Тёмный

PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 10 | Love Story 

DONTA TV
Подписаться 550 тыс.
Просмотров 504 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,9 тыс.   
@Dontatv255
@Dontatv255 21 день назад
AYA JAMANI LEO TUMEWAHI HATUJAWAHI?? MAANA NIKICHELEWA KIDOGO TU MMMH ❤❤😅
@MamyLily-f2i
@MamyLily-f2i 21 день назад
Mmewahi sana Hadi raha ,yaani ingekuwa hiv Kila siku jaman
@adventinadenis2519
@adventinadenis2519 21 день назад
N kesho tena uwahi dear Kelvin
@user-fz2de4qn2r
@user-fz2de4qn2r 21 день назад
Hivi ndo inavyotakiwa
@AshuraRabana
@AshuraRabana 21 день назад
mnazingua san
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 21 день назад
Leo nakubali huna baya
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 21 день назад
Wenye wanataka kelvin amupate loveness na James awumbuke kwamba sio lafikimuzuri naomba like zangu hapa❤
@FaithShantel-k7z
@FaithShantel-k7z 18 дней назад
🎉🎉🎉🎉aky wapatane tyuu
@JacksonEmmanuel-i8m
@JacksonEmmanuel-i8m 14 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@JoseVile
@JoseVile 21 день назад
Nikweli kabisa usigimbane na watoto au ndugu kwaajili ya kulinda fulaha za malafik ety tuu kwasababu mmetoka mbal kama unakubal gonga like
@user-ec2cj5om7v
@user-ec2cj5om7v 19 дней назад
Kwel pia mimi nakubali Hilo Kevin ameongea vizuli🎉
@SamuelMusyimi-l7u
@SamuelMusyimi-l7u 21 день назад
😢mimi naona James ameanza kuwa adui wa Kelvin kama unaamini hivyo gonga like....a Kenyan lady nawapenda sana
@selestinakazuvi7213
@selestinakazuvi7213 20 дней назад
Hiki kitu anacjokitengeneza James kitakuja kumgharimu hapo baadae ngoja tuone
@SamuelMusyimi-l7u
@SamuelMusyimi-l7u 20 дней назад
@@selestinakazuvi7213 kabisa
@JacksonEmmanuel-i8m
@JacksonEmmanuel-i8m 14 дней назад
Yan me xpend wanavyomfanyia
@user-hk3yk5vq9c
@user-hk3yk5vq9c 10 дней назад
Hat mm nimeona
@user-cp6vc1sl8q
@user-cp6vc1sl8q 21 день назад
Mwenye anapenda ushauri na msimamo wa Kelvin na lovenesss tujuane❤❤❤
@daringpower9050
@daringpower9050 21 день назад
Minipo
@emmamedda9035
@emmamedda9035 21 день назад
Niko pamoja na wao
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m 21 день назад
Hata mie
@ZawadiMkoy
@ZawadiMkoy 14 дней назад
Tupo hapa
@oliviersabushimike1124
@oliviersabushimike1124 21 день назад
Asante sana Kevin na group yake,endelea kutuburudisha 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunawapenda sana.kazi nzuri
@samramussa
@samramussa 21 день назад
Wanaomkubali calvin kwa maamuz yak gonga like hap❤
@ShuaybAl-ausy
@ShuaybAl-ausy 19 дней назад
@ShufaaAbdalla
@ShufaaAbdalla 17 дней назад
ninamkubal calvin
@mgenikhamis809
@mgenikhamis809 15 дней назад
Nakubali huyu mtoto
@SAMIRA-k4b
@SAMIRA-k4b 14 дней назад
😢😢😢
@MariaLukas-g6j
@MariaLukas-g6j 13 дней назад
Kelvin good kwa uamuz
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 21 день назад
Instead of people commenting about the series na kukosoa matatizo kwa kipindi kila mtu humu ndani anaomba like...mnaboo sana nyie shambiki
@azizaaziz9261
@azizaaziz9261 21 день назад
Yaaan najiuliza sana au zinauzwa??
