Тёмный
No video :(

ANGALIA BILLNASS ALIVYOFUNGWA KITAMBAA NA NANDY WAKATI ANAMFANYIA SUPRISE KUMZAWADIA GARI 

Bona Tv
Подписаться 392 тыс.
Просмотров 107 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
ANGALIA BILLNASS ALIVYOFUNGWA KITAMBAA NA NANDY WAKATI ANAMFANYIA SUPRISE KUMZAWADIA GARI
#Bonatv #Exclusive
#diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
#yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending

Опубликовано:

 

10 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 167   
@lilianmkondya4817
@lilianmkondya4817 Год назад
De best couple ❤️❤️ nawapendaa saaanaaaaaa❤🎉
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Год назад
Hata mm mume wangu angekuwa ananipenda na kunithamini zawadi yoyote ningemnunulia ,ila Kwa haya mapito hapana Kwa kweli
@hazla4268
@hazla4268 Год назад
😂😂duh
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Год назад
😂😂😂😂jmn umenifanya nicheke kwa sauti pole my dear iko ck yataisha
@jescamaumbi1320
@jescamaumbi1320 Год назад
😃😃😃😃😃
@ruthchaz4536
@ruthchaz4536 Год назад
Ahhahahaha
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Год назад
😂😂😂 shkamoo ndoa
@emmynorberth2288
@emmynorberth2288 Год назад
Mungu awape maisha Marefu yenye upendo zaidi💯
@user-vs3cr3oj2d
@user-vs3cr3oj2d Год назад
Mungu abariki ndowa yenu 👏👏👏👏😊
@sikukuualaro2083
@sikukuualaro2083 Год назад
MashaAllah 🥰🥰🥰🥰congratulations Princess Nandy
@camillah1097
@camillah1097 Год назад
Hongera saaana mdgo wang Mungu akupe maisha marefu kwenye ndoa yako
@Kbaya86
@Kbaya86 Год назад
Congratulation nenga zidi kumpenda bibi na usisahau Mungu
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
Hongera sana Nandy umejua kupenda kwenye upendo❤️❤️❤️
@natashakasabagu8867
@natashakasabagu8867 Год назад
Na Mwenyezi Mungu azidi kuwabarki
@prettymasha2430
@prettymasha2430 Год назад
Nandi uko mke wa mtu vaaa nguo za heshima basi 😮😮😮😮😮
@SubirahJamson-tu7vx
@SubirahJamson-tu7vx Год назад
My best couple
@hussenhemed1050
@hussenhemed1050 Год назад
Unakaa na mpenzi wako hata kiatu hajawah kukununulia kila siku ni Mimi nimleteege zawadi tuu Sasa hivi nimeamua ataona kwa kina Nandy tuu
@mwanahawaomarimashaka197
@mwanahawaomarimashaka197 Год назад
🤣😂
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Год назад
Hahahahaha
@VeroPeter-ps8lt
@VeroPeter-ps8lt Год назад
Umenichekesha sana
@user-tg2jg7ul9n
@user-tg2jg7ul9n Год назад
😂😂😂😂
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Hongera nandy❤
@user-ug6df5kg7n
@user-ug6df5kg7n 9 месяцев назад
Wow nandy anampenda saana billnas hongereni saaana nawapenda jamani
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Wangevaa sare wangenoga sana
@bethamsangi5296
@bethamsangi5296 Год назад
Daah huu upendo ukawe ivyo daima jaman nawapenda sana nyie watu 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Год назад
Noumaaa sanaa kongore kwenu 👊🔥💥👋
@PeninaMuniss-kn4rd
@PeninaMuniss-kn4rd Год назад
Hawa watu wanapendana sana jamani? Hakika sijui kama wanajuaga maumivu ya mapenzi kwao niraha tuuu mda wote mungu azidi kuwalinda jamani watu waendelee kuiga huwo mfano mzuri kwenuu? Nawapenda sana mpaka naumwaaaa
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
Kuna wakat unaweza kumfanyia mwenzio mabaya ila roho ikakusuta mwenyewe ukajikuta unajutia unachofanya kwa mwenzio ususa kama mkeo anakuheshm ila uwe na akili timam
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Год назад
❤❤❤❤❤ nawapendaaaaa sanaaaaa
@elikundaeliakimu2654
@elikundaeliakimu2654 Год назад
Congratulations baby girl
@mariamjuma6987
@mariamjuma6987 Год назад
Mh mwisho wa cku unamkuta na kimada kwenye hilo gari mmmmh mmi aku 😂😂😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 Год назад
😀😀😀jamn comments zinachekesha
@mariamissa4029
