Тёмный
No video :(

ALIYEKUA MKE WA JUMA LOKOLE AFUNGUKA: NILIMKOPESHA MAHARI LAKI MBILI/NILIKUA NASIMAMIA SHOO MWENYEWE 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 246 тыс.
50% 1

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 774   
@olivertsumake3212
@olivertsumake3212 3 года назад
She looks humble and loyal woman
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
True dat .
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
4 real yaani
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад
Oliver a boy, im Oliver a girl
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 года назад
sure
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 года назад
Wallah sijuwe Lokole umekubwa na nini? Umemuashe uyu Dada mzuri hivi kweli. Mstarabu, anaongeya kwa heshima. You are so cute Darling 🤗. #Wcb4life 💖.
@muhammadomar1787
@muhammadomar1787 3 года назад
Bila ya kusikiza story.she's beautiful
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 года назад
True.👏👏👏👏👏👏
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 3 года назад
Ukiskiliza story anakua mbaya?
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 года назад
True
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 года назад
@@maujanjatv24h41 yaani ana maana story ni inshu nyingine na uzuri ni inshu nyingine.
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Mzuri saaana
@frankwilliam7535
@frankwilliam7535 3 года назад
Wife material utawajua tuh kwa maongezi ya busara na hekima ,,,,nipee like yangu
@shakila3982
@shakila3982 3 года назад
Lakini hata juma lokole sio mwanaume wa kuolewa nae
@jonathantito3528
@jonathantito3528 3 года назад
Aisha ulitakiwa kusema ukweli sheria za media haziwezi kukubana kwa kuwa wewe ulikuwa mkewe una ushahidi hata sisi majirani zenu wa Msewe na marafiki zenu tunajua kwanini mmechana Lokole ni 'kocho'.....
@ashuraash3680
@ashuraash3680 3 года назад
@@jonathantito3528 pole dada
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 года назад
Kitu gani Cha ndani hutaki kusema...au alitaka nanii
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 года назад
Nyie Bado mnagongana msinitanie...
@Swahili14
@Swahili14 3 года назад
*SHE'S SO BEAUTIFUL!* 😭💕
@yosephamiri4442
@yosephamiri4442 3 года назад
Umeongea vizuri mama
@nurdinmgaza3588
@nurdinmgaza3588 3 года назад
Mama hiyo ndo hekima na busara ndoa ni nyumba zinafanana kuta lila humor ndani ni siri ya wanandoa huwezi kusema yoote,kwani mwenza ni sehemu ya mwili wako ukisema yote nikujivua nguo,
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 3 года назад
Kama unamuona mchaga anachoka mikono nipe like zako. Juma hawezi kusema kuwa mliachana kwasabau ni shoga.
@mapendosafi3429
@mapendosafi3429 3 года назад
Juma lokole nooo mwanamke kakusaidiya sana ILa unamusaahau nooo sivizuri namupenda uyu journalist good job brother 👏
@mwanatumually7312
@mwanatumually7312 3 года назад
Mtoto anamnunulia nguo idd mpk idd mahari ya mkopo🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 huzuni kwa kweli
@najmabajun4290
@najmabajun4290 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yunyun799
@yunyun799 3 года назад
😂😂😂😂
@yussufmohd890
@yussufmohd890 3 года назад
Sana kisha anafatilia maisha ya watu
@emmiesulee4620
@emmiesulee4620 3 года назад
Ni huzuniiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kasweetie_254
@Kasweetie_254 3 года назад
🤣😂na kazi yake kuchamba wake wa Diamond wenye wanajiweza kimaisha
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Lipa mahari we kiherehere wa Mondi bora uliamua mwanamke mwenzetu yule si mume mwena ulipotea njia 🙏🙏🙏
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa haloo namtafuta Juma aje hapa shenz zake🤣🤣
@aishambega4118
@aishambega4118 3 года назад
Mashaallaah wewe dada ni mzuri nimekupenda sana m/mungu akupe mwisho mwema inshaallaah
@safiasaleh669
@safiasaleh669 3 года назад
Mastar washazoea kupata video vijanajike vihuni huyu mwanamke mzuri anayajua maisha wangelifika mbali zaidi lkn usilolijua .....
