Тёмный

KAMWE & AHMED ALLY WAKUTANA KWENYE BOTI, YANGA WAMEJIPATA LINI? "MUNGU ANA MAJINA 99" NINI CHEMALONE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 109 тыс.
50% 1

&

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@swedychando3682
@swedychando3682 Год назад
Hawa jamaa wawili wanajua nini maana ya michezo na sitegemei kama kuna siku itatokea mmoja Kati yao atafungiwa kama wasemaji waliopita huko nyuma ni wasemaji wanaojitambua na wanabusara sana allah awasimamie vyema kwenye kazi yao ( mwana simba )
@hajimaster7624
@hajimaster7624 Год назад
Doooh kamwe kamuacha mbali mnoo ahmed kwenye kujielezea😅
@scopy0428
@scopy0428 Год назад
Kamwe ni professional kwenye masuala ya kuhabarisha habar
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Год назад
ALI I LIKE THE WAY YOU RESPOND SIR
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 Год назад
,😂😂😂😂😂😂😂😂
@EsterMaro-p6c
@EsterMaro-p6c Год назад
Mungu amubariki da Nandi na amujalie maisha marefu ❤
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Год назад
Wow SEMAJI LA DUNIA kIMPIRA Ash tag Ally sSHABAN KAMWE
@ifraimifraimuhusen282
@ifraimifraimuhusen282 Год назад
Mwandishi kazidiwa, Angeipendezesha sana
@mambopoa0170
@mambopoa0170 Месяц назад
.... Una qkiki km zangu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mie aise nawapenda tu Ahmed ally ft ally kamwee sio kwenye michezo tu yaan mbk kwenye maisha yenu ya private mnashilikiana
@godfreyndulu1764
@godfreyndulu1764 Год назад
Ahmed anajua sana 👏👏
@eliupendo3205
@eliupendo3205 Год назад
Semaji tu nae 💚💚💛💛💪
@emmanuellukas8591
@emmanuellukas8591 Год назад
Kama kuna mtu kafurahi kwa video Kama mmi Basi like Basi tujuane ila Mimi ni yanga💚💚💚
@sadickbukuku1427
@sadickbukuku1427 Год назад
Me simba😁😁
@samariakwayamizuundugutisi5761
Ppp
@samariakwayamizuundugutisi5761
P Ppp P
@samariakwayamizuundugutisi5761
P Ppp P P Pp
@SalimMohd-g6x
@SalimMohd-g6x 3 месяца назад
Mm nishabiki wasimba ila Ahmed Ali unakosea mungu hafanani nachochote
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 Год назад
Huaga napenda nikiwaona pamoja hivi, hapo amekosekana yule mwamba wa Azam tu huaga hawaishi kufurahisha
@AminaLibisa
@AminaLibisa Год назад
❤❤❤❤sema semaji la kimataifa
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Год назад
Hahahaaa! Ahmedally leo umenichekesha sanaaa. Umemuelewesha babaako kikubwa sana😀
@GodfreyBisaku-in5or
@GodfreyBisaku-in5or Год назад
Haha bonge la interview😊😊
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Год назад
Haha! 😂 Ati uwanja una visiki tena. Duh
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Wote hawana ushabiki wowote ni kazi tu😅😅
@IssaMadeje-pp1ut
@IssaMadeje-pp1ut Год назад
Semaji mwambie
@RukiaSoko
@RukiaSoko Год назад
Nimewapenda sana
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Год назад
SEMAJI LA CAF umetisha sana, Dogo hakuwezi huyo
@Hassanali-sq2dm
@Hassanali-sq2dm Год назад
Hadi mm nimefrai ila mm ni simba❤❤❤
@CastoMbawala
@CastoMbawala Год назад
Yanga nouma🎉❤
@tumainimwaitebele8926
@tumainimwaitebele8926 Год назад
Ahmed Ally Mtoto wa Ally Kamwe.watani hao.
@JacksonAsheri-vi8gh
@JacksonAsheri-vi8gh 3 месяца назад
Haaaaaaaaa ila harmonize
@SamsonKarungubale-dh4so
@SamsonKarungubale-dh4so Год назад
Sio maziwa ya ases
@Agath45
@Agath45 Год назад
Yaani hawa watu wanafanya nipende mpira napenda ambavyo wanabishana
@mussamansour
@mussamansour Год назад
Kwahapo mm naona mwezi na jua vimekutana kwenye njia moja
