Тёмный

MCHIZI ANAANGUKA KWENYE PENZI ZITO LA DADA WA KAZI | PURE HEART 

E 7bits
Подписаться 202 тыс.
Просмотров 708 тыс.
50% 1

Movie Name : PURE HEART
Year : 2024
Genre : Drama
NB: CREDITS
ONE AND TWO FILMS
●WATCH FULL MOVIE ON: • PURE HEART - CLINTON J...
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
IF YOU FEEL YOUR RIGHTS ARE VIOLATED EMAIL ME AT "lifelakitaa@gmail.com" AND I WILL KINDLY TAKE DOWN THE VIDEO.
#zeelakutune #zeelatown #e7bits

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 490   
@seifkhamis2840
@seifkhamis2840 4 месяца назад
tunao mkubl huy mchiz gonga like hap tujuane😂😂
@samilahmohammed8410
@samilahmohammed8410 2 месяца назад
Kama umetoka TikTok ukaja kuangalia uku like apa😅
@Ms_judy
@Ms_judy 4 месяца назад
Jamani tunaopenda hizi movie za huyu mkaka tujuane❤❤
@KipachaMfikilwa
@KipachaMfikilwa 4 месяца назад
We are behind you
@eddyimamu751
@eddyimamu751 4 месяца назад
One love
@JumaNhila
@JumaNhila 4 месяца назад
Moja mm apa
@JumaNhila
@JumaNhila 4 месяца назад
Mbona mzuli namna hyo tena paka unanidatisha wapi hy
@pascalmakono
@pascalmakono Месяц назад
Wa kwanza mm hapa
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 4 месяца назад
Huyu dogo anaitwa clinton joshua ni mnyama sana kwenye muvi za nigeria
@sr.january7141
@sr.january7141 4 месяца назад
Huyu jamaa anapenda chuo kweli movie zake nying lazima awe anasoma
@Taito-brand
@Taito-brand 4 месяца назад
Kweli kak😂😂😂
@Stori_na_Sanaa
@Stori_na_Sanaa 4 месяца назад
@E 7bits Huyu mwamba huwa unamkuali sana maana moves nyingi unazo leta huwa n za huyu mwamba 😂😂😂
@e7bits_tz
@e7bits_tz 4 месяца назад
Ningekuwa nafanya ninavyovipenda mm tusingekuwa hapa…
@ZainabuOmary-h4d
@ZainabuOmary-h4d 4 месяца назад
Mimi naona kula muv nikal kinyama
@freezy-jx7eo
@freezy-jx7eo 4 месяца назад
Mzgo unaanza katka jumba la dhahabu😂😂😂🎉
@seifkhamis2840
@seifkhamis2840 4 месяца назад
Hhhhhhh
@mwanah3643
@mwanah3643 4 месяца назад
😂😂😂😂
@SherryFadhil
@SherryFadhil 4 месяца назад
😃😃😃😃😃
@ministersamurio
@ministersamurio 24 дня назад
😂😂😂😂we jamaa
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 4 месяца назад
Nyie huyu mkaka Joshua handsam bhn 😊🥰🥰 woshiii😂
@marywangari2645
@marywangari2645 4 месяца назад
😊😊
@ManashaDzuya
@ManashaDzuya 4 месяца назад
Tena mdomo wake ashiii😋😋😋
@OlivierPauna
@OlivierPauna 4 месяца назад
Watu wengine wana pendaka paka wasemwe djo wafanye vizuri jana nili msema E 7bits kabadirika Léo ame achiya movie ingene kama una amini E 7bits kakubali kosa yake gonga likes apo tujuwane ❤❤❤❤❤❤❤
@EmileLugendo
@EmileLugendo 4 месяца назад
Umetusaidia😂
@kebytz.9890
@kebytz.9890 4 месяца назад
Halaf konka sio DJ ni movie summarizer
