Тёмный

Ambwene Mwasongwe: Pita kinyume na mawazo ya Adui yako 

Ambwene Mwasongwe
Подписаться 183 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@Farajamwakalinga
@Farajamwakalinga Год назад
Mimi wimbo wa (Yeye katika siku zake alimtolea MUNGU ibada) unanifanya kila siku nipate nguvu mpya ya kutenda kwaajili ya Bwana... Barikiwa sana
@wilsonmwimi2392
@wilsonmwimi2392 Год назад
Yaaaani Hiyo kazi nisoo nanisoo Tena Mungu ampe Neeema zaidi asee
@Duma700
@Duma700 Год назад
Jina la huo wimbo unaitwaje hua natafuta jina lake lakn nakosa
@Farajamwakalinga
@Farajamwakalinga Год назад
Labda nikutumie Whatsapp.. maana ninao tu kwenye simu.. ila RU-vid sijajua unapatikana kwa kina gani
@gracesanga6489
@gracesanga6489 6 месяцев назад
nyimbo zako kiujumla ni mafundisho toshakwenye maisha yangu,ulio nitoa sehem moja kwenda nyingine nguvu ya msamaha barikiwa sana
@peninakirita7614
@peninakirita7614 Год назад
Kutoka Kenya napenda nyimbo za Ambwene Sana,mungu akubariki.
@agnesskandonga8752
@agnesskandonga8752 11 месяцев назад
barikiwa sana kaka, hakuna wimbo wako nimewahi kuusikia nisijengwe, nisitamani kuusikia hadi mwisho, una mafuta ya tofauti sana, Bwana na akuinue
@josephpartson6053
@josephpartson6053 Год назад
All ze best mkuu wangu...hudumu Milele na hekima yako
@Lusekelo98
@Lusekelo98 Год назад
Huduma yako BWANA MUNGU azidi kuiongoza kila siku. Huduma ya uimbaji wenu inatugusa sana, pia imekuwa kama sehemu ya maombi pindi tusipoweza kuomba chochote kwa BWANA MUNGU. Mara nyingi maombi yaliyo katika nyimbo hizi yamekuwa ndiyo maombi yetu na sehemu ya kuanzia uombaji pindi mioyo yetu inapoumia na kushindwa kuomba. Mtumishi iombee zaidi huduma yako, tunabarikiwa nayo.
@Cinetronix
@Cinetronix Год назад
Daah kaka nataman ata uwe na mafundisho bhas niwe nakusklza maan hapo umeongea kdg tu but much blessed
@onesmartcars525
@onesmartcars525 Год назад
Ameen sema host anakatiza sana story nzuri,,,atulie tupate madini
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 3 месяца назад
Amen mtumishi Ubarikiwe
@esterkilinda
@esterkilinda Год назад
Kaka Ambwene Mwasongwe Mungu akulinde huduma yako ni njema
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Год назад
Nakuelewa sana kaka Mungu akubariki sana kakaangu Ambwene na uendelee kuishi maisha marefu
@bahatijeanclaude3905
@bahatijeanclaude3905 Год назад
Napenda nyimbo zako Kaka barikiwa na Mungu♥️🌹
@drmirambo1300
@drmirambo1300 Год назад
Mungu akubariki sana mwalimu,
@gee_gm
@gee_gm Год назад
Ee MUNGU nijaalie upendo wa agape! 🤲🙏 Nisaidie nilipe mema kwa mabaya daima! Amen.
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Год назад
Moja kati ya vitu vibaya katika familia au sema na umaskini nao unachangia kutembea katika gari familia moja n hatari sna
@AkiliKaskileacunga-id4bj
@AkiliKaskileacunga-id4bj Год назад
Mungu hakubariki mwalimu
@rehemamzumbwe1816
@rehemamzumbwe1816 Год назад
Nabarikiwa sana na nyimbo za kaka Ambwene be blessed more na Mungu akutumie Kwa viwango vya juu zaidi
@neemajulius8017
@neemajulius8017 Год назад
Safiii mtumishi!nmependa sana majibu yako ya upendo,Mungu nisaidie yule anaenifnyia ubaya nilimlipe mema ili abaki akihangaika na roho yake mbaya🙏
@evelyneibrahim7397
@evelyneibrahim7397 Год назад
Amina barikiwa. Nimeelewa upendo wa Agape.
@elizabethmgina945
@elizabethmgina945 Год назад
Nabarikiwa sana na nyimbo zake
@donzaky6775
@donzaky6775 Год назад
Hakika hata sisi hapa Congo DR 🇨🇩 tunaipenda sana nyimbo zako Ambwene, ni miongoni mwa nyimbo ninayoyapenda sana kusikia kwenye Playlist yangu. #Mungu akubariki sana
@mbembelatv
@mbembelatv Год назад
This man is My favorite 🙌
@hadasafesto6111
@hadasafesto6111 Год назад
Amen. Kweli kabisa Mwl. MUNGU azidi kukubariki sana
@IssaBass7
@IssaBass7 Год назад
Appreciate San kaka❤
@linahsenyagwa2316
@linahsenyagwa2316 Год назад
Ubarikiwe Bro
@davidngailo7966
@davidngailo7966 Год назад
Mungu akubariki
@mamamchngai
@mamamchngai Год назад
Misuli ya imani ni wimbo na video *iliyotujenga sana kiimani* Kumbe ni true story @mch Ngai fuatilia hii
@GodsonLaizer-fx8by
@GodsonLaizer-fx8by Год назад
Ambwene huyu Kila nikimsikiza hakuwahi kuniacha salama, na natamani sana nimshuhudie kuhusu albam yake ya misuli ya Imani , ni kweli ameeleza mambo ambayo Huwa najilazimisha kufanya na mwisho Mungu amenitokea kwa miujiza mikubwa tu, ambwene alipo oa alikuwa honeymoon ktk hoteli ya giraffe pale mbezi na nilitamani sana kusema naye nimweleze ila nilipoenda nikmkuta km ansema jambo na mke wake nikaondoka ,nilienda tena ila kwa kuwa nilikuwa kazini nikaogopa baada ya boss wangu kunipa kazi upande mwingine ila hakika natamani sana nisaidieni no yake mwenye nayo
@PrinciAlbert
@PrinciAlbert Год назад
Natosheka na haya majibu kabisa 👐🏻👐🏻👐🏻👌🏼👌🏼👌🏼
@sawasawaJoel
@sawasawaJoel 10 месяцев назад
Mimi ni mu Congo lakini ninatamani hâta Siku moja ni mu one ambwene kwani nyimbo anazo imba zina ni gusa sana n'a Ku nipa wakovu kabisa
@kissamahiki7895
@kissamahiki7895 Год назад
❤❤❤❤🎉
@danielmwami
@danielmwami Год назад
Iko kweli sana 🙏
@YANGAHIGHLTS3073
@YANGAHIGHLTS3073 Год назад
Ameen
@estermnunke9485
@estermnunke9485 Год назад
aisee umeongea point tupu
@jamesfanuel4595
@jamesfanuel4595 Год назад
Amen..
@amosijohn987
@amosijohn987 Год назад
Ni msaada wa Mungu kumtumia alicho andaa kukitumia hivyo UTUKUFUKWA MUNGU KUTUPA KINACHO STAHILI
@amosijohn987
@amosijohn987 Год назад
Kutumia alicho andaa kukitumia
@mkizomsafi6956
@mkizomsafi6956 Год назад
Leo wasafi wamenipa nacho taka
@elvismalonga7427
@elvismalonga7427 Год назад
Tafazali tunachuga nyimbo zegine ???
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 Год назад
Interview yenye mafunzo kuelimisha kuburudisha
Далее
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 9 млн
новое испытание
00:40
Просмотров 194 тыс.
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 496 тыс.
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Просмотров 69 тыс.
Elewa Kitabu Cha wimbo ulio bora: Ambwene Mwasongwe
8:07
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 9 млн