Тёмный

ANAMTESA MKE WAKE, KILICHOMTOKEA MBELENI NI AJABU, TAZAMA | HEALING ENERGY 

E 7bits
Подписаться 208 тыс.
Просмотров 461 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 607   
@jasminirajabu6865
@jasminirajabu6865 3 месяца назад
Moyo wa mwanamke ukichoka na ukisema bac ujue ni basi hiyo hauwez kurudi nyuma karii na inafundisha kitu❤🎉
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 3 месяца назад
Woooiye vizuri sana Malipo ni hapa hapa duniani 🙏
@RafiiRaphinha
@RafiiRaphinha 3 месяца назад
anaempenda konka aweke like juu apo❤❤❤
@CarolineShadrack
@CarolineShadrack 3 месяца назад
Asante MUNGU kwa kumpigania Mebel❤❤❤
@silashemed4849
@silashemed4849 3 месяца назад
konka bwata man, asante kwa kigongo mzee🎉🎉🎉
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 3 месяца назад
Nakubali sana master ngoma kali sana 🎉🎉🎉is a 😮😅😅😊😂😂
@chamiwachamiwa1017
@chamiwachamiwa1017 3 месяца назад
Safi sana hata mimi pia nisingemsamehe kwa dharau alizonionyesha
@omaryiddy-v9b
@omaryiddy-v9b 3 месяца назад
Mzigo ni wamoto sanaa mkuu mpaka unaunguza umetisha babu💪💪💪
@rizikisalim6630
@rizikisalim6630 3 месяца назад
Fi sanaaaa wanaume wa shenzi kma Hawa hii ndio sawa Yao kazi nzur bro❤❤❤
@FatmaKhamissi
@FatmaKhamissi 3 месяца назад
Imeisha vzr nimependa
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 3 месяца назад
Bra alipokuw hajmsamh mbn yy hajamsamh kwa lawam zke za kijng kil ck kmpg mwenzk umefny maamuz mazr san ❤❤
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 3 месяца назад
Kwenye kusimulia you are de best
@isayaleader4245
@isayaleader4245 3 месяца назад
Wakwanza jamani, naomba like zangu,hii niya moto 🎉🎉💥💥🔥
@GiftGeorge-yy5zb
@GiftGeorge-yy5zb 3 месяца назад
Nimekuwa wa kwanza jaman❤❤❤
@huseinaly5163
@huseinaly5163 3 месяца назад
Haya kila siku ooh mimi wa kwanza naomba like...haya sasa mimi wa mwisho leo naomba like zangu🙄
@FadhilaFadhila-wi5wh
@FadhilaFadhila-wi5wh 3 месяца назад
Funzo kwa wanaotesa wake zao. Mpanda ngaz hushuka. Na alie juu msubir chin. Kipenz konkaa mauwa yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Mwaaahh 😘😘😘
@brendanawanga
@brendanawanga 3 месяца назад
Hiyo mafunzoaxuri naipenda xana❤❤ nipe nyingine tafadhali
@GodloveJustin
@GodloveJustin 3 месяца назад
Mzigo wa motoooo
@EriyaRichard
@EriyaRichard 3 месяца назад
Sema nini mwanangu unazipatia Sanaa 🎉🎉🎉
@rhodaelias3661
@rhodaelias3661 3 месяца назад
Wow jmn nilimmiss sn huyu jamaa
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 3 месяца назад
Iko poa sana hii❤
@mcdw8043
@mcdw8043 3 месяца назад
kweli kabisa kutesa kwa zamu tuu 🎉🎉
@Special_boy_og
@Special_boy_og 3 месяца назад
Hii kazi nikubwa
@mohammedmuumin4169
@mohammedmuumin4169 3 месяца назад
Ebwanaa EEEH!! Hu mzigo safi sana sound Tuned well
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 3 месяца назад