@deodorantdeodorant6309
@deodorantdeodorant6309 3 года назад
Juma lokole nishihata kama hammjui huyo kaka nishangingi la kiume hawezi kuishi namwanamke anayejielewa.mwanaume gani mbeya kama huyu kaka
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 3 года назад
Sasa juma ni star wa nini kwan
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Daaah 😳 Dada mzur huyo hongera Sanaa 🙏 unajuwa kuongea na unaonekana una busara sanaaaa
@kyataonline5262
@kyataonline5262 Год назад
nashindwa kuelewa vipi alikuwa twenga pepeta !
@calvinwelema159
@calvinwelema159 3 года назад
Huyu mtangazaji ndyo amehoji vizur sana
@heriethjoram3298
@heriethjoram3298 3 года назад
Yaani sio Kama wale Sijui wakenya
@atupakisyemapuli8637
@atupakisyemapuli8637 4 месяца назад
Halafu vizuri na kwa adabu ukizingatia umri wake bado ni mdogo
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Kwanza mwanamke mzuri. Jamani
@yunaisamir2099
@yunaisamir2099 3 года назад
Yeah she is beautiful maashaa Allah
@shazmahshaaban3049
@shazmahshaaban3049 3 года назад
Mashaallah mzuri,halafu haongei uongo maelezo yake yote yako sawa,maana kitu cha uongo huwa unasahau Ila ukweli hausauliki
@samy_shyreenrashid2289
@samy_shyreenrashid2289 3 года назад
Inabidi alipe laki 5 2 alizokopa Na 3 mahari Na kikimfikia kifo bila ya kumlipa atahukumiwa km mzinifu na mtoto sio wa halali yake ....refer qur an sura ya 4: annisai
@kingbashar4293
@kingbashar4293 3 года назад
Ana takiwa alipe laki 3 tu!!
@samy_shyreenrashid2289
@samy_shyreenrashid2289 3 года назад
@@kingbashar4293 alikopa lak 2 atoe mahar. Na alidaiwa laki 3 mahar so means yy ajatoa ata 100.sikiliza vzr maelezo ya uyo dada
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 года назад
Sheria za media ni Kali sana siku hizi bora Mimi nikae kimya hapa nipike keki hapa
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
Huna lolote Wewe ni mtukanaji mzuri Sana mtandaoni huwaga unamshambulia Sana harmonize mtandaoni Leo kaongelewa shogaako unajifanya kukausha eti sheria sheria ipo kwa lokole tu kwa hamo haipo acha uzwazwa
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
@@emmanueljoseph2576 😁😁😁😁😁😁😁
@elizabethwilson9180
@elizabethwilson9180 3 года назад
@@emmanueljoseph2576 Tena yuko na RU-vid channel yake na ywatukana watu? Basi sisi wengine ni mashabiki wa hamo kama hajui
@sabrinaibrahim1127
@sabrinaibrahim1127 3 года назад
Mhhh
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 года назад
@@emmanueljoseph2576 haswaaaaaaa yaan huyu dada ni mtukanaji mzuri tu et saiv akapike keki 😏😏😏😏😏😏akwende huko
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 3 года назад
Jumalokole mrudie mke mwanamke mzuri sana
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Atampa nni🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@saifysaid7556
@saifysaid7556 3 года назад
Ayo madangaji ya dubai na oman sio wake kabisa
@kriscun4237
@kriscun4237 3 года назад
@@saifysaid7556 jamani
@MrNdanguza
@MrNdanguza 3 года назад
@@saifysaid7556 😀😀😀😀😀
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
@@saifysaid7556 tuombe msamaa bhana sio wote wadangaji
@janeawino7798
@janeawino7798 3 года назад
Tunamuelewa sana, jongoo hapandi mlima hii design ya wanaume wanazalisha ila shuhuli yao hafif sana tena walibarikiwa na midomo kushinda wake zao.
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 3 года назад
Juma alimchuna sana uyu dada na kilichosababisha kumuowa ni ela zake uyu dada alikuwa anasafiri kikazi mziki kucheza show uarabuni na alimla sana alikuwa mtu wa maslahi kwa uyo dada
@thefarahatlifestyle
@thefarahatlifestyle 3 года назад
Mke mzuri,,mpole. Mrembo.. Juma yuko na shida.. Huyo juma hamfai huyu Dada.. Kazi yake ya umbeya na kuwa kaa mwanamkee.. Kumbe ulianzia kimaskini maskini Leo hii dahh kweli nyani Haoni kundule.. Lipa pesa za Dada aliye kukoa ki mahari...