@mariamissa4029 Год назад
😂😂😂😂😂
@delverosedastan5730
@delverosedastan5730 Год назад
Hongera mdogo wangu Nandy
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
Hapa bongo wanawake walio wahi kupita na Ruge ndo wanaojuwa kuonga buana 😂😂😂
@zawadijumaa1867
@zawadijumaa1867 Год назад
😅😅😅walijua kuchuma pesa kwa muhongoza njia Leo kijana wake mnaomba kazi dah maisha haya
@ceciliaombela7159
@ceciliaombela7159 Год назад
Sidhani Kama nandi kahonga .nadhani kampa mumewe sio kahonga
@islamibrahim4525
@islamibrahim4525 Год назад
Acha wivu ww kahonge na ww
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
​@@islamibrahim4525 soma vizuri kasema sizani kama nandy kaonga itakua mume ndio kampa mkewe ili ampe
@elikundaeliakimu2654
@elikundaeliakimu2654 Год назад
Nandy naomba namba yako please
@QuithernVeronicahwatulomer
@QuithernVeronicahwatulomer 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@PiliMwambela-bc3ql
@PiliMwambela-bc3ql 8 месяцев назад
Ukuu wa Mungu uwe pamoja yenu
@juliuskuyela6459
@juliuskuyela6459 Год назад
hongera dada
@heavenlight5084
@heavenlight5084 Год назад
I wish na mimi jamani one day nipate zawadi kama hii
@catherinengwei4174
@catherinengwei4174 Год назад
Pia mm ningetamani kuwa na mpezi mwenye anaye nipenda kwa thati
@anzazidingo7632
@anzazidingo7632 Год назад
Hongera mama
@moreenkasekwa9737
@moreenkasekwa9737 Год назад
Hongera sans
@helenswai7452
@helenswai7452 Год назад
Hongereni
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Год назад
Wala haha honga Ni mume wake kwa raha zake Safi Sana nandy
@Agneskiki1
@Agneskiki1 Год назад
Nifikisheni hata 200 subscribers watu wangu 😢 nitashukuru sana 🙏♥️
@EuniceKiyondi-fx8fs
@EuniceKiyondi-fx8fs Год назад
Aki nandy anamupenda sana billnass
@user-du4zp1gw7x
@user-du4zp1gw7x 5 месяцев назад
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 Год назад
Iv kumbe kila msanii ana bodgan sio
@blacktiger4439
@blacktiger4439 Год назад
Si angefungwa pingu pia🤣🤣🤣
@user-mr3qj6qe9i
@user-mr3qj6qe9i 9 месяцев назад
Mungu awabariki Sana
@Happy-jc2ms
@Happy-jc2ms 8 месяцев назад
Mungu awabariki kwenye ndoa yenu😢namtoto wenu😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤nandy
@theresiamwacha7845
@theresiamwacha7845 Год назад
Mungu awabariki mapenzi yenu yazidi kunawiri kamadhaabu
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
Kumbe bongo kuna pesa ngoja nirudi home 😀😀😀
@priscaphedrick5970
@priscaphedrick5970 Год назад
Hongera sana Nandi
@RamanengaRama
@RamanengaRama 4 месяца назад
Sawa
@janerachel1622
@janerachel1622 Год назад
Mbona hakuruka KWA furaha amekua kawaida mnoo
@user-xj6mv5md5t
@user-xj6mv5md5t 11 месяцев назад
❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mariayegela239
@mariayegela239 Год назад
Mimi tuliko fikia hata kumnunulia sitiki tu ya kuchokonoa meno simnunulii😂😂😂😂
@ibrahimkhamis8394
@ibrahimkhamis8394 Год назад
nazimia mim jaman
@saadaally5705
@saadaally5705 Год назад
Umeona
@berthablandes2148
@berthablandes2148 Год назад
Ila Jaman unachekesha
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 3 месяца назад
Uwiiiiiiiiii.....jamani nimecheka Kwa sauti kubwa. Pole dear.
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 11 месяцев назад
❤❤❤
@leylagadau3394
@leylagadau3394 Год назад
Kabisa mtu akikujari na akikudhamini chochote ulicho ndani ya uwezo wako unampa..
@QuithernVeronicahwatulomer
@QuithernVeronicahwatulomer 6 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@estherrobart6274
@estherrobart6274 Год назад
Mmmh ila nandy anampenda Zaid mwanaume mpk mwaume anajua
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Yupo kama mimi nampenda sana Mme wangu adi anajua tuna miaka 10 sasa na watoto 2 sijawai.kumchoka siku Zote namuona wa muhimu kwangu japo kumpenda adi ajue nishida ila moyo utafanyaje sasa