@BabraWati
@BabraWati 21 день назад
Walai I wander
@denisdelarue2751
@denisdelarue2751 20 дней назад
Wengi wanao omba like wanatumia simu za wa zazi ni watoto wa 2010 hawaelewi tunaelekea wapi sisi wa 1999😂😂
@user-xc2eb7or7m
@user-xc2eb7or7m 19 дней назад
Nkama wana biashara ya likes 😂
@EmilyWekesa-xt1nq
@EmilyWekesa-xt1nq 18 дней назад
❤❤❤
@OmanJalan-xc8nx
@OmanJalan-xc8nx 21 день назад
Wasioipenda tabia ya Amina tujuane🙋‍♀️
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 21 день назад
Yani hadi natamani kuacha kutizama juu natumia utafikili nikweli kumbe movie tu
@PurityMbitheOfficial
@PurityMbitheOfficial 21 день назад
Mm
@ChilandeSylvia
@ChilandeSylvia 21 день назад
Ananiboh sana huyu amina​@@adelinaomani9012
@mapenzizuma430
@mapenzizuma430 21 день назад
Sijapenda tabia za Amina kabisa ,ananiboo
@HusnaPandu
@HusnaPandu 21 день назад
Amina mubaya km roho yake😂😂
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 21 день назад
Amina acha roho mbaya,,,kwann unamzibia loveness wangu bahati,,,,kelvin hakupendi wewe maana huvutiii
@user-iq3ik4ph2v
@user-iq3ik4ph2v 21 день назад
Nimewahi leo wa Kwanza waliokuwa tukisubiri mtoto wa boss kwa hamu gonga like tukisonga much love dota TV from 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 21 день назад
Mm ap
@SimonKurui
@SimonKurui 18 дней назад
❤❤
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp 21 день назад
Nmependa hii Kelvin kumfatilia Amina kujuwa kama lovness yupo kwa amina
@Justin_Nano
@Justin_Nano 21 день назад
Kelele wee😂😂😂wewe ni mtoto tu, nafurahi camera 📸 anajuwa mapenzi niatari, Kelvin na WA miss nkunami,Nelly na lina team zima🎉❤
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 21 день назад
Kendi kuwa upande wa Kevin ❤❤❤❤wazazi wa Kevin ajana kijana ajmsijagulie 😂😂😂 christina awezi kaa na Kevin apendi maringo
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 21 день назад
Mwanye amekubali mambo ya Kevin gonga likes ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@RuremwaMalick-xf2gt
@RuremwaMalick-xf2gt 21 день назад
Wakwanzaa kutoka Burundi naitaj like zang please 🎉🎉🎉❤
@FauziaAkeza
@FauziaAkeza 21 день назад
Tujuane bas Mimi nawew ni from Burundi🤣
@RuremwaMalick-xf2gt
@RuremwaMalick-xf2gt 21 день назад
@@FauziaAkeza mm nipo Bujumbura
@ShardPhiri
@ShardPhiri 21 день назад
Tuko pia uko Shemu gani burundi ndio kwetu
@FauziaAkeza
@FauziaAkeza 21 день назад
​@@RuremwaMalick-xf2gt Ooo mi Niko Kenya kaka yangu
@RuremwaMalick-xf2gt
@RuremwaMalick-xf2gt 21 день назад
@@ShardPhiri ww upo sehem gani??
@RazaqueMomade
@RazaqueMomade 20 дней назад
Brother James unapiga kazi pande zote, na unafanya vizuri sana. Yani kwa Calvin PENZI LA MTOTO WA BOSS na kwa Brown KIJANA TAJILI. mungu akujalie sana Brother unapiga kazi.
@Doreen-v4z
@Doreen-v4z 21 день назад
Mimi ndo wa kwanza toka Kenya 🇰🇪 nipatieni like jamani ,,,,kazi nzuri kelvin
@dorcaspaschal9640
@dorcaspaschal9640 20 дней назад
An katka movie iii n tamu jamn😘
@brayoomontana5011
@brayoomontana5011 21 день назад
Wa kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naombeni likes hta Mia 🔥🔥🔥🔥
@meshackjames4669
@meshackjames4669 21 день назад
Tuko wengi Kenya 🇰🇪
@santajune4972
@santajune4972 20 дней назад
Tuko pamoja🇰🇪
@Lydia-o5f
@Lydia-o5f 20 дней назад
Nakuona tuko wengi hapa❤❤❤❤❤
@AbdalahSaid-ol7xu
@AbdalahSaid-ol7xu 20 дней назад
Leo kwel umewahi sema movie tam Sana tunataman hata isiishe daaah kwel Kaka unajua
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 21 день назад
Wa kwanza leo jameni team strong naomba like zenu jameni😂😂
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 21 день назад
Wa kwanza ni Kelvin 😂😂
@user-it2pz1hf9t
@user-it2pz1hf9t 21 день назад
Ila kwli wakwanz kelvn😂😂😂😂
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 21 день назад
@@chunaabdullah1333 ak ww una mambo
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 21 день назад
@@user-it2pz1hf9t Achana na kelvin yy ashughulike kusaka loveness
@HildaKilonzi
@HildaKilonzi 21 день назад
Nimefurahi 🎉🎉🎉
@JoyceGodson-m3u
@JoyceGodson-m3u 20 дней назад
Hatimaye Tina kapatikana kwa maneno ya Kelvin, safi sana Kelvin
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 21 день назад
Kama waona raisi na ww tafuta zako Amina sikupendi sikupendi tena na umbea wako... Na hiki kindururu Tina na mamakendi..