@azizaalmas9624
@azizaalmas9624 3 года назад
Lokole unajanja wako wote unashindwa kulipaa Mahali lakitatu? Mahali kulipaa ni lazima hata uingie Kabulin, nduguzako wanatakiwa walipe.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 года назад
Kabsa wajina🤣🤣🤣🤣🤣
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 3 года назад
Jaman murubiyanetu maisha yaendereye 🙏🙏🙏🙏
@annastaziamichael460
@annastaziamichael460 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_3pxXmBILKA.html
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 года назад
Mambo ni fire🙌🔥jumaa utacomment wapi
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Juma atamsema huyu binti vibaya sana
@samy_shyreenrashid2289
@samy_shyreenrashid2289 3 года назад
Ata akimsema ukwli utabaki anadaiwa na alipe
@leilaadamu4817
@leilaadamu4817 3 года назад
😂😂😂😂
@mapenzisorotanizimbazimba8742
@mapenzisorotanizimbazimba8742 3 года назад
Hehehe lokole utaweka wapi sura yako khaaa
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 года назад
@@mapenzisorotanizimbazimba8742 mzee baba Leo yamemfika ila Najua atakataa
@rahiimal-shuwehdy1203
@rahiimal-shuwehdy1203 3 года назад
Masha'allah she is so beautiful
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 3 года назад
Minaona icho chandani Ni juma Kuwa ushoga 🤌🏽
@jacklinekatandula6534
@jacklinekatandula6534 3 года назад
Beautiful dada wallah! Juma muombe msamaha mama iki
@zuhuraadinani8819
@zuhuraadinani8819 3 года назад
Mludie mkeo juma bwana mke mstarabu uyo anaonekanatu
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 3 года назад
Anajitambua mashaAllah
@bernardmkuffya5171
@bernardmkuffya5171 3 года назад
This is a wife, so kind and open.
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 3 года назад
Labda juma hakua sawa bed 🛌,hio noma Sana,bt inakaa huyu mwanamke anampenda mchizi
@deega1234
@deega1234 3 года назад
I think it is related to drugs. That is why she couldnt talk.
@annastaziamichael460
@annastaziamichael460 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_3pxXmBILKA.html
@jeymejoshy9890
@jeymejoshy9890 3 года назад
juma analiwaa siku hizi
@adilforrever4294
@adilforrever4294 3 года назад
Juma Kafeli sana Mashallah Huyu Ndo mke kabisa wa kuishi nae Milele
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 года назад
Itakua analiwa tigo Lokole 😀😀hilo la ndani sasa😂😂
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
Hilo la ndani kama sio ni kuliwa iyo ulosema yawezekana ana kibamia au labda jogoo haliwiki kiivooo🤣🤣🤣
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
@@vanessalaizer4363 Lady and gentlemen .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
Lady and gentlemen 🤔🤔🤔
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 года назад
Naskia analiwa tigo huyo juma ni shoga
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
@@chayogasperi9783 hahahaaa😂😂😂 ndio mana mdada hana hata wasiwasi labda walikuwa wanavaliana night dress
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Safari hii Juma yamekukuta Mambo ukome kiranga komooo😆😆😆😆😆
@laurarose1521
@laurarose1521 3 года назад
Mjuwe Kuna yule wa mimba...ukiona mwenzio yua nyolewa chako kitie maji...kwa umbea alio nawo
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
@@laurarose1521 Yaani mtihani kweli 😆😆😆😆
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 года назад
Masha'allah anaongea Kwa khekima uyu dada
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 года назад
Pongezi Dada kwa ulivo ongeya.nampenda MTU anae tosheka na alicho jaaliwa.love you
@smootkizy_jr
@smootkizy_jr 3 года назад
Mmbea leo kabainika dah wasafi bana ngoja nipite zangu na chibu #south Africa
@fidianishimwe4035
@fidianishimwe4035 3 года назад
😂😂😂
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
Kipindi Hicho hakuwa wasafi Alikuwa mcheza shoo tu Acha kuwasema wasafi na usafi wao
@khadijaali3688
@khadijaali3688 3 года назад
😂🤣🤣
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 года назад
Sasaaa wasafi wamefanyaje,mara oooh chibu South Africa 🤣🤣🤣🤣🤣ila waja kwa kisokorokwinyo maana umeingiza vitu ambavyo havihusiani kbsaaa
@thummujey956
@thummujey956 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤛😷🇰🇪
