Тёмный
No video :(

ALIYEENDA KWENYE MKESHA wa MWAMPOSA AKUTWA AMEKUFA ARUSHA AKIWA ANATAPIKA DAMU MDOMONI.... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch Месяц назад
Hapa mwandishi anatafuta viewers kupitia jina la mwaposa sawa lakini vaa viatu vya mwamposa alaf uone wewe ungeandkiwa hiv ungejiskiaje! ? Nakuomba usianike mabaya yakanisa la Mungu nje kwamsalai yako,, kuna mengi mazuri yako huko yaandike mm siyo muumin wa mwamposa bt sjapenda ulichokifanya kwa sababu unaharib iman za watu wengi mwisho kabisa Tunakupenda na tunakutakia mafanikio mema ktk kaz zako ila tunakusihi kuwa makini unapoandka habar za kanisa la Yesu,, andka kwa njia ya kujenga sikubomoa❤❤
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka Месяц назад
Muwasamehe hao pia mungu atusaidie
@chrissmichaelmashouda1726
@chrissmichaelmashouda1726 Месяц назад
Kwani unaumia nini mzee
@JosephineItambu
@JosephineItambu Месяц назад
We nae kanisa la Mungu unalijua wewe!?Hakuna kanisa linaloanzishwa na mtu mmoja abadani,,kanisa kama unasali inabidi ukienda popote Tanzania au hata duniani huko uweze kulipata na mnasali kwa utaratibu sawa kwa sehemu zote mfano;Catholic,Lutheran,Anglican,Sabath,Moravian na Orthodox...na ushasema wewe sio muumini wake sasa unatetea nini!?Kanisa gani liko sehemu moja tu dunia nzima!?Hakuna kanisa la Mwamposa na hakuna imani hapo uchawi uchawi tu...kwenda huko
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
@@JosephineItambu wew angalia unachokiongea aya mungu anakuona angekua mchawi watu wasingejaa mbona kwa waganga watu awajai,,, ubinafsi uo,,, kaletwa kwajiri yetu kama yesu tu,,, kama asingeonekana apa dunian pia ungemsema vibaya kaonekana pia unamuona siyo mzur kwako kwangu mwema sana,,,,, naona maendeleo na sijawahi kwenda kanisan kwake,,,,, iman huna wew uyo ni shetan,,,,, mungu akubaliki sana,,
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
Mtoe shetan moyon mwako anakutalawa adi uwamin anaweza mwamposa,,
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Месяц назад
Bora ulimkimbilia mungu kwa Imani....pumzika salama
@Zaburi-
@Zaburi- Месяц назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@esterabonga7947
@esterabonga7947 Месяц назад
Which Mungu 🤷🏾‍♀️🙄kafara hizo wamezitowa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Месяц назад
@@esterabonga7947 duh
@JosephineItambu
@JosephineItambu Месяц назад
Eti Mungu mnachekesha kweli nyie eti alimkimbilia kwa Imani...huyo kamfuata mtu na sio Mungu kikubwa tu kumuombea apumzike kwa amani basi
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 Месяц назад
Hiyo wala mwamposa hausiki
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Ahadi yake imefika apumzike kwa amani 🙏🙏😢😢polen wafiwa 😢
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Месяц назад
Ni ujinga wa hali ya juu Sana una ugua madonda ya tumbo badala ufate taratiibu za matibabu nyie mnaenda kunywa maji na mafuta ya upako wa mwamposa wakati hakuna haja ya kwenda kwa mwamposa sema na mungu atakusikia
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
Amna syo ivo inawezekana bado vilikuwa vinamsumbua ndomana akaenda,,,,
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
Achena mabishano kashaenda mwezenu anaaman alipo nyie mnamuongezea azabu vingine vigeuzien kichogo,,,
@benernest5125
@benernest5125 29 дней назад
ASANTE SANA KWA UKWELI HUU! UBARIKIWE SANA!!
@petercostakisoka
@petercostakisoka Месяц назад
Daah kazi za mgodini ndy shida yake moja wapo
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Maelfu ya mahujaji juz wamekufa maka wakihiji hamshangai huyo kaenda karudi salama vidonda vimemtoa roho watu wanachonga kuweni na ufahamu basi au bando zinawawasha
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
WALE WALIOKUFA MAKKA WAMEKUFA KWA MABADILIKO YA HALI YA HEWA JOTO LILIZIDI GHAFLA BAADHI YAO WAKAPATA MATATIZO YA KUPUMUA NA WENGINE WAKAFA. LAKINI KWA HILI LA MWAMPOSA NI TATIZO; HATA SISI TUMEMPOTEZA SISTER WETU JUZI TU CHANZO NI HUKO HUKO KWA MWAMPOSA WATU BADALA YA KWENDA HOSPITALI KUPIMWA YAJULIKANE WANAYOYAUGUA WAO WANAFAKAMIA MIMAJI NA MAFUTA HUKO NDANI MIILI WANATEKETEA... WAKIJA KUSHTUKA TAYARI KABURI HILO...