@user-pn5sj7qo1l
@user-pn5sj7qo1l 21 день назад
Kwanza nianze kuwashukuru kwa kuleta move mapema pil nawapenda sana mko vizur kususan kelvin my Frend my bro tunakupenda bure apa jiran kenya ❤❤
@mziguwaosman8539
@mziguwaosman8539 21 день назад
Movie kama hizi msipende kuzichelewesha tuna kesha kuwangaliya usiku na mchana lini itafika movie nyingine mungu awainuwe katika kazi zenu
@EsterWambura-vr6og
@EsterWambura-vr6og 21 день назад
Kabisa yan
@Emanuel-zc2el
@Emanuel-zc2el 20 дней назад
Amina ni bonge la nyoka, lovness me nakupenda
@deedesheboytv254
@deedesheboytv254 21 день назад
Donta TV nangoja like yenu
@JajiKazungu
@JajiKazungu 21 день назад
Nawapendea hapo tu,, yani hamcheleweli kama wengine. Hongereni sana
@KarbandikaPromax
@KarbandikaPromax 21 день назад
Leo mimi wakwanj toke congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni like zangu🇨🇩
@user-jv1py5vu1y
@user-jv1py5vu1y 21 день назад
Wakwanza kutoka DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Naomba liké zangu
@WssWss-w3p
@WssWss-w3p 21 день назад
Wow nice job guys am watching from Saudi Arabia 🇸🇦
@PiliQueen-sm1nm
@PiliQueen-sm1nm 21 день назад
Mambo ni bandika banduwa mambo ni 🔥🔥 jamni kila mda nakuwa youtubu kuangaliya kama mmetuma mambo niyapendayo
@mwanjammassa8563
@mwanjammassa8563 21 день назад
The first one . Naomba hata likes 100 basi
@RoseKasichana
@RoseKasichana 21 день назад
Mm nataka kuona mchongo wa amina na james uki. Feli🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jacklineminja-fg9ji
@jacklineminja-fg9ji 21 день назад
Wa kwanza mm leo kama unataka loveness awe na kelv gonga like hapa
@hendrypeter6182
@hendrypeter6182 20 дней назад
Mm naitwa mze wa ku like ata msipo ni like na walike tu
@ZawadiMkoy
@ZawadiMkoy 14 дней назад
Teari umeraikiwa umelidhika ❤
@judithpendo9985
@judithpendo9985 21 день назад
Waliotegea mtoto w boss km mm tujuane kwa like ila mapenzi n hisia jmn sio pesa Wala nn thaman ya mtu n hisia ila simpendi Tina n Amina watia fitna ambazo hazina msingi napenda msimamo wa Kelvin 🇰🇪🇸🇦🥰 team strong hoyeeeeeeeeee
@faudhiahassan7907
@faudhiahassan7907 21 день назад
Pamoja sana nimetokea kuwachukia watu wawili hawa japo ni move
@judithpendo9985
@judithpendo9985 21 день назад
​@@faudhiahassan7907Kbsaaa dear 😘
@PurityKanana-ev6ty
@PurityKanana-ev6ty 20 дней назад
Mm hapa nilikuwa nimengoja sana walai ❤
@luciatungwa4039
@luciatungwa4039 21 день назад
Leo katangulia 🇰🇪nipe heart❤ watu wangu
@MagdalenaSwai-z6u
@MagdalenaSwai-z6u 21 день назад
Jemsi muonee huruma mwenzio ana teseka San juu ya love mwambietuu nawpenda San pia mtuwahishie ep ya11 mapema Kama Leo tunakesha tukiangalia Kila muda Kama tayari Fanya hivyo kaka ❤❤
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 21 день назад
😂😂😂
@basimisemusafiri4856
@basimisemusafiri4856 21 день назад
Kaka kelvin ukuwe munatuwekeya kamurefukadongo movie zako nizamuzuri lakini nizamufupi sana ❤❤
@AminaPtg
@AminaPtg 20 дней назад
😁😁😁😁😁😁😁 sasa hicho kiswahil ndio mgan