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 Год назад
Hawa ndio wasemaji hamna bifu Wala ugomvi hapo angekuwa yule jamaa hapo pangechimbika
@Agath45
@Agath45 Год назад
Kabisa
@esromkanubo815
@esromkanubo815 Год назад
Eti maziwa ya asas
@maxmia100
@maxmia100 Год назад
Ahamedy ngao ya hisani ni ya Lage na marefa so hamaedy we boyaaa tu
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer Год назад
👏👏👏👏👏👏🦁❤❤❤❤❤
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
Ila Ahmed😂😂😂😂
@esthersamwel7918
@esthersamwel7918 Год назад
Acha ushamba c kitenge
@hamisitoky6724
@hamisitoky6724 Год назад
Ahmed Ally mkorofi
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Год назад
Hivi Yao ni WA TUNDURU au?😅😅
@denis-km9a3ro6k
@denis-km9a3ro6k Год назад
Ahmedally anawapa furaha apo
@aproniamasatu5810
@aproniamasatu5810 Год назад
Ally kamwe saaana tu mwananchi
@mambopoa0170
@mambopoa0170 Месяц назад
.... Ally Kamwe
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer Год назад
🦁🏆🏆🏆💪💪💪💪
@shizoshop2469
@shizoshop2469 Год назад
Ila Ahmed anajua kukipamba chake jamani😂😂😂😂
@LuluKimaro-j4x
@LuluKimaro-j4x Год назад
Ally kamwe tunakupa kongole
@LuluKimaro-j4x
@LuluKimaro-j4x Год назад
Wenyew mikia hawan sera
@Emmanuel-r4q
@Emmanuel-r4q Год назад
Me simba nimeipa
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 Год назад
Yule cyo YAO Ni YO YO
@sidyhamza
@sidyhamza Год назад
awanjaamaa poa cn
@ibraimuomary
@ibraimuomary Год назад
haaaaaaaaa acha ni cheke😂😂😂😂
@Wema-y4k
@Wema-y4k Год назад
💚💚💚💚💚🎄💚💚💚
@mwelimazozo9691
@mwelimazozo9691 Год назад
Nawakubal sana
@StivenKingu-oi5jn
@StivenKingu-oi5jn Год назад
Ali kamwe mshamba au anaogoka kupoteza kibarua. Piga pamba za ktaa babu sio kila mahali unavaa jezi za yanga
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
Pamba gani!!!watoto wa mjini kila nguo ni nguo hakuna pamba zote zinatakiwa
@ramajr3762
@ramajr3762 Год назад
Kenge blue wewe hiyo jersey unajua shingap
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
Halafu utambue zanz kuna joto ukianza kuvaa vitu vya kukubana na kuchomekea muda mrefu inakuwa hatari sana
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
@@ramajr3762 unajua masikini wamezoea kuvaa kitajiri ili waonekane wanayopesa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Ehh wabongo wanabishana mambo ya mpira 24/7
@clarastuart6347
@clarastuart6347 Год назад
Kualikwa tu sehemu unaenda na nguo ya yanga fyuuu
@irinikoipai3936
@irinikoipai3936 Год назад
Manara jifunze kwa Hawa majamaa
@Agath45
@Agath45 Год назад
Kabisa hawa hawana uadui
@bensimon7330
@bensimon7330 Год назад
alisalim na Ahmed avc town watupe siku
@azizimangara9024
@azizimangara9024 Год назад
Kamwe kafata ugali mbona, Mnyama damu.
@KhadijaKiwambu
@KhadijaKiwambu Год назад
We urimuona. Kama simba
@magrethcostantine9223
@magrethcostantine9223 Год назад
Utajiju na li yanga lako
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 Год назад
Sijawahi muona huyu jama yupo vizuli
@DorahAlbert-e8w
@DorahAlbert-e8w Год назад
Ali Kamwe Bado mshamba Kila siku ye na Jezi ya Yanga,au Hana nguo zingine?!
@TaskoTembo
@TaskoTembo Год назад
Hana mnunulie bac mwenzako hapo anatafuta ela na sio show off
@vicky_ylove14.
@vicky_ylove14. Год назад
Hahahhahhahahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍 Acha nicheke
@SamsonKarungubale-dh4so
@SamsonKarungubale-dh4so Год назад
Sio maziwa ya ases
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.