@emilymideva8783
@emilymideva8783 3 года назад
Nice interview mchanga hata msamaha umekubalika #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷
@benny5424
@benny5424 3 года назад
Duh boi kazinguaa mototo wife material kabisa yan
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 года назад
Sana kwenye miti hakuna wajenzi
@saifysaid7556
@saifysaid7556 3 года назад
Hamna mke hao wadangaji mzee dubai na oman sio wake kabisa
@linahbayi5848
@linahbayi5848 3 года назад
Benny yakweli hayooo
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
@@saifysaid7556 mdangaji hazai na akizaa uzeeni
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
@@saifysaid7556 wee umejuaje
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 3 года назад
Najua tuu kweli diamonds amemsafisha maana amwabudu kama mungu wake
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 года назад
Dadadadekiiiiiiii juma lokole una jipya ukiendelea kuropokwa mtaraka wako atatoa sili za ndaniiii hapo chacha fanya fhoko uzaliliswe, nakupenda bule dada
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 года назад
😂😂
@specialminds23
@specialminds23 3 года назад
Utapata mme bora my dear InshaAllah ♥
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 года назад
Sidia umenenepa hongera kwa kazi jema
@shakilaburhan9552
@shakilaburhan9552 3 года назад
Mke mzuri juma mrudiane
@abdulkadirsalum8362
@abdulkadirsalum8362 3 года назад
Pole sana ndio maisha ya ndoa siku zote lazima ya tingishike ila Talaka ni moja ata akatoa 3 ina swihii 1 baada ya 1 bada ya 1 mpaka zinafika 3 pole juma mtoto
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 года назад
Mdd mzuri tu sema juma na msikiaga sana akimtaja huyu mtt wake iqram pia nishawai kumsikia akisema aliachana na mkewe kisa uchambaji pia huyu dd anampenda juma anaonesha
@sylviah9666
@sylviah9666 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani Juma mkeo anakukopesha mahari🤣🤣🤣🤣🤣ila mie siwezi fanya haya! Lakini hayo ya ndani najua ni ya🛌🛌🤣🤣🤣🤣
@annastaziamichael460
@annastaziamichael460 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_3pxXmBILKA.html
@rugeiyaali8730
@rugeiyaali8730 3 года назад
Juma lukole lipa deni Mungu anakuona
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 3 года назад
Dada mzuri hivi kwa juma alipotea njia
@saidissa8273
@saidissa8273 Год назад
Mkiona MTU mweupe ATI mzuri.wa tz mmerigwa na Nani.mbina nchi nyengine hakuna haya
@kelvintajiri8982
@kelvintajiri8982 3 года назад
Unachukua hela ya mwanamke wako bila idhini 🤭😳 .....kwa kweli #uchawa wako una mizizi kwako😂😂😂😂
@othumanikamilagwa1129
@othumanikamilagwa1129 3 года назад
Lipa Mahal kwa mungu utalikuta deni ....
@jaribumodest509
@jaribumodest509 3 года назад
Daaaaaa kumbe mahari bei rahisi iviiiii wazeee wa kushusha gharama za mahari kazi hamna tenaaaa.
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 года назад
Juma mbeya mwanaume ...ha ha ha Leo umepatikana
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Juma uko wapi nipe code ya kujitoa kwenye umbea staki tena😂😂😂
@yasminabdalla2862
@yasminabdalla2862 3 года назад
😂😂😂😂
@suleimanmgongolwa9669
@suleimanmgongolwa9669 3 года назад
Mwee kwani dada umeshaolewa au bado mweeee🙆🙆🙆
@jumajay8496
@jumajay8496 3 года назад
Ukimwana juma lokole utajua in body language utajua ana akili ndogo utamjua anatoka kwenye maisha duni utamjua akipata atasahau aliko toka utamjua anatumiwa na diamond family kutusu watu.
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Год назад
Anazalilisha majina yenu uyu mhuni
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 3 года назад
Ata usipo ongea ayo ya ndani ila wakulungwe tunayajua sini hanithi tu ww mwanamume unamsifiaje mwanamume mwenzako eti ana mb.... mzuri pumbafu zake
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 года назад
Huyo juma mwenyewe anasemaje 😌😌
@saidikikoko
@saidikikoko 3 года назад
Dada mzuri sana
@user-ud3fg1hw8v
@user-ud3fg1hw8v 3 года назад
Aki juma upoteza bahati Kwa uyu dada mzri mashaallah
@nolynenzisa351
@nolynenzisa351 3 года назад
Najua juma atasema ni vle alipata gari ndyo maana
@Gift-cx1uo
@Gift-cx1uo 3 года назад
Mbn huyu mwanamke mstarabu sana af mcheshi sna sijui wanaume mnakwama wapi?????