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 20 дней назад
​@@AminaPtg🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sjuwi hata Nacheka Niniii
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 20 дней назад
Shkamoo Kiswahiliii🤣🤣🤣
@AminaPtg
@AminaPtg 20 дней назад
@@fatmatraashidu8522 😁😁😁😁 weechekat😁😁
@basimisemusafiri4856
@basimisemusafiri4856 20 дней назад
@@fatmatraashidu8522 shkamoo
@AliceSindayihebura
@AliceSindayihebura 20 дней назад
Nawapenda sana kutoka Burundi❤natamani bas kevn kamuone lavnss
@piusjoaojoao1926
@piusjoaojoao1926 21 день назад
Wakwanza Léo nipe like 💥💥💥💥🇲🇿👏👏👏🙏
@user-nq5fi5mz4y
@user-nq5fi5mz4y 21 день назад
Leo nimechelewa kwakweli Naombeni namimi like zangu bas auuuu??????
@miriamnjoki2668
@miriamnjoki2668 21 день назад
Number one here today wapi likes za kenyan girl❤
@santajune4972
@santajune4972 20 дней назад
Pamoja,🇰🇪
@nobertricardo8594
@nobertricardo8594 20 дней назад
Awamu hii mmewahi hongereni sana donta family
@mziguwaosman8539
@mziguwaosman8539 21 день назад
Nami leo nimewahi kutoka USA naomba like zangu asubuhi kabisa
@MoshuaAkyoo
@MoshuaAkyoo 21 день назад
Nakupenda sana loveness niko mimi ni mtanzania kwasasa niko uturuki wanakupenda sana❤❤
@user-pv4tu1xp6k
@user-pv4tu1xp6k 21 день назад
Leo wa6 jmn mnipe like zangu burudan kutoka donta tv mungu azidi kuwaongoza katika kazi zenu❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SalamaRajabu-c6h
@SalamaRajabu-c6h 21 день назад
Kumbe ht marafiki wakiume ni wanafki t jemsi sio wakumficha Kelvin ikiwa yy kashatoka na Amina imeniuma mno ila pole sana Kelvin na loveness hayo nimapito naiman utamuona t love wako
@MagdalenaWilson-hm5uh
@MagdalenaWilson-hm5uh 21 день назад
❤❤❤❤❤❤ napenda sana kazi yenu
@NyenjeNdeu-u6p
@NyenjeNdeu-u6p 21 день назад
Huyu jamaa anajua saan pia muvi zake hazichelew kutokaa🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@KalaiLazarokomoi
@KalaiLazarokomoi 21 день назад
Vizuri sana Yani sana amjachelewesha leo🎉
@leahwathoko
@leahwathoko 21 день назад
Waoh!!siku hizi hamtuweki,huwanga tunaisubiri sana hii serie,Asante lakini muedelee hivyo hivyo
@nsengiyumvaoseki3004
@nsengiyumvaoseki3004 21 день назад
Wekeni ndefu kidogo, mnatuacha na uhondo. From Texas USA
@MamaboysManu
@MamaboysManu 21 день назад
Wa kwanza leo naomba like team strong tukisonga
@AyufraaAyu
@AyufraaAyu 21 день назад
Daah uwana enjoy sana nai muvi
@AishaRashid-od3mg
@AishaRashid-od3mg 21 день назад
Wakwanza mm kaka kelvin naomba like yako
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 21 день назад
Kwani hakuna siku nitakua wa kwanza ata mm aya maGen z pitieni apa na kalike tu tu appreciate our donta tv kwa kazi Zuri wanaofanya much love from kenya
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 21 день назад
Waooooooooo LOVE TEAM KELVIN LIKE KWAO🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@nyawamwanyingo887
@nyawamwanyingo887 21 день назад
Kelvin napenda unavyo pambana kujua lovenes yuwapi bila ya kusikiliza mtu yeyote wafatilia mwenyewe
@EsterWambura-vr6og