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
Kweli ndugu yangu linawawsha bando wakae kwakutulia,,,
@AshuraMagwiza
@AshuraMagwiza Месяц назад
me mwenyewe nawashangaa mwamposa hapo ana husika nin mtu alikuwa na tb zake huko mnataka kutuletea uchuro hapa hebu muacheni mwamposa wa watu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Месяц назад
Ni ahadi yake tuu imefik mwamposa hausiki. Pole sana Dada
@JanualKafulu
@JanualKafulu 15 дней назад
Poleni sana wanandugu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Na ukifia kwenye imani, Sheria ya dunia inasema kua unakua umeuawa na imani yako
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g Месяц назад
Pole sana
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 Месяц назад
Inalillah waina ilaigh rajiun
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Месяц назад
Mtu kafariki sasa Mwamposa kahusika vipi hapa . Kwanin mwandishi wa habari umekosea kichwa Cha habari Cha kuandika
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 Месяц назад
Hizo ni kafara anatoa
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Месяц назад
@@godsonprosper6657 una ushahidi gani?
@user-ib2uf3uk2d
@user-ib2uf3uk2d Месяц назад
😅
@DeboraChediely
@DeboraChediely Месяц назад
Nabii akubaliki kwaoo
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Месяц назад
​@@godsonprosper6657Tuletee ushahidi!
@user-xt3zz7uj4g
@user-xt3zz7uj4g Месяц назад
Miguu inachooo inachookaa..polen sana
@haryanyawu640
@haryanyawu640 Месяц назад
Pole sana jamani Mungu akutie nguvu
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 7 дней назад
Mwandishi uwe na hofu yangu mafanikio ayaji kwakuchafua mtumishi wa mungu wakati wake umefika ameenda akiwa msafi wa roho
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Mwaposaaa 😮😮, pole mama kwa kufiwa na ndugu yetu. Mwaposa uje huku
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Месяц назад
Pole sana dada
@Adiaabelymagesa
@Adiaabelymagesa 25 дней назад
Amina na mimi ninakila sababu ya kumshukru Mungu Wang Kwa matendo aliyonitendea mm pamoja na familia yang hakika nimeiona miijuza juu ya familia yangu
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu Месяц назад
GLOBAL TV. Hapa mmezingua kichwa cha habari kina bonge la ukakasi kuliko ndimu.
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k Месяц назад
Mimi najua uyo marehemu kaenda kutubu mala ya mwisho aende akiwa msafi,,,,, mungu kashamsafisha nakumpokea,,,
@momentsonearth360
@momentsonearth360 Месяц назад
Kuna uhusika gani kati ya kwenda kwa mkesha na kifo chake....