Tupoo pamoja zee la mipinduko ushindi babaahh from Dodoma
@عائشهعبدالله-ي7ب
@عائشهعبدالله-ي7ب 3 месяца назад
Kali sana inafaa kwa wanaume wanaotesa wanawake zao nimependa kinyama yani hallooo 😂😂😂
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 3 месяца назад
Inasimumua wallah, machozi yananitokaa 😭😭😭 Mwishoni nimependaa bhn 😂😂😂😂😂 chezea elaa wewee 😂😂😂
@happymapuli2407
@happymapuli2407 2 месяца назад
N
@happymapuli2407
@happymapuli2407 2 месяца назад
Aaf
@happymapuli2407
@happymapuli2407 2 месяца назад
O
@happymapuli2407
@happymapuli2407 2 месяца назад
Dad
@happymapuli2407
@happymapuli2407 2 месяца назад
La o
@SalhiyyaJassam-fg1sw
@SalhiyyaJassam-fg1sw 3 месяца назад
Mnajua maumiv ya kuachwaa kuletewa mwanamke mwngne ndan na mates yot yalee weeeeh alaf unasema umsamehe nyiiiee ebu Achen kusema Muv imeisha Vibay imeisha vizuri tuuuu😅😅😅
@ErnestMangula
@ErnestMangula 3 месяца назад
LEO NIMECHELEWA SANA LAKINI NAOMBA ATA LIKE 5 TYU
@Salima-nz1qd
@Salima-nz1qd 3 месяца назад
Haujaixhia vizuri, Ila iko bomba KAZI nzuri
@VianeBenson
@VianeBenson 3 месяца назад
💯👏👏kali kinoma
@Gelldrama
@Gelldrama 3 месяца назад
Funzo kubwa sana 🎉🎉
@lizbethmeena8044
@lizbethmeena8044 2 месяца назад
Mke NI mke tu mchepuko sio dili ndio Mana ukifilisika mchepuko anakuacha mke anabaki na ww mwogopen mungu machozi ya mwanamke NI laana Tosha kwako
@MofatNgonya-k8j
@MofatNgonya-k8j 3 месяца назад
Nimeipenda bro I love this
@perpetuanashon1677
@perpetuanashon1677 3 месяца назад
Hii movie ni kali kinoma 🔥🔥
@ShugweHusna
@ShugweHusna 3 месяца назад
Nimeliya sana 😢😢😢😢😢😢
@DuniaLukalula-bd3zx
@DuniaLukalula-bd3zx 3 месяца назад
Nizurisana tu❤❤❤
@WemaPanja
@WemaPanja 3 месяца назад
Jaman toka nianze angalia hamjawah nipa like naomben bas
@hermanricci
@hermanricci 3 месяца назад
Zitakusaidia nini ndugu
@JonasRobert-p9i
@JonasRobert-p9i Месяц назад
💯
@JonasRobert-p9i
@JonasRobert-p9i Месяц назад
sio kila UNacho kifanya kiwe na manufaaa kwenye maisha Ako bro
@RemmyAlois
@RemmyAlois Месяц назад
Malipo ni hap hap duniani
@Director_shaldo
@Director_shaldo 3 месяца назад
Simba ☠️🇱🇷🎉
@ThabeDamian
@ThabeDamian 3 месяца назад
E7bits forever ❤
@Mambalyelibarick
@Mambalyelibarick 3 месяца назад
oyaa eeh. leo kweny daladala nmekutan na jamaa flan ivii nae anachek mzigo wa E7bits.. asee nmefrah sana kuona mtu mwngne anapenda smuliz za jamaa hapa kama mm nilvyoo asee.. ebu tupia comment yako hapo chn kama na wew ishakutokeag ktu kama hicho. 😊😊
@e7bits_tz
@e7bits_tz 3 месяца назад
Upendo ni mwingi❤️🙏
@tellodelucky6864
@tellodelucky6864 3 месяца назад
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu❤🔥❤
@ashasalimin1033
@ashasalimin1033 3 месяца назад
KaZi nzurii sanaa
@gloryJoel-n9f
@gloryJoel-n9f 3 месяца назад
Noma sanaa
@urbanizeTz-nz7td
@urbanizeTz-nz7td 3 месяца назад
hii story ina funza ndani yake 🙌🏽🔥✊🏽
@SaumuhamisiHamisi-w9r
