Тёмный

ALLY KAMWE USO KWA USO NA MSEMAJI WA SINGIDA BIG STARS/HAWANA MASWALI YA KUTUULIZA/TULIWAPIGA NNE... 

Mpenja TV
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Katika Dimba la Amaan Zanzibar, Umepigwa Mtanange wa Kombe la Mapinduzi kati ya Yanga Sc na KMKM, ambapo Yanga Wameshinda Kwa Goli 1-0.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@awadhiomari5172
@awadhiomari5172 Год назад
Katika wasemaji wenye akili kwenye hizi club zetu hakuna atakaye mfikia Aly kamwe aly kamwe anajua na ana upeo mkubwa sana mungu ampe umri mrefu na mpenja Tv salut kwenu mungu awafanyie wepesi kwenye kazi zenu
@apostleisaacnyika4669
@apostleisaacnyika4669 Год назад
Ally Kamwe Umesahau kuwa Hiyo timu ni Bingwa Mtetezi...Kwa mara ya kwanza bingwa mtetezi kacheza mechi moja na kuvuliwa ubingwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
ALLY KAMWE ANAKERAA SANAAA😂😂😂
@polejeremiah
@polejeremiah Год назад
Ally anakera kistaarabu tena na smile juu, jane mwenyw anaenjoy interview yake😂😂
@kunojengo
@kunojengo Год назад
Aly Kamwe anajua sana kukera kistaarabu kabisa 😂😂😂
@polejeremiah
@polejeremiah Год назад
Kiustaarabu kbx😅😅
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 Год назад
🤣🤣🤣🤣kweli
@pendosamwel1255
@pendosamwel1255 Год назад
Ndunduka FC Ally kamwe unajua kukelaaa kistarabu
@jivankulikwa24
@jivankulikwa24 Год назад
Ila kamwee mmh!!!!
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 Год назад
Wakat tunaanza sikutegemea performance ya Ally kama itakuwa hv.
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Ally anapenda sana utani
@chemstry409
@chemstry409 Год назад
MAKAPI...... DUNDUKA FC....😘😘😘
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Год назад
Beki za miaka miaka maika hamsini na sita eheee!! "Onyango"🤭
@beatusmtui507
@beatusmtui507 Год назад
Nimewapenda Santa mnavyobishana kistaarabu, sure mnapendeza kubishana,🙏🙏🙏🙏🙏
@mwasanyagiyunus5720
@mwasanyagiyunus5720 Год назад
komeni ni mzuri maana msimu wa 2021 na 2022 alikuwa kipa no 3 Tanzania
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 Год назад
Madunduka fc 😂😂😂😂💥
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 Год назад
Ally kamwe mkorofi sana
@saidiabdi6993
@saidiabdi6993 Год назад
Yaniminachekatuuu hapa we ally .kweli upovizuri
@royalprodz019
@royalprodz019 Год назад
Darwesh anajua
@samwelmoronya602
@samwelmoronya602 Год назад
Semaji la wananchiiiiiiiiiiiiiiiiioi 💚💚
@daniologymsyomi4750
@daniologymsyomi4750 Год назад
Kwa usemaji huu mtashinda saana kwenye Nani msemaji Bora mwaka huu.
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
MADUNDUKA FC😅😅😅
@vivanyboy9743
@vivanyboy9743 Год назад
aly kamwe ni mmoja tu ila nmecheka cna dunduka a,k,a popoma
@nanah0534
@nanah0534 Год назад
Ila Alikamwe 🙌🏾🤣🤣🤣🤣
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Год назад
Goll.. Mashaallah Mashaallah Mashaallah Aliy Ukisifu Kitu Tanguliza Neno Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@edgerlugenge147
@edgerlugenge147 Год назад
ali kamwe unawakela sana 😃😃😃
@haidarykufakunoga5973
@haidarykufakunoga5973 Год назад
Ally, Ally, hiyo Dunduka nimeipenda, Fundi Machenic huyo cheupe mpya wa Makolo?🤣🤣🤣🤣🤣. INAPENDEZA 👍 👍👍🤣🤣😂😂
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya Год назад
Ungekua ungetunza maneno ALLY
@michaelajohn3858
@michaelajohn3858 Год назад
Kamwe anajua Kwa kweli
@josephmushi6149
@josephmushi6149 Год назад
Ally kamwe au sio mtanzania
@sirurithomas3126
@sirurithomas3126 Год назад
😂😂😂😂😂Eti dunduka fc
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Год назад
Darueshi kale ka jamaa ni kafundi kweli kweli fanyeni mpango kaje timu ya wakubwa kako vizuriiiii mpaka kanakera
@shilikale
@shilikale Год назад
Ally Kamweeeee unakera mnoooooo
@asiahassani4997
@asiahassani4997 Год назад
Wallah Ally kamwe anafrahisha sana
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
🤣🤣🤣🤣😂manala wann huyu jamaa anatosha
@neemachusi7262
@neemachusi7262 Год назад
Ally kamwe we takataka
@ashuramhandoashuramhando6798
Semaji letu kisomi zaidi taratibu anawakera🤣🤣🤣🤣🤣💛💚🙏🙏
@nickolassaimoni7675
@nickolassaimoni7675 Год назад
Hii ndiyo raha ya msemaji mwelewa. Hakasiriki. Naomba uwaonee huruma dunduka
@jorginhoNathan5
@jorginhoNathan5 Год назад
Kanaongea sana ndo tatizo , ni afisa Habari au ni aliajiriwa kuchamba
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 Год назад
Na hayo ndio magori yao ya ushindi hata kwenye ligi kaache kaongee tu iko siku atasema tafasiri alisi ya dunduka siku hiyo
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 Год назад
Usijisahaulishe. River unaited alikufanyaje
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 Год назад
Ali kmwe abu wakele aoo nakupenda msemaja wetu
@beatusmtui507
@beatusmtui507 Год назад
Alikamwe ndugu yanguu mim naogopa hii mechi maana singida sio wadogo kihivyo
@zulfarutengwe7116
@zulfarutengwe7116 Год назад
Alli kamwe yaani anakera
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 Год назад
Ali, Why Umtaje Onyngo na Miaka Yake 56? Why Umtaje Ntibanzonkiza 48? Why Umtaje Inonga na Miaka 49? Why Umtaje Nyoni Miaka 58? Why Umtaje Okwa Miaka 53?