@Johari-zc6us
@Johari-zc6us Месяц назад
Mwamposa anahusika Nini jamani Sasa hapo
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Месяц назад
Afadhali alikesha. Mungu ampumzishe kwa amani
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 Месяц назад
Mmmmmh sijui wameanza porojo
@rehemaissa9438
@rehemaissa9438 Месяц назад
Jaman siamfufue sasa sianaponya watu na mtu ametokea kwenye maombi dunia hii
@kutailass6671
@kutailass6671 Месяц назад
Hahahaaaa nicheke mie yaan watu wanahasira kweli mitume na manabii sindo wao amfufue aringe😏
@mcback4384
@mcback4384 Месяц назад
​@@kutailass6671 nyie wanaizaya mnaonekana mmefurahi sana kisa aliekua kwenye mkesha kafariki, dini yenu ni ya kishetani imejaa roho mbaya, chuki, visasi na giza, haina upendo, huruma, utu wala ubinadamu
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv Месяц назад
Unawez ukasema umemzihaki mwamposa kumbe umemkosoa Mungu tuwe makini n maneno yetu
@ElizaMzava-t2n
@ElizaMzava-t2n Месяц назад
Mwandishi umekosea sana kumuweka mtumishi wa Mungu
@HalimaDolle
@HalimaDolle Месяц назад
Arise and shine ucogope Amin tuu naamin kabisa maomb ya mwamposa ipo cku tuu mungu atanifungua
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c Месяц назад
Yan mtihan sana
@RosePeter-g1n
@RosePeter-g1n Месяц назад
😢
@LUCIAKANANI
@LUCIAKANANI Месяц назад
Pole
@TheostinaZullu
@TheostinaZullu Месяц назад
Mmmh😢
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Месяц назад
Sasa hapo Mwaiposa anahusikaje?,Pumzika kwa amani
@JazeeraRichard
@JazeeraRichard Месяц назад
Mwanaooo anakifua kikuuuu ajalaaa piaa huduma Hana msimwandikie watumishiii wa munguu muachee
@naomipieter4627
@naomipieter4627 Месяц назад
Kwani kafia kwenye mkesha kawe dar au Arusa
@nasrachaya
@nasrachaya Месяц назад
😂arusa TNA...NI Arusha ndo kafia
@MonicaBeni
@MonicaBeni Месяц назад
Mapepo ya mwamposa yanapenda sana wachaga
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 26 дней назад
Watanzania fanyeni madhambi mengine mtengenezage kila siku mkiumwa.muendage kwa kina mwamposa anaeponya sio mwamposa ni Mungu kama umekosana na Mungu kilahilahisi.tena wa migodini wanasadikika wanamualika sana shetani kuchimba madin.aliyoweka Mungu ardhin.binadamu.tunaishi kama wendawazimu
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Месяц назад
Pole sana mama kifo ni fumbo nakila mtu atalisoma
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Месяц назад
Achen kumchafua Mwaposa anausika nn hapo
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Месяц назад
Kafara
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Месяц назад
@@regnethmtemanyongo2237 usiseme kitu usichojua ww Kila kitu kafara acha ushabiki wa kishamba
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Месяц назад
Utajiri kanisani??? Labda mungu huyo awe na mapembe!!
@Shuu.A
@Shuu.A Месяц назад
Mwaposa jini mapembe mtoa kafara nenda ukatolewe na weye yeye akiumwa mbona anaenda spitali hajiombei sheittan lile
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Месяц назад
@@Shuu.A Huna akili ww
@kelvinsakey2540
@kelvinsakey2540 Месяц назад
Huyu mama namfahamu alikua jirani yangu mererani pia mtoto wake alikua mpenzi wangu yani huyu mama alikua na mume mzuri sana mpole akawa anamtesa sana mume wake akamuacha akaenda kuolewa uko arusha sasa mungu amempa pigo kubwa sana kwa kumyanyasa mme wake wa kwanza
@ZakiaSwai
@ZakiaSwai Месяц назад
Pole jmn ndugu yangu wa damu😢😢😢
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo Месяц назад
Kaenda kwa Amani ya bwana siku yake ishafik Sisi binadam tunapita Tu kwa dunia
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Месяц назад
Sasachivyo ni vidonda vya Tumbo sasa Mwamposa anahusika nini hapo jamani?
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Месяц назад
Ha ha haaaa! Tukiumwa twendeni hospital jamen
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Huyo alikuwa ameshaisha. Kichwa cha habari mjirekebishe ni wachonganishi saana mwamposa anahusika nini
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner Месяц назад
tu unsubscribe jmn huyu mwandish kichaa
@b.a.m6243
@b.a.m6243 Месяц назад
Mtuache na Mwamposa wetu, wengine tumeenda na tumepata vyetu tunafurahia.😊 Kifo n ahadi ya MUNGU wote tutakufa tu.
@user-du7ce1bl1r
@user-du7ce1bl1r Месяц назад
mhhhh kuna mda watu mnajitakia laana tuu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад
Kusanyiko la Mwamposa ni kusanyiko la wenye shida na matatizo mbalimbali kama wale wa babu wa Loliondo. Hawana shida na Mungu isipokuwa wanashida na baraka za Mungu.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Kuna siku mtaandika alietoka kunya mda mfupi akutwa amekufa kwan kwenda kwa mwamposa kunahusiana nn na umauti wake
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c Месяц назад
Siku zake zilifika tu alale Mahal pema pepon
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 Месяц назад
Acheni ujinga wakati wamutu ukifika nikurudi mbinguni kifo ni kawaida kwa mwanadamu. Cha muhimu nikujianda kuwa na Yesu moyoni. Mungu afariji familiya yote.
