Mimi nakumbuka wakati huwo nipo shule ya msingi mgulani, hawo waimba taarabu walikuwa wakiimba pake kambi ya jeshi jkt mgulani najisikia uchungu sana upendo wa nyumbani Tanzania siupati kama ninavyotataka lkn nashukuru nipo mpaka leo nasikia vingi kutoka nyumbani ahasante mungu !!