Тёмный

ALLY HAPI 'AMVUA NGUO' TUNDU LISSU MBELE YA NDUGU ZAKE | "Mpuuzeni...Anatakiw" 

Habari Kwanza
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 1 тыс.
50% 1

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ally Hapi ameendelea kuuwasha moto katika Ziara yake ya kutembelea mikoa mbalimbali (Mama Kwanza Mengine Baadaye) ambapo akiwa mkoani Singida, mkoa ambao anatoka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, Ndugu Ally Hapi alimwaga sera za CCM na kuweka wazi namna dhambi za Ubaguzi zinamvyomla Tundu Lissu.
Hapi amewaasa wananchi wa Singida kuachana na siasa za ubaguzi na kuwaogopa kama ukoma wanasiasa wanaoeneza ubaguzi

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 месяца назад
Mavi. Ya. Kuku
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 4 месяца назад
Alafu atakuambia nimegraduate chuo kikuu Dar es salaam bull
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 4 месяца назад
Hivi chuki ya lisu nikusema znz inakatiba yake enyi ccm wahurumieni wa tz mfano mimi nilikuwa najua znz ilimpindua mwarabu kumbe ni serikali iliyochaguliwa na wananchi wa znz
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 4 месяца назад
Jibu hoja
@rastheunique
@rastheunique 4 месяца назад
Kajinga fulani hivi 😅 kanaongea bila kujisikiliza!
Далее
Bro's Using 3 Weapons
00:36
Просмотров 4,2 млн
Tundu Lissu Alivyoitikisa Babati Kwa Hotuba Nzito
1:16:54
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
KIZAZI CHA HAMDALA KIUNO•|EP94|
8:18
Просмотров 4,4 тыс.
Live: Tundu Lissu Anaunguruma Morogoro Muda Huu.
1:08:06
Bro's Using 3 Weapons
00:36
Просмотров 4,2 млн