@JazeeraRichard
@JazeeraRichard Месяц назад
Sasa mtumishii wa munguu anahusika Nini wakt amekufa kwa umaskini wake Hana ela ya kulaaa
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Месяц назад
sasa Mwamposa anahusikaje hapo sasa
@DamaresiDaudi
@DamaresiDaudi Месяц назад
Jaribu kufikiria title zako kabla hujaandaa habari,,,Kuna wengine hawana muda wa kusikiliza the whole story,ko akichukua title anakuwa kamaliza, wengine mabando yanakuwa yamekata,hatuwezi sikiliza Kila kitu!! Kilicho muua ni ugonjwa aliokuwa nao na siyo safari ya Kongamano kawe!!! Kama ni Ivo angefia kule angalau tiltle ingeleta maana,,,! Pole saana dada kwa msiba na hokgera kwa kutomsema mtumishi wa Mungu vibaya,,
@vero57
@vero57 Месяц назад
SASA HAPO MWAMPOSA ANAUSIKAJE NA KUMWA KWAKWE??? ACHENI UCHAFULIA WATU , INABIDI UPIGWE FINE MUADISHI!!!😮😮😮
@KisumoKatigura
@KisumoKatigura Месяц назад
nipo nyumbani tu
@SophySekuzi
@SophySekuzi Месяц назад
Jamani tatizo atuna imani sisi wenyewe😢😢
@ednakawau9842
@ednakawau9842 Месяц назад
Kawaida ya vidonda vya tumbo huwa ukisha tapika damu lazima ufe maana vishamkula sana
@MariamKristopher
@MariamKristopher Месяц назад
Jamani msichafue jina la baba etu mwaposa mtumishi wa mungu Hana kosa
@RufinaCalistoCalisto
@RufinaCalistoCalisto Месяц назад
Muoongo mwenye chanel hii
@Victoriamapunda-t8n
@Victoriamapunda-t8n Месяц назад
Mungu na omba jicho la tatu
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 Месяц назад
Daaah jaman angalien title za kuandika kwenye habari
@AdveterKawenga
@AdveterKawenga Месяц назад
Dactar anatibu mungu anaponya je mliambiwa mkiumwa msitumie dawa na mwamposa anahusika vip hap achen unafiki
@user-sc9zl2hx1c
@user-sc9zl2hx1c Месяц назад
Iyo jamani ata mtumishi auhusiki kwanini nyinyi wana habari mnachapicha mambo ya kudhalilisha watumishi mbona wote tulioenda atujakufa pumbavu zenu
@user-re2em2zd2u
@user-re2em2zd2u Месяц назад
Umeona ee
@user-lb1nr2fw7t
@user-lb1nr2fw7t Месяц назад
Siku yake ya kufa ilikua imefika tu na bora alivo enda kwa mposa kumuomba mungu mara ya mwisho mungu amsamehe mazambi yake yote
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
WAS MWAMPOSA NECESSARY TUNAJUWA ULITAKA KUTUVUTIA TU VIEW BUT OK BACK TO THE PONT MUNG AMLAZE MAHAL PEMA PEPON SIKU ZAKE ZILIKUWA ZIMEFIKA😢😢😢
@FrankLiganga
@FrankLiganga 3 дня назад
😂 Mmmh
@fettyanthony8489
@fettyanthony8489 Месяц назад
Ko mnataka kusemaje yani mpaka mseme mwamposa
@PeterMgogosi-nw9se
@PeterMgogosi-nw9se 3 дня назад
Wanamchafua mtume mshindwe kwajina la yesu
@suleim505
@suleim505 27 дней назад
Mkifanya ujinga wa kiwango chalami
@RoseLorry-w4s
@RoseLorry-w4s Месяц назад
Sass hapo mwamposa anahusikaje??????
@MamuJuma-ot9wy
@MamuJuma-ot9wy Месяц назад
Unapopata maradhi ni muhimu kwenda hospital kupata matibabu, then tumuombe mwenyezi mungu kupitia matibabu hayo tupate kupona. Lakini kuanini maombi tu bila kupata matibabu ni mbaya , kwasababu magonjwa yanaitaji tuba
@florahmushi748
@florahmushi748 Месяц назад
Hivi ulivoandika hiyo mwamposa ana kosa Gani hapo uharibifu tu
@samsonkibona7376
@samsonkibona7376 Месяц назад
Sasa hapo Mtumishi Wa Mungu Mwampisa Ameingiaje...? AU NI MBINU YA KUMCHAFUA MTUMISHI WA MUNGU .......?
