Тёмный

Tundu Lissu Alivyoitikisa Babati Kwa Hotuba Nzito 

The Chanzo
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@gangan4618
@gangan4618 5 месяцев назад
Viva Mh. LISSU viva, well said "Ila biblia inasema WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA... WATANZANIA WANAANGAMIZWA NA CCM KWA KUKOSA MAARIFA". Hosea.4:6. Sio wanaanganmia kwa kukosa maarifa, BALI WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA... Kutokujua maarifa haya anayotufafanulia Mh. Lissu hivyo ndivyo CCM WANATUMIA KAMA MTAJI KUTUANGAMIZA WATANZANIA... NDO MAANA WATU KAMA WAKINA LISSU WANAWAPIGA RISASI ILI WASIWEPO DUNIANI(WAFE KABISA) TUKOSE MAARIFA NA WATUMIE UJINGA WETU KUWA MTAJI WA KUTUANGAMIZA HAWA WAKINA-CCM"Chama Cha Maovu"TANZANIA.
@CholoNassor-h8r
@CholoNassor-h8r 5 месяцев назад
Umetisha kifo ni kifo iyoo imeenda
@PascleShayo
@PascleShayo 5 месяцев назад
Baba kabla ujaongea me nakuelewa❤
@JohnMahu-f1g
@JohnMahu-f1g 5 месяцев назад
Asant lisu ukweli mungu akulinde na. Atuvushe utawala ccm ubomoke kwa jina la yesu
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 5 месяцев назад
Lisu Mungu aendelee kukulinda na kukubariki. Tutoe Watanganyika na Wanzanzibar katika huu ufedhuli na uhuni wa CCM
@ElishadaiSam-rq3hl
@ElishadaiSam-rq3hl 5 месяцев назад
Hao manyang'au tutawanyoosha. Sema mwalimu wangu .
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 5 месяцев назад
MH. LISSU KAMA KUNA WATU HAWATAKUELEWA KTK ELIMU HIYO UNAYOTOA BASI, WASUBIRI TU MUNGU ARUDI KUWACHUKUA
@barakabaraka8665
@barakabaraka8665 5 месяцев назад
Kwa namna anavyojenga hoja zake katika misingi ya ubaguzi watanzania ni vigumu kumuamini na kumpa kura!!Ahsante Mwalimu Nyerere kwa wosia wako!!
@SamuelMatalu
@SamuelMatalu 5 месяцев назад
Mwalimu alikurupuka tu kutumganisha na hawa Wazanzibar leo tunateswa watanganyika hatuna kila kitu, ni nani mtanganyika ni mkuu wa mkoa au wilaya huko Zanzibar?
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 5 месяцев назад
TRUE SPEECH, HII NI KWELI KABISA
@AyubuMungii
@AyubuMungii 5 месяцев назад
Haihitaj elimu ya vyuoooo vikuuu kuelewa LISSU anaongea nn
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 5 месяцев назад
Tundu lisu ni mmoja tu Duniani😅😅😅😅😅
@Nyanda506
@Nyanda506 5 месяцев назад
Hotuba inagusa😅😅
@rashidramadhan8998
@rashidramadhan8998 5 месяцев назад
NCHI YA WAMASAI.? ? ?
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 5 месяцев назад
Watangayika na wanzibar ni True love mm my brother wameoa tanganyika lkn shida ni vingozi wametuachia urithi mbaya sna wa viongozi wetu.