@SaumuhamisiHamisi-w9r 2 месяца назад
Iko sawa bro history Yani umeweza🎉🎉❤❤
@Shadia544
@Shadia544 3 месяца назад
Mwamba unachelewa sana jamaniii tumekumis hatariii 😂😂😂wa Oman tujuane hapa 😂😂😂
@veronicajulius693
@veronicajulius693 3 месяца назад
Umetisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kelvinisack6748
@kelvinisack6748 3 месяца назад
Muvi haijaisha vzr
@PeterMhando-d6d
@PeterMhando-d6d 3 месяца назад
Mzigo wa maana
@Misanyahidaya
@Misanyahidaya 3 месяца назад
Wewe ni mtu na nusu.🙌
@VeratiMgeni
@VeratiMgeni 3 месяца назад
Me Leo ndo wa kwanza naitaji like 👍 nyingi leo
@VesterTindwa
@VesterTindwa 2 месяца назад
Nimependa sana
@alexkayombo2725
@alexkayombo2725 3 месяца назад
Sema Stella wa moto mnoo
@DamarisDammie
@DamarisDammie 3 месяца назад
Wakwanza mie from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LazaroPetro-y1s
@LazaroPetro-y1s 3 месяца назад
Nmependa ilivyoisha sio unasamehe kishamba kishamba
@InnocentKisuge
@InnocentKisuge 3 месяца назад
😂😂😂aahh Auco
@rahelidaimon541
@rahelidaimon541 3 месяца назад
Izkonka nakupenda sana ❤
@glorysamwel3122
@glorysamwel3122 3 месяца назад
Kazi nzur ila usiwe unachelewa kutulete move jmn 😭😭😭
@NicelyTinuga
@NicelyTinuga 3 месяца назад
Ni funzo Kwa wanandoa jamani ila unatutenga sana izkonka 😢😢
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 3 месяца назад
Niliiona jana ni nzuri sn naomba mniletee nyengine ❤❤❤❤❤❤
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 3 месяца назад
Konkaa uwe unamtumia sana uyu jamaa tunamkubali sana
@ShukuruFreeman
@ShukuruFreeman 3 месяца назад
Oi nimeipenda iyo story
@MariamMkamba
@MariamMkamba 3 месяца назад
Mm wakwanzaa naomba like😢
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Hongera mwenzetu
@HellenAlquin
@HellenAlquin 3 месяца назад
Umekuwa wa kwanza je umejfunza nn baadae ya kuangalia
@baddiekid
@baddiekid 3 месяца назад
😂😂😂 ukotofi​@@HellenAlquin
@marytindwa5251
@marytindwa5251 3 месяца назад
@@HellenAlquin
@Khaleedinho47
@Khaleedinho47 3 месяца назад
Ninashida ya mfanyakazi wa kutengeza video
@husseinissaya187
@husseinissaya187 3 месяца назад
Chuma Kali sana 😅
@NjikuAgropecuaria
@NjikuAgropecuaria 3 месяца назад
Safi sana ila sikuizi unachelewa
@ClassicMk-rv6lz
@ClassicMk-rv6lz 3 месяца назад
Nilikua nikichelew leo nimewah like zang jmn
@Keyyy2274
@Keyyy2274 3 месяца назад
Naomba tupitiane
@DaudAlly-nd5wo
@DaudAlly-nd5wo 2 месяца назад
Usilopenda kufanyiwa ucmfanyie mwenzio
@ReginaAgustin-oy4zm
@ReginaAgustin-oy4zm Месяц назад
Karissa jamani ❤❤❤
@CLEVERDOTTO-rg5hr
@CLEVERDOTTO-rg5hr 3 месяца назад
Nimechelewa kinom ila naomba like
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 3 месяца назад
Safi sanna 😢ila angemsamehe bana
@nickluca1512
@nickluca1512 3 месяца назад
Mama mwenye nyumba akiuliza swali usijicheleweshe kujibu 😂😂😅😅
@nasrachimamy