@SAIYEIDY
@SAIYEIDY 4 месяца назад
Alisemaga hapendi kuitwa dj
@OlivierPauna
@OlivierPauna 4 месяца назад
@@SAIYEIDY kabisa nami nime kumbuka
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 4 месяца назад
Umetishaq
@maulidubaya1642
@maulidubaya1642 4 месяца назад
Uyu jamaa hawampumzishi yn😂
@MerrandaSpaiter
@MerrandaSpaiter 4 месяца назад
Umeona eeeh afu anapenda kuw mwanachuo
@katsande255
@katsande255 4 месяца назад
Hlf mtoto wa kishua, ambae mademu wanamshobokea hlf yy hana time nao hadi mwshoni huko
@MaroFredson
@MaroFredson 4 месяца назад
Duuuuh Konka huyooo dada wa kazi ni mzuri tu hata kama n mm ningeruka nae tu yaaan kama hakojoiii uti aiseee😂😂😂
@godwinmisana618
@godwinmisana618 4 месяца назад
Mapemaa Sanaa Mzee Wa Mipindukooo Like Zenu🔥🔥🔥🔥🔥
@AishaChikwaulo
@AishaChikwaulo 4 месяца назад
Naombeni like jamn pls 😭😭💔
@DenisMwinuki
@DenisMwinuki 4 месяца назад
"kwenye masuala ya moyo ni bora ukamuachia mtu husika ashughulike nayo mwenyewe" msemo mzuri na ni funzo kubwa sana.
@kautharomy
@kautharomy 4 месяца назад
IVI KONKA WE NI NANI MBONA KAMA ULIVOJIELEZEA HAZIJATOSHA MBONA UNATOA VITU VIKALI IVI ❤❤❤
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 4 месяца назад
Huvi we dogo hakuna movie nyingine za kufanyia kazi isipo kuwa huyu jamaa tu 🤔🤔🤔
@ellah_tz
@ellah_tz 4 месяца назад
Umeitwa hapa acha usenge kama unaona ni kazi rahisi utuoneshe na wew uwezo wako wa kutafuta muda mxieeeew 😏😏😏
@FatmaSeif-o4c
@FatmaSeif-o4c 4 месяца назад
Mi napenda sana kuangalia movie za uyu elvis❤
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 4 месяца назад
@izkonkaaaaa wewe n balaaaa Kwa kuleta movie mpya kbs 🎉🎉🎉🎉🎉tupeni like zangu Kwa kuchelewa❤
@FatmaNoor-ig8iy
@FatmaNoor-ig8iy 4 месяца назад
Yaan ukiangalia izi love story alf ukajitathmini unahisi huna bahat 😂😂😂 umekuja kusindikiza wenzk 😂😂😂😂😂😂 kaz nzur kk❤
@Grtudajunior-cw5zp
@Grtudajunior-cw5zp 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 nimelia sanaa
@FatmaNoor-ig8iy
@FatmaNoor-ig8iy 4 месяца назад
@@Grtudajunior-cw5zp pole utapata wa kukudekeza na kukupigania
@bongatv25
@bongatv25 4 месяца назад
Ila kumbuka maisha niyako
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 4 месяца назад
Umeonaaa eenh😂😂😂
@AbuubakrSleiman
@AbuubakrSleiman 4 месяца назад
Kwel😅
@Phinebeny
@Phinebeny 4 месяца назад
namba moja like tafadhar
@IreneEdgerAnthony
@IreneEdgerAnthony 4 месяца назад
❤ wa kwanza
@jacksonmbwilo360
@jacksonmbwilo360 4 месяца назад
🔥🔥🔥🔥👍👍👍👍👍
@GiftGeorge-yy5zb
@GiftGeorge-yy5zb 4 месяца назад
Nampenda sana elivis❣️
@mustafampande173
@mustafampande173 4 месяца назад
wakina princess wanafanya kazi za ndani ila wana boonge la jumbaa 😂😂we huogopi!