@EsterWambura-vr6og 21 день назад
​@@nyawamwanyingo887 saf sana yan , hata mm napenda kelvin anavyomtafuta loveness
@AshaChani
@AshaChani 20 дней назад
Cmpendy Amina taby zk
@TheodoraChaki
@TheodoraChaki 21 день назад
Hongera sana kevin shikiria msimamo wako huyo jemes sio rafiki tena ameungana namnafiki amina
@rakenmontes7981
@rakenmontes7981 21 день назад
Wa kwanza naombeni likes zanguu 10 tuu😅
@geraldinho240
@geraldinho240 21 день назад
Some time ukiwa mwanaume unatakiwa ufanye maamuzi Magumu haijalishi kitatokea nini fanya kitu kwaajili ya mstakabali wa maisha yako ya baadae I like you like 👍
@halimashaban3858
@halimashaban3858 21 день назад
Kelvin naomba like no one
@marykinyanjui1055
@marykinyanjui1055 21 день назад
Nishafika team strong tuko wengi waa... kevin na team yako hongera❤❤❤
@AndrewFundi
@AndrewFundi 21 день назад
Wakwanza mm nipe likes ndugu zangu
@TheodoreCiranko
@TheodoreCiranko 21 день назад
Kazi nzur sana Kelvin nawafwata nikiwa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️
@Miriamsanga-wf9si
@Miriamsanga-wf9si 21 день назад
Wakwanza nami nipewe like zanguu 🎉🎉🎉
@user-jg1oe9tq8l
@user-jg1oe9tq8l 21 день назад
Kwenye hii move ananikosha kevi tu jaman nipo Norway 🇳🇴 napata burdan swafi kabisa naenjoy 😊
@CollinsKamone
@CollinsKamone 21 день назад
Wakwanza tokea Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FaaRashid
@FaaRashid 21 день назад
Jaman huyu kaka Yuko vizuri kweli tunaompenda naomba like zenu hapa nione tupo wanapi
@user-gi4jo5ib6l
@user-gi4jo5ib6l 21 день назад
Kanz nzr wa my vipenz vyang yan mnanikoshaga nyiye sikipolepole mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@jechasuleiman5532
@jechasuleiman5532 21 день назад
Kevi mm ni mshabiki wa move zenu ongezeni muda alau nusu saa ni fupi mno pia mnakawia kutowa 🎉🎉
@PurieMakena
@PurieMakena 21 день назад
Nami nataka hii biashara ya likes 😂😂 nikama inalipa 🎉
@HappyDaudi-f1b
@HappyDaudi-f1b 20 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@madamechemba3720
@madamechemba3720 19 дней назад
😂😂😂hilip niusutwa tu😂😂
@Marriam-n5u
@Marriam-n5u 11 дней назад
😂😂😂
@monicahjoseph2528
@monicahjoseph2528 21 день назад
Kaz safi Sanaa nlingoja sanaa❤❤❤❤❤,kevn tell ur dady wealth is not everything 😌
@NeemaMasimba-f2w
@NeemaMasimba-f2w 21 день назад
Mambo ni motooooo👏👏 kazi karibu inamshinda james na tamaa za Amina karibu zinagonga mwambaa💪💪🥱🥱. Haya ep inayofata msikawilishe plz
@CycyConstaOg
@CycyConstaOg 21 день назад
Watu wa Kelvin tujuane kwakugonga like am from 🇫🇷🇫🇷🇫🇷
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 21 день назад
Movie yenu mzuri na hinafundisha isipokuwa kipande kimoja mnachukuwa muda mrefu sana hivyo2
@MariamMsongo
@MariamMsongo 21 день назад
sana yaan wiki mbili ni kipande hicho hicho tuu tutachoka weka matukio yakupita chap chap
@user-jn8yw5pc4l
@user-jn8yw5pc4l 21 день назад
Cavin unapendeza sana na michezo inakukubali jumla kwa yote mashallahu mungu akubariki uwe star mkubwa africa mashariki mpaka nchi za nje inshallah.