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner Месяц назад
tu unsubscribe abaki peke ake,,ana mchafua baba huyu😂
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Месяц назад
Si mnapenda vya ulahisi bila maombi mengi yangu binafsi manabii Hawa watatumaliza
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@ChristinaWilbad
@ChristinaWilbad Месяц назад
Kweli nimeamini sio wote wanaoenda gelezani wqhatia,hiyo ni mipango yamungu
@JaneAlvin-gt6dm
@JaneAlvin-gt6dm Месяц назад
Mbona sijawai kuona taalifa za maheremu wengine walikufa wakiwa wametoka wapi
@hellenwilliamwilliam8256
@hellenwilliamwilliam8256 Месяц назад
Sasa hapa mwamposa anatajwatajwa WA ni nin
@BlandinaSingano
@BlandinaSingano Месяц назад
Kwahy unataka kusema mwamposa kamtoa kafara au? Mwandish acha ufala
@mariamuodila4132
@mariamuodila4132 Месяц назад
jamaniii kwhyo siku zimefka tu
@mberwasevelian7406
@mberwasevelian7406 Месяц назад
Acha uongo kumsingizia mtume kama siku yake imefka acha afe
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Месяц назад
Sasa mwaposa ahusikaje hapo
@ironefacemsovela4504
@ironefacemsovela4504 Месяц назад
Kumbe mtu mwnyw alikuwa ana dawa means mgonjwa
@elizabethraymond6388
@elizabethraymond6388 Месяц назад
Sasa hapo yan kuumwa, logo na mwamposa uhusiano uko wap
@davidyongolo8102
@davidyongolo8102 Месяц назад
Sasa ina uhusiano gani na ibada ya mkesha . Vyombo vya habari vina laana kwa kweli
@MaryKalunde
@MaryKalunde Месяц назад
Mgonjwa alikua hali yake ni mbaya, teali alikua anaumwa sana kabla ya kumpeleka kwa mwamposa
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 29 дней назад
Tibi ikiludi mlayapili lazima ikupituwe
@Nachboyz-j2q
@Nachboyz-j2q 19 дней назад
Kwaiyo mwamposa ndo kamua au
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 Месяц назад
Wandishi Sasa et kwa mwamposa aliend kufny nn fullish question shem upon u
@AlmelindaMwajombe
@AlmelindaMwajombe Месяц назад
2:34
@lightmsuyya1714
@lightmsuyya1714 Месяц назад
Sasa mwamposa ana husikaje apo kama si hicho chombo cha habari kina chafua watu kichwa cha habari et sijui nini jmn
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 18 дней назад
Uyo mtu alikuwa mchorongaji inamaanisha alikula vumbi sana na inaonesha alikuwa hatumii dawa akimaliza iyo ndio shida ya uchirongaji lazima utapike dam ila ukizingatia dawa unapona kabisa
@AgnesiSanga
@AgnesiSanga Месяц назад
Hapo mwandishi wa habari ni mchokonozi, mtu kwenda kwenye maombi c wote watapona, utapona kutokana na ulivyoamini, ukiamini kuwa unaenda kupona na utapona, hao maelfu wanaopona wanasemea wapi" kazi kutaka kumchafua mwamposa
@WinifridaGregory
@WinifridaGregory Месяц назад
Sasa mwamposa anahusikaje apo
@blessingntuli3796
@blessingntuli3796 Месяц назад
Sema Arusha kwa wachaga kunamatukio mengi sanaaa Wachaga wapo kama wa xhosa wa Africa kusini,mbaka tabia wanafafa 🤔🤔🤔
@user-nj3hy8ov7y
@user-nj3hy8ov7y Месяц назад
Sasa vidonda vya tumbo navyo siugonjwa wa hospital duh huyu mwamposa sasa mnamfanya km mungu wenu
@MarianaDevy
@MarianaDevy Месяц назад
kipenzi
@fatumamtukane6060
@fatumamtukane6060 Месяц назад
Wanadamu nyie mwamposa hapo kafanyaje mpaka mwandishi umeandika na marehemu alikuwa mgonjwa vidonda vya tumbo kikohozi innalilah waina llih rajiun
@CherishCaris
@CherishCaris Месяц назад
Mwamposa amehusika nini km sio ushenz
@BabaD-fu9io
@BabaD-fu9io Месяц назад
Hakuna kitakachoishi milele
Далее
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
ATOLEWA JINI NA KUINULIWA KIUCHUMI .
14:31
Просмотров 53 тыс.