Тёмный

ALL WHEEL DRIVE: Usiyoyajua kuhusu funguo za magari na 'maujanja' kibao 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Je, unajua kuna aina ngapi za funguo za magari? Na zipi ni kazi zake? Haya yote na mengine utayapata kwenye mahojiano ya All Wheel Drive na Amour Seif, mkali wa masuala ya funguo za magari.
#AllWheelDrive #Funguo #Cars #carkeys
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Авто/Мото

Опубликовано:

 

11 сен 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@liberatusmutta1854
@liberatusmutta1854 3 года назад
Anapatikana wap boss
@eliteonlinetv
@eliteonlinetv 3 года назад
Big up brother 💪🏽
@eliasmmari1480
@eliasmmari1480 3 года назад
Gari yangu ina tumia funguo ya remote kawaida haina sensor......je nikitaka kuweka hiyo push to start inagharim bei gan?
@isakazacharia4273
@isakazacharia4273 Год назад
Hi, bro mimi naitwa Isaka naomba nipate namba za cm za mtaalamu wa funguo niko Mwanza
@vicksonvicent6243
@vicksonvicent6243 Год назад
Kama nimepotaz funguo nafungua vip
@williammockey800
@williammockey800 3 года назад
Somo zuri sana!
@mohamedmkubwa2934
@mohamedmkubwa2934 2 года назад
Naomba bamba yako ama nipigie
@michaelminja
@michaelminja 3 года назад
Anasema gari haiwezi waka ukiingiza funguo kwakuwa hamna sencer, je ukiingia kwenye gari ukichomeka funguo ya kuchonga then gari halija waka ila ukatumia njia ya kuingiza gia namba 1 ili uiwashe kwa gia inamaana haita waka?
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
Haitawaka
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
Kwa sababu sensor zitakuwa ya funguo itakuwa aisomi itashindwa peleka gari katika switch on!
@michaelminja
@michaelminja 3 года назад
@@Sadammushi Sawa asante nimekuelewa
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
@@michaelminja share na wengine wapi wanapata elimu kuhusiana na magari yao kuwa All wheel Drive ni nyumbani mwa wapenda magari karibu
@michaelminja
@michaelminja 3 года назад
@@Sadammushi Sawa mkuu usijali nisha shea kwa fb
Далее
USAFIRI WANGU
11:59
Просмотров 25 тыс.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 26 тыс.