@sheilm819
@sheilm819 4 месяца назад
😂😂😂😂🙌🏽
@SAIYEIDY
@SAIYEIDY 4 месяца назад
😂😂
@ZainabuOmary-h4d
@ZainabuOmary-h4d 4 месяца назад
😂😂😂
@EmmyInnocent-or6wk
@EmmyInnocent-or6wk 4 месяца назад
😂😂😂 nikajua ni Mimi tu nimeona
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@KingombeZakuani
@KingombeZakuani 4 месяца назад
Leo wa kwanza naomba likes 10 from 🇨🇩
@NellyLwitiko
@NellyLwitiko 4 месяца назад
Mwamba unajua kutafsili unazo move ambazo ziko full
@lusekelo97
@lusekelo97 4 месяца назад
Like ziwe nyingi apa Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wa kwanza
@ShekhaSalum-y9e
@ShekhaSalum-y9e 4 месяца назад
Naomba tuekee namba yako hapo tujiunge n group lko tafadhal nakupenda❤
@mdigokhan8227
@mdigokhan8227 4 месяца назад
Jamaa alimstua huyo mfanyakazi kwasababu alidhani ni mama ake na sio demu wake Kama ulivosema..!!kazi nzuri mkuu..!!
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 4 месяца назад
Tupo pamoja zee la mipinduko , uwe unamtumia uyu jamaa anajua sana na anakubalika sana jidena
@JamesMarley470
@JamesMarley470 4 месяца назад
Ngoma inaanza Kwenye jumba la dhahabu😅
@Denatha50
@Denatha50 4 месяца назад
Nimekutafa hadi tiktok kukustua 🥰🥰 ututumie miunyama😁
@r_nbraidstz8183
@r_nbraidstz8183 4 месяца назад
Kaka ana hadithia vizuri jamani ❤
@TWProducts-f4z
@TWProducts-f4z 4 месяца назад
Konka mie naomba za clinton Joshua ziwe nyingi nazipend sana
@Mayah24
@Mayah24 4 месяца назад
🥰🥰🥰🥰 Nigeria movie salute 🙌🙌
@JujuSavage-gy6vv
@JujuSavage-gy6vv 4 месяца назад
Mi nd wa kwanza qp tia like apoo
@oscarjohnson9013
@oscarjohnson9013 4 месяца назад
🔥 🔥 🔥
@skytulinje9428
@skytulinje9428 4 месяца назад
Picha linaanza kwenye comment section afuu konka nomaaa sana gonga like❤❤❤
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 4 месяца назад
Iko vizuri sana nimeipenda hiyo kutoka Kenya 🇰🇪
@moviebank1
@moviebank1 4 месяца назад
LINK HIYO HAPO CHINI HUKU PIA UNYAMA NI MWINGI TUNAKULETEA MZIGO MZIMA HAINA NUSUNUSU
@Neemay14
@Neemay14 4 месяца назад
Wa kwanza mie
@eliasmaro
@eliasmaro 4 месяца назад
Sema unapenda sana movie za uyo jamaa
@asmetkevtz
@asmetkevtz 4 месяца назад
Wewe ndio kali kula Unyama huo!
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 2 месяца назад
Uumwanaume movie zake nipoa sana❤❤
@BAD5IVE
@BAD5IVE 4 месяца назад
Unyama KONKAAA 🔥🔥🔥🔥🔥
@AndasonMartine-vz2bq
@AndasonMartine-vz2bq 4 месяца назад
Fanya mpango utuletee biograph ya huyu mwamba!!! Yupo poa sana
@PatrickKamgisha
@PatrickKamgisha 4 месяца назад
Unyama leo Konkaaaaaaaaa 🏌‍♂️
@AminaOmari-iv7yx
@AminaOmari-iv7yx 4 месяца назад
wakwanz leo waoooh😮😮❤
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 4 месяца назад
KOOOOnkaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 2 месяца назад
Mh nyumba ya wafanyakazi nayo nzuri mno 😢
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Месяц назад
Eeee umeona😂😂
@vickydan2869
@vickydan2869 4 месяца назад
Yote nayote mm nampenda mno huyu mkaka Joshua kwa maumivu zaidi siwezi hata kumpata bora hata angekuwa anaishi Dar ningejiungaunga kumpata,naandika hii sms kwa maumivu mno😢
@iam_jackie-xs1mz
@iam_jackie-xs1mz 4 месяца назад
😂😂😂dunia haina huruma unae mtaka hakutak
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 4 месяца назад
​@@iam_jackie-xs1mz😂😂😂 ndo hapo sasa
@nehemia397
@nehemia397 4 месяца назад
nipende mimi mkuu
@Taito-brand
@Taito-brand 4 месяца назад
Acha umalaya nyege hz😂😂😂😂
@HawahKhalfan