@IssaJohn-kk8pb
@IssaJohn-kk8pb 5 месяцев назад
Mungu aendelee kukupa ujasiri wewe ni shujaa
@YonahBoniface
@YonahBoniface 5 месяцев назад
Good speech
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 5 месяцев назад
You still my hero
@tunchyonlinesales6127
@tunchyonlinesales6127 5 месяцев назад
Ukitaka kujua kama watanzania huwa hawapendi kuichafua amani yao huyu mwamba apewe kijiti agombee kma kweli hiz comments zinatoka mioyoni 🎱🫵🏽😁😁😁😁😁😁😁 unaachwa solemba akili zinawarudi wanakusanyika wasikiza wanayaacha hapohapo🤝🇹🇿♥️
@PeterMasala-gh5np
@PeterMasala-gh5np 5 месяцев назад
Niliamua kwamba sitafuatilia siasa lakini uchungu mkuu wa uhalisia ambao tundulisu anausema kuhusu Rasilimali za nchi hii unatia uchungu hasa tunapoona Tanganyika inaporwa na wazanzibari. Nimeahirisha kwa mda
@Ramadhani-y4w
@Ramadhani-y4w 5 месяцев назад
Good
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👊✌️👍.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 5 месяцев назад
Usisahau pia kuwaambia kuwa viongozi wa bara Nyerere na mkapa wameendesha mauaji ya wazanzibar kwasababu ya huo huo muungano...NAKUOMBA USISAHAU
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 5 месяцев назад
Sema mtumishi wa Mungu😢😢😢😢
@coolruler6820
@coolruler6820 5 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 5 месяцев назад
Hata kama uko watakupeleka uchochoroni you still a champion
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 5 месяцев назад
Hongera Lissu kwa kuwatetea watanzania japo watanzania wenyewe hawajiekewi kabisa wamepumbazwa na viongozi wa CCM wajanja wajanja hawataki katiba mpya wanaogopa kushindwa uchaguzi maana katiba ya sasa inawabeba
@valeymendrad6297
@valeymendrad6297 5 месяцев назад
huhitaji D mbili ndo umuelewe Lissu
@Nyanda506
@Nyanda506 5 месяцев назад
😅😅😅inagusa sana😢😢😅😅true
@chezariboy
@chezariboy 5 месяцев назад
Safi mwalimu ndiwe rabi wa ukweli,, wengine hamna kitu kichwani hasa ficiemu na kudjarau katiba mpya
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 5 месяцев назад
Habari njema ya ukombozi
@AbnerKennedy
@AbnerKennedy 5 месяцев назад
✌️✌️
@IssayaTimoneti-rd3dj
@IssayaTimoneti-rd3dj 5 месяцев назад
kweli unachoongea
@levissanga8867
@levissanga8867 5 месяцев назад
Watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Asante mh Lisu
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 5 месяцев назад
Sawa makamanda tunawafatilia tuko pamoja
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 5 месяцев назад
Jembe mwenye maono ya kweli
@recenttechnologiestanzania2703
@recenttechnologiestanzania2703 5 месяцев назад
Kariba ni sasa
@PeterMundi-g4b
@PeterMundi-g4b 5 месяцев назад
Hill jembe linaongeaga ukweli mtupuu,, nani kama mama hahaaa😂 mamaako enyewe anaweza akakusaliti. Waeleze mzemkubwa
@EmanuelBlassy-uz4gm
@EmanuelBlassy-uz4gm 5 месяцев назад
Hii ni zaidi ya shule huyu baba anatupatia darasa murua sana
@EdwardMasalu-fk5se
@EdwardMasalu-fk5se 5 месяцев назад
Sawa endelea kuelimisha,tuko pammoja
@Nyanda506
@Nyanda506 5 месяцев назад
True true bila chenga 😅😅😅😅😂😂😂
@AlexPetro-z1e
@AlexPetro-z1e 5 месяцев назад
Tuendelee kupambana tu
@V24hrs
@V24hrs 5 месяцев назад
Duuh..Ndio kutikisa huku😂😂😂😂
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 4 месяца назад
Kichwa chako kina matofali
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 5 месяцев назад
Na wazanzibari hawataki raisi atokea dodoma, samia anachaguliwa dodomama. Mzanzibari gani anauwawa wazanzibari. Samia nino baraka wa bara
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 5 месяцев назад
Serekali imetufanya kama mishukule😢😢😢😢
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 5 месяцев назад
Ccm ni chama cha wabara. Samia ni kyou baraka wa dodoma bara. Wazanzibari wanauwawa kila uchaguzi
@ramsohk
@ramsohk 5 месяцев назад
Kweli we mwamba😂😂😂😂
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 5 месяцев назад
Hapa alalamiki anafundisha kijua haki zetu
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 5 месяцев назад
Kweli hii ni hotuba nzito
@justice607
@justice607 5 месяцев назад
Tunataka atikise Tanzania 😅😅
@Nyanda506
@Nyanda506 5 месяцев назад
😅😅😅subutuuuu😂😂😅😅miaka60
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 5 месяцев назад
2025 watu watakuwa kidato cha pili watakuwa ujinga imewatoka elim ni bora kuliko ujinga
@badilikhatib8592
@badilikhatib8592 5 месяцев назад
Kwani wazanzibari hawana haki katika muungano huu
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 5 месяцев назад
Unaelewa kinachosemwa kwan
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 5 месяцев назад
Mapinduzi yalikua ya wantanganyika
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 5 месяцев назад
Mungu akupe afya njema✌🇹🇿💪💪💪💪💪❤📿
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 5 месяцев назад
HUYU MWAMBA MUNGU AMOINDE SANA
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 месяцев назад
Blaa blaa blaa! Lawama haziishi! Matusi hayaishi!😅😅😅😅
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 5 месяцев назад
Matusi ni yapi wewe mtumia kinyeai kichwani kufikiria?
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 месяцев назад
@@zawadimbwambo1091 Akili mavi ni wewe usiyeheshimu mawazo ya wengine! Hovyoooo!!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 месяцев назад
@@zawadimbwambo1091 kwani unajikuta wewe nani! Kumbe mpareee! Heheeeeeee!!
@noelandrealucas340
@noelandrealucas340 5 месяцев назад
Wewe si una uhakika,,, mambo yakiwa mabaya inakimbilia Ubelgiji,, serikali inakupa pesa ya pensheni unatibiwa bure kwa katiba hiyohiyo unayoikataa watanzania sio wajinga tena as long mambo yanakwenda sisi tunasonga na mama samia
@KaroliMushi
@KaroliMushi 5 месяцев назад
Kangonwe bila mate weee shoga
@NicolasLauwo-gl4kx
@NicolasLauwo-gl4kx 5 месяцев назад
Umesahau kidogo mheshimiwa halimashauri inakuja mara tatu moja leseni mbili sevis levi tatu mwisho wa mwezi anakuja na kudai pesa za uchafu je sevis lev manake nini? Huoni kodi inajirudia
@JohnRaphael-m1b
@JohnRaphael-m1b 5 месяцев назад
Yaan niukweli mtupu kamanda
@kassidpandu866
@kassidpandu866 5 месяцев назад
Hamna watu Bwana! Aaaaa Tupishe Nama anatosha 2025
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 5 месяцев назад
Unatumia mavi kichwani kufikiria wewe. Huwezi kunielewa mtu anaetumia akili . Utamuelewa mtumia mavi mwenzio.
@nyerere1259
@nyerere1259 5 месяцев назад
UNA NYEGE NA POLISI 😂
@KaroliMushi
@KaroliMushi 5 месяцев назад
Kama ulizonazo wewe
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 5 месяцев назад
Hovyooo ikiwa mnakosa watu sasa hv je 2025? duh poleni kwa kweli wtu washawachoka kwa kulalamika kama wtt semeni mambo ya muhimu nn mtakifanya mkichukua nchiiii, blaa blaa za maisha magumu ni ulimwengu mzima na hilo mnalijua sana tu lkn ndiyo mmelishikia bango ndiyo mpate kura 2025🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 5 месяцев назад
Hovyo tu Wewe huna lolote baki na FISIEMU Yako Chama chenu Mbovu....
@AndrewGimusa
@AndrewGimusa 5 месяцев назад
Oyaaaah we punga, punguza nyege basi kujikomba Kombaa !!!!!
@PrincePrinceDanielmsafiri
@PrincePrinceDanielmsafiri 5 месяцев назад
Kuma wewe
@PrincePrinceDanielmsafiri
@PrincePrinceDanielmsafiri 5 месяцев назад
Nyokowe
@PrincePrinceDanielmsafiri
@PrincePrinceDanielmsafiri 5 месяцев назад
Umetumwa mkundu wewe
@noelandrealucas340
@noelandrealucas340 5 месяцев назад
Wewe si una uhakika,,, mambo yakiwa mabaya inakimbilia Ubelgiji,, serikali inakupa pesa ya pensheni unatibiwa bure kwa katiba hiyohiyo unayoikataa watanzania sio wajinga tena as long mambo yanakwenda sisi tunasonga na mama samia
@KaroliMushi
@KaroliMushi 5 месяцев назад
Wee mama tulia na mbunye yako kwanza huna kisimi
Далее