Kwa nini hufundishi masomo ya uzima wa milele? Kwa maana Hao watu hata wakipata miujiza, lakini ipo siku watakufa. Lingine washirika wako mbona wanashika watu uchawi. Nisaidie sielewi hapo!!!!!
Mimi sisalali kwako lakini sisubutu kumtukana mtumishi wa Mungu kama anadanganya hayanihusu mimi ninachojua anaponya kwa jina la yesu ole wako unesubutu kumtukana mtumishi wa Mungu
Nilikuwa namsema vibaya sana huyu mtumishii ila kuna siku Mungu alisema na mm kupitia mtu juu ya huyu mtumishii aisee niliomba tobaa kwa machozi nikasema sitarudia kuongea jambo lolote kwa mtumishi yoyote wa Mungu
@@fredykanju8811 Miujiza sio Habari za wokovu? Unamjua Simioni Mchawi wa kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume aliokoka kwa sababu ya kuona miujiza, watu Wana matatizo una hubiri wokovu unamwacha bado karogwa huyo ni Yesu kweli? Yesu alikuwa anahubiri na kuwaweka watu huru.
Injili ya kweli ni ile inayoanza kuziponya Roho zinazoangamia wala si kuuponya mwili tu kwa kuudanganya kwa vitu vizuri vya muda hapa iko siri Ajuwae Mungu wala tusihukumu tukaja kuhukumiwa.
@@JonathanNtauta anaeumwa mwili ni ngumu kupona roho. Mwenye njaa anahitaji chakula ndipo umpe neno la Mungu. Asiposhiba hata uongee vp hakusikilizi hata Mungu anajua hilo ndo maana Yesu alifanya kazi kubwa ya kuponya miili ya watu
Umeongea ukweli mimi nilikuwa mtu wa Dunia nikafatilia mtumishi aneitwa Bishop elibariki sumbe nikwa na hofu na Mungu kwanza ndio nikaacha tibia mbaa unalolisema upo sahihi
@@richardcastromzena5136 kama rahisi nenda kawaambie wale walio hospitali watoke waende kuhubiriwa injili maana wanatakiwa kupona roho. Uponyaji wa roho unaanza na utayari wa anayeponywa nani aliye tayari kuhubiriwa injili akiwa ana maumivu? Mwenye uwezo huo ni yule aliye na roho wa Mungu ndani yake. Hata Yesu alipoletewa wagonjwa hakuwahubiria kwanza bali aliwaponya ndipo alipohubir habar za ufalme. Hata wachungaji tulio nao wakiumwa wanaenda hospitali hata kama ni siku ya ibada huo ndio ukweli. Waru wengi hatufaham uponyaji ni sawa na kuhubir maana wapo wanaomwamin Mungu kupitia watu walioponywa. Hata watu walijaa kumsikiliza Yesu na kumwamini kwa miujiza aliyoifanya.
Thank you so much apostal My God bless you ,through your ministry i and my family we are nolonger the same the Jesus you have has changed our life for good we love you
May God Keep on blessing you true Man of God🙏🏿Huna baya Baba yetu mpendwa ,umeokoa Wengi mno ndani na nje ya Nchi,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki sana sana.
Mtumishi anasaidia wengi sana sababu huwezi kusema kwamba watu elfu tano wote wakose akili kumfata mtumishi ukiona una akili za hivo ujue hujakutana na matatizo barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana<a href="#" class="seekto" data-time="846">14:6</a>, Warumi<a href="#" class="seekto" data-time="609">10:9</a>-10).
Bwana Yesu alitumia neno kumponya mgojwa wa yule akida, katika kitabu cha Mathayo <a href="#" class="seekto" data-time="485">8:5</a>-13. Alimwambia yule akida, enenda zako, iwe hivo kama ulivyoamini. Yule mgojwa alipona. Petro na Yohana walitumia neno la Mungu kumponya yule kiwete ambaye alikuwa anakaa mlangoni mwa hekalu, alisema nilichonacho ndicho nikupacho, simama uende zako, katika jina la Yesu Kristo, . Yule kiwete alianza kutembea vizuri. Matendo ya Mitume<a href="#" class="seekto" data-time="181">3:1</a>-9. Sasa mwamposa hii mafuta ya upako umetoa wapi? Watumishi wa Mungu hawatumii mafuta ya upako. Wanatumia jina la Bwana Yesu Kristo. Haleluyaaaa.
Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".
@@ASANTEMAMAHERBAL Yakobo 5:14, inasema hivi, mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Hapo hamaanishi mafuta kama mafuta, ila jina la Bwana ndio mafuta. Afu tafsiri nyingine ya mafuta bac ujue ni neno la Mungu. Oky? Kwanini umepotoka kiasi hiki? Yesu Kristo akusaidie. Amen.
Vipi kuhusu ndugu zetu na maji ya zam zam? Vipi yesu alivyomponya yule kipovu kwa tope alilolitengeneza kwa mate? Vipi kuhusu kwenda kunawa mtoni mara 7?
@@bernardmushi4869...shame on you being a fake witnessed 😅😅speaking without evidence...he has been mentioning Jesus Christ in his altar a thousands times
sisi tutaangaikia ufalme wako ee YAHWEH,YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai na ikikupendeza Mungu wetu hayo mengine tutazidishiwa , Asante YESU maana ni MUNGU hakuna kama Wewe,ni mwema, mpole na wala umhukumu mtu ila asiye liamini jina lako
Ngozi nyeusi Shida hatutumi Akili kabisa Dini watu Saizi ni biashala ibada Nzuli Ni kufanya yaliyo Mapenzi Ya Mungu Vinana saizi wamejua wa kinga wengi mmoo paka wana kela
Nyie watu, hamkumbuki maneno ya Yesu? Manabii wengi(sio wachache) watatokea duniani na kudanganya wengi ( sio wachache) maneno ya Yesu lazima yatimie. Kwa hiyo ya mwamposa na wengine wengi wao ndiyo wanaojua kama wanamtukia au la, Sisi wengine hatuelewi siku moja itajulikana tu. Ila elewa mahali dunia iko ni hatari kuliko kawaida.
Wapo wapi akina Kakobe?wapo wapi akina Mzee wa Upako mpaka leo?na huyu naye atapita....watu wetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.karama za Mungu huwa aziuzwi.bali karama za muovu zinapangiwa bei.
Elewa alichosema 😂😂 hizo kopo za kuwekea majii unampaga wewe!? Yeye na waumi wake walikubaliana kuchangia hela ya kopo sio maji wala mafuta asa unaumia nini
We mjinga,mafuta yachangiwa sadaka ili ipatikane garama yakuandaa mengine,we nenda dukani ukachukue bure,ukatumie nyumbani kwako,nyie ndio mashoga mnaotaka vya bure,loh aibu,kaa kimya Mungu atakudhalilisha na uzao wako,uwe kichekesho,
Mambo ya walawi,waefeso na nyakati hizi mambo zinaisha na mwisho wake mbay yuk wap Tb joshua wa nigeria kuna mtu aliwahi kukusanya umati km ule njoo uganda yupo kakande pia mwamposa cha mtoto ila the ending of dis is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@user-im7wv1dn Ingekuwa hivyo basi waganga wooote wangekimbilia huko. Maana pake kawe Vipofu wanaona, viziwi wanasikia, wasiozaa wanazaa, mapepo yanafikuzwa na vidungu vyoote kufunguliwa. Jina la Bwana litukuzwe
umezifupisha siku zetu,miaka yetu ni michache, BWANA hatutauhangaikia mwili unaokufa kesho ila ufalme wako na watu wote ni watumishi wako ila kuna mashetani wala kondoo kati yetu ambao sehemu yao ni kwenye ziwa la moto na wao wanajua hilo,wakakufulu kwa kulitumia jina lako wakadharau damu yako pale msalabani na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai uwaondoe na watu wote waone
Wewe ni mfanya biashara kupitia Jina la MUNGU.. hakuna tafsiri nyingine..endelea kula hela za wajinga kwani imeshaandikwa "watu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA" ni wizi tu.
@@JonathanNtauta umejuaje kama hawaamini uponyaji wa Yesu? Kwani yesu si anaponya kupitia watumishi wake? Kwa hiyo walioenda kwa mitume akina Petro na Paulo nao hawakuamini kuwa Yesu anaponya?