@witnessmassawe2334
@witnessmassawe2334 3 года назад
Mtangazaji upo vizuri sana
@oyay2821
@oyay2821 3 года назад
Muosha huoshwa. Lokole leo umefikiwa
@salwambokyando9688
@salwambokyando9688 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
Hilo la ndani hilooo ni lipi hiloo?? Manake mmh lazima litakuwa linahusiana na nyeti au tabia fulani mbaya hahhaha haloooo 👌 👌 👌 unalo ilo mbea promax
@leahmushi4536
@leahmushi4536 3 года назад
Hahahaha mmbea mwenzngu umejiongezaa! Km mm yn
@kingbyaro6016
@kingbyaro6016 3 года назад
😂😂😂😂😂kama Siyo kibamia ni shoga
@shakila3982
@shakila3982 3 года назад
Mbona unabaka akili zangu? Nimewaza hivyo, ni kama alitaka kumtomba mkundu apo ikawa noma, tunajua juma ni kitomba mkundu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@diamondplatnumz2950
@diamondplatnumz2950 3 года назад
@@shakila3982 ndo hio
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
😀😀😀😀
@Randm-
@Randm- 3 года назад
Dada Amina naomba uwe rafiki yangu. Nimekupenda sana mstarabu mnoo. Nitakupataje jamani contact
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Juma mpe pesa yake uyu dada sio vizuri ivo wewe una uwezo wa kipato saivi ni vyema umsaidie uyu mzazi mwenzako
@jumanatv417
@jumanatv417 3 года назад
Kupatwa kwa mmbea maarufu... Lokoleeeeeeee 😂😂😂😂
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@sheilajuma137
@sheilajuma137 3 года назад
😂😂😂
@mariyaal5366
@mariyaal5366 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 года назад
From America Jenifer raymond wow nimefuri kuhihona kazi yako nyingine zuri
@user-ij5ig4uu1y
@user-ij5ig4uu1y 3 года назад
Alioa akiwa mdogo Sana hangeweza mambo ya ndoa 23 yrs jmn alikua mdogo
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
Nmekuelewa dada wifi. Nmekupenda alafu❤
@arikasisolution2253
@arikasisolution2253 3 года назад
Nadhan kitu cha ndani mshaliepewa hiko kkkkkkk Juma km unaubavu haya toa taarifa
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 года назад
Jamanii alikuwa amepata mke mzuri jmn😳 ujana huuu kazii ipoo
@Jowelia
@Jowelia 2 года назад
That's why i love Mchaga anapenda umbea kama mmi jamani siku moja nitahamia Tz🤗😂🤣🤣🤣😂😂😂😂
@Kasweetie_254
@Kasweetie_254 3 года назад
Mwanamke bomba, mwanamke kimili
@innocentmafuwe4686
@innocentmafuwe4686 3 года назад
Juma shoga mwenyewe ana xemaje
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 3 года назад
Jmn juma na ubishoo wote kumbe hovyo kabisa ,,cjawai kufatilia mapungufu yako kumbe chawa anawachamba wenzake kumbe yy hovyo 😂😂😂
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Binti mstalabu Sana sana
@ireneassey753
@ireneassey753 3 года назад
😀😀😀😀😀irene jamn umevunja mahusiano ya mtu umenizalilisha wajina jamn
@dinnarmtewele8435
@dinnarmtewele8435 3 года назад
wabongo wengine watasema kick! leo juma ana muhahoooo
@khamisally4870
@khamisally4870 3 года назад
Pole Sana sister wanaume ndo siye siye ila huyooooo jama hajafanya vyema
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 года назад
Kuna baadhi ya wanawake tuna huruma Sana juu ya wanaume.hasa tunapotaka kufanya jambo la khery.. .broh fanya uje ulipe mahali la sivo pepo hutoiona na ujue unaishi na den
@mwanaidsalehe1109
@mwanaidsalehe1109 3 года назад
Juma umemuacha mwanamke mzur kweli.tena anaonekana ni mpambanaji
@haulefelixcalister4817
@haulefelixcalister4817 3 года назад
Mkupumuliwa mchezo
@chillboo-4328
@chillboo-4328 3 года назад
Lokoleee !!! Kwani Yeye anasemaje ..alafu mwanamke mpole
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
Anakwambia . Huyu nimchaluko . Lukole anakwambia walikua wanakaa kitako kuwa sema wapNgaji wenzao na mke wake . Wakaitwa mpaka wachangamshaji wa mji. 😁😁
@chillboo-4328
@chillboo-4328 3 года назад
@@joharishabani2893 weee
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
@@chillboo-4328 akikusimlia utacheka yaan .
