zangu mume wangu atanipiga aniue 😂😂😂😂😂😂😂
@Mellissabahati137
@Mellissabahati137 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 wallah
@allymtunge5530
@allymtunge5530 5 месяцев назад
Jaman mim kanitoka huyooo dada mangee njooo bhx, kuna kigagula kamtaja king
@athumankagoro4187
@athumankagoro4187 5 месяцев назад
Dada hebu punguza kuongea jamani,,, onaa aibu sio vizur kusimulia mambo ya ndani😮
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 месяцев назад
Ningependa kwenye vipindi vyao, waweke kingereza kipindi.
@user-cr7vi4qp9c
@user-cr7vi4qp9c 5 месяцев назад
Angekuoa leo tusingemkumbuka
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k 5 месяцев назад
Huyo mke ni changundoa
@user-jn5cf7wg5u
@user-jn5cf7wg5u 5 месяцев назад
Mwongo sana huyu
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 5 месяцев назад
Kigagula Huna jambo
@rajumrecords711
@rajumrecords711 5 месяцев назад
Diva ni chakula Tu Sisi tunakulaga . Hizi ni zile za kupigia cm Tu na kupeana location na anakuja
@claudiajames2003
@claudiajames2003 5 месяцев назад
Jamani dada huyu hayuko sawa! Mropokaji yani hana siri za maisha yake
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 месяцев назад
😅
@mzurikwao8399
@mzurikwao8399 4 месяца назад
Malaya wewe Hatukupend kwa hii yakutaka kumchafua King
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 5 месяцев назад
Jinga hili dada akili ndio kitu limenyimwa. Ovyo kabisa mwanamke masifa jinga sana unajisifu kutembea na mtu
@tomsijohni
@tomsijohni 5 месяцев назад
Ukiamua kuongea kingereza ongea kingereza sio Kiswahili unajifanya uzungu na uko Tanzania 😂😂😂
@jeanneandfrancislifestyle1518
@jeanneandfrancislifestyle1518 5 месяцев назад
Yeah ana changa 😂sana
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 4 месяца назад
we kama hujui kiingereza kalime, acha wivu
@tomsijohni
@tomsijohni 4 месяца назад
@@sarahkeivaly3351 kingereza gani wewe unaongea broken
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Huyu anatumia unga siku hizi?
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Mbona huyu kama kalewa?
@kimcandyy9038
@kimcandyy9038 5 месяцев назад
Uhmmm! 😂😂😂🙌🏽
@titus_maridhia
@titus_maridhia 5 месяцев назад
Mental health
@JulienNgoy-o4w
@JulienNgoy-o4w 5 месяцев назад
Na bora ajakuoa maana umbea umekujaa
@beauty2239
@beauty2239 5 месяцев назад
Uyu c aliwahi sema hakuna sehemu aliyofanya kazi akalipwa vizur zaid ya wasafi 😢leo tena nnkaah
@queentanitah1346
@queentanitah1346 5 месяцев назад
Ally haowi mswahili
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 месяцев назад
Ali leo atakujibu moja tu utalia maisha yako yote tusubiri jibu la Ali 😅
@DeboraElisa-kn5du
@DeboraElisa-kn5du 5 месяцев назад
Naisubiria hiyo siku haki kweli atajuta
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 5 месяцев назад
Hiv mtu unapata wap ujasiri wa kujielezea kuwa uliwah kuwa mchepuko wa mtu😮
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 5 месяцев назад
Interview nzima unamzungumzia mume wa mtu ambae mmeachana kitambo sana wewe una matatizo na stress za Abdul ili tu akuone upo juu japo hakutaki
@NiceJoram-pl7vf
@NiceJoram-pl7vf 5 месяцев назад
Sijui ana shida gani😂😂😂
@user-pb8kc1lv9t
@user-pb8kc1lv9t 4 месяца назад
Nmechekaa kwa nguvu 😂😂😂
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 месяцев назад
hichi kidada kipumbavu sana hakijierew
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 5 месяцев назад
Shetani yuko kazini
@khadijalatif8337
@khadijalatif8337 5 месяцев назад
Huyu anatafuta kick kwa Ally ameshaona mganga hawezi kumpeleka mjini
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 месяцев назад
Huyu mwanamke bibi Hana akili kabisa anatakiwa kutibiwa
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 5 месяцев назад
Kumbe diva wewe mzuri? Zile miwani kubwa kubwa hazikupendezi kama mwenyewe ulivo
@Official83640
@Official83640 5 месяцев назад
Mnafiki mkubwa ww unataka ujirudishe Kigagula😂😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Naona anataka kurudi kwa Ally, Ally kigagula anakuitq huku
@3Dshoez
@3Dshoez 5 месяцев назад
From mahali M500 to zero,wa dada kumbukeni umri unakwendaaaaaaa
@jumalove2631
@jumalove2631 5 месяцев назад
Ally unasema Umpend leo Unamuongelea tena
@ramsohk
@ramsohk 5 месяцев назад
Shida uyu mbondei mshamba Sana
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 месяцев назад
Mlango wa nane 😢
@user-mz2wx5dt9v
@user-mz2wx5dt9v 5 месяцев назад
Gono na u t i
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 5 месяцев назад
Huna chchte wewe ulikua side chick kubali yaishe
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 5 месяцев назад
Too much talk 👎🏿
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 5 месяцев назад
Duh! Humu hamna mtu dish limeyumba
@deejulesdonatha4107
@deejulesdonatha4107 5 месяцев назад
Mtangazaji unaongea sanaaaa pls shut up
@xingho3990
@xingho3990 5 месяцев назад
Diva unakunya kama Bata kkkkkkk sheinz unapenda sana (PENIS).
@salehdaddy8496
@salehdaddy8496 5 месяцев назад
Muongo uyooooooo mnafiki
@beauty2239
@beauty2239 5 месяцев назад
Anapenda kumbe kuzungumzia wanaume huyu hapa ndy kaharibu kabisa
Далее
Cute
00:16
Просмотров 2,5 млн
Dropping In from the Clouds 🌁
00:17
Просмотров 1,7 млн