@Ased-qy7sh
@Ased-qy7sh 21 день назад
Kaka Kelvin daah Nina fraha Sana daah Asante San kwa kutuwahishia movie mungu akubaliki Sana kaka❤❤❤
@user-lu3mf1ir4w
@user-lu3mf1ir4w 21 день назад
Much love for wana donta TV wapi like zako kwa kazi zao
@joshuamzungu-qb5oi
@joshuamzungu-qb5oi 21 день назад
Hii ndo tv yenye uaga siboeki kabisa,,congrats team donta 🎉🎉🎉
@user-ve7jt3qn9n
@user-ve7jt3qn9n 21 день назад
Ubarikiwe Jmn msichelewesh na kijana tajir kujifnya maskini
@RatiffaDeo
@RatiffaDeo 21 день назад
Kervin umekosea kumwambia huyo kuwa unapajuwa kwa aminah huyo ni adui yako kwa sasa😢😢 pole tu ila naamini utampata lovenes
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 21 день назад
Katika Maisha kitu mhimu ufahamu vizuri sn ukiwa Na Zawadi hii Kwa akili Nakupenda SN Kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HasaniMsama
@HasaniMsama 21 день назад
DONTA. Family kumekucha tena burudan juu ya burudan 😊😊
@LowrenceSilungwe
@LowrenceSilungwe 21 день назад
James umeshikwa umeficha wakati umejukweye loveness anaishi nawo mba like zangu
@NathaSMART
@NathaSMART 21 день назад
Leo naomba likes 1k 😢😢😢 Guys team strong mkowapi weka ishala ya makopakopa ❤❤❤❤❤ whatching from which country ✍️
@user-kx3gu2cs1j
@user-kx3gu2cs1j 21 день назад
Tupo hapa
@EmilykuvunaKonzi
@EmilykuvunaKonzi 21 день назад
Upeleke wapi😅
@NeemaMzur
@NeemaMzur 21 день назад
Wanaotamani kelvin na loveness waonane tujuaneeee❤❤
@MoureenNelima-cp2pu
@MoureenNelima-cp2pu 21 день назад
Leo wa kwanza naombeni like zenu
@MagdalenaSwai-z6u
@MagdalenaSwai-z6u 21 день назад
Asante Sana kaka kevi nikweli mtu mvivu wakufikir anawezasema lolote like pokea maua yako kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KijanaMwepexi
@KijanaMwepexi 21 день назад
Leo WA Kwanza jameni kutoka Kenya Gen Z oyeeeeeeh 🎉🎉
@ShamimAbdul-tf3fw
@ShamimAbdul-tf3fw 21 день назад
Kelvin my mungu akubariki kz zako zote ziko good 🎉🎉
@FauziaAkeza
@FauziaAkeza 21 день назад
Love you so much From Burundi 🇧🇮🇧🇮❤❤❤
@ZuwenaOmar-xk6gq
@ZuwenaOmar-xk6gq 21 день назад
Sijachelewa saana mie nimeipenda mnoo
@DafrosaLuis
@DafrosaLuis 21 день назад
Iwe hivii kila siku bro msichelewesheee mambo ndo yananogaa
@MbulaMary-qe3ux
@MbulaMary-qe3ux 20 дней назад
Leo hadi nimekupa like umewahi vzr
@chief-o9j
@chief-o9j 21 день назад
Following from Kenya. Show some love
@sangematura2724
@sangematura2724 21 день назад
Bro leo nakubali san bro❤❤muwaish kam hivi tutakuwa tanalah jaman❤❤❤❤❤❤
@KABERE17
@KABERE17 21 день назад
Wapi like za kelvin za kuchukua hatua mikononi mwake yaani hii ndio inaitwa kujitabua 🎉🎉🎉🎉🎉na tena kuweka episode leo atleast leo umewahi ❤❤❤asante sana
@JoyceGodson-m3u
@JoyceGodson-m3u 20 дней назад
Ila jamna wekeni movie mbili tumeipenda sana yan movie ikiisha panaishia pazuri mpaka tunatamani iyendelee tunawaomba jaman
Далее
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 536 тыс.
SNAKE BOY | ep 36 | SEASON TWO
31:41
Просмотров 137 тыс.
MUUZA KANDORO  - OFFICIAL FILM EP 03
19:52
Просмотров 993
KILELENI | Full Movie
1:15:49
Просмотров 149 тыс.
MY MOTHER EP 06  | Sad Story 💔💔
20:31
Просмотров 41 тыс.