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
@@chillboo-4328 mm nilicheka anavo msinulia dida . Anaitwa mama akramu huyoo dada
@Meme-sr1gl
@Meme-sr1gl 3 года назад
Juma lolokole shoga kwanini husemi ww uyo mlenda
@mwanamkasiimsuka237
@mwanamkasiimsuka237 3 года назад
Duh! Huyu dada alikujaga jkt na wasanii wenzie kupiga kozi kama special platon 😳
@adearsalum8997
@adearsalum8997 3 года назад
Nikweli ata Mimi nalijua hili
@aliyahchally633
@aliyahchally633 3 года назад
Kumbe juma anamtt mkubwa tu wa miaka 10
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Yaani mtihani kweli Juma ulivyo pewa gari na Boss wako tutasikia mengi
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
😀😀
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 года назад
Naomba nitumiwe namba yake huyu dada! Nampenda sana mi nipo Zanzibar hukuuu,halafu mi Ustadh mnajua
@noortz9416
@noortz9416 3 года назад
Hamada wa bikidude umekua ustadhi.....au usitazi?
@Awatee
@Awatee 3 года назад
@@noortz9416 😂😂😂😂
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 3 года назад
😂😂😂ss umbea Leo umekugeukia juma
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
😆😆😆😆😆
@thummujey956
@thummujey956 3 года назад
😄😄🤛😷🇰🇪
@aliaden5512
@aliaden5512 3 года назад
Uko sawa
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 3 года назад
Kweli sheria itakubana ila watu wote wa mziki tunajua kama kilichowaachanisha ni uchoko msenge fresh anabwenga nakubwengwa
@ashuraalli1561
@ashuraalli1561 3 года назад
Juma leo kichten part yako 👌👌👌🤣🤣kila siku unichambe wenzako,,.... Media Ina sheria kali mengne hawez kasema 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌💃💃💃💃💃😄😄😃😃leo nimefurah ya juma kuyasikia hapa 👇👇👇😃🤣🤣🤣🤣..Haya juma mgumu 🤣🤣🤣😃😃😃🙆🤷🤷😟🤣🤣🤣🤣.... Uko wapi juma lokole muda huuu 🤷..
@halimamwajuma9208
@halimamwajuma9208 3 года назад
Yani bora umeweka kumbukumbu ya picha leo kila mtu anaamini mlipo toka
@kitengegaston6946
@kitengegaston6946 3 года назад
Namujuwa in and out jumaa umesikiya 😀😀😀😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmajuma8968
@fatmajuma8968 3 года назад
Uyu juma ana sifa tuu
@enickosanga4921
@enickosanga4921 3 года назад
Juma juma juma jamani laisi wa wambeaa Dah unazingua sana kijana
@salimali7930
@salimali7930 3 года назад
Mwanamume mwenye itikadi za kuchochea na mambo yakujifaharisha na kutumika mbele ya watu ua Kuna kasoro yuko nayo... Kuna tabia zengine mwanamume alie kua jasiri na alie timia awezi fanya... Cha kuongezea ukimaliza nenda kwa levo...
@rahmaqassim6660
@rahmaqassim6660 3 года назад
She’s beautiful
@nizigiyimanajaja9814
@nizigiyimanajaja9814 3 года назад
Waooo ,mpaka saïzi unamdaï eti , dada mstalabu sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
Wale tuliopatwa na mshangao tunakoment wapi sijui maana hadi mahari unakopeshwa na unaemwoa hii ni noma sana yani
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Sanaaaa
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 3 года назад
Umenipa mchongo wa soka bet aseeee
@husnaali1610
@husnaali1610 Год назад
Jumalokole mashasham,tote kumbe hujielewi unakanyagwa,nini?madam mzuri mashallah unaendakutafta vipanya🤣🤣🤣
Далее
Never Troll Shelly🫡 | Brawl Stars
00:10
Просмотров 1,5 млн
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
The Story Book: Watu 15 wa Ajabu Zaidi Duniani
28:49
Просмотров 1,3 млн
JUA KALI LEO IJUMAA TAREHE 23/08/2024 FULL MOVIE HD
27:34