@HawahKhalfan 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@LandryMapesa-ns5mq
@LandryMapesa-ns5mq 4 месяца назад
nataka mini pe liké tatu
@haycaly
@haycaly 4 месяца назад
Namkubali sanaaa huyuu jamaaa😊😊😊
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 4 месяца назад
Namkubari uyu jamaa anajua kuigiza
@GiftAbduly
@GiftAbduly 4 месяца назад
Uyo kaka ni handsome jmn😋
@RehamAlmamari
@RehamAlmamari 3 месяца назад
xan tu yn
@stellahcharles7388
@stellahcharles7388 4 месяца назад
Minamkubali sana huyu kijana unaye leta movie zake❤❤❤🎉
@CharlesCalist
@CharlesCalist 4 месяца назад
Kwani jumba la dhahabu lipoje 😂😂
@godichangamila-vp8dk
@godichangamila-vp8dk 4 месяца назад
Konka unajua kunikoshaa
@mudimtamila5490
@mudimtamila5490 4 месяца назад
Duuuuh mupo makini sanaaaah
@ZuhuraMaumba
@ZuhuraMaumba 4 месяца назад
Naomben coment
@KWIBEAMISIOBAMA
@KWIBEAMISIOBAMA Месяц назад
Kazi nzuri from Congo kolwezi nipe liké zangu🎉🎉🎉
@KWIBEAMISIOBAMA
@KWIBEAMISIOBAMA Месяц назад
🎉🎉🎉🎉
@FaridaTizo
@FaridaTizo 4 месяца назад
Clinton anapenda mapenzi
@ZAMDAHOSSENI-ih2cg
@ZAMDAHOSSENI-ih2cg 2 месяца назад
Mchizi❤
@MosesSamwel-br4ik
@MosesSamwel-br4ik 4 месяца назад
Hata like 2 kweli😢
@iam_jackie-xs1mz
@iam_jackie-xs1mz 4 месяца назад
Jumba la dhahabu 😂
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 4 месяца назад
Yaani mimi nampenda uyo mkaka
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 месяца назад
Umalaya tu
@AminakengaKenga
@AminakengaKenga 4 месяца назад
@@NemaAli-zh6hr😂😂
@AbielyKabuku-uy3se
@AbielyKabuku-uy3se 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉😮❤❤unanijua Sana kooonkaaaaa👍👍🥰
@tausimfaume6487
@tausimfaume6487 4 месяца назад
Wale wa sekunde Sasa 😂
@pascalemmanuel2557
@pascalemmanuel2557 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ArafatiKibode
@ArafatiKibode 4 месяца назад
Nazikubali sana movie za huyo mwamba anajua sana kuekti hususanii movie za love story
@Irene-j3d
@Irene-j3d 4 месяца назад
jaman wa kwanza leo nipen likes zangu😅😅
@MariyamuIddy
@MariyamuIddy 4 месяца назад
Kaka unaupiga mwingi
@AllyRodrigue-p2v
@AllyRodrigue-p2v 4 месяца назад
Ally Rodrigue nakukubali Zambia nakufata 5/5
@HirwaPatricks
@HirwaPatricks 4 месяца назад
Picha linaaza kwenye comment section afuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MabatiMabati-i5u
@MabatiMabati-i5u Месяц назад
Waoooooøooooooh 👏
@GloryMshana-yb7qg
@GloryMshana-yb7qg 4 месяца назад
Nakukubali sana kwahiyo ufanye mpango utulete movie kwa wakati
@moviebank1
@moviebank1 4 месяца назад
kwa wana familia wa movies link hiyo hapo chini
@EvenethBiharagu
@EvenethBiharagu 4 месяца назад
No 1
@HappyCandy-x9v
@HappyCandy-x9v 4 месяца назад
Like zinawalipia Kodi tuje kama zinawapa faida 😂😂😂mijitu mizima ovyoo mfyuuuuuu 😏
@AyushSaid
@AyushSaid 4 месяца назад
😂😂mbwa hawa
@JoyceNicholaus-rm4zx
@JoyceNicholaus-rm4zx 3 месяца назад
❤❤❤
@NeemaErnest-d2h
@NeemaErnest-d2h 4 месяца назад
Unyama sanaaa mr konkaaaa ulikua unakawiza sana ila hap unyama sanaaaaa ✅✅✅✅
@BetiliaRespicius
@BetiliaRespicius 4 месяца назад
Yan siku izi unatuma unyama kla siku adi raha ❤
@ZakariahakimJumaseleman
@ZakariahakimJumaseleman 4 месяца назад
Wakwanza kama umependa liki 💓👌
@izkonka_movie_recap
@izkonka_movie_recap 4 месяца назад
Mipunduo❤😂
@ezekielagostino9008
@ezekielagostino9008 4 месяца назад
Mwamba unajua sana @
@IssaHamisi-tf1bf
@IssaHamisi-tf1bf 4 месяца назад
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
@ochuMay05
@ochuMay05 4 месяца назад
Kazi nzuri Bro..