Tunao kuelewa tupo Mtumishi wa Mungu, sio lazima kila mtu akuelewe. Ndomana kuna imani tofauti dunian, ukristu wenyew umegawanyika -walokole,waingrikan,wakatolik,wasabato, mashahid wa yehova nakazalika...... Wanaoelewz na waelewe wasio elewa ba waacheee..
@@user-cd9nd9wd5q kila kitu kinamtumikia YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai-mwenyezi Mungu jamani sisi ametuonesha kwenye roho na mwili kuwa haka ni kapepo ka kuzimu
Kuna njia nyingi za uponyaji, tuwe makini sana kwenye kuwatuhumu watumishi wa MUNGU, Nabii Mtumishi wa MUNGU wa kweli Boniface Mwamposa ametusaidia wengi, Chondechonde muacheni msimvunje moyo
Imani huja kwa kusikia, kusikia neno la Mungu, mara nyingi watu wanaocomment vibaya, walisikia jambo kuhusu yeye ambalo si zuri, na bila kufuatilia wakasema ni kweli na kuendeleza sumu waliyoipata kwa wengine, Maana Chuki siku zote hupandikizwa, na wanaocomment vizuri walisikia, kuhusu yeye habari njema, wako hapa. wanaoamini na wanaopinga Amani iwe nanyi.
huyu jamaa anatumia jina la MUNGU kuleta uharibifu kwenye roho za watu,nalichukia hili li shetani, Asante YESU KRISTO wa Nazareth uliye hai kwa kunifunulia la sivyo ningekuwa kama wao wajinga
Na waenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawasawa na neno hilo, bila shaka kwao hapana asubuhi..! Waambie watu watubu dhambi yesu anarudi. Habari za maji na mafuta na kuhubiri mafanikio peke yake ni injili iliyokinyume kabisa na neno la Mungu. Sasa kama maandiko yanasema manabii wa uongo watatokea mnadhani ni akina nani kama sio hawa?! Wachache sana wanaiona njia ya kwenda uzimani.
Upako unauzwa??? Kama ulipewa na Mungu kwa nini uwauzie??? Si ulipewa bure toeni bure haiwezekani unasema eti Mungu alikupa mamlaka ya kusaidia watu sasa kwa nini uwauzie wakati you given free, sijaelewa
Mtumish nisawa but upo nje ya agizo la YESU kristo,, anasem tumepata bure tutoe bule,, na nikisoma mitume na manabii sijaona mahali wameweka utalatibu, ktk kulipia ili waonane nao kisha kuombewa kwa pesa,,, jajmn jman ponyeni lohozenu,,, mbon tz kuna manyumbu wengi sana shida hayasomi neno lamungu
Ndio maana cwezi kuamini mtu huyu,naona maandiko yanatimia sasa,inahitaji utulivu xana kujua kuwa haya yalixa tabiliwa mana wanadamu tunatamani mafanikio zaidi nasio kumtafuta Mungu katika roho na kweli
Mimi na Wengi tunaokupinga, tunasimamia kwamba "Siku za Mwisho watakuwepo Manabii wa Uongo" na tunakataa kabisa kwamba "Mungu anatenda Miujiza" na tunakataa na kudai kwamba "Siku za mwisho Mungu hatamwaga Roho Wake na watu hawataponywa", mimi na wote tunaokupinga tunahekima sana, tunakataa kabisa na kusema "Mungu sio mwenye huruma na Upendo hata amtendee binadamu fadhila", Tunakataa na kusema kwamba "Mungu yuko ndani ya Madhehebu yetu tu na siyo nje ya madhehebu yetu", mimi na pumbavu wenzangu tuliologwa na kulogeka, tunaamini kwamba, "wanaoweza kutenda Miujiza ni mapdri na wachungaji wa madhehebu yetu kwa kuwa wamesoma sanaaaaa biblia!" Mimi na wenzangu, tuko vizuri sana ktk maandiko na werevu sana ktk maongezi, lakini, KAMA HATUWEZI KUFANYA MUUJIZA WOWOTE, NA TUNACHOWEZA KUFANYA NI KUONGEA TU , NA KAMA WATU HAWASOMI MAANDIKO NA KUJUWA NYAKATI ZA KUJILIWA KWAO, KWANINI MIMI NA WATU FULANI-FULANI TUSIENDELEDELEEE KUWAFUNGIA WATU HAO MILANGO YA NEEEMA YA DAMU YA KRISTO?