@msuyarashid9482
@msuyarashid9482 Год назад
Hana lolote
@elhamaziz3554
@elhamaziz3554 Год назад
Ally kamwe nimekuvulia kofia😂😂
@tonex6comedy
@tonex6comedy Год назад
Nmecheka sana ety wanalima alizeti wanaletamjini
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
Ali kamwe anamdomo jmn🤣🤣
@rashidmgeni7651
@rashidmgeni7651 Год назад
Unapend kushika wadada wa mpenja daah semaj la mpira semaj la wananch
@futurecarefamily5454
@futurecarefamily5454 Год назад
Hivi hapa nilikuwa napitia comments zote kwamba hawajaona ally kwenye haba zito na huyo dada wa Tangazaji la kabumbu Dunia ya Saba?? 😘😘wasitudanganye... But safiiiii😋😋😋
@shehushagari7167
@shehushagari7167 Год назад
Kweli atamimi darueshi nimemuona anajuws
@jumaomar7450
@jumaomar7450 Год назад
Ali kamwe tukupe ulinzi unakera sanaa watakupiga 😃😃😃😃😃😃😃😃
@zuhramaulid1674
@zuhramaulid1674 Год назад
Wape Salam bro
@wanyooshetv9987
@wanyooshetv9987 Год назад
Simba BABALAO haiishi kutamkwa midomoni mwa pwapwatu fc
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Wallaahi wabillaahi Ali kamwe unakera sanaaaaa🤣🤣
@selector5929
@selector5929 Год назад
sema kwenye johora foot work ya miguu ankali umetudanganya
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Год назад
Dunduuka mbona povu
@godyfreymwamihogody9974
@godyfreymwamihogody9974 Год назад
Haaaaaaaa duuu uuuu 😂😂😂😂😂😂 apo kwenye ndunduka
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Год назад
Ally kamwe ni semaji la kistarabuu sana lakini anakela sana like zenu hapa 🤣🤣🤣🤣
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Год назад
NI URAFIKI WA KIMCHEZO MZURI SANA KWA KWELI KUTANIANA KAMA HIVI HONGERENI SANA
@lovenesignas5480
@lovenesignas5480 Год назад
Wala sikuwahi kutegrmea kama ally atakua anaongea hivi
@habakukikasiano5445
@habakukikasiano5445 Год назад
Sawa ali
@geofreysteven
@geofreysteven Год назад
Waganga wazur🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kulwapaul2379
@kulwapaul2379 Год назад
Simba waruditu nyumban aiseee
@nasirkilapo6041
@nasirkilapo6041 Год назад
Msema uyo msezi anaongea kama ataki ilanakela😂😂😂
@mwinjanavil
@mwinjanavil Год назад
haijawahi kutokea bingwa mtetezi akatolewa baada ya mechi moja tu.. zaidi ya dunduka fc🤣🤣
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Год назад
Wananchiiii
@octavian54
@octavian54 Год назад
Wametutia Haibu🤣🤣🤣
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 Год назад
Manyani yanajifurahisha sana hayana lolote
@sultanisaidi9701
@sultanisaidi9701 Год назад
😃😃😃😃😃😃😃😃😃 fund geleji
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Год назад
Nkubali ali
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
Haka kajamaa kanaonekana kahuni hivi🤣🤣🤣🤣🤣
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Год назад
madunduka vip uko sangapi leo 😂😄
@mdemualphonce1559
@mdemualphonce1559 Год назад
Huyu ashura arudi yamemkuta
@justinefrank9915
@justinefrank9915 Год назад
Mpojamanii
@iddfundikira9761
@iddfundikira9761 Год назад
Madunduka FC mechi moja out
@zilperoscar7389
@zilperoscar7389 Год назад
Hili jina la madunduka ni kama limekaa pw Kiaina 😂😂😂😂😂😂
@sharifuramadhani2807
@sharifuramadhani2807 Год назад
Dunduka fc limekaaa poa kbs 🤣🤣🤣
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
Yaani liko vizuri litatusaidia sana kwenye michuano hii,pongezi za dhati ziende kwa bwatu bwatu mzalamo🤣🤣🤣🤣
@zuumselem7177
@zuumselem7177 Год назад
Nyie fanyeni yenu ya Simba hauakuusu.nyie ndio unaumiza kichwa kwa Simba.kuichawia.
