Тёмный

ALLY KAMWE amjibu Msemaji wa VITAL'O/ VIDEO ZAKE nimewaonesha wachezaji WAMELIA SANA/ EXCLUSIVE..... 

Rick Media
Подписаться 891 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@Said13Mashakaog
@Said13Mashakaog 2 месяца назад
Ally unaupiga mwingi sana mdogo wangu tunakukubali sana🥰🥰🥰💛💛💛💛💚💚💚💚
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 2 месяца назад
Nakupenda mwanangu kamwe...mungu akubariki wewe ni kichwa sana Pambana kuzidi kuwa na hekima kama mzee kamwe na kuwa na ushilikiano wa busara na manara na mungu atakubariki...chapa kazi..tupo nyuma yenu.
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 2 месяца назад
Nakuomba M/Mungu ijaalie ulinzi na nusra timu yangu ya yanga Inshaallah
@solomonmassangya9452
@solomonmassangya9452 2 месяца назад
Ally kamwe, ninakukubali sana
@PriscaJohn-rs9pq
@PriscaJohn-rs9pq 2 месяца назад
Mungu ijaalie ushindi timu yangu yanga
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 2 месяца назад
Ndiooooo sema Kaka Alyy
@Kichu_fl1970
@Kichu_fl1970 2 месяца назад
Atakufa jitu
@jackisonngosha5533
@jackisonngosha5533 2 месяца назад
Yanga anachukua kombe akuna wa kumzuia ata kidogo
@aliymwanafuno9848
@aliymwanafuno9848 2 месяца назад
Daaaah pacome kalia,jaman jaman 😂😂
@RobatAllaya
@RobatAllaya 2 месяца назад
Kwani yanga wasemaji ni wangap
@SikitikoMwalongo
@SikitikoMwalongo 2 месяца назад
Maneno yawagen wetu tunawakaribisha....
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 2 месяца назад
Naona kaingia choo Cha wavulana....sio Cha wanaume...atatujua...najua ataisaau Tim ya yanga...utatutambua tafuta pa kujishikilia
@reubenbegashe2372
@reubenbegashe2372 2 месяца назад
Vitalo vs Yanga Wewe unawashwa na Simba
@shanisalum3921
@shanisalum3921 2 месяца назад
Tuwapige 5 kisha wakija kwamkapa wakutane na bango
@CleyKobelu-j8n
@CleyKobelu-j8n 2 месяца назад
kiukweli hata kama ndiyo ningekuwa ni mimi ningeongea kama alivo ongea uyu wa vitaloo kwanza wao ndio wenyeji awana mashabiki wasipo fanya ivo je ela za kuludia kwao zitatoka wapi . ?
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 месяца назад
Hii mechi ilikuwa ya kawida sana,ila saizi naona kabisa itakuwa mechi ya kufa na kuzika.
@BabaMkuu
@BabaMkuu 2 месяца назад
Semaji ukimaliza maneno wambie ule msemo wetu NYIE HAMUOGOPI
@IbrahimYohana
@IbrahimYohana 2 месяца назад
😂usemaji ni kipaji,
@shanelynchimbi3553
@shanelynchimbi3553 2 месяца назад
Huu mdomo ungekuwa unapiga bol watu wasingefika studium
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 месяца назад
Toa makasiriko
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 месяца назад
Wap ww kamwe jaman misri wameanza kuwajua yanga wap simba iko nafasi ya 7 nyie mko nafasi ya ngapi???????
@RamadhanYassin-tn9if
@RamadhanYassin-tn9if 2 месяца назад
Semaji la kiume lakin choko 😂😂😂😂😂😂😂 labda ulie ww sio pacome
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 месяца назад
MUWE MAKINI HAO VITAL'O ISHAIBAMIZA SIMBA GOLI 7 -0 REDIO NA MAGAZETI YOTE VIKAWA KIMYAAA ILI KUPOTEZEA HIYO AIBU MPAKA LEO WATU AWAJUI...ILA NIMEMSIKIA HUYO MSEMAJI WA VITAL'O ANAIKUMBUSHIA HIYO MECHI WALIYOIBAMIZA SIMBA GOLI 7
Далее
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37