@snazzytee9178
@snazzytee9178 4 месяца назад
Huku kwa njaa kali😂😂😂🙌🏾 aaahhh KONKA unanikosha
@asha-z3n
@asha-z3n 4 месяца назад
Mkaka unajuwa angalia comment za watu wengi wakikupongeza usiangalie za watu wachache kunamijitu kama michawi mie hata ukirudia kila siku za huyu mkaka fresh2
@yussufjuma1918
@yussufjuma1918 4 месяца назад
Brother fanya ulete Action Movie
@MoTalentTz
@MoTalentTz 4 месяца назад
Oy qewe huu unyama umekaa poa💪🏻💪🏻💪🏻
@MossesSanga-e9f
@MossesSanga-e9f 4 месяца назад
Oy kak me nakukubali miak 1000000000❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@menardenock3691
@menardenock3691 4 месяца назад
Wakwanza tena😂
@VitalessGalus
@VitalessGalus 26 дней назад
tunaitaji mtu kama uya konga anajua kutafasili
@wadantz123
@wadantz123 4 месяца назад
Wakwanza
@ZainabuDaudi-d8o
@ZainabuDaudi-d8o 24 дня назад
❤❤
@maryamkassim5485
@maryamkassim5485 4 месяца назад
Housegirl wa kishua khaah😅😅😅😅
@priscumushi9083
@priscumushi9083 4 месяца назад
Oya mwamba kouunka we ni noma sio kisenge 😂😂😂
@ZachariaMalugu
@ZachariaMalugu 4 месяца назад
Tatizo ss ambao hatujui kingereza ni shida kuuelewa movie kama hiii
@Taito-brand
@Taito-brand 4 месяца назад
Njaa kali kak wakat mjeng wa kwend na makochi makaliii
@FatmaAbdallah-yh9si
@FatmaAbdallah-yh9si 4 месяца назад
Iyo nyumba ya mfanya kaz sasa 😅😅😅
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 4 месяца назад
Wanatupigaaa😅😅
@SalumAli-kh8il
@SalumAli-kh8il 4 месяца назад
Nawajua ni nyumba ya urithi waliachiwa na baba princes 😂
Далее
Airpod Through Glass Trick! 😱 #shorts
00:19
Просмотров 472 тыс.
Лучше одной, чем с такими
00:54
Просмотров 222 тыс.
Лайфак года 😂
00:12
Просмотров 93 тыс.
MCHIZI AKAAMUA AMTONGOZE MAMA AKE | SWEET, BITTER, SOUR
12:36
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Просмотров 971 тыс.
DADA MLOKOLE AMEYATIMBA KWA MUHUNI | FULL MOVIE
57:00
AMEAMUA KUMPENDA MUUZA CHAKULA WAKATI KWAO NI MATAJIRI
16:10
Airpod Through Glass Trick! 😱 #shorts
00:19
Просмотров 472 тыс.