@daniologymsyomi4750
@daniologymsyomi4750 Год назад
Mnawa dis bodaboda kwakuwa hawachangii chochote kwenye ujenzi wa viwanja vyenu na shule wanazosoma watoto wenu au?
@benjaminenhandi6097
@benjaminenhandi6097 Год назад
Madunduka 🤣🤣🤣🤣
@justinefrank9915
@justinefrank9915 Год назад
Ndunduka fc
@mussakisoki6180
@mussakisoki6180 Год назад
Eti hakuna kurudisha
@justinefrank9915
@justinefrank9915 Год назад
Ndunduka fc wanajaanyembe
@yasminelukindo3031
@yasminelukindo3031 Год назад
😂😂😂😂Ally kamwe
@emmanuelmwankosole6932
@emmanuelmwankosole6932 Год назад
Mmmmmh
@akbarsuleimanmdimilage8371
@akbarsuleimanmdimilage8371 Год назад
Wewe mwehu ubuyu utuletee wewe sisi tumesahau
@ramadhaniiddi9930
@ramadhaniiddi9930 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🌷🤣🤣
@kassimuhassani7170
@kassimuhassani7170 Год назад
😆😆😆😆😆😆
@robsonnatanael8589
@robsonnatanael8589 Год назад
😅😅😂😂Dunduka Fc😅😅
@timotweyf.malashi4567
@timotweyf.malashi4567 Год назад
Dunduka fc haaaaaa
@samsonmbwaga8082
@samsonmbwaga8082 Год назад
Ukiona mtu anaamka na kuongelea timu inayomuumiza ujue ana mahaba nayo sema tuu anashindwa la kusema
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Год назад
Ww uwa unaongea shetan unae mahaba.chefu
@samsonmbwaga8082
@samsonmbwaga8082 Год назад
@@mdalamgir-gu9hu sisi hua tunaongea na wasomi ndo mana nimewaandikia wanaojitambua
@abuumtoa2336
@abuumtoa2336 Год назад
Nimekuelewa maana Ahmed Ally anaiongelea sn yanga
@hamismsusa732
@hamismsusa732 Год назад
ally utazidi kukondaaa na mishaara ya dusko duskoo mmemshindwa fey mmemchukua mzee yahya wa ufukweni na badoooo
@monicamayaya3494
@monicamayaya3494 Год назад
Akati ndo ananenepa mweee wivu utakuua😂😂😂😂 Kwan Fei ndo anamlisha ally au mihemko yenu dunduka fc
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Год назад
Dunduka fc mpo humu?
@josepeter8033
@josepeter8033 Год назад
😂😂😂🙌
@philismbuluma5461
@philismbuluma5461 Год назад
😂😂😂😂😂 Ila alikamwe
@b1vevo
@b1vevo Год назад
😂😂😂
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Год назад
Ally kamwe punguza uchale na mwache mwenzio azungumze.utani wenu fanyeni nyuma ya camera.
@shaby5043
@shaby5043 Год назад
Dunduka fc
@husseinnkuna6401
@husseinnkuna6401 Год назад
Dundukaa 🤣🤣🤣
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 Год назад
🤣🤣🤣🤣kamwe mkeraji
@felixbenos6365
@felixbenos6365 Год назад
Maduduka fc🤣🤣
@rehemasaid3083
@rehemasaid3083 Год назад
Ila ali usemeaji wako haujawahi kutokea unaongea kwa furaha unafurahisha yaani napenda usemaji wako ,hapo kwenye dunduka na kama atakuwa na waganga wazuri hahahahau
@stanfordyohana7939
@stanfordyohana7939 Год назад
🤣🤣🤣🤣kamwe balaa
@rezicky
@rezicky Год назад
😃😃😃
@lamecksimba5473
@lamecksimba5473 Год назад
msemaji wa wananchi anacheka kama shoga
@rezicky
@rezicky Год назад
Mh sibure
@meshackmwalongo1753
@meshackmwalongo1753 Год назад
Nani atakubali kusaini mkataba wakufia yanga alipwe lakimbili.
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Год назад
MADUNDUKA FC MAKASILIKO YA NINI
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Год назад
Mpaka muuze ngada makambini ndipo mpate hela ya usajili, tafuta fedha ya mdhamana wa Kocha wenu wakala wa ngada aliyeko korokoroni! Tulia ikuingie!
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн