Kama uliwahi kupita mapito magumu na kudhani kabisa hutoweza kuvuka😭😭😭mara pap! Ukayavuka lazima ukisikia huu wimbo ulie😭😭😭 ASANTE BWANA KWA KUNIKUMBUKA 😭😭😭
Eee Mungu uikumbuke Tanzania yetu Mauwaji yamekua mengi sana 😭😭😭😭 tusamehe uturehemu na ututakase Yesu 🙏🏼🙏🏼 turudishie kupendana na kuchukuliana madhaifu tunaomba Baba 😭😭🤲🏾. Amen
Hakika sio wote wanaokwenda jela wamekosa, wengine wanasingiziwa tu. Wimbo huu unanikumbusha nina rafiki yangu tuliyesoma wote kozi ya utabibu CO mwaka wa kwanza then akahamia chuo kingine baada ya kumaliza mwaka wa pili akabambikiziwa kesi ya kumbaka hadi kufa mtoto wa kaka yake akaenda jela ila baada ya mwaka mmoja ikabainika amesingiziwa daaah so pain , Mungu ndio mtoa haki ahsante sana kaka ambwene napenda sana tungo zako ujumbe katika nyimbo zako.
Sio wote walioko jela n wakosaji ama Wana hatia ila n kwamba tu wamejikuta either kusingiziw ama jumba bovu kuwaangukia ee mungu usikiaye maombi Kila aliejikuta uko bila hatia jua la haki likamzukie na ukamkumbuke...hakika Ambwene mm huwa najikuta nasikilz nyimbo zake natokwa tu na machozi ....
Unaweza guswa na Habari ya Yusuphu,kumbe hata sasa Kina Yusuph wengine wangali wakionesha ukuu wa Mungu, Akhsante Mungu kuyashuhudia haya katika macho yangu,Wewe ni Mungu wa Nyakati Zote,Ambwene Ambwene
Wimbo huu unaniumiza sana kila nkikumbuka hii story ya mauaji mwaka 2006 ubungo mataa (Kijazi Interchange), huyo main character kwenye video ndio alikutana na huu mkasa kukaa miaka tisa kwa kesi ya kusingiziwa an. Ila Mungu mkubwa na anataendelea kumuweka juu ya maadui zake. Amen
Huu wimbo nimeusikiliza na nimesikiliza na historia ya huyo baba, binafsi namuombea sana kwa Mungu amukumbuke na kila kilichochake kirudi kwake kwa jina la Yesu kristo. ikiwa wana wa Israel walikumbukwa basi na yeye akumbukwe ili sifa na utukufu virudi kwake Yesu.
Mungu nikumbuke nimefiwa wazazi wote ndoa nayo nanyanyasika kupigwa kila mwezi,ndugu zangu hawaamini wanasena nataka kwenda kufanya umalaya, nikumbuke mungu 😭😭😭
UNIKUMBUKE ni moja ya nyimbo ninayoipenda sanaa nikiwa nasikiliza najikuta nafarijika Mungu akubariki ambwene mwasongwe kwa tungo nzuri za nyimbo zako 🙏🙏🙏
nimemuona huyu jamaa aliyesingiziwa kesi hiyo kweli kweli Mungu huwa anasababu ya kila jambo haijawahi kuwa rahisi kaka samehe kunajambo Mungu ameakuandalia sehemu mwanandamu hakupanga au kupaswa kujua haikuwa bureee, nahisi huzuni sio huruma na ninaamini katika Kristo anayeishi Utakuwa mkuu siku moja, Amen
Nimelia Sana Baba angu alikamatwa Kwa kosa la kusingiziwa Akaenda Segerea 😭😭😭 Alipotoka baada ya miaka miwili akafariki 😭😭😭😭😭 Mungu wangu nakuomba umrehem baba yngu Na uwakumbuke wote wasio na hatia 🙏🙏🙏
Pole sana kaka Nathareth kwa mapito makubwa na mazito uliyo yapitia hakika ni mungu tu na pia ubarikiwe sana kaka ambwene mwasongwe kwa huu wimbo mzuri wewe kufariji mioyo ya watu iliyovunjika kwa changamoto nzito tunazopitia apa duniani ubarikiwe sana kaka
Nikiona sms kama hyo yako napata matumani kweli upendo wakweli bado upo, Kuna sisi upo kwenye ndoa ila mume anakutelekeza na watoto alafu anakuambia yeye aishi ofisini analala huko huko ofisini ingalia ana kwake ataki kurudi nyumbani kwake Huku mkiwa hamna ugovi wowte, Mungu uikumbuke ndoa yangu mim sijui chochte bwana ...😢😢😢
Ambwene ni miongoni mwa waimbaji wenye upako. Mungu azidi kukuinua Mtumishi. Ambwene est parmi les chanteurs nommés. Que que Dieu continue à t'élever son Serviteur. Ambwene is among the annointed singers. May God continue to raise you up. Jumbe zako sku zote zinagusa nyoyo. Tes messages, toujours touchent la coeur. Your messages are always touching the souls. Que Die te bennisse beaucoup.