@nasrachimamy Месяц назад
Dah movie imetulia sana
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 3 месяца назад
Kaz nzuri
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 месяца назад
Nimetoka tik tok nimekuja uku ni tamu mnooooooo
@mwaminindayishimiye3149
@mwaminindayishimiye3149 3 месяца назад
Funzo kubwa sana
@franklelow5021
@franklelow5021 2 месяца назад
Hatariii kaka ni 🔥🔥🔥🔥
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 2 месяца назад
Kbsss 😂😂😂vizuri sana
@Petermalume
@Petermalume 3 месяца назад
Unyama mwanangu ✌
@haycaly
@haycaly 3 месяца назад
Nakukubaliiii sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@HusnaIha-by7rl
@HusnaIha-by7rl 3 месяца назад
Aliye juu msubiri chini dada nakubali
@Mambalyelibarick
@Mambalyelibarick 3 месяца назад
ahh kubabake mwanamke asishike nyumba walahiiii ni tabu tupu 😢😢
@Keyyy2274
@Keyyy2274 3 месяца назад
Nipitie 😊
@Aliphonsina
@Aliphonsina 3 месяца назад
Umetisha
@LucyMagere-xb7sq
@LucyMagere-xb7sq 3 месяца назад
Kali sanaaa konka ❤️❤️❤️
@mariaboniphace7853
@mariaboniphace7853 3 месяца назад
🤗🤗🤗🤗 TATIZO UNACHELEWA KUTOA MOVIES
@HonorineHatungimana
@HonorineHatungimana 2 месяца назад
Yn me nnapend sn nc kaka mweny kipaji cank unabyo tafsirii hap ndo unanimalizaa kbx🎉🎉😊
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 месяца назад
Nikweli mwanaume alikosra lakin mungu ametuumbia kusamee atupasa kusamee kwa Kila wanaotukosea
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 3 месяца назад
Mwendelezo tafazali brother iko vizuri prs🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@SifaWilliamTheson07-ur9vs
@SifaWilliamTheson07-ur9vs 3 месяца назад
❤❤sana huyo mrembo niwakikweli tena sana
@VeroEmma-gs7fc
@VeroEmma-gs7fc 3 месяца назад
Uyo ND mwanamke ubaya analipa mala mia zaidi 😅
@KUDRAAMISSI
@KUDRAAMISSI 3 месяца назад
Angemsamee😢😢😢
@Moseskilala
@Moseskilala 3 месяца назад
Sure.. apo movie imeisha vibaya 😢
@JuslinMusavuli
@JuslinMusavuli Месяц назад
Courage tunakutazama uku congo
@MollieMollinely
@MollieMollinely 3 месяца назад
Mnaaaomba like na nyie mnalike muv au mnaomba omba 2
@priscajohn5025
@priscajohn5025 3 месяца назад
Ni unyamaaaa🥰
@zaydimples5422
@zaydimples5422 3 месяца назад
❤🎉😢ila napenda simulizi zako na sauti yako 😊
@JamilaNice-on4eu
@JamilaNice-on4eu 3 месяца назад
❤❤
@RizikiAli-ci7nt
@RizikiAli-ci7nt 3 месяца назад
Safi sana brother
@christainc.5217
@christainc.5217 3 месяца назад
Huyu demu❤❤nimemukubar
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣nimependa hii Stella kiboko ya malay1
@AimanAimanRashid-gq3gc
@AimanAimanRashid-gq3gc 3 месяца назад
Wa Kwanzaa
@NeemaMakogoto
@NeemaMakogoto 3 месяца назад
Riho ya mwanamke alieumizwa kugeuka kuwa ya kawaida ni Kazi ngumu sana
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
MCHIZI AKAAMUA AMTONGOZE MAMA AKE | SWEET, BITTER, SOUR
12:36