Mashabiki wa timu aliyotoka Ateba wamewakacrikia viongozi wa timu yao kwa kkbali Ateba aondoke,Mungu amlinde na amjaalie atupatie zaidi ya tunavotegemea.Aamiin
❤❤Tunashukuru sana kwa usajili uliofanywa na viongozi wa simba wamepambana sana na wametutendea haki mashabiki wao kilichobaki kuomba kwa mwenyezi mungu awapa nguvu na moyo wachezaji waweze kupambana kwa ajili timu yetu ya simba.❤❤
M mungu tunakuomba wanasimba wote tulindie Simba yetu Amina....karibu sana Simba ateba mungu akupe nguvu nauweezo na Afya njema uwezo kuipambaniya Simba yetu
@@RashidMkubwa Wote umepatwa na Virus vya ubango, kufikiria kwao na kutathmin ina kuwa mtihani kwao, wao kila wachoambiwa wanakubali. Baada ya mechi 5, watu wanaanza kumshambulia Mangungu.
Lionel Akeba warmly welcome!! Thanks for joining Simba Sports Club u never regret..!!! It's ur better and right choice. We as Simba fans have big expectation, awaiting for good job. "Our motto is ""Ubaya Ubwelaaa"""😂😂
To me Ateba akipangwa na 10 au 9 timu zitaoga magoli. kocha asimpange winga 11 huwezi kupata magoli. Namfahamu mabeki kazi wanayo anapiga chenga ana nguvu beki 2au 3 anaenda kubaki na kipa