Huyu mwamba nimeifuatilia story yake ni ya kweli kabisa na nimeona kwe wimbo, Pole chief kwa mapitio wanyakyusa wanasema "UNGAPASYAGA PAPO NDE NUNGWE "Mungu amrehemu Mtoto na shemeji yetu na dada.
Kaka yangu Ambwene, this song speaks our life, some of us been to jail without having committed a crime! We’ve cried a million times before God and now we here, MUNGU NI MWEMA!! NIKUMBUKE, NIMEKUMBUKWA🙏🏽😭😭
I have cried 😢 jamani. Ila nani Kama MUNGU anaetufuta machozi yetu. Nazareth will never be the same, but GOD has already changed his story. Isaiah 61:3 “…to bestow on them a crown of beauty instead of ashes, the oil of joy instead of mourning, and a garment of praise instead of a spirit of despair”. GOD BLESS you all.
Hakika huu NI wimbo wa baraka sana. Nami nabarikiwa zaidi kwa kazi njema ya mtumishi wa Mungu Ambwene. Huyu aliyepaswa na huu mkasa ninamfahamu sana. Na ndo huyo huyo ambaye ameigiza kwenye huo wimbo. Miaka yote hiyo Tisa nimekuwa naye gerezani. Kwa Sasa anamtumikia Mungu kanisa moja huko KIBEBERU DAR ES SALAAM.
Waweza kudhani unapitia majaribu mqgum kumbe la kwako ni dogo sana, Mungu nipe moyo wa kuvumilia majarbu nayopitia , nijue kuwa unanifundisha na mwisho ntatoka salama
Huu wimbo Umekua Kama wimbo wa taifa kwenye simu yangu ,yamenikuta uliyo imba ,nilimwacha mke wangu tukiwa na miezi miwili tumeoana😭😭😭😭,inauma Ila nauona muujiza ya Mungu ninayo mengi yamekaa moyon
Pole hata hapo kwenye huu wimbo kuna huyo mweusi mwenye macho makubwa ndo stori ya maisha yake alifungwa miaka tisa bila kosa na mkewe na mtt wakaungua ndan ya nyumba nawalikiwa watumishi wajeshi sasa huku mtaani si ndo wamejaa huko magereza Mungu turehemu
I pray for my friend who is in jail with her wife and their small beutiful daughter God remember them naomba uwakumbuke ugenini huku nawaombea kila siku🙏🏻
Stori hiyo nimefatilia sana ata Mimi nilifungwa songea kwa kuzingiziwa na msanii super danger niliumia sana naamini mungu yupo Tena leo nakuona Tena na ambwene mungu tusaidie dunia tunapita
Mungu akutunze akupe hitaji lamoyo wako. Najua baada ya mapito yote. Uliopitia. Mungu nijibu tosha la maisha Yako brother. Mungu anaekupenda sana,kukaa gerezani ilikuwa kusudi la Mungu. Ili umtumikie, usajhigweghe fijho gwa jesu🙏🙏🙏. Najua umeacha kulia 😭umeshaamini sasa, songs mbele🏃🏃🏃
I fall in love with this song the first time i came across it in RU-vid, the song has been an inspiration to me. Keep up with the good work man of God and may you manifest his will. Unikumbuke
Mungu awakumbuke wote waliofungwa bila hatia wewe wajua maumivu wanayopitia katika mioyo Yao huenda umepanga hivyo lakin kibinadamu kukubal matokeo yakitu ambacho hujafanya ningumu wape neema yakukubal matokeo
Wow nyimbo nzuri sana Wapo watu hawafungwa jera lakini wamefungwa kimaisha hakika Mungu akukumbuke Na uende kufurahi zaidi na kuendelea kutumainia neno la bwana daima.
Huu wimbo ni historia ya kwel ya wanajeshi wa Tanzania ambao walikuwa wanandoa na mume alifungwa kwa kesi ya kuvamia gari la bank kuu na ukwapuaj wa pesa pale ubungo na mkewe aliachiwa lkin baadae alikufa daaah hii nyimbo imenikumbusha kitu hakika Leo hii huyo jamaa alieonekana Kama mtuhumiwa ndie mwenye hiyo historia na sasa ameeachiwa na amestaafu kutumikia jeshi🇹🇿
Pole sana brother Nazareth nmepitia mkasa wako kukaa jela Miaka 9 umepoteza mke wako na mtoto wako pamoja na dada Yako sio rahisi kuvumilia maumivu Yako kama sio mungu Mungu amekupitisha kwenye tanuru la moto Kuna neema mbele
Jaman jaman.. Kuna watu wameitwa kwenye uipaji,, nikiwa nimesongwa na mawazo.. nasikia rohoni usiruhusu maneno yakuvuruge,, hakika MUNGU akubariki kaka ambwene jamani.
Huyo kaka Mungu amkumbuke nimesikia kisa chake nimerudi kusikiliza wimbo tena duuh Mungu yupo na amkumbuke kila kilichoibiwa kikarudishwe katika jina la yesu amina
Historia ya hii nyimbo inaumiza sana eeeeh yesu nikumbuke ktk maisha yangu niliposhitakiwa ktk madhabahu za kuzimu bila kuwafanya chochote nikumbuke. Nikumbuke kama nimefungiwa ktk gereza lolote lile la ulimwengu wa roho nikumbuke yesu kunitoa.