@sophiamwailonda
@sophiamwailonda Год назад
Ukipata nafasi ya kuwa mke haijalish lolote more than playing ur party it's all abt love 🥰🥰❤️as long as hela ipo muache a enjoy life is too short na ni baba wa mwanae why not🙉
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Kalogwa
@berthablandes2148
@berthablandes2148 Год назад
Umeona
@UmmyMohamedi-gg7xo
@UmmyMohamedi-gg7xo Год назад
Mashaallah ghalaykum
@NeemaMasaganya-nf2dm
@NeemaMasaganya-nf2dm Год назад
Da nandy naomba namba yako♥️
@fatmaalmujhairu1977
@fatmaalmujhairu1977 Год назад
Sio mbaya kumpa mumeo kitu chathaman wakat anakupenda nakukuthamin nawapenda saana
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Mmmh safi ila nimeona kama kipilipili mmmh😷
@AmmyKurunge
@AmmyKurunge Год назад
Nahs mm ndio nimefungw kitambaa nione yajayo
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Hii ndy raha ya kuoa Watoto wenye hela😂😂😂
@marydamakatana-dq7it
@marydamakatana-dq7it Год назад
Kila later nawapenda sana
@omsfjb1035
@omsfjb1035 Год назад
😂😂😂😂laah sana jaman
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Год назад
Hawa watu wanapendana saana
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Год назад
Wanawake wengine igeni hapo
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Год назад
Inategemea mnaishije
@welimapauline8793
@welimapauline8793 Год назад
Hatuna hela tutaiga nin 😂😂😂😂
@upendowilliam345
@upendowilliam345 Год назад
Dah raha mapenzi ya kweli unafanya chochote kwa umpendaye
@mercykazungu
@mercykazungu Год назад
Haya ndo mapenzi Sasa
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
Kuna Mimi na shikwa na homa tu 😢😢😢🙉mapemzi weweeeeeeee🏃🏃🏃🏃🏃nikikushika ama zangu ama zako🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@ummumansour
@ummumansour Год назад
Wapare Huwa tuna mapenzi ya dhati na wachapa kazi
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
Amchakachui?😂😂
@teedullah5708
@teedullah5708 Год назад
Upuzi tu hata hashutuki huyo mume yupo km kawzida
@julianamsemwa6071
@julianamsemwa6071 Год назад
Unataka apige mayowe?😂😂
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 Год назад
vaa km mke wamtu sio unavaa km kahaba unamdhalilisha mumeo
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
NandyBillas🥂🥂🍾❤️❤️❤️👍👍👍🍹🍹🍹🩳
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Год назад
Wanawake wanaohonga bado wapo vijana tuongezen bidii
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Год назад
Wee huyu hajamhonga kamfanyia hivyo tu ili watu waone lkn ni lao wote walinunua upo
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Год назад
Babu huyo hajahonga amemzawadia mume wake halali wa ndoa na baba mtoto wake tofautisheni kuhonga na zawadi, na istoshe nandy pia nae alishapata sapoti kutoka kwa mchizi kitambo sana na hao hawakujuana bar wala club ila chuo, mbali na mke na mume lakini pia ni marafiki.
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Mmhhicho kigaun kumbe kifup ivo
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Awajui kuvaaa
@nyendokaombwe8160
@nyendokaombwe8160 Год назад
Jamani waja mu wazito!
@estherdavid2833
@estherdavid2833 Год назад
Kula kande zako ulale puuh
@theresiamwacha7845
@theresiamwacha7845 Год назад
We mwenyewe pia ujuwi kuvaa
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Год назад
We unajua?
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Год назад
Ukijua ww inatosha Shenz taip!😂😂😂😂
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Nenga kajipatia
@farajangonyani
@farajangonyani Год назад
Mungu awape maisha marefu mzidi kupendana
@MathnaMillian
@MathnaMillian 7 месяцев назад
Nawapenda sana nyie watu
Далее
MWANZO MWISHO BIRTHDAY YA MTOTO WA NANDY NA